IJUE NGUVU YA MZALIWA WA KWANZA ( AU LIMBUKO). NA APOSTLE MICHAEL MWAