UNYAMA: BABA AMUUA MTOTO WA MKE WAKE, BAADA YA KUMKUTA AKIWASILIANA NA MWANAUME ALIYEZAA NAYE...
Вставка
- Опубліковано 8 лют 2025
- UNYAMA: BABA AMUUA MTOTO WA MKE WAKE, BAADA YA KUMKUTA AKIWASILIANA NA MWANAUME ALIYEZAA NAYE...
Hamisi Fasisenga, Mkazi wa Kunduchi-Mtongani Jijini Dar, ambaye ni dereva wa malori anadaiwa kumuua mtoto mwenye umri wa miezi 6 aitwaye Ivan Keneth chanzo kikidaiwa ni wivu wa mapenzi.
Taarifa zainaeleza kuwa, Hamisi alifikia hatua hiyo baada ya kumnasa mkewe Mima Mjogo akizungumza kwa simu na mwanaume ambaye amezaa naye mtoto huyo.
Kufuatia tukio hilo, wanahabari wetu Richard Bukos na Issa Mnali wamefika eneo la tukio na kuzungumza na mama wa marehemu Mima Mjogo, baba mwenye nyumba Sadick Seif, bibi wa marehemu Veneranda Mpango pamoja na mjumbe Zainabu Ally ambao wamesimulia jinsi tukio lilivyotokea.
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...
Asingemua mtoto. Angemwacha uyo mke na mwanae. Nitatizo kubwa hili. Mungu mkuu atusaidie sote Amen.
Dah mtoto mzuri sana ila tumuachie Mungu ndo ajuae kila kitu
Ukweli utakuweka wazi Kila kukicha hayo tunayo wenzio tunavumilia kaka.ona Sasa unakwenda jela umekosa maisha ya ulaiyani.kapumzike salama uko jela na mungu atakupa hadhabu uwezi amini
eee Mwenyezi Mungu tusaidie waja wako. Asingemuuwa mtoto jamani. mtoto Hana makosa
Aaah 😭 mackini, mbona watu wamekuwa naroho ngumu hivi,sasa mzazi kama huyu hawezi kulea mtt hata warafiki yke hata kwamalipo,mbwa sana huyu,yy ameua huyu mtt anajua kizazi yy anacho anaweza kuzalisha,mshenzi,pumbavu zake,he will pay for what he did😭😭, ALLAH kakulaani leo duniani mpk kesho akhera😭,inaumiza roho sana
Unaolewaje na mwanaume mwingine huku una mtoto wa miez sita, jaman jaman, na Vifo vingine huwa sielewi nivya Mungu au , umeshaolewa bado una mawasiliano kwingine jamani nimelia kwa uchungu, unakatisha maisha ya mtu kisa wivu, ohoo Yesuuu
Subuhanallaha pole mama mungu atakutiya nguvu
Duh! Mtihan wanawake tuache umalaya kuwabambikia wanaume watoto maisha ni magum Sana mtu anahenyeka jua mvua Ila sijapenda huyu jamaa Shelia ifante mkondo wake😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Sasa umalaya wanini wakati mtoto sio wakwake jaman
@@fatmamamlo7882 Soma kichwa Cha habari au sikiliza vizuri aliam iwa mtoto niwake nakama unataka mabishano pita hiv
@@zuwenaalamin8985 nimekisoma ila hasir hasar tukose sote mwishowe uhai wake unaishia jela sibora angemuacha to
@@zuwenaalamin8985 umalaya upi tena wakati mtoto si wake mwanaume kamkuta mwanamke ana mtoto tayar
Zuwena shogaangu hujaelewa🤣🤣alikuta huyo msichana anamtoto tayar ila Sasa kamkuta anawasiliana na baba wa mtoto...ndo hicho kitendo hakupendezwa nacho akamuuwa mtoto
Innalillah wainnaillah rajion mtt hana kosa jmn😭😭na sisi wanawake jmn hii michozo haifai
😭😭😭😭😭😭😭dunia simama kidogo mbona naogopa 🙆♂️🙆♂️🙆♂️🙆♂️🙆♂️
Subhanallah mtto anakosha gani yaani huu mtihani kwakweli bora hata angemuuwa huyo mama mtto angepata Wa kumlea lkn mtto hana hatia yyote
Yaa Rabbi nijaalie Baba watoso wangu anirejee .....😢
Good
Mtihani yarab
unajua binadamu tupo tofauti saan katika kupokea jambo wanawake umalaya utatuua jmn 🙌ww unamaingzia mtu mtto wengn akil zao wana maamuz ya ajabu kma ivo kumuua mtto asonahatia chanzo ni uyo mama na sura yake mbaya hyo kainamaaa apo kma mtuu ila yye ndio atajbu kwa mung na uyo mtto atamlilia yye sio uyo baba tna pumbavu
