MBANGA: MAISHA YANACHOSHA/ ULAYA LAZIMA/ NIMEAMUA HIVYO/ UJAMBAZI, MAPENZI/ NILIPAGAWA/ NINAPAMBANA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 25 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 44

  • @ROBOTBOY-pv7fb
    @ROBOTBOY-pv7fb Рік тому +2

    From kenya connected by madam ❤❤Aisha🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @Moviesclip6action
    @Moviesclip6action Рік тому +10

    Wa kwanza comment naomba like zangu jaman

  • @athumaniomary1245
    @athumaniomary1245 Рік тому +1

    Nakubali Mwanetu wa mchele jogoo

  • @xaverymachumu
    @xaverymachumu Рік тому +7

    Mzee wa kabinyau...naenjoy sana kumsikiliza mwamba. Mpee gwara sana mzee wa mbanga

  • @HashilElhamdan
    @HashilElhamdan Рік тому +3

    safi sana hii programme na mpo very creative mlivyofanya kwenye mazingira kama hayo na yapo reality

  • @mswahilipeople2579
    @mswahilipeople2579 Рік тому +1

    Oy napenda San stail yak mwan nakukubali San pamoj sn ❤

  • @AbdilatifAbdi-s4y
    @AbdilatifAbdi-s4y Рік тому +1

    Namskia princ Balozi 🇨🇦

  • @mudathirhussein9557
    @mudathirhussein9557 Рік тому +2

    Ametisha sana balozi ni mtu Kweli Kweli Tupo uk 🇬🇧 big love

  • @dar24media
    @dar24media  Рік тому +7

    kipindi hiki kinaruka kila siku ya jumamosi na jumatano, saa nne kamili asubuhi, kama una simulizi/mkasa wasiliana nasi kwa namba..#0653127761

  • @KipazaExtraordinary
    @KipazaExtraordinary Рік тому +1

    Appreciate the lessons coming out of this. 🇰🇪

  • @kilogreekachananawatuwasio4054

    Mama Samia huyo mtu mchukue mpachike katika pozisheni yoyote Ata katika kualimisha vijana🇹🇿🇬🇷✊👊

  • @mathiasmsumeno8516
    @mathiasmsumeno8516 Рік тому +1

    Mzee wa kabinyau😂😂😂👊🏽👊🏽

  • @jaybrownpendohpendoh5676
    @jaybrownpendohpendoh5676 Рік тому +2

    Experience yko bro imenifunza mengi✌️

  • @DanielJames-of7yr
    @DanielJames-of7yr Рік тому +3

    Msosi mzuri du!

  • @lilmg6242
    @lilmg6242 Рік тому +1

    Aloo kama movie mtupe ktk kuigiza filamu

  • @12322879
    @12322879 Рік тому +1

    Naked truth 👏

  • @bakariabdallah8702
    @bakariabdallah8702 Рік тому +5

    mchizi achoshi kusikiliza

  • @khaledchadhouli6363
    @khaledchadhouli6363 Рік тому +1

    Naimpenda sana

  • @mrishoidd8920
    @mrishoidd8920 Рік тому +2

    😂😂😂 sina mengi ya kusema ila na enjoy sana kumsikiliza huyu mwamba

  • @shabanhaji3812
    @shabanhaji3812 Рік тому +1

    Kabinyauuu mnyamweziii sana

  • @kassimsalum1479
    @kassimsalum1479 Рік тому +2

    Tupo pamoja dupa 🇧🇷🇧🇷✌️

  • @mswahilipeople2579
    @mswahilipeople2579 Рік тому +1

    Oy mmb vp samhn San ningeomba sku moja uyo mzee niongee nae man namkubali San tn San mzee wa kokoriko

  • @DafiMohamed-dz8xk
    @DafiMohamed-dz8xk Рік тому +3

    Ndio lkn jua kwamba wanawake ulaya wanapangwa na serikali kuhusu ndoa na mahusiano na mgeni na mwenyeji ni tofauti treatment ukija kwenye mgawanyo naona malima kuna vitu vingi hajui...mimi nipo ulaya nyundo kumi na kitu najua maisha ya watu weupe mno maana nina wanangu kibao wameoa na pia utofauti..Na kingine kwenye maisha ya ukimbizi pesa zinazotelewa kwa wakimbizi sio za serikali husika watu wengi hawajui..Bara la Africa linatoa pesa nyingi kuliko mabara yote hivyo hizo pesa wanazotoa zinatoka UN na nchi zetu ndio zimetoa uli kusaidia wageni mfano ndio kama wakimbizi wakienda kwenye nchi nyingine...Hata Africa kuna kambi za wakimbizi lkn pesa inayotelewa ni ndogo kuliko wanachukuwa nchi za ulaya kwa sababu ya unyonyaji lkn huwezi kujua mpaka ufuatilie Hivyo Malima inatikwa ujue hivyo wazungu hawawezi kukupa kitu bure ni propaganda zao lkn pesa nyingi zinatoka Africa...

  • @jumapiliissa4835
    @jumapiliissa4835 Рік тому +2

    Ulaya ulaya tu

  • @ramermohamedy4344
    @ramermohamedy4344 Рік тому +2

    Uswazi raha sana hata buku 5 haijaisha

  • @stanastana3199
    @stanastana3199 Рік тому +2

    Kabinyau jamaa wa kokoliko,leo anapiga chapati tatu na nyama,umetisha sana

  • @peacemakerdxb6012
    @peacemakerdxb6012 Рік тому +2

    Kabu nyau, Mzee wa Wali jogoo😂

  • @deodatusfussi3145
    @deodatusfussi3145 Рік тому +2

    Huyu jamaa hata kuingiza anaweza mpelekeni kwenye jua Kali huyo Yuko vzur

    • @mwaka43
      @mwaka43 Рік тому +2

      Kweli kabisa Mkuu!! una uwezo mkubwa sana wa kubaini Vipaji .....

  • @alhadkatundu2142
    @alhadkatundu2142 Рік тому +2

    Mzee wa wali sondo

  • @rukiauwonde7062
    @rukiauwonde7062 Рік тому +1

    Akah huyo muuza supu anavyojiamin mikono kushika nyama😂

  • @HarunaShabani-hy8mx
    @HarunaShabani-hy8mx Рік тому +1

    jaama khb2

  • @TALLUBOY
    @TALLUBOY Рік тому +2

    Kipindi kizuli sanaa

  • @kingssports157
    @kingssports157 Рік тому +2

    Woyoooo

  • @saidissa6763
    @saidissa6763 Рік тому +2

    Kabunyau

  • @kilogreekachananawatuwasio4054

    Kweli bingwa hivyo vitu vipo watu wanaolewa bongo uletewa mtu mzima kumpisha mototo kwenye kiti cha usafili kitu chakawaida barozi unawapa vitu pafect 😂

  • @nirerehadidja8266
    @nirerehadidja8266 Рік тому +2

    Zee la mchele jogo 😂

  • @kennethbenjamin275
    @kennethbenjamin275 Рік тому +2

    Balozi mastori hayaishi

  • @rahimajuma4633
    @rahimajuma4633 Рік тому +1

    Mzee mwakudonyoa

  • @abdulahmanmahalufu9524
    @abdulahmanmahalufu9524 Рік тому +2

    Mzee wakokoliko

  • @rashidyrashidy3923
    @rashidyrashidy3923 Рік тому +2

    Magira ....