wasabato sio wakristo

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 14 жов 2024
  • ‪@BIBLIANURUYADUNIA‬
    ‪@adventsoundtv‬

КОМЕНТАРІ • 240

  • @jacksonmwasibila9310
    @jacksonmwasibila9310 Місяць тому

    Uko sawa mtumishi Mungu akubariki. Askofu Mwasibila

  • @MkJj-m7g
    @MkJj-m7g Місяць тому

    Dah! Unabii unatimizzwa.

  • @jjtm164
    @jjtm164 3 дні тому

    Ongezea sauti

  • @deohank5995
    @deohank5995 2 місяці тому +1

    Amina, Mungu ameamua ujihubiri na kujifunua kwako yeye mwenyewe kwa NENO lake ubarikiwe. Namtukuza Mungu kwa kuwa wewe ni mwanafunzi bora utafutae UKWELI.

  • @stephanobenard7439
    @stephanobenard7439 3 місяці тому +3

    yan omba Mungu akufunulie siri ya sabato utafurahi sana

  • @ngugimundia6306
    @ngugimundia6306 2 місяці тому +2

    Yaani huyu ndie mchungaji mwenye utoto zaidi sijawai ona eti mungu alipumzika mungu alijiabudu...kwa hio mungu alisema msitamani mke wa jirani kwa huvyo nae mungu alijizuia kutamani mke wa jirani?...acha upuzi mungu akitoa amri ifwatwe alivyosema sikuuliza kama yeye kafanya alivyosema...mungu si mwanadamu!

  • @MichaelFadhili-r8i
    @MichaelFadhili-r8i Місяць тому +1

    Dah kiongozi kipofu mno

  • @FabiJohn-vx9jl
    @FabiJohn-vx9jl 2 місяці тому

    Soma vizuri biblia kumbuka kuna juma pili nane tu toka mwanzo hadi ufunuo nitafute nikuelekeze kila juma pili na kilichocho fanyika

  • @AlbertShayo-i6v
    @AlbertShayo-i6v Місяць тому

    Wasabato ni wakristo wazuri tu acha uongo mtumishi

  • @JamesOdadaNdati-d7o
    @JamesOdadaNdati-d7o Місяць тому

    nakusikitikia sana wewe uko mtupu huyajui maandiko kitu kama haukijui kaa kimya kwanza inaonekana MAANDIKO umeyadandia pole sana

  • @mwesi527
    @mwesi527 21 день тому

    Jikeemee mwenyewe hilo pepo lako sie hatuna mda huo, jinga kabisa

  • @ZabronJonathan-b5s
    @ZabronJonathan-b5s Місяць тому +1

    Heri mwanadamu afanyaye haya lsaya 56:1--4

  • @GeraldMswazi-bp2kw
    @GeraldMswazi-bp2kw 15 днів тому

    Mchungaji asiye jua maandiko ni sawa na mbwa bubu ambaye hawezi kubweka,aliandika mtume mathayo,

  • @FabiJohn-vx9jl
    @FabiJohn-vx9jl 2 місяці тому

    Pole sana Ezekiel 20:12 marko 2 :27-28 luka 4:16-17 acha kudanganya watu jifunze maandiko vizuri ukizingatia hakika utapata maarifa na unatumia sana nguvu bila kuhusu kushika sabato yesu anasema nini juu ya mathayo 5:17

  • @Johanesseradius
    @Johanesseradius Місяць тому

    Asante kwa uelewa wako lakini wasabato ni watu kama wengine kama unavyojua wakristo isipokua wao wanakutana juma mosi kwa maelekezo ya Mungu.

  • @robertokeyo2877
    @robertokeyo2877 Місяць тому

    We mbona unapinga maandiko Mungu aliaandika

  • @yohanamwakanyelenge3786
    @yohanamwakanyelenge3786 5 днів тому

    Hao wakristo wa kwanza walisali siku gani pole!

