BAHARIA BALOZI:NILIAGA KIAINA MTAANI/ NINGETOSWA BAHARINI/SOKA LIKANIOKOA/KOMBE LA DUNIA!/BASTOLA.14
Вставка
- Опубліковано 8 лют 2025
- --
Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali.
JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786
⚫️ Email: dar24newsroom@gmail.com
⚫️ Website: www.dar24.com
⚫️ Instagram: @Dar24news
⚫️ Facebook: @dar24
⚫️ Twitter: @Dar24News
#baharia #safari #dupamdupange
kipindi hiki kinaruka kila siku ya jumamosi na jumatano saa nne kamili asubuhi, kama una simulizi/mkasa wasiliana nasi kupitia namba #0653127761
Hii story ya Abrahman Jumanne aka Brigedia/Mwana kondoo ipo wap?
Kipindi kizuri sana napenda sana story yake pia nimejifunza mengi kutoka kwa Baharia balozi lakini sauti ipo chini sana mjitahidi kidogo kuongeza sauti big up Balozi
South Africa people is giv you big up bahalia ww jembe sana
Nakubali shoo nakubali shooo
Nimeipenda hiyo Selfcontrol ❤
Dar 24 ikiwapendeza mchukueni huyu jamaa balozi mpeni segment wawe na dupa wawatafute mabaharia wawe wanawahoji
kabisa wazo zuri sana
Anajielezea Vzr tu Yaaani Unatamani Usikilize Story Kwakweli
Wazo zuri
Big up sana mkongwe maisha safalindefu
Nic story
Hii irudiwe🎉
Final episode hii, pamoja sana
Aisee hiyo mbanga ya kwenye teaser nayo itakuwa balaa
Hii ya jambazi tunaisubiri sana
Kabinyau nakubali masta npo leo Acha nmsikilize mshua wa ikwiriri kwa manjengu😂
Tuwekee number ya balozi ndugu mtangazaji
Kwel hiyiii story ww utaishii sana kama ulishii mzansi ukachola 26 wengi kama ww hawawezi ishii 10 years ndio mana unatunia unachola vijana wanae jifanya mitamboo
Huyu namjua kabisa Muongo
Nenda na wewe ktk kipindi uongee ukweli
Umemfahamu vip angalau utuambie kidogo nini amedanganya hapo utusanue
@@shadiidinyo1657 huyu Wala hasumbui ni nuongo ngoja nikuonyeshe kwenye video mem alafu nakutumia utaona
umesahau kumuliza still bado ana mawasiliano na arafa...
Mawani kidogo hata vua kidogo tuzione mboni
Hii ya ujambazi lini itayoka!😂
🔥🔥🔥🤣🤣🤣🤣🤣
HINAWEZEKANA UKAKAMATWA NA NAMBA BILA KUFANYA TUKIO UKAFUNGWA????🇹🇿🇬🇷
Nipeni number jaman
32
Kabinyau sijachoka kumskiza
Yaani mi pia yaani sichoki