JINSI YA KUSALI SALA YA MAOMBI KUJIBIWA HARAKA (SALAT HAJA)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 6 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 832

  • @salehsultan-7554
    @salehsultan-7554 6 місяців тому +51

    Subhana yaa rabby nakumbuka nataka kuowa tanga ilibaki siku 4 niende tanga kuowa na nilishalipa maali na nilikua daresalaam nilipata mtian sina kitu yaan ilibaki siku 4 nisafili nikaowe nanilikua sina ata nauli yakusafili na wala yakulud na mke ntakae muowa uko lakin Allah aliniamsha usku nikaswali hii swala nikatoka nnje niliangalia mbingu uku nalia namuomba Allah walah wabilah asubui nalud nyumban tuu kunamtu ameniita nikachukue milion moja

    • @user-sh2yh5gn1d
      @user-sh2yh5gn1d 5 місяців тому +1

      Allah akibr rahawura waraquwata ilabi llah radhim hasibun llah wanemar wakir

    • @rukiamashaka7577
      @rukiamashaka7577 5 місяців тому +3

      MashaAllah Allah azidi kukufungulia njia zko upate rizq kwa wingi,,, ameen

    • @Tiffahmkundia-lz3tc
      @Tiffahmkundia-lz3tc 5 місяців тому

      Subhanallah

    • @user-xj1zv5un2o
      @user-xj1zv5un2o 4 місяці тому

      Allah Akbar mungu ni mwema naomba tumcheni kila uchao.

    • @FADHILILUMANI
      @FADHILILUMANI 2 місяці тому

      Rehma na Amani ziwe juu yako Shekhe wangu

  • @user-gm5ub7ip9w
    @user-gm5ub7ip9w Рік тому +105

    Mwenyenzi mungu na akupe mwisho mwema nimejifunza sana maana nimeingia uislam hivi karibuni mungu akutunze na akupe maisha marefu uzidi kutufundisha amina

    • @user-zl5mt6lk4n
      @user-zl5mt6lk4n 11 місяців тому +2

      Mashaa Allah Alhamndulillah Allah akuongoze atuongoze sote uijue zaidi na ushikamane na dini tukufu ya kiislam....akupe ufaham na wepesi wa kusoma na kufanyia kazi na ibada kwa wakati .....Allah akujaalie mwisho mwema

    • @jaliakamote5485
      @jaliakamote5485 10 місяців тому

      Masha allah

    • @FatumaMuya
      @FatumaMuya 9 місяців тому +1

      Amiin

    • @saumnyumbwe4259
      @saumnyumbwe4259 9 місяців тому +1

    • @rukaiyhmagasa2919
      @rukaiyhmagasa2919 6 місяців тому

      Mashaallah

  • @f.w.z2446
    @f.w.z2446 9 місяців тому +57

    Wallah nakumbuka ramadhan ya 29 sikuwa na chochote naiwazia sikukuu sikuwa na pesa wala sina chanzo chakuipata niliamka usiku nikaswali rakaa 2 nikatoka uwani nikainua mikono na kumuomba mungu nikasema ya Allah ww ndo unajua shida zangu zote nakuachia wewe ndio mwenye kutatua matatizo ya waja wako na ww ndo unaejua matatizo ya waja wako Wallah thuma Wallah niliamka asubuhu nikafanya pirika zangu nilivo tulia nikachukua simu nikaingia WhatsApp nikakuta sms mtu ambae sikutegemea kanambia kuna pesa nataka nikutumie nirushie number yako nikajua ile swala mwenyezi mungu kajibu Alhamdulilah

    • @rukiamashaka7577
      @rukiamashaka7577 5 місяців тому

      MashaAllah Allah azidi kukufungulia alhmdulilah

    • @user-ih2rk1zm2l
      @user-ih2rk1zm2l 4 місяці тому

      ❤❤❤❤❤KWAAJILI YAMUNGU shekh wt

    • @user-xi4pd1yw7o
      @user-xi4pd1yw7o 4 місяці тому

      ​@rukiamashaka757 ammina ya rabball allamin

  • @FatnaAlly-hm1xc
    @FatnaAlly-hm1xc Рік тому +23

    Allah atujaalue tuwe ni miongoni mwa wenye kufanya ibada yarabi hakika ibada zq usiku ni 💖 😘 maqubuli

  • @shemmaster7swaleyuun228
    @shemmaster7swaleyuun228 Рік тому +9

    ALLAH SW AKULIPE NEEMA WEWE NA WAZAZI WAKO. AKUEPUSHE NA ADHABU ZA MOTO WAKE MKALI. AAMIN

  • @sheikhismaelramadhankenya8928
    @sheikhismaelramadhankenya8928 Рік тому +19

    Salatul haja na tahajudi ndio imefanikisha maisha yngu yote. Now iam self employed and my workers . Prüfer walking alone but friendly to every one to improve your time

    • @JasmineYasimen-sv3zr
      @JasmineYasimen-sv3zr Рік тому +2

      Nashukur na nakushukur mm huwa naiswali japo ilikua si uswali jinsi ulivyo funza ila nishaiyona matunda yke na nimezid kujifunza kitu ishallwa mungu akuzidishie

    • @sikukuuchuo3093
      @sikukuuchuo3093 Рік тому

      Maasha Allah

    • @khairunhkhalidy8463
      @khairunhkhalidy8463 8 місяців тому

      Mashaalla ❤❤

  • @Kassimhaji-pv3ys
    @Kassimhaji-pv3ys Місяць тому +3

    shekhe othaman bin maiko mashaallah mungu akuongoze zaidi ktk mambo ya kheirati ili uzidi kutufunza kwa ajili ya allah

  • @ashiakibwanaashia4934
    @ashiakibwanaashia4934 Рік тому +29

    Allah akulinde na akupe moyo huohuo kweli unatupenda kwa ajili ya Allah n sisi twakupenda kwa ajili ya Allah

  • @zahramahammad916
    @zahramahammad916 Рік тому +39

    Am a Ugandan but I love your teaching sheikh may Allah grant you jannatul firdaus.

  • @atubae5004
    @atubae5004 10 місяців тому +7

    Alhamdulilah jazakaAllah khairan...umenielekeza vizr nimepata Elimu zaid nilikuwa nikiswali lakn kuna mengin sikuwa nayafaham lla kwa Utukufu wa Allah nimepata kuelewa zaid Allah azidi kukupa rehm nying zaid kwa kutufahamisha swala hizi

  • @user-gg4vb4dv3r
    @user-gg4vb4dv3r Місяць тому +1

    Alhamdulirah shekh mwenyezi mungu akubariki,,,,napenda sana kuswali ila nilikuwa sijui hata dua za kuswalia ila hapa umenipa muongozo ninaimani nitaweza

  • @user-ng6yt2od7l
    @user-ng6yt2od7l Рік тому +15

    Jamani mpaka raha Mungu akupe kheri inshallah 🤲 mimi hili fundisho linaniusu kweli

  • @user-fj7hz8pm6m
    @user-fj7hz8pm6m 8 місяців тому +6

    Mashllah hakika mwezimungu hakujaalie her na baraka tele na hakupe maisha maref Kwa Dua Yako inshallah

  • @omanomqn4345
    @omanomqn4345 Рік тому +17

    Shekhe wetu Allah azidi kukuongoza wewe na Familia yako nasie tunaikufatilia ktk Mitandao,, kwa kweli tunafaidika na mengi Sana,,, na Allah akulipe UJIRA usio kwisha na peponi uingie kwa barka za mtume muhammad SWALALLAHU ALAYHI WASSALAM.

    • @uwesomasawanga241
      @uwesomasawanga241 Рік тому +1

      Kwanza nianze kwa kutoa shukrani nyingi kwako mwenyezi mungu haendelee kukupa afya njema ili huendelee kutufunza Yale tusiyoyajua lakini pia kutukumbusha kwa Yale ambayo tumejisahau Kama binadamu, samahani naomba muongozo hapo ikitokea mtu anajua baadhi ya Surat ikiwemo Surat Al fatihah lakin akawa ajui zile Surat zingine ulizozisoma je Kuna uwezekano wa kuweza kuswali hiyo Ibada?