  • @PaulDeus-jh7jn
    @PaulDeus-jh7jn 2 місяці тому +1

    Unapita jujuu sana mtumishi, muombe sana Mungu akuongoze uujue ukweli. Nikweli kabisa siku yoyote unaweza fanya ibada ndo maana huwaga ndani ya wiki kuna siku ya maombi mnakutana hata saa 10 jioni ila asubuhi mlikuwa katika mihangaiko ya mambo mengine. Lakini siku ya saba ni siku maalumu tu ya kuabudu ndo maana huwaga tunaacha shughuri za mihangaiko na utafutaji. Hii ni kwa sababu ndivyo ilivyo agizwa kwamba watu wasifanye kazi siku hiyo.

    • @JohnKabuka-o7h
      @JohnKabuka-o7h 2 місяці тому

      Mungu ana abudiwa siku yoyote ili mladi umwabudu katika roho na kweli, kushika sabato sio tiketi ya kumuona Mungu Bali ni kuishi maisha matakatifu katika maisha Yako kumpa maisha Yako Yesu yaani kuokoka.

  • @CollinsOnyango-ep8kk
    @CollinsOnyango-ep8kk 2 місяці тому

    Naomba mungu atusame kwa sababu tunakataa sabato yake ata wale ambao tunaita wachungaji

  • @Selemlaki132
    @Selemlaki132 3 місяці тому +3

    Mungu haabudu tunao abudu ni sisi wanadamu na tunamuabudu yeye Mungu wetu wa mbinguni

  • @OtienoKoyi
    @OtienoKoyi 2 місяці тому

    Samahani kaka, Dacha hawaipigia debe wasabato, ila anapigia, na atazidi kupigia debe amri ya mungu ya nne, sabato.

  • @douglasnyakundi1208
    @douglasnyakundi1208 2 місяці тому

    Wewe hujui kile unasemaje,unasomea vizuri,unaeza mambo yako

  • @millereliteendtimeministry6621
    @millereliteendtimeministry6621 27 днів тому

    Basi ni kwasababu gani watu wengi hufanya ibada siku ya jamapili?

  • @metaoyugi6530
    @metaoyugi6530 Місяць тому

    Nimelia sana bundles zangu nilizotumia kuskiza mjinga kama huyu,ulaniwe

  • @gwakisamwakatage4656
    @gwakisamwakatage4656 2 місяці тому

    Pole sana kwa kumkufuru Roho Mtakatifu.

    • @FridayMwassa
      @FridayMwassa 2 місяці тому

      Inaonyesha waalimu wako wamekudanganya ktk mengi ila hujui

  • @mwenda8911
    @mwenda8911 22 дні тому

    Huyu anataka bibilia iseme vile anataka mwenyewe

  • @ernestbensonmwamengo1642
    @ernestbensonmwamengo1642 2 місяці тому +2

    Kabamia neno ila kakosa roho mtakatifu

  • @sergiusnjiru2361
    @sergiusnjiru2361 3 місяці тому

    Asanteni nyote ninalo swali .nigeomba nielezewe kinagaubaga kwamba manzo wa siku ni upon na mwisho wa suku ni upi tuwache mambo ya wasungu .nielezeni .

    • @barakamwasumbi1646
      @barakamwasumbi1646 3 місяці тому

      @@sergiusnjiru2361 kiukwel SIKU nikitu Cha muhimu sANA , SIKU ya Saba JUMAMOSI, aliiandika kwakidole CHAKE mwenyewe,na akaibariki, LKN Daniel 7:25 ATAAZIMU KUBADILI SHELIA, akaweka JUMAPILI costantino , ko MUNGU aliiweka JUMAMOSI na costantino akaiweka JUMAPILI, ndomaana wakijitetea wanajichanganya, BWANA WA sabato ni YESU, LKN bwana WA JUMAPILI ni NIMLODI

  • @martinkamwaro1561
    @martinkamwaro1561 2 місяці тому +1

    Jaribu kumtongoza mkewe uone. Hawa ni mbwa wakali aliosema paulo

  • @WilliamHiza
    @WilliamHiza 3 місяці тому +1

    Asante Baba watakuelewa tu

    • @ernestbensonmwamengo1642
      @ernestbensonmwamengo1642 2 місяці тому

      Ndacha humwezi, siyo saizi yako, MHUBIRI YESU Marko 2:27-28 YESU NDIYE BWANA WA SABATO. NENO DINI NO NJIA NA YESU NDIYE NJIA NA UZIMA. HUSOMI MAFUNGU. HAYO NI MAWAZO YAKO. SOMA NENO ISHI KWA MENO.
      IMESALIA RAHA YA SABATO KWA WATU WA MUNGU. waebrania 4:9-11 .

  • @malimahila9450
    @malimahila9450 2 місяці тому

    Kiongizi kipofu hawezu kufafanua maanduko

  • @ZabronJonathan-b5s
    @ZabronJonathan-b5s Місяць тому

    Utuambie na Yesu mwenyewe alikuwa anaenda kusali na kuabudu siku gani?

  • @ZabronJonathan-b5s
    @ZabronJonathan-b5s Місяць тому

    Toa andiko kama unalo kwenye biblia linaloonyeesha mitume na Yesu walikwenda kusaliau kumwabudu Mungu siku ya juma pili. Mungu alisema watu wafanye kazi siku sita

  • @JosephMpangala-wd5mp
    @JosephMpangala-wd5mp 3 місяці тому +5

    Kama wasabato siyo wakristo inakuweje Yesu awe Bwana wasabato? Marko:2:27,28.

  • @dennispeter2010
    @dennispeter2010 3 місяці тому +1

    Kalale ukue Mzee! Umechemka sana huju maandiko kabisa!

    • @DodomaTanzania-r5z
      @DodomaTanzania-r5z 3 місяці тому

      Usijifiche kwa chaka jitokeze na hayo maandiko😂😂😂

  • @mwenda8911
    @mwenda8911 22 дні тому

    SDA ... Adventists ina maanisha wanaosubiri kurundi kwa kristo

  • @sivan6740
    @sivan6740 24 дні тому

    @francis dacha jibu huyu ndugu yetu

  • @MwalindeJackson
    @MwalindeJackson 3 місяці тому +1

    Mzee wehujaelewatu njoo nikujuze zaidi soma ebrania 4--9 soma 1saya 66 --23 acha ushamba wa maandiko bos

  • @sullyjoseph1041
    @sullyjoseph1041 2 місяці тому

    Hebu tutajie amri za Mungu

  • @feadamagessa889
    @feadamagessa889 3 місяці тому

    Wewe usipotoshe watu kama papa ,Sasa wewe unaabudu Kwa Mungu yup 😅😢😊😊😊

  • @mussamashauri
    @mussamashauri 3 місяці тому +1

    Bila shaka wewe ni askofu wa shetani pole sana mwazilishi wa sabato ni mungu pumbafu wewe

    • @FridayMwassa
      @FridayMwassa 3 місяці тому

      Kwa matusi haya ndiyo umedhihilisha usabato wako

    • @emmanuelpeter6742
      @emmanuelpeter6742 3 місяці тому

      Mcha mungu hatukani,omba mungu akusamee

    • @emmanuelpeter6742
      @emmanuelpeter6742 3 місяці тому

      Wasabato pia wanashindwa kutofautisha kati ya Mungu na Yesu, maandiko yanasema kuwa ufalme wa Mungu ni huu kumua Baba na aliye mtuma. Kama unaamini Yesu ndio Yehova na sio mwana Bado sana ,omba mungu akufunulie maandiko uelewe.

    • @barbiechemmy2137
      @barbiechemmy2137 3 місяці тому

      Unajiona ulivo wa ajabu 😂 unatukana nini?

  • @richardselaka1621
    @richardselaka1621 2 місяці тому

    Sabato ni amri miogoni mwa amri kumi za Mungu

  • @jaredjeffney9496
    @jaredjeffney9496 2 місяці тому

    Ata nashangaa huyu mchungaji...lengo lake ni kupigana na neno la Mungu.

