Ufafanuzi Mzuri Kuhusu Kuweka Tv Nyumbani || Sheikh Kasim Mafuta

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 25 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 52

  • @twalibmavumba
    @twalibmavumba Рік тому +1

    Jazakallahu lkheiy. Allah atujaalie tuwe wenye kutekeleza amini

  • @ZaharaabubakarNambwambwa
    @ZaharaabubakarNambwambwa Рік тому +1

    Jazakkah llah khaira khaira shekh Allah akuripe kher

  • @HakizimanaSelemani-wg3ze
    @HakizimanaSelemani-wg3ze 3 місяці тому +2

    ALLAH akulipe sheikh QASIM MAFUTA hakika umesema kweli
    Wasiokua na upana wa kuelewa bas wao wataongea matus
    Ila ALLAH awasameh na pia awaongoze

    • @YusuphSadiki
      @YusuphSadiki 3 місяці тому

      Shekh wetu acha wa mtukane hawajui kama azungumza haki??!! Halaf hao watakuja namazito siku ya kuyyamah . Halaf hayo yapenda tv naukiwachunguza hawasali kabisa

    • @HakizimanaSelemani-wg3ze
      @HakizimanaSelemani-wg3ze 3 місяці тому

      @@YusuphSadiki nimtihani kaka yangu
      ALLAH atupe mwisho mwema

    • @YusuphSadiki
      @YusuphSadiki 3 місяці тому +1

      @@HakizimanaSelemani-wg3ze Allah ndo wa kuombwa msaada katika Yale wanayoyaeleza allahumah amiin

  • @yahyarashid8038
    @yahyarashid8038 Рік тому +1

    حفظك الله ورعاك الله يا شيخنا ابو الفضل

  • @AthumanBakar-l3l
    @AthumanBakar-l3l Місяць тому

    Alhamdulillah

  • @saidimpako5186
    @saidimpako5186 11 місяців тому +3

    Anataka tuishi zama za giza daah bado waisilamu tunasafasi ndefu sana

    • @adamkamaze9888
      @adamkamaze9888 7 місяців тому

      Sheikh yupo sawa tu. Tv zinatumika kumong'onyoa maadili ya kiislamu. Kama unataka kuyatuza basi uwe unafatilia mambo ya kheri tu kitu ambacho hakuna anayefanya.

    • @YusuphSadiki
      @YusuphSadiki 3 місяці тому +1

      Shekh kazungumza kheri wanye maradh razima waumie na ndio ilivyo haki

    • @AthumanBakar-l3l
      @AthumanBakar-l3l Місяць тому

      Kirin Malkin Nabisco vyenu

  • @abuumuslim3601
    @abuumuslim3601 Рік тому +1

    حفظك الله ورعاك يا شيخنا أبو الفظل قاسم مفوتا

  • @hafidhnzota2142
    @hafidhnzota2142 Рік тому +3

    Wallah UMESEMA KWELI KABISA ila wanaokubeza wao ndiyo failure Siyo wewe.95percent TV IMEUA UISLAM

  • @selemankishema5780
    @selemankishema5780 Рік тому +3

    Umeelewa dini vibaya na umewaelewa vibaya maulamaa wacha kupotosha watu mpuuzi

    • @mjedamjeda4734
      @mjedamjeda4734 Рік тому

      Ni vizur kuzuia ulimi wako kaka kuliko ulicho kisema

    • @selemankishema5780
      @selemankishema5780 Рік тому

      @@mjedamjeda4734 siwezi kuziwia ulimi wangu kwa hawa wanaofadhiliwa na wajinga bila kujijua na wanauchafua uislam saana tu

    • @NzeyimanaIliassa
      @NzeyimanaIliassa 6 місяців тому +1

      Mtama wewe mwenyewe wenda hujuwi ata kutawadha wala hujuwi ata nguzo za swala kisha unatukana ma sheikh. Asili ya mwendawazimu huwa anaona watu wazima wenye akili timamu ndo wendawazimu yeye ni mzima zingatia maneno haya wewe safiihun

    • @ababakryally8827
      @ababakryally8827 3 місяці тому

      Hana kitu mbabaishaji huyuu

    • @HakizimanaSelemani-wg3ze
      @HakizimanaSelemani-wg3ze 3 місяці тому

      Vip mzee baba unaelim yoyote ile juu ya haya ambayo anayoyazungumzia? Au unabwabwaja tu
      Kama unaelim tupe tuongoke
      Pila we yani unaongea kitu ambacho huna elim nacho

  • @allyhassan9318
    @allyhassan9318 Рік тому

    با رك لله
    فيك

  • @dahlainismail6837
    @dahlainismail6837 11 місяців тому

    Shkh mtapeli tv utaki cm unataka na clip unaangalia ujitambui ulamah usuhi

    • @oss_oss151
      @oss_oss151 3 місяці тому

      ni kweli kabisa akhy

    • @YusuphSadiki
      @YusuphSadiki 3 місяці тому

      Umemuelewa kweli shekh ?? Au ndio ujinga hebu muwe mnasikiliza vizuri ndo unasema akh

  • @ibnuomar1770
    @ibnuomar1770 3 місяці тому

    Huyu kwake ameeka TV halafu clip zke nyngne eti zimekuja kueleza sababu maalum za qassim mafuta kueka TV kwake.. 😂😂. Yaan yy kueka kwake TV kuna sabb maalum

    • @YusuphSadiki
      @YusuphSadiki 3 місяці тому

      Unaushahidi Gani wewe au na wewe nimchunguzaji?wachamungu wanajulikana tu

    • @AthumanBakar-l3l
      @AthumanBakar-l3l Місяць тому

      Lawmaking Nabisco yasema

  • @hafidhnzota2142
    @hafidhnzota2142 Рік тому

    Tena mbaya zaidi Leo watu wazima Kazi Simba yanga

  • @IsmailMasule
    @IsmailMasule Рік тому

    Ivi wakat anasoma shule ya msingi alikuaga wa ngapi darasan tumechoshwa na mafelia

  • @mohamedimiraji5495
    @mohamedimiraji5495 Рік тому

    Primitive communalism perspective.