    • @othmanmichaelonline2866
      @othmanmichaelonline2866  10 місяців тому +2

      Ndio

    • @ZaharaOmar-zp7jb
      @ZaharaOmar-zp7jb 5 місяців тому

      @@othmanmichaelonline2866 Masha Allah

    • @fadyakhalfan8767
      @fadyakhalfan8767 5 місяців тому

      Assalam alykum ostadh…vp km una udhuru n ramadhan hii n untmn kuomb sala ya tahajud…je kun mbadala wake kufny ibd hy ht km huna udhu

    • @fadyakhalfan8767
      @fadyakhalfan8767 5 місяців тому

      @@othmanmichaelonline2866 assalam alaykum…hv kuna mbadala wa kusali swla ya tahajud ht km hun udhu n untmn kufny maombi ucku huu wa ramadhani

  • @RayaSalim-ts6pz
    @RayaSalim-ts6pz 11 місяців тому +7

    Masha Allah jazaakallah lkhayr. Allah akulipe kher nyingi. Na akuzidishie elimu n pia iwe ni yenye manufaa makubwa. Allah atujaalie kuwa ni wenye kuyazingatia hayo na kuyafanyia kazi.

  • @hidayahamiduhidaya2529
    @hidayahamiduhidaya2529 Рік тому +10

    Allah akujaalie heri na malipo makubwa kwa mafundisho ya swala ya haja sheikh

  • @sadisaidi6961
    @sadisaidi6961 Рік тому +5

    Asalam alaykm ,shukran shehe wetu darsa ni nzuri sana Allah akupe kila lenye her na baraka afya siha na uzma uzidi kutuelimisha tunaelimika kupitia vipindi vyako naomba utupe na darsa ya sala nyengine km sala ya dhuha na nyengine pamoja na kuooga majosho yetu Allah akupe umri twawili kwenye her

  • @milonmilestz4312
    @milonmilestz4312 Рік тому +4

    Huna choyo shekh.mungu atakulipa inshallah. endelea kufundika wengi hatukujua.mngekuwa 50 mashekhe kama wewe tungekuwa mbali..

    • @MariamuIrunde
      @MariamuIrunde 3 місяці тому

      Kweli kabisa tungekua mbali sana maan wengine wanaojua jaman kazi ipo utadhan walizaliwa wanafaham

  • @asiamohd5516
    @asiamohd5516 Рік тому +11

    Alhamdullillah, mashaallah jazakallah kheri, Allah akusimamie shekh wetu kwa kla hatua.

  • @alimatambwe3402
    @alimatambwe3402 Рік тому +21

    MashaAllah Jazakhallahu kheiri Sheikh,umenifunza kitu bora maishani mwangu Allah akulipe kila la kheiri InshaAllah😢😢😢

  • @FatooomaFatoma
    @FatooomaFatoma 4 місяці тому +2

    Mashaa Allah Allah akuepushe shaar za shetwani akupe mwisho mwema nimejifuza Allahmdullih

  • @carlitacelestino5548
    @carlitacelestino5548 Рік тому +9

    Nimejifunza kwako sala ya mtume muhammad, inshaa nitajibiwa hivi karibuni inshaa

  • @BathulBathul-ep1iu
    @BathulBathul-ep1iu Рік тому +7

    MashaAllah tabarakallah Allah akupe kheri pamoja na family Yako,,,,,, Allah akupe mema InshaAllah Biithnillah 🤲

  • @user-zz6fg7mx6f
    @user-zz6fg7mx6f 5 місяців тому +2

    MashaAllah jazakhallahu mwenyezi mungu akuzidishie uelewa wa qar-an ili upate kutufundisha inshallah 🤲

  • @hassanalihassan5073
    @hassanalihassan5073 Рік тому +15

    Masha Allah sheikh Othman tumepata Elimu kubwa leo shukran sheikh.

    • @ceeceena8385
      @ceeceena8385 6 місяців тому

      sukuran sheh mm ilikua sijui asant sana

  • @user-rb4df4mp1l
    @user-rb4df4mp1l 7 місяців тому +5

    Allah akuzidishie kheri japo Bado cjaswali lakini hakika Imani yangu ni thabit juu ya mola unayemwamini wewe na mimi Aamin 🙏🙏🙏

  • @tumajunior6080
    @tumajunior6080 Рік тому +8

    Ma sha Allah Allah akuzidishie darja kakangu na imani ya juu cz elmu aliokupa nafaidika wengi allahumma ameen 🤲🤲🤲yarabby elmu nilio ipata kwa shekh Othman Michael iwe ufunguo wa shida zangu☝💪🙏

  • @shamsahaji6202
    @shamsahaji6202 Рік тому +9

    Mashaallah Allah akubarikie ww na sisi jazakallahu khayr

  • @mariamramadhan4296
    @mariamramadhan4296 Рік тому +6

    Mashallah allah 🙏 shekhe wetu allah akuzidishie kipaji taufiq akuondolee husda mitihan