  • @barakamwasumbi1646
    @barakamwasumbi1646 3 місяці тому +7

    Mm sijakuelewa , SIKU ya Saba ni amri za MUNGU siyoo ndacha , ko kama utaki usabato ni wew

    • @daudimichael7338
      @daudimichael7338 3 місяці тому +1

      Huwezi kuelewa kama hutaki kuelewa

    • @nicodemuswidambe5132
      @nicodemuswidambe5132 3 місяці тому

      Hamna usabato bwana

    • @nicodemuswidambe5132
      @nicodemuswidambe5132 3 місяці тому

      Sahihi kabisa ndo maana hakuna msalaba popote si kaburini wala kanisani kwao. Kristo si sehemu yao.

    • @bravesilubonde4350
      @bravesilubonde4350 3 місяці тому

      Ndugu msalaba ulikuwepo hata kabla ya Yesu unapaswa kutambua hilo , msalaba ni nembo ya kirumi ambayo leo imeendelezwa kwenye kanisa la kirumi yaan RC , japo huweza kutumika pia kihalali kwa kuwakilisha kafara ya kristo

  • @MkJj-m7g
    @MkJj-m7g 2 місяці тому +1

    Dah! Shetani ana mawakala wengi sana, mlio na akili ya kupambanua mambo,amkeni, kumekucha.

  • @sindabahabwoyaanacret660
    @sindabahabwoyaanacret660 3 місяці тому +1

    Kweli vilaza ni wengi katika haya maisha ya kikristo

    • @FridayMwassa
      @FridayMwassa 2 місяці тому

      Na vilaza wengi wanaamini majini ni mazuri

  • @sivan6740
    @sivan6740 24 дні тому

    Wah wewe unahitaji hata maombi ya kujifunga maana umepotea pote pote

  • @deckmayunga6555
    @deckmayunga6555 Місяць тому

    Waraka kwa Waebrania 4:8_9 ni agano jipya,inaitaja sabato

  • @RenatusMakan-x2z
    @RenatusMakan-x2z 3 місяці тому

    Mungu akusamehe askof kwan hata yesu nae aliabud siku ya sabato kama hujui soma biblia vzur

    • @lillianebwire4897
      @lillianebwire4897 3 місяці тому

      Aliponya alifanya kazi kuonyesha Mungu amejitokeza naye ndiye mwenye Sabato, Yesu akiwa nasi hatupo chini ya Sheria Ili kupata ufalme wa mbinguni.

    • @JameM-l1u
      @JameM-l1u 2 місяці тому

      Kama yesu ndiye mwenye sabato kwanini watu wasifuate cha Yesu Sasa?

  • @imefikajioni
    @imefikajioni 12 годин тому

    Little knowledge is dangerous.

  • @JaredOndieki-dy5cr
    @JaredOndieki-dy5cr Місяць тому

    Sabato ni jumamosi

  • @clewis520
    @clewis520 2 місяці тому

    Jumamosi kwa mujibu ya kiswahili ni siku ya kwanza ya wiki ko jumapili ni siku ya pili.

