PART20:TAJIRI ALIEPEWA SHARTI LA KUTOJISAIDIA KWENYE CHOO CHA NYUMBA ALIYOJENGA YEYE KWA PESA YAKE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 9 лют 2025

КОМЕНТАРІ • 121

  • @twaibumikidadi7377
    @twaibumikidadi7377 Рік тому +6

    Huyu binti n yule jinü mahaba yule wa mzee Hasan wa pemba hajatoka badoooo❤❤😂😂
    Nan kagundua

  • @stanastana3199
    @stanastana3199 Рік тому +5

    Kaka ni msafi sana,toka akiwa dereva lazima aoge,,sahii tuko episode 20 bado hasahau kuoga,umetisha sana kamanda

  • @saeedahhenry711
    @saeedahhenry711 Рік тому +25

    Kumbe mnakula raha duniani mwisho wa siku mnakwenda kulipa pesa mlizozitumia duniani 😢kuzimu mungu tusaidieee na vizazi vyetu visiingie na tamaa hizi🤲

    • @kalssambaboo9932
      @kalssambaboo9932 Рік тому +6

      Wanakula raha raha gani sasa mana hawalali kwaraha mchana wao hawana raha usiku hawana rahana tabasam lao wakikutana nawatu lakini wakikaa pekeao wanamawazo mengi sana hawa bora hata anae pata shiringi 1000 kwa siku anapata usinginzi mnono kuliko hawa

    • @heavenmakundi7480
      @heavenmakundi7480 Рік тому +1

      Sanaa,msikilize wamayo

    • @mildredakinyi9855
      @mildredakinyi9855 Рік тому

      Waaaaa

    • @JaneDoe-hf3zy
      @JaneDoe-hf3zy Рік тому

      Exactly

    • @honestema
      @honestema Рік тому +1

      Hakuna Cha bure mpaka kuzimu

  • @shijandobehe4953
    @shijandobehe4953 Рік тому +6

    asante Sana kaka kwa kazi kubwa hakika mungu akubariki sana nimejifunza mengi kutoka kwako

  • @peterpendaeli3989
    @peterpendaeli3989 Рік тому +3

    Mungu tusaidiye wanao

  • @ManaseJubilate-kk2gz
    @ManaseJubilate-kk2gz Рік тому +3

    KWA HAKIKA HAKUNA RAFIKI KAMA YESU

  • @mildredakinyi9855
    @mildredakinyi9855 Рік тому +4

    Nimafunzo mengi sana kupitia simlizi hii. Mungu atusaidie ila nikwa sisi kutubu dhambi zetu

  • @abubakariali9848
    @abubakariali9848 Рік тому +3

    Hii sasa inaelekea kuwa ISIDINGO 😢 au Chakori 😂😂😂

  • @rayahamisi118
    @rayahamisi118 Рік тому +6

    Wale wanaochaguwa wanaume wenge pesa na amtaki kutafuta zenu ndio ivyo

  • @florencerose859
    @florencerose859 Рік тому +2

    Ukaribu yako na jini ni karibu sana kuliko ukaribu yako na mungu?? Umaskini sio kilema Bora amani mungu mbele

  • @catherineangaufoo2530
    @catherineangaufoo2530 Рік тому +2

    Waaah! Dunia ina mambo.. duuuh. Kweli usitamani mali ya mtu kwani hujui kaipataje

  • @rerisamba
    @rerisamba Рік тому +4

    Nakwambia kwa familia pasije pakaingiwa na mtu wa tamaa za pesa mbona atawaangamiza nyote

  • @AnthonyVitalis-r3s
    @AnthonyVitalis-r3s Рік тому +7

    Sasa kwanini usikate mkono wako mwenyewe kwani Baba yako alikutuma😢

  • @cocotz1892
    @cocotz1892 Рік тому +2

    Huyu kaka ni msafi pia anapenda kuoga sana 😂😂

  • @ludovicaemily5533
    @ludovicaemily5533 Рік тому +6

    Tuko na wewe mpka umkate dingii mkono 😂

  • @mariamnuru9939
    @mariamnuru9939 Рік тому +2

    Jamaa mjinga WA kuelewa na kichwa chake kigumu Sana...alitaka utajiri kashapata kafara hatki kutoa umaskini nao Hautaki ......sasa tukufanyeje am tired wallah watkaje mwanadamu🤦🤦

  • @lasandrasandra7453
    @lasandrasandra7453 Рік тому

    Mungu wangu tushukuru vidogo tulivyo navyo iyi inanifanya niwaokope matajiri

  • @honestema
    @honestema Рік тому +2

    Kweli hamna Cha bure chini ya jua

  • @amina-st4ol
    @amina-st4ol Рік тому +2

    Watatu leo❤❤❤

  • @nassibu-hy5ny
    @nassibu-hy5ny Рік тому +2

    Jaman pesa hizi ndugu zangu emu tujaribuni kuridhika na hali zetu tulivyo navyo

  • @yvettekyalika907
    @yvettekyalika907 Рік тому +1

    😢😢tukule nyama ya shemeki ??ni kama duniani akuna chakula ?kimbiliyo ni YESU tuuu !