  • @abdulhafidhali5614
    @abdulhafidhali5614 12 днів тому

    Mwenyezi mungu akuhifadh sheikh wetu uzid kutupa elmu

  • @abdulhakhashim764
    @abdulhakhashim764 5 місяців тому +2

    Ameen Ameen 😭 maisha yetu ya binaadam ni muda mfupi xanaaaa duniani...... Allah atuwekee wepesi
    ...daima Atupe rizki ya Alali , na sio. Pesa ya ushilikina 😭🤲🙏tumtegemee ALLAH , Kila. Kitu....yeye ..ndio...alituumba na yeye ndio. Akituitaji kwake tutalejea.

  • @bikhasalum374
    @bikhasalum374 Рік тому +11

    Inshallah mungu atufanyie wepes amiiin

  • @muniramohamed8887
    @muniramohamed8887 Рік тому +7

    Mashall-Allah Allah akuzidishie elim yenye manufaa uzidi kutuelimisha akujalie umri mrefu wa afya amin

    • @srj36119
      @srj36119 Рік тому +1

      Walahi nimelia ustadhi mwenyez mungu akujalie kwahii elimu ulio tupatia tunazalilika kwenye kzi za watu yani mpaka najiulizaga wegine wanapata ss tunakosa kwa nn kumbe tunakosea wenyewe kuongea na mungu wetu

    • @akimanaa6759
      @akimanaa6759 20 днів тому

      Allahima amin

  • @kheneyrajababdalla3334
    @kheneyrajababdalla3334 Рік тому +5

    Mashaallah mungu akulipe ujira ulio mwema shekh wetu biidhn laaah taalah

    • @mohdjuma8863
      @mohdjuma8863 Рік тому

      Mashaaallah shehe napenda Sana mawaidha yako na nasaha zako mungu akulipe ujira mwema inshaallah

  • @alijuma8724
    @alijuma8724 Рік тому +14

    MashaAllah, Allah akuzidishie umri na akuzidishie barka na azidi kukuongoza

  • @rehemamkakile5028
    @rehemamkakile5028 6 місяців тому +4

    Mungu tujaalie tuwe watu wa kufanya ibada na kukumbuka wewe ndiye kila kitu hapa duniani na akhela

  • @ashalaurent2465
    @ashalaurent2465 Рік тому +53

    Shkh letu we kweli unania njema na watu walahi nakupendea kwaajili ya Allah mwenyezi Mungu atuhifadhi pamoja nawe tupate mwisho mwema inshaallah

  • @shamilahashim9544
    @shamilahashim9544 Рік тому +7

    Alhamdulillah sheikh wetu

  • @fatmazahor357
    @fatmazahor357 Рік тому +3

    Mashaallah Tabarraka Allah Allah akuzidishie kila la khery sheikh na atujalie mwisho mwema waislam wote

  • @hawachrispine6776
    @hawachrispine6776 4 місяці тому +1

    Allah akupe maisha marefu yenye manufaa ili tuendelee kunufainisha na elimu yako mwalimu wetu

  • @seinabelimi2296
    @seinabelimi2296 Рік тому +7

    mashaa Allah shukran sana sheikh wangu Allah akulipe ujira mkubwa ndani yke Ammyn🤲🤲

  • @mwajumaally4040
    @mwajumaally4040 Рік тому +7

    Mungu akutunze kwa ajili yetu uzidi kutupa elimu, akujaalie afya na umri sheikh🤲amiin thumma amiin yaarabi

    • @roseoman7543
      @roseoman7543 Рік тому

      hakika leo nimepata fuzo kumbwa sana Asante sanaa Shehe 😢😢 Allah akulipe kila lenye heeri na wewe 🙏🙏😢😢😢

  • @ummiissaabdulissaabdul8117
    @ummiissaabdulissaabdul8117 Рік тому +7

    manshàallah manshaallah mungu atujalie kher yarab

  • @zafaranmrisho8788
    @zafaranmrisho8788 Рік тому +12

    Jazakallah kheir shekh wangu, nakupenda kwa ajili ya ALLAH , na ALLAH azidi kukuinua duniani na akuinue Zaid akhera

  • @salmatuleteesehem71jmnmahm59
    @salmatuleteesehem71jmnmahm59 Рік тому +4

    JazzakhaAllahu Shkhe Allah akuzidishie akupe umri mrefu uzidi kutufunza In Sha Allah