    • @ckmanga48
      @ckmanga48 2 місяці тому

      Jumamosi ni siku ya saba katika juma (wiki) ya siku saba yenye asili ya kiyahudi-kikristo. Iko kati ya siku za Ijumaa na Jumapili.
      Katika kawaida ya utamaduni wa magharibi Jumamosi imekuwa siku ya kuanza wikendi ikiwa ni siku ambako wafanyakazi wengi hupunzika au hufanya kazi nusu siku tu.
      😢Katika Israeli Jumamosi huheshimiwa kama Sabato ya kibiblia. Wikendi ya Israel inaanza siku ya Ijumaa na kuendelea Jumamosi.Jumamosi kuwa siku ya kwanza baada ya Ijumaa, Jumapili kama siku ya pili, Jumatatu kama siku ya tatu n.k.. Tabia hii katika Kiswahili ni ya pekee hasa kwa sababu Kiarabu ambacho ni lugha ya Korani takatifu na lugha ya kimataifa ya Waislamu kinatumia jina la Kiyahudi na kuiita siku ya سبت (sabat) yaani Sabato.
      Lugha nyingi za nchi za Kiislamu zafuata kawaida ya Kiarabu na kuiita vilevile "Sabato" kwa mfano Kiindonesia (Sabtu) au Kiajemi (Farsi) (شنبه - shanbe, kutoka "shabat").
      Katika lugha kadhaa za Ulaya jina la siku hutunza kumbukumbu ya mungu aliyeabudiwa zamani za dini ya Kiroma kama vile Kiholanzi "Zaterdag" au Kiingereza "Saturday" (yote: siku ya Saturnus). Lakini lugha zaidi za Ulaya hutumia pia jina la Sabato kwa namna mbalimbali kwa mfano Kifaransa "samedi" (kutoka Kilatini sambati dies - siku ya Sabato), Kihispania "Sábado", Kirusi Суббота (subbota - Sabato)😢

    • @mwenda8911
      @mwenda8911 22 дні тому

      Wah

  • @RamadhanMgoloz
    @RamadhanMgoloz 2 місяці тому +1

    Hueleweki mtumish fundisha vizuri watu wakuelewe kwaiyo ni siku ipi hasa Kati ya jumamos au jumapili

    • @samwelpaul2439
      @samwelpaul2439 2 місяці тому

      Wewe ndoo huelewi!!
      Siku sio sababu,, siku yoyote mtu anaweza kuabudu, na sio j.mos kuwa siku maarumu kwa ibaada, sabato ilikuwa ni siku ya kupumzika,, na sio maarumu kwa ibada

  • @millereliteendtimeministry6621
    @millereliteendtimeministry6621 27 днів тому

    Kwa hivyo hanma haja kufuata amri kumi,yaani unaweza kuiba ,kuzini etc?

  • @nyanchokarebecca9001
    @nyanchokarebecca9001 2 місяці тому

    Wewe ni mchungaji wa kweli????

  • @MaximilianMatambari
    @MaximilianMatambari 3 місяці тому

    Acha kupotosha watu mungu hajasema ikumbuke jumapili

    • @emmanuelpeter6742
      @emmanuelpeter6742 3 місяці тому +1

      Aliposema wakumbuke sabato alikuwa anawaambia waisrael sio watanzania Soma Kutoka 31:16

  • @sindabahabwoyaanacret660
    @sindabahabwoyaanacret660 3 місяці тому

    Omba Mungu usifie katika hio Imani

    • @FridayMwassa
      @FridayMwassa 2 місяці тому

      Afie kwenye imani gani,acheni kupotosha maandiko, Yesu ndiyo njia ya kweli,bila Yesu hakuna wokovu,dini yako haitakusaidia chochote zaidi ya kuwa mbishi na roho mbaya

    • @sindabahabwoyaanacret660
      @sindabahabwoyaanacret660 2 місяці тому

      Imani ya kumfuata kristo ndio njia pekee ya haki kama bado hujaifuta ifuate kizitii amir kumi za Mungu na sabato yake

    • @mwenda8911
      @mwenda8911 22 дні тому

      ​@@sindabahabwoyaanacret660ukristo ni matendo sio njina

  • @jeanefelix70
    @jeanefelix70 2 місяці тому +1

    Ata mbingu mpya na inchi mpya Sabato itakuwepo kwa maana ni amri ya Mungu ya milele.

  • @alexkilyenyi5763
    @alexkilyenyi5763 3 місяці тому +2

    Hili somo linahitaji utulivu mnoo..... lakini kwa kiasi kikubwa umetumia uelewa binafsi.......

  • @royalpriestsmusic5685
    @royalpriestsmusic5685 3 місяці тому +2

    Sabato ipo kwa mujibu wa biblia na ni siku ambayo Mungu kaitenga kwa ajili yake
    Sabato ni amri kama zile 9 zingine
    Ibada ni kila siku ila ipo siku moja Mungu kaitenga

  • @josephkabaro
    @josephkabaro 3 місяці тому +2

    Karibu Kanisa la Wasabato ujifunze zaidi.