  • @ashachitemo7816
    @ashachitemo7816 Рік тому

    Huyu sheikh ana kichaa sana.Tumkamate apelekwe milembe hospitali ya vichaa

    • @maftahyahya7709
      @maftahyahya7709 Рік тому +3

      Assalam alaikum warahmatullah wabarakatuh
      Kwanza naomba nikupe pole kwa kutotambua nafasi ya masheikhy wa Sunnah kama Kasimu Mafuta kwenye jamii yetu, maana wengi wenye kupinga dawah ya sunnah hawana hoja za kielimu zaid ya kutoa matusi
      Pili, Sheikhy hajasema TV haraam bali kasema hazifai kutokana na madhara yake kwenye familia zetu na akaonesha kutambua faida zake lakin akahitimish kwa kuonesha faida ni ndogo kuliko faida.
      Tatu , Binafsi nashauri wasiomfaham vizuri Sheikhy Kasimu Mafuta dawah zake wanaenda na uvumi wa maneno yenye chuki binafsi na kuona maneno yake mabaya lakini yakitafakuliwa vizuri utaona Sheikhh hana lake zaidi ya kunusu Uislam

    • @ibrahimfarouq8339
      @ibrahimfarouq8339 Рік тому

      @@maftahyahya7709Wa’alaykums salaam warahmatullaahi wabarakatuh kabisa akhy mimi nimebadilika kutoka kumchukia enzi zile za Aboud Rogo hadi kumpenda Shaykh wetu Kassim Mafuta (Allaah amuhifadhi)

    • @lameckraphael3743
      @lameckraphael3743 Рік тому

      Uko sahihi kabisa ndug ang wengi hawamjui shekhe vzr na wanazuoni wengi hukataza jambo kama halina manufaaa kwa umma

    • @ramadhanmasiku4105
      @ramadhanmasiku4105 11 місяців тому

      Ukweli usemwe japo unauma nimekuelewa shekh

    • @HakizimanaSelemani-wg3ze
      @HakizimanaSelemani-wg3ze 3 місяці тому

      ​@@maftahyahya7709umesema kweli ndugu
      ALLAH akulipe juu ya hilo

  • @abuumuslim3601
    @abuumuslim3601 Рік тому

    hii chanel ya kihizby

    • @abasspazia
      @abasspazia Рік тому

      Naam salafiya jadida kama anavyowapotosha jadida duktur uchwala khamisi imamu mpumbavu yule

    • @abasspazia
      @abasspazia Рік тому

      Nyie masalafiya jadida simushaingia peponi .kuliko sie masalafiyu.bado hatujaingia kwa jinsi muelewavyo majadida na munavyofundishwa na hao wajinga.kama mjinga khamisi imamu

    • @SugowFarah-up3db
      @SugowFarah-up3db Рік тому +1

      WAISLAMU wacheni kutukanana kwasababu ya khilaaf za wanazuoni
      سباب المسلم فسوق وقتاله كفر
      Kumtukana muislamu ni ufaasiq na kupigana naye ni ukafiri
      Tuchunge ndimi zetu

    • @YusuphSadiki
      @YusuphSadiki 3 місяці тому

      Watakuja kuulizwa mbele ya Allah na wanaotaka matv namashabiki ya mipira tu hata huku kwetu twa waona tu

  • @amerwelder7786
    @amerwelder7786 Рік тому

    Maalim tunaomba dalili inayosema television haifai kuangalia

    • @lameckraphael3743
      @lameckraphael3743 Рік тому +1

      Hahaahaa wataka dalili???Naomba utusaidie wewe amer wapi maulidi yana dalili????

    • @HakizimanaSelemani-wg3ze
      @HakizimanaSelemani-wg3ze 3 місяці тому

      Labda hukumuelewa vizuri
      Rudi usikilize utaelewa tu

    • @YusuphSadiki
      @YusuphSadiki 3 місяці тому

      Hajasema kuwa shekh ni Haram Bali kasema inamanufaa kidogo na inamadhara mengi na wanaotetea tv mashabiki

  • @omaryjumas6327
    @omaryjumas6327 Рік тому +2

    Shekhe wewe hutumii simu?
    Jee! Unatumia simu ya aina gani? Maana hizo nyengine ni zaidi ya TV.
    Unatetea uhalali wa redio, Jee! Kwenye redio hakutangazwi mipira na kupigwa mziki?
    Tena mziki wa kwenye redio ni balaa.

    • @HakizimanaSelemani-wg3ze
      @HakizimanaSelemani-wg3ze 3 місяці тому

      Nahisi hukumuelewa
      Ebu rudi usikie vizuri na kwaumakini
      Ukiwa na kichwa chakuelewa bas utamuelewa