    • @azamalujina4526
      @azamalujina4526 Рік тому

      Maasha Allah! Hakika tunafaidika sheikh Othman, Allah akujaze kheir

    • @ZainabuNshimirimana
      @ZainabuNshimirimana Рік тому

      Asante sana shehe mungu akubariki kwa kutufunza Yale ambayo atuyajuwi mungu akupe kila laheri allahuma amiin

  • @salimsebo7939
    @salimsebo7939 Рік тому +4

    Masha Allah nduguzangu katika Imani mungu hakutuumba tuwe mafukara lahasha tutakua mafukara kwakupenda wenyewe mungu amlipe kheri fiddunia Wal akhera napepo ikawe maisha yako ya milele amin

  • @mrsahmadhajraah1550
    @mrsahmadhajraah1550 10 місяців тому +1

    HAKIKA ALLAH ANAKUMIMINIA KHERI KILA WAKAT KW KUTUFUNDISHA HI SWALA YA HAJA AMBAYO MTUME ALIISWALI SANA HAKIKA IMENIFAA ALHAMDULILLAH MUNGU AKUZIDISHIE ELIMU SHEKH NIMEKUPENDA KWA AJILI YA ALLAH KWA MAAN KUNA HADITHI INASEMA QAIRIKUM MANTAGHAL WL QUR'AN WAGHALAMAHU (NI MBORA ALIYEISOMA QUR'AN NA AKAIFUNDISHA)KAMA NIMEKOSEA HERUF KATK HI HADITHI MTANIREKEBISHA , SHUKRAN ALLAH KUMPA ELIMU HUYU SHEKHE🤲

  • @mariamjulius2042
    @mariamjulius2042 Рік тому +5

    Ahsante shkh kwamafundisho manzuri allaah akuzidishie

  • @ummyratymalkher2715
    @ummyratymalkher2715 Рік тому +239

    Mm sikuwa napesa wala kazi nilifanya hii ibada nikamwambia allah sinakaziwalachanzo cha kupatia pesa ila yeye nimwenyekutoa anipe pesa, nikamwambia mama namuomba mung yeye atanipa pesa, keshoyake saa saba nikapikea ujumbe kutoka bank nimepikea pesa ktk shirika ambalo tulimalizanalo mkatab sikunying sana 😭😭😭😭😭😭nilijua wote tumetumiwa ila iliku nipekeyngu niliiyona miyjiza ya allah mama pia alishangaa sana allah akbaru, sikutumia atanguvu kuomba

  • @sharifamohammed4503
    @sharifamohammed4503 Рік тому +3

    Mashaallah mashaallah,,Allah akuweke shekh Othman,,hakika nimekuelewa vyema mashaallah shukran jazila Allah akuzidishie zaid

  • @muhinanjowa7229
    @muhinanjowa7229 Рік тому +11

    Man Sha Allah, Jazakka Allahu kher 🙏alhamdhulillahi

  • @jenniferomar786
    @jenniferomar786 Рік тому +7

    Shekhe Ma'Shaa'Allah lakuwatailla billah alhamdulillah 🤲 jazakahlaulkhairaan .... 🤝 Ameen yaraab 😊

  • @saumodzumbo9671
    @saumodzumbo9671 Рік тому +2

    Mashaallaah mashaallaah shekhe wetu Allah akuzidishie kila la heri wewe pamoja na familia yako
    Shukran sana shekhe wetu kwa darsa lako wengine hatujajua vizuri lakini wewe watuelimisha

  • @zuenawhite4777
    @zuenawhite4777 Рік тому +5

    MashaAllah shukran jazillah sheikh wetu Allah akupe umri uzidi kufaidisha umma...

    • @ZaituniLoya-sk8ic
      @ZaituniLoya-sk8ic Рік тому

      Waleykumsalaam warahmmatullah taala wabarakatuh,maanshaallah jazakallah khaira

  • @halimamohamed4842
    @halimamohamed4842 Рік тому +8

    Maa Shaa Allah Shukrn sana Shekh wetu Allah akulip kheri tumejifunza mengi sana nakupenda sana kwa ajili ya Allah🇰🇪🇰🇪❣️

  • @rajabujuma9030
    @rajabujuma9030 Рік тому +5

    Mashaallah,Allahu (SW) akubariki we kwayo,nasi tunufaike nayo maishani mwetu Inshaallah. by mwl,jhr.Mkoba wa Tununguo Ngerengere Morogogro.