    • @FridayMwassa
      @FridayMwassa 2 місяці тому

      Msema kweli ni biblia siyo wachungaji wako

  • @SALUMKINONGA
    @SALUMKINONGA 2 місяці тому

    Mbona.mnapingana.wenyewe

  • @penuelelhazina7860
    @penuelelhazina7860 2 місяці тому +1

    Umejikaz kuudanganya watu ambao hawasomi maandiko

  • @joelmairo5229
    @joelmairo5229 2 дні тому

    Mtumishi wa Mungu nikusaidie tu soma mafungu haya kwa utuo na tafakari
    Mwanzo 2:2-3
    Kutoka 20:8-11
    Kutoka 31:16-17
    Ezekiel 20:12, 20
    Marko 2:27-28
    Isaya 58: 13-14
    Matendo 17:2 na
    Luka 4:16
    Issue sio siku ya kuabudu kama unavyoelezea sabato ni Amri ya 4 ya Mungu hivyo haijafutwa

  • @stephanobenard7439
    @stephanobenard7439 3 місяці тому

    mzee umechemka uyo mwalimu wako wa Biblia akufundishe upya

  • @stevenwilliam2704
    @stevenwilliam2704 2 місяці тому

    ukitaka kujua ukweli zaidi wa huyu jamaa angalia, mahubiri tv, orion tv, na hope channel tanzania

  • @sullyjoseph1041
    @sullyjoseph1041 2 місяці тому

    Hueleweki wala hujui biblia

  • @NicodemusMutua-pf8kp
    @NicodemusMutua-pf8kp 2 місяці тому

    Wanaitwa adventist maana yake wafuasi wa yesu yaani wakristo. Lakini kutana na msabato ufanye mjadala ndio uthibitishe unachosema juu uko kado sana na maandiko

  • @anandumishoo6840
    @anandumishoo6840 Місяць тому

    Ndugu umeamua kumtumia ndacha Ili upate kiki kwenye mitandao. Tafuta kiki kwa njia zako usitumie nyota au lifti ya ndacha Ili upate wafuasi wengi

  • @DAVIDMAGHANGA
    @DAVIDMAGHANGA 2 місяці тому

    Aminaaaaaa

  • @RenatusMakan-x2z
    @RenatusMakan-x2z 3 місяці тому +1

    Mtumish sabato sio din bali sabato ni siku ya kuabud

    • @DodomaTanzania-r5z
      @DodomaTanzania-r5z 3 місяці тому

      @@RenatusMakan-x2z sabato sio siku ya kuabudu

    • @emmanuelpeter6742
      @emmanuelpeter6742 3 місяці тому

      Maana ya Sabato sio Siku ya kuabudu, ni siku ya kupumzika

    • @DodomaTanzania-r5z
      @DodomaTanzania-r5z 3 місяці тому

      @@emmanuelpeter6742 wanaojiita wasabato huwa nashindwa kuwatofautisha na waislamu wao wameshika mapokeo ya kimwili ya musa na sio mapokeo ya kiroho

  • @EvgLeonidas
    @EvgLeonidas 3 місяці тому

    We Mzee bila shaka unakunywa gongo

  • @magrethmosha4272
    @magrethmosha4272 2 місяці тому

    wanangu wapendwa mbona mnasikia hasira kwenye hilii? mKristo wa kweli huwa hakasiriki bure.