  • @danrevelian
    @danrevelian Рік тому +1

    Hii Simulizi ni ya Wamayo Season two😅

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything Рік тому +1

    👊✌🙏.

  • @kalssambaboo9932
    @kalssambaboo9932 Рік тому +5

    Ila unamoyo wee mkaka unapiga stry najini akati me nikiona hata ile misanam yadukani nahisi kufa

    • @shijandobehe4953
      @shijandobehe4953 Рік тому

      😂😂😂 chezea pesa wewe unasema kupiga nae story tu wengine wanaoa kabsa

    • @kalssambaboo9932
      @kalssambaboo9932 Рік тому

      @@shijandobehe4953 sianakuja kwa njia yakibinadam ivi unazani akija kimaumbile yake wee utajikuta ushaa zimia mimavi mkojo vyote kwapamoja vishaa changanika

    • @kalssambaboo9932
      @kalssambaboo9932 Рік тому

      @@shijandobehe4953 yani ndg me ile misanamu yadukani naiogopa balaa hapa jana tumekwenda dukani nilikua sijaliona kumbe limezibwa nanguo yani nageuka hivi naona kama mtu anapepesa macho weee duka zima walishangaa mikelele niloitoa nipo chini natetemeka balaa hadi nilokwenda nae hanitaki tena

    • @shijandobehe4953
      @shijandobehe4953 Рік тому

      @@kalssambaboo9932 😂😂😂😂😂 pole Sana jaman ukazani ndio majini eeee

    • @kalssambaboo9932
      @kalssambaboo9932 Рік тому

      @@shijandobehe4953 😅😅😅😅ndg wee usione misanam yote iliopo madukani ukajua nimisanam mengine majini nahiyo yajana sio mara ya kwanza jana kama mara ya 3 napiga kelele hasa sijui natatizo gani sijui ninae kichwan

  • @MuniraAhmed-c5c
    @MuniraAhmed-c5c Рік тому

    Mama wa mikono mitatu,Yani apo tu mm ndo pananitosha,uyo mm amekua kama kituo Kila sentesi yupo😂😂

  • @andrewbigambo6721
    @andrewbigambo6721 Рік тому +3

    Matajiri wa mchongo.

  • @hildaernest1090
    @hildaernest1090 Рік тому +1

    Namba mbili😂😂😂

  • @johnmoghu5010
    @johnmoghu5010 Рік тому

    Huyu jamaa ana tamaa kweli

  • @AvylilGs
    @AvylilGs Рік тому

    Mzee wa Kuoga 😂😂😂

  • @leaherasto929
    @leaherasto929 Рік тому

    Ila jamaa anaujasir sana kaish n majn had kayazoea

  • @Irenes_Kitchen
    @Irenes_Kitchen Рік тому +1

    Huyu kijana ako na tamaa mludie Mungu 😢

  • @mapendomabogamo6123
    @mapendomabogamo6123 Рік тому +1

    acha tamaa wende kwa Yesa utapona na utapata kila kitu

  • @bakari-si1pw
    @bakari-si1pw Рік тому +2

    Pesa zinamtesa sana akuna amani ndani

  • @robsonsadiki
    @robsonsadiki Рік тому

    Tamaaa mbaya sana

  • @mildredakinyi9855
    @mildredakinyi9855 Рік тому +1

    Funzo ni kuridhika na unacho

  • @FocusM717
    @FocusM717 Рік тому

    Huyu mdada ni kama jini Taitas

  • @MashalaNjilinge
    @MashalaNjilinge Рік тому +1

    Mmmh hizi hela za majini ni hatari sana😢😢

  • @rahiyayousaf3093
    @rahiyayousaf3093 Рік тому +1

    Wapilii😂😂

  • @womanofsteel1402
    @womanofsteel1402 Рік тому +2

    Nataman kujua uliponaponaje na hiyo jeuri uliokuwa nayo mpaka leo uko Hapa unasimulia mkasa

    • @jeannettehabonimana5256
      @jeannettehabonimana5256 Рік тому

      Mambo yanakuwa mabaya kweli eti watajili wamekula nyama ya shemeji munguwe tuepushe na tamaaa ya pesa😭😭😭

  • @maryfranknamkumba9182
    @maryfranknamkumba9182 Рік тому +1

    We Kaka Mbona unatuumiza
    Yaani mkeo ameenda kweli?
    Na bado unasafirisha you’re mum ili umshugulikie baba ako 😭😭?