  • @habibaramadhani-xv2ed
    @habibaramadhani-xv2ed 9 місяців тому +3

    Alhamndulillah Alhamndulillah Alhamndulillah, Umefundisha Habari Njema.Tukitekeleza ina kheri Sana.Namuomba ALLAH Akujalie kutueezesha zaidi.

  • @hidayaalute610
    @hidayaalute610 Рік тому +6

    Mashallah shekhe,m.mungu azidi kukujalia uzidi kutupa elimi zaidi,nakupenda kwa ajili ya Allah

  • @sifajacky7779
    @sifajacky7779 Рік тому +7

    Shukran sana kipenzi cha Allah. Mwenyezi Mungu Mtukufu Subhanah Wataala akulinde na akulipe heir hapa duniani na kesho aheirah Inshaalllah 🤲🏻

  • @sharifaabdala1565
    @sharifaabdala1565 Рік тому +12

    Asalam alaykum warahamatullah wabarakatu alhamdulilah shekhe wetu mungu akupe nuru akupe uwezo' ziada uzidi kutufundisha dini yetu Ya kiislam'

  • @zaitunikipingu8952
    @zaitunikipingu8952 Рік тому +5

    Mashaa allah shekh wetu. Mwenyezi mungu akujalie uzidi kutuelimisha

  • @NamiHamis-pj8tf
    @NamiHamis-pj8tf Рік тому +2

    Salaam Aleikum sheikh, Mashallah mawaidha yako ya kumswalia Mtume Wetu Muhammad. Nitawanza kujifunza. Allah barki

  • @user-uz3bd9xv9b
    @user-uz3bd9xv9b 6 місяців тому +1

    Maashallah tabaarakallah jazakallahu khair..Allah akujaalie kila la kheri shekhe letu..kwa hakika tunapata faida nyingi mno❤❤

  • @aminathaabubakarmasoud565
    @aminathaabubakarmasoud565 Рік тому +9

    MashaAllah, shukran sheikh 🙏🙏

  • @abdulhafidhali5614
    @abdulhafidhali5614 12 днів тому

    Twafaidika sana kutokana na masheikh wetu

  • @AliMuhammad-um1uy
    @AliMuhammad-um1uy Рік тому +7

    Mashallah allah 🙏

  • @claudiabakisa8052
    @claudiabakisa8052 Рік тому +5

    Shukran

  • @user-ng6yt2od7l
    @user-ng6yt2od7l Рік тому +5

    Nakupenda kwaaji ya Allah be blessed

  • @abdulhida8291
    @abdulhida8291 Рік тому +4

    Masha Allah shekhe, Jazzaka Allah kheri.

  • @mariamomary1343
    @mariamomary1343 2 місяці тому

    Mashallah nmejifunza mengi sana Sheikh Mungu akuzidishie umri huzidi kutuelimisha

  • @halimarajabu2997
    @halimarajabu2997 Рік тому +3

    Asnt kwa kutuelimisha shekh wetu Allah akulipe na atuhfadh na atujaalie mwisho mwema ishaallah

  • @lovedloveboy
    @lovedloveboy Рік тому +2

    Maashaallah Allah akulinde na mahaasid na Allah akupe kheri juu hii kheri unayotujuza amiin

  • @sidrasidra8616
    @sidrasidra8616 Рік тому +4

    Masha'Allah Ahsant sheikh. Ila sheikh ukisujudu usi tanuwe sana mikona kama msaraba

  • @kizamaulidi6004
    @kizamaulidi6004 Рік тому +3

    Mashaallah shukran sana allah akuzidishie elm shekh wetu

  • @user-hw1vd8qk1q
    @user-hw1vd8qk1q 7 місяців тому

    Mashaallah sheikh othman Allah atuongoze waja wake tuweze kuzitimiza ibada zetu ipasavyo na tusimame usiku tumuombe Allah shida zetu tusizalilike kuomba majiani Allah atupe mwisho mwema.