  • @michaellumumba1779
    @michaellumumba1779 Місяць тому

    MUNGU halazimishi mtu kutii amri zake. Anasema mkinipenda mtazishika amri zangu

  • @StellahGirgis
    @StellahGirgis Місяць тому

    Huyu jamaa kilaza kweli kabisa MUNGU aabudu? Na MUNGU anaabudu kwa nani akili matope. Yaani jichanganye tu maana maaandiko hujui

  • @fredrickgitonga1972
    @fredrickgitonga1972 3 місяці тому +2

    Maana ya njina wakristo ni wale wanaomfuata yesu kristo, nao wamejengwa chini ya msingi wa mitime na manabii naye kristo yesu ndiye njiwe kuu, alafu sabbato ni siku ya kufanya ibada, tofauti na siku zingine ambaso Kila mtu ufanyia maombi kwake ama mahali popote, ila Sabbato ni siku ya kufanya ibada pekeake, so wwe mtumishi soma maandiko vyema

    • @JohnNchimbi-i8t
      @JohnNchimbi-i8t 2 місяці тому

      Wapi imeandikwa sabato ni siku ya kufanya ibada?

  • @danielmarwa5122
    @danielmarwa5122 2 місяці тому

    Soma matendo ya mitume 16.13 Paulo alifanya nini huko kwa wamataifa si kwa wayahudi.

  • @DitramMsemwa
    @DitramMsemwa 3 місяці тому +1

    Mchungaji yupo sahihi msabato sio mkiristo dini yao ni yakiyahudi wayahudi wanapumzika jumamosi agano jipya wanalikataa hawa wakwetu wametoka wapi?

  • @jamesimanwel5089
    @jamesimanwel5089 Місяць тому

    😂😂😂 wewe unachekesha kweli Yesu mwenyew ni Bwana wa Sabato.

  • @Majiifande
    @Majiifande 3 місяці тому

    Huyu ana elimu gani??

  • @GideonLenard
    @GideonLenard 3 місяці тому +1

    Umetumwa nini

  • @royalpriestsmusic5685
    @royalpriestsmusic5685 3 місяці тому +1

    Kuipinga sabato huwezi kwa kutumia biblia labda kwa kutumia hadithi na maneno ya kuongeza

  • @georgeachiengrestinpeacebr7215
    @georgeachiengrestinpeacebr7215 3 місяці тому

    Wewe ni mlevi mwanzo,tangu lini Mungu akaondoa amri yake ya nne???

  • @ShedrackRukomba
    @ShedrackRukomba 3 місяці тому

    Waafrika sisi ni matapishi ya wazungu tafteni ela acha kupotosha vizazi hakuna din

  • @tumainjulius2311
    @tumainjulius2311 3 місяці тому

    Bwana na akukemee

    • @daudimichael7338
      @daudimichael7338 3 місяці тому

      Mbona hakuwakemea ninyi kwa kumtuhumu Yesu kuvunja Sabato mkamuua? Si maana yake mlimkataa Yesu, mtakuwaje wakristo Kristo mwenyewe mlimkataa mkamuua?

    • @raymondngajagu66
      @raymondngajagu66 3 місяці тому

      Mimi naona wewe unajifunza kwa walioanguka bada ujifunze kwa walioshinda Marko 2:27-28 kama ww sio binadamu haikuhusu wala bwana wake ambaye ndie Yesu kristo hakuhusu pia​@@daudimichael7338

    • @tumainjulius2311
      @tumainjulius2311 3 місяці тому

      @@daudimichael7338Bwana akusaidie sana umfahamu uachane na Mpinga Kristo(UPAPA) na Sabato yake ya bandia Jumapili.
      @@Imeandikwa mcheni Mungu na kumtukuza kwa maana saa ya hukumu yake imefika msujudieni yeye aliyefanya mbingu na nchi bahari na chemchemi za maji.,,Hebrew 4:9.

  • @DANIELSHAURI-lo8wb
    @DANIELSHAURI-lo8wb 2 місяці тому +1

    Usitumie nguvu zako kufasiri maandiko kama utakavyo wewe hebu angalia Isaya 66:23
    Nakuombea kwa MUNGU afungue macho yako ya kiroho usiwe kiongozi kipofu
    Angalia marko7:7
    Yakobo2:10-11

  • @elishampoki8751
    @elishampoki8751 3 місяці тому +1

    Amina Bishop

  • @AyubuDaniel-d2i
    @AyubuDaniel-d2i 3 місяці тому

    Ukituonyesha sehem iliyoandikwa ikumbuke jumapili na uitakase hapo ndo tutakuelewa lakini unaposhambulia upande mmoja na upande wako hauna hoja za msingi za kutetea imani yako hapo hatutakuelewa.