    • @saeedahhenry711
      @saeedahhenry711 Рік тому

      Waaaaaiii uyu kaka anamoyo mgumu sana ghaiiiiiii

  • @ochualfa5145
    @ochualfa5145 Рік тому +1

    Wadada mnaotaka kuolewa na matajiri kuweni makini

    • @Irenes_Kitchen
      @Irenes_Kitchen Рік тому

      Mimi naenda kuolewa kanisani matajili basi tena 😂

  • @twaibumikidadi7377
    @twaibumikidadi7377 Рік тому

    goood sansaa

  • @IreneMoshaa
    @IreneMoshaa 26 днів тому

    Nimeona msos davisita tukaribisheeee

  • @mariajoseph9735
    @mariajoseph9735 Рік тому +1

    Basi mm namba 0

  • @leaherasto929
    @leaherasto929 Рік тому

    Davista muendelezo please

  • @jessicamwasandube944
    @jessicamwasandube944 Рік тому +2

    Bora ungelala na huyo jini,kuliko kutoa mkono wa mzee wako na wa mkeo

    • @leaherasto929
      @leaherasto929 Рік тому

      Lingemsumbua maisha yake yote

    • @MadenaIphone
      @MadenaIphone Рік тому

      @@leaherasto929bora lingemsumbua yeye maana yeye ndio alieyatafuta ila mke na baba wakapona

  • @enock8317
    @enock8317 Рік тому

    😂😂😂 nasubil kuskia amenusulik kufa

  • @dianamdaku9802
    @dianamdaku9802 Рік тому

    Ila unapenda kuoga jaman😜😀😀

  • @marryevance-br3po
    @marryevance-br3po Рік тому +2

    Mi jamn sauti tu ya huyu kaka inanitesa san nimeipnd mno

  • @jmagi2491
    @jmagi2491 Рік тому +1

    Kwani si huyu kaka alisema mama mkwe alifariki imekuaje tena anamchukua mtoto hapo amejichanganya.

    • @leahlucas479
      @leahlucas479 Рік тому

      Umeonaeee , alafu Davista hata amuulizi
      Labda baba mkwe alioa mwingine

    • @tahirnephessalum3678
      @tahirnephessalum3678 Рік тому

      mi nakumbuka alisema mama mkwe ndiye alifariki

    • @MadenaIphone
      @MadenaIphone Рік тому

      Aliefariki ni baba mkwe sio mama mkwe

  • @Teacher_01
    @Teacher_01 Рік тому +1

    Kaka unamisimamo ilaa akil hunaa kwel mungu akupi vyote....🙄

    • @heavenmakundi7480
      @heavenmakundi7480 Рік тому

      Don't judge someone, kwenye haya mambo Kuna kufungwa ufahamu pia,

  • @JaneDoe-hf3zy
    @JaneDoe-hf3zy Рік тому

    Kwahio ina maana mkeo kachukuliwa mbona alizembea hakuomba

  • @leaherasto929
    @leaherasto929 Рік тому

    Davistaaaaaaaaaaaaaa

  • @mabulamasunga7378
    @mabulamasunga7378 Рік тому

    Unabishana utadhani unabishana na mkeo. Pole sana

  • @jenifakihwelu3194
    @jenifakihwelu3194 Рік тому +1

    Wa kwanza leo

  • @JaneDoe-hf3zy
    @JaneDoe-hf3zy Рік тому

    Nime chelewamo jamoni ila tuko pamoja

  • @mabulamasunga7378
    @mabulamasunga7378 Рік тому

    Jamaa mgumu sana kuelewa kwani angekubali kuishi naye kama mke kuepusha mauaji na madhara mengine ingemgharimu nini?

  • @RegnaRegna4
    @RegnaRegna4 Рік тому

    Nimefikamo

  • @munabalushi2964
    @munabalushi2964 Рік тому +2

    😂😂😂😂😂😂😂

  • @rayahamisi118
    @rayahamisi118 Рік тому

    Sasa siungekata wakwako iliujuwe maumivu

  • @rashidyasser9423
    @rashidyasser9423 Рік тому

    Davista kwenye hicho kikopo umeweka mbege

  • @rayahamisi118
    @rayahamisi118 Рік тому

    Mama mkwe sialifaliki mpaka ukaenda choon😢

  • @wilsonkakili2481
    @wilsonkakili2481 Рік тому

    Yote haliyataka mwanamke

  • @cyantess8423
    @cyantess8423 Рік тому

    3 hands mama is full of crap eti mkono wa mtoto wangu inaumiza wen shes demanding hands nkt🙄

    • @Irenes_Kitchen
      @Irenes_Kitchen Рік тому

      English 😂😂😂😂😂yako hatuilewi, ongea kiswahili tu😂😂😂

  • @kakamaulidi5690
    @kakamaulidi5690 Рік тому

    uyo binti tembeanae tu usiogope

  • @hildaernest1090
    @hildaernest1090 Рік тому

    Uhondo

  • @barakanyunza
    @barakanyunza Рік тому

    Story ya kutunga huyu jamaa anaesimulia hii story kajirudia

  • @Deedee88110
    @Deedee88110 Рік тому

    Davista kuna wengine wanasimulia stori za kawaida sana ila unawaulza maswal mengi sana
    Ila huyu jamaa story yake nzuri na huulizi maswal kbs
    Au tusibiril mwisho?
    Kama hapo kuna mavazi yao wanavaaga mavazi gan? Kama yale ya freemason tunayoyaona au?
    Uko ni wapi ujinini au wapi?
    Huyu dada kwa wakat huo ni mzur sana au anaumbo lile la kijini kama yule tamath yule wa kwanza