  • @animamichael3968
    @animamichael3968 Рік тому +4

    mashaallah shukran

  • @ziadamashallahissa8549
    @ziadamashallahissa8549 Рік тому +4

    Mashallaah shukurani Sana mwalim wetu

  • @chakumabdallah9939
    @chakumabdallah9939 6 місяців тому +11

    Kupitia wewe sheikh napenda kufanya ibada sasaivi ijumaa hainipiti na kila alhamis namuomba mungu nasali raka 2 usiku inshaaallah taratibu ntasari sala 5 inshaaallah

  • @nellydoor4930
    @nellydoor4930 Рік тому +2

    Jazakallahu kheri allah akuzidishie imann sheikh othman

  • @osamashakeeb7194
    @osamashakeeb7194 Рік тому +5

    Shukraan sheikh wangu

  • @swabraabdallah2593
    @swabraabdallah2593 Рік тому +5

    Masha Allah

  • @MwaineSeleman
    @MwaineSeleman 5 днів тому

    Allh Akbar Mung akupe Humli mlfu Amina

  • @masikasalim3049
    @masikasalim3049 Рік тому +7

    Mngu atufungulie mlango ya pepo🤲🤲

  • @user-mc3je3tc8l
    @user-mc3je3tc8l Рік тому +1

    SHUKRN SHEIKH OTHMAN MICHAEL ALLAHUMMA AMEEEN

  • @MashaMpulu-vq2fj
    @MashaMpulu-vq2fj Рік тому +3

    Nashukulu Sana nilikuwa nashida san ila niliomba asubui nilifanikiwa 😭😭😭 sasa shida zangu zote namlilia wewe wewe m/ mungu ndoanajuwa atanitatulia kwa njia gan

  • @aishahaji9970
    @aishahaji9970 Рік тому +2

    MashaAllah Asante shekhe Othman Kwa elimu kubwa kwang Allah akulipe for every things

  • @user-dg9sp5je1v
    @user-dg9sp5je1v Рік тому +1

    Wajaa-al haqqu, ujumbe umetufika waislamu shime kuw karib na Allah jalla waàla. Allah akup taufiq na hikma katika mafundisho yko, na akulip yakheri katka Dunia na akherah

  • @ramazanijanati3381
    @ramazanijanati3381 Рік тому +3

    Shukran shekh Allah atulipe kila la kheri.

  • @user-or1xi2jp5f
    @user-or1xi2jp5f Рік тому +2

    Maashallah.allaah akuhifadhi nakupenda kwaajili ya allaah nitakutafuta shekh angalau niongee na ww inshaallah.

  • @Jabirkamugisha
    @Jabirkamugisha Місяць тому

    Alhamdulillah nilikua sijui allah akujalie sheikh

  • @user-yr3mn6nn7l
    @user-yr3mn6nn7l 6 місяців тому

    Asante saana shekhe wngu kwa elimu hii nilikua natafuta ufumbuzi in sha Allah nitalifanyia kazi Allah akupe umri marefu

  • @fatumahamadi1379
    @fatumahamadi1379 Рік тому +3

    Shukran Shekhe kw Somo zur ALLAH akujaalie mwisho mwema

  • @frdosr5794
    @frdosr5794 Рік тому +2

    Mashallah tabarakalah!jazzak Allahu kheri ya shekhe,mafunzo mema walahi.

  • @eshawairimu381
    @eshawairimu381 Рік тому +3

    Shukran sana malimu kwa funzo zuri maa sha llah 🙏

  • @abdallasaumu8502
    @abdallasaumu8502 11 місяців тому +1

    Mashallah tabarak Allah shukran jazzilah

  • @rashidshamte-gj9tj
    @rashidshamte-gj9tj Рік тому +2

    Allh atakulipa kwa muongozo wako kwa kutupa maarifa mazuri na swala ya maombi

  • @nurunassir4624
    @nurunassir4624 Рік тому +3

    Shukran Sheikh . Jazak Llah kheir

  • @NasraIbrahim-dw1hr
    @NasraIbrahim-dw1hr Рік тому +1

    Sheikh nashukul kwa maelekezo ya swala ALLAH akupe afya njema na akuzidishie her

  • @ShuwekhaOmaryMussa
    @ShuwekhaOmaryMussa 2 місяці тому

    Shukran sheikh wangu allah akupe umri mrefu uzidi kutuelimisha nmejifunza sana kupitia ww na umenfamya niwe najikurubisha sana kwa mwnenzimungu na kufanya ibada zangu nimezidi sana nashkuru sana na mambo yangu mengi yameanza kufunguka moja badala moja

  • @NeemaAkbar-is2tb
    @NeemaAkbar-is2tb Рік тому +1

    Shukurani shh wetu , Allah akufanyie wepesi ,hakika nimekuelewa kwamakini