ustadh asalamualehkum kwa elimu yako allah akubariki,ustadh nikuulize mwenye anafuata zina ni muislamu mwanaume bibi yuko nyumbani,na mwenye amuendea ni mwanamke na ni mkristo sasa ustadh swali lako iko hapa kesho mbele ya mungu mwenye amebeba dhambi kubwa iko upande baina ya bibi yake ,bwana muislamu na bibi mkristo?
Nakukubali San sheikh kassim mafuta
Mashalla Allah akuhifadhi shehe Qasim mafuta akuridhie na shari mbalimbali akukinge inshallah
Ahsante sheik❤
Allah akuhifadhi sheikh Abdul fadhi Qassimu mafuta Qassimu na akupe mwisho mwema
ya alhah muhifafhi kasim mafuta
Baarakallahu fiyka,
Allah akuhifadhi
🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿 SAWA
Allwahumma baai'd baynana wabayna zinaa kamaa baaa'tha baynal mashrik Wal maghrib.
😅
yarabbi tunusuru
Assallam àlaykum kaka, ndugu yangu kassim Bakari Bindo kigamboni dar
ustadh asalamualehkum kwa elimu yako allah akubariki,ustadh nikuulize mwenye anafuata zina ni muislamu mwanaume bibi yuko nyumbani,na mwenye amuendea ni mwanamke na ni mkristo sasa ustadh swali lako iko hapa kesho mbele ya mungu mwenye amebeba dhambi kubwa iko upande baina ya bibi yake ,bwana muislamu na bibi mkristo?
Allah akubariki na akulinde kwa kua nimeipata elimu juu ya matendo ya zina yaarambi atuepushe
naomba hii clip imfikie mohd mafuta😢
Kaka C Vzur Kutajana Mjna
Kaka C Vzur Kutajana Mjna
@@kanaanrajab1102 kwani kuna ubaya kumpa nasaha mudy mafuta aache kutongoza wake xa watu
Jiandae siku ya kiyama kutoa ushahidi wa hiyo zinaa
Kama huna ushahidi moto wakuhusu siku ya kiyama
@@abuu_azhari ushahidi upo pale pongwe wala haina haja ya siku ya kiyama njoo tukupe