  • @jamesonyango2653
    @jamesonyango2653 3 місяці тому

    Askofu soma isaha 66_23

  • @josephinemutua6183
    @josephinemutua6183 3 місяці тому

    Prayer Prayer is needed for you, because what you read you don't understand.

  • @Globaladventministries
    @Globaladventministries Місяць тому

    Kumbe Wayahudi ndio watakuwa mbinguni sababu ya kushika sabato? Maana sabato hata mbinguni ipo na itakuwepo..Isaiah 66:22-23

  • @SabinaKibaki
    @SabinaKibaki 2 місяці тому

    Unajitahidi kutuonyesha usivyojielewa ila unajihubiri utaelewa tu

  • @mussamashauri
    @mussamashauri 3 місяці тому

    Endelea kuabudu constan mrumi nyoko ww

  • @ChanceBariziraVital-cv5jx
    @ChanceBariziraVital-cv5jx 3 місяці тому +1

    Inamaana hataaujui hatailojina la ukristo niwananiwalilo litoakwetu,polesana wewe na vipofu wasioelewa maandiko

  • @Globaladventministries
    @Globaladventministries Місяць тому

    Bishop mzima na mambo ya sabato huyajui🤔🤔..
    Unatumia biblia ipi..wakati mwingine uweke linki ushirikishwe maswali..maana 1st Peter 3:15 inaruhusu

  • @ckmanga48
    @ckmanga48 2 місяці тому

    Maana utakuja wakati watakapoyakataa mafundisho yenye uzima; ila kwa kuzifuata nia zao wenyewe watajipatia waalimu makundi makundi, kwa kuwa wana masikio ya utafiti; nao watajiepusha wasisikie yaliyo kweli, na kuzigeukia hadithi za uongo.
    2 Timotheo 4:3-4😮😮😊

  • @DANIELSHAURI-lo8wb
    @DANIELSHAURI-lo8wb 2 місяці тому

    Wapi ilipo amri ya ibada ya juma pili MBN haujaizungumzia?

  • @elishampoki8751
    @elishampoki8751 3 місяці тому +1

    Msabato gani unatukana matusi Huyo pastor anachongea ni kweli kabisa

    • @ernestbensonmwamengo1642
      @ernestbensonmwamengo1642 2 місяці тому

      Muongo ,mkweli Kwa vipofu. Soma isaya 66: 22-23!! Je, UNABII huo umetimia UA BADO? NA JE KATIKA KUTANIKO HILO WATAKUWA WAYAHUDI PEKE YAO?😂😂😂

  • @DeusRamadhan
    @DeusRamadhan 2 місяці тому

    Sabato ni amri na kama ukikataa amri hii ujue ya kuwa wewe ni mpagani haswa

  • @emmanuelpeter6742
    @emmanuelpeter6742 3 місяці тому

    Sabato ni Kwa waisrael na vizazi vyao

    • @barakamwasumbi1646
      @barakamwasumbi1646 3 місяці тому

      @@emmanuelpeter6742 vp nazile amri 9 zilizobaki nazo siyoo zetu ?? Au nisabato tu

    • @emmanuelpeter6742
      @emmanuelpeter6742 3 місяці тому

      Biblia imeandikwa KWA KUFUATA WAKATI ,KILA ANDIKO NA WAKATI WAKE

    • @emmanuelpeter6742
      @emmanuelpeter6742 3 місяці тому

      Amri zilizobaki zinatuhusu

    • @emmanuelpeter6742
      @emmanuelpeter6742 3 місяці тому

      Soma Kutoka 31:16

    • @barakamwasumbi1646
      @barakamwasumbi1646 3 місяці тому

      @@emmanuelpeter6742 kwanini Tisa zituhusu AFU hyoo Moja isituhusuu. ?? Biblia inasema ukikosa Moja umekosa KTK yote