Sasa mtu kuongea na mzazi mwenzie ndo umuue mtoto jamani mbona dhambi 😢😢😢😢😢so angetafutana na uyo mme mwenzie wamaliziane😭😭😭😭😭😭😭dah nimeumia kwakweli😭
Mungu tulindie watoto wetu na wanyama Hawa yarabi🙏🙏
Amiin Yarabby
jaman pole malaika wa Mungu hukua na hatia kabisa
subhanallha roho imeniuma mno mtt anakosa gani arafu mzazi mwezie asiongee nae kuhusu malezi arafu mtt bado mdogo yani nyie kuna wanaume watu wanaroho nguvu
jamani mtoto anakosa gani? daaah uuwiiiii maraika jmn😭😭😭😭
Bora mm lie kaaa pembeni nakusem mungu Afanye njia cyo kupelek mtoto fek
Angeachana nae tuu japo inauma
Nashukuru wakwe zangu nlikaa uzazi miezi 6 hata huyo mwanaume hajawahi fika chumban kwangu maongezi yetu na kumwona mtt viliishia sebulen jaman wanawake tuacheni kuhangaika kama umempata wakuzaa nae tulia nae wanaume hawana roho yakuvumilia huo ujinga ona sasa malaika wa Mungu ameuliwa bila hatia kwa tamaa za muda mchache na wivu tu😭😭😭
Jamani jamani mungu akupe kinacho stahiki
Jamani Wanawake tuache kuwabambikiza Wanaume Watoto ambao sio wao.pia huyu mwanaume asingemuua Mtoto , mtoto hana kosa angemrudixha mkwewe kwao..
Innali LLahi wainna illayhi rajiun Allah awafanyie wepes
Huyo Malaya nae kazidi khaa anasababisha mtt kuuliwa Hana hatia 😭😭 kosa la mama jamani khaa dunia hii inaisha
Ivi mtu ulee mimba badae mtoto hadi miezi sita baadae uje usikie mke anaongea na mwanaume kua mtot so wako ...daa inauma sana ...ila kua SI busala
Ndo upombavu wawanawake
@@mdzainb3722 mmmh
Ee Mungu alale mahali pema peponi huyo baba jela maisha jamani hivi mtu ukiwa unanyonyesha ukaolewa na mwanaume si baba yake inakuaje
Daah😭😭😭mung tunusuru
Mungu maraika wa Mungu kafanya nn mambo ya mapenz hadi kwa mtoto jamani anakosa gani mtoto we mwanaume Mungu anakuon
Mtihani
Tamaa za mwanamke amepotezata mwanae ,,vivu na hasira zimemtia jamaa ameishia jela,
Innalilah wanna ilah lajihun
wanawake malaya san ahhhh
wanaume malaya. mbwa hasa hawa wenye malory dala dala makodkita ni hatariiiiiiiiiiii ndiooo wanaoenezanga ukimwi mikaswende visonono
We mwenyew Malaya mbuzi weee
kondooo wa yuda weee
Likafungwe, hilo janaaume.
Mtoto anakosa gani mpaka anamuuwa jamani.kwanini wasingemuu huyo mama
Yote hyo mwanamke ameyasababisha mung anawaona
hiyo sound ya mwanzo muitoe inakera bhna
Dah jamani vifo vimezidi sana Tanzania 😭
Allah akbar
Kiukweli inauma sana kwa kulea mimba ambayo si yako huku ukijua ni yako kilichompa hasira kwa huyo jamaa ni maumivu ya mapenzi pamoja na ugumu wa maisha
Innalilah wainna lilayhi rajiuun
Mbon mambo yamekuwa iv tz nn shida na mwenzi mtukufu hu watu hawamuofi hata Allah jmn shetani amefungwa minyororo sasaiv sasa nn kinawasababisha..km yule arie mua mtto wa mdgo wake nadia
Wanaume saivi wamepatwa na ukichaa tuwe makini wanawake Bora kuishi mwenyewe
Maskini wee! inauma lkn baba usingemuua mtoto! sasa utaenda kusota jela wenyewe wataendelea na raha zao
So 😭😭😭 sad..
😭😭😭😭😭😭😭😭
SubhanAllah
ndo shida yakuolewa ukiwa hujamaliza kudanga kama unanyege za kuku si tumie majira jaman
Inna lillah wa Inna ilayh rajiun 😭 sijui niseme nini Kwa hili
Mtoto hana hatia ww mama mbaya umponza kiumbe asie na hatia
Ka mbona nimambo ya ajabu sana
Ktk harakat za kitetea utu .
Wanaume mkona shda gni jmni ukipenda uwa penda na boga lake kma utki huyo mtto ugewachana na huyo Mama na mtto wake
Hilo limama ni limalaya sn! Umalaya wako umefanya mwanao kuuwawa! Hilo dune nalo likafie jela.
Wanawake mnatuletea matatizo sio wote wenye moyo wa kuvumilia hivi
kilanga komoo tamaa kutaka matumizi sehemu mbili
Ila cc wanawake jmn hebu vitu vingine tuvipunguzage wenyewe,bara unataka na pwani unataka,ona Sasa amesababisha madhara kwa kiumbe kisicho kuwa na hatia,amua kukaa na mmoja bc.
Angemuua mama mtoto,. Mtoto Hana kosa
Sas uwo kak nibora tu angemfukuza uwo.dada aende.na.uwo.mtoto kwa.uwo bwana.kuliko kumkatisha maisha.kiumbe.ambacho.hakin.hatiya jamani
Mbona watu tumekua na roho za kikatili? Naomba selekali itoefundisho kwa huyu mtuhumiwa
Kuna limbwajike nalo lilimbambikizia mwanaume mtoto,cha kushangaza,litoto kuzaliwa kafanana na jamaa mwingine,yaani utafikiri baba na mtotoni mapacha.Hilo Dada ni aibu.
Dunia😭
Hivi wanawake mwalimu wetu alikufaga na kifafa au wwe mwanaume alikuacha umepata mume anakupa huduma unaanza kurudi kwa wazamani kama unajua mnapendana na huyo wazamani kwanni uanzishe mausiano mengine
Hiki ndicho kinachowakimbiza wanaume wengi kuoa mwanamke mwenye mtoto
Apo tujifunze wakina mama mtoto anakuaje na wababa wawili jamani nimeshawai kuona mtoto ana makadi mawili anakula uku na uku dah ila asira hasara kaka hela inakuusu ungejua ungejukataa
Mngu wangu huyo baba anyongwe
Innalilahi wainna illaihi rajiun) biayi dhanbi qutilati😭
Huyu ni mjinga angejua uchungu asinge fanya hiywo
Dereva wa malori wakubali hizo changamoto ya kusafiri muda wote, kwa miezi hivyo angefahamu changamoto hizo zingekuja na jinsi ya kukabiliana nazo
Tz imekuaje
Sasa kwanini amuue mtoto jamani nadhani Sio mzima huyo jamaa na we mke achana na huyo mume kweli
Sasa utamuoaje mwanamke mwenye mtoto wa miezi 6 bado ananyonyesha. Yani ulimtongoza vp?
Sasa kwani huyo ndio amie huyo mwanamke sababu mtoto anamskosa gani katili mkubwa asiachwe apewe adhabu inayostahiki muache huyo mwanamke na wewe utapata mwanamke mwingine lkn kimya mtoto ndogo huo mnyama mkubwa
Wanawake 2we na mcmamo bla ya hvyo 2tapoteza wa2 wanao2saidia na kuwapenda 2jtahd kuwa wa kwel Co unampa m2 mzgo wa kulea kiumbe kccho chake alafu krahc unamwambia mtt c wake MUNGU akutie nguvu dada ktk kpnd hko kgumu.
JAMANI NCHI YETU INA NN MBONA MATUKIO AYA YMEZDI JMNI😭😭😭 MAPDRI NA MASHEH TUOMBENI JMNI MAAN TUNAPO ELEKEA SPO SIJUI KUNA NN KIMEKUJA KIBAYA KWENY NCHI YTU
Nchi yetu Haina vita ila wameamua kutuletea shetani mbaya tuuwane sisi kwasisi Ili tupungue duuuh mwenyezi mungu atunusuru jamani
Aya wamama wenye mtoto aliye na baba zaidi ya mmoja kilio kiko njiani
Wanawake mafara sana ndo wanao tuhalibia maisha
We unatukana mwanamkee una laana kwelii ....Anziaa kwenu kumtukana mama Mana yy ni mwanamke piaa
Huyu jamaa afungwe na huyu mwanamke afungwe pia maana wote chanzo Cha mauaji ya huyu mtoto inauma Sana unalea mtoto unajua wako kumbe mama ake mayala kazaa na mwaume mwengine ila jamaa angedili na huyu mwanamke mtoto kamuonea bure umalaya ni kitu kibaya Sana yani umeolewa na bado unazaa na mwanaume mwingine duh na eti unawasiliana nayo kabisa mpumbavu wewe haya ona Sasa umesababisha mtoto asie na hatia anyongwe
Mmh balaa kwakweliii
hata wao au yy dereva wa malor ni malaya mbwa mbwa
Hkuna mty ambayee sio malayaa ni swala la mda TU na kucheza na Akili ya mwenzioo
Duuuuu
Mtoto ana kosa gani? 😭😭
Angemuua huyo mwanamke tuuu
Sasa mwaume unasafiri miezi unategemea kitatokea nin? Jamaa angekubari matokeo tu kalea mimba sasa maraika yure hana kosa angemuacha mwamke ila sio kuua mtoto sheria ifuate mkondo wake
Wanawake wanacheza fauro xana jirekebixhini
Jaamaaanii
Jamaa mbona ana wivu wa kijinga, bora angejikataa tu.
😭😭😭😭😭😭
Mtoto hana hatia
Sasa hapo mtoto anakosagan jaman
Hamtuliii wanawake kwenda luolewa na mtt mchanga watakia nn? Kwann usimlee kwanza had miaka kadhaa kisha uwanze hizo hekaheka za wanaume? Ona sasa mwisho wa siku unakosa vyooooote
Wanawake badilikeni,huku unataka uolewe,huku unataka uzae,na huyo,muwe mnaamua moja,Kunawanaume wengine wajinga,anaweza kukua hata wewe Mwanamke,iweni wakweli.
Kweli Kaka tamaa zinaponza
Sasa mtoto kosa lake nn inaumiza
SS amepata nn anaenda Kua chakula Cha nyapala ni ujinga.
Wanawake ukipata mtu kama unamtoto wa mtu uwe muwazi
Ili agunduee Nini .....
Tanzania kipimo cha DNA kikiwa elfu 50 asilimia 90 ndoa zawatu zina kufa maana sikuizi imekuwa to much wanawake kumbambikia wanaume watoto inabidi wanaume wawe makini sasa wachukue maamuzi mapema mtoto akizaliwa tu unafanya DNA iyo itafanya wanawake waanze kuogopa 😳
🤣🤣🤣Eeeeh we ndo utaogopa sio mwanamke aliyezaa mwanaeee
Wengine ubushoke tumezoea
Pumbavu si mwanaume halisi.
Mtto hana hatia kwann amtoe loho mtto amemzurumu nafsi yake jmn si angedai galama tu sio kutoa loho maraika
Sio angedai gharama bora angemuondoa huyo mwanamke kwani wanawake wa sasa hawatulii kwenye ndoa zao wanakubambikia watoto kumbe sio wako ww unateseka bure kuwalea lkn kwa kumuua mtoto hapo kakosea wanastahiki wote waende jela
@@husseinissa7118 hakuna binadam malaya kma wanaume tena usiombe ukapata hawa wa malor dala dala makodkita ukae ukijua utakufa kwa magojwa ya xinaa
@@heyumi2340 hakuna mwanaume malaya bali mwanamke ndio anaweza kuwa malaya haujui kuwa anatumia gharama kiasi gani kukuoa,gharama za kukulisha,kukuvisha na kodi za nyumba ww mwanamke unatoa nini zaidi kumsaliti mtu anayekuhudumia for everything na shukrani zenu kuzaa nje ya ndoa
@@husseinissa7118 hahaaaa kwani kuna mty anawatuma muoe au tupu zenu wanaume ni malaya malaya mbwa na hakuna mwanaume mwenye mwanamke mmoja hayupo kabisa hapa dunian tunawajua sana tena vijiwanaume vyenye kushika vijisenti ni malaya hata nyani ana nafuu kuoa shilingi ngapi mahar yenyewe hata milion ni mtihan etiiii huduma kwa huduma hasa kwa mfano
@@heyumi2340 hahahaaa kisaikolojia inaonekana umeachika kwenye ndoa zako na shida kubwa mnataka kushindana na mtu aliyekabidhiwa na wazazi wako akumiliki lkn unakuja kujifanya na ww ni muhimili mwingine na maagizo ya mungu mume anaruhusiwa kuwa na wake wengi lkn mwanamke haruhusiwi kuwa na mume zaid ya mmoja shida mlishawahi kuzungumza na shetan na atujui mliongea nini ?
hivi una mtoto wamiezi sita unaolewa hawa watoto wakike hawana akili kabisa
6
Anyongwe na yeye
Anyongwe nani sasa? unajua maumivu ya kupigiwa mimba mke?
Hapo anyongwe mwanamke tu Malaya aliepitiliza huyo
@@abdillahmngoya4681 mahar bei gani mnatoa mpka useme etiiii uchungu wa mke na alomzaa nae atasemaje wanaume bwana eti mke hahaaaaaaa
@@heyumi2340 haya bhana naona umejitetea
@@abdillahmngoya4681 hakuna mwanaume yoyote anayejua uchungu wa mke au mtoto uchungu wenu labda kwenye kutafuta pesa na c mke pia mwanaume huwa hana upendo bali anataman tu mwanamke akpata bac anaangalia tena sehem nyingine tunawajua sana sana
Wanawake mnatupa majaribu sana nyie,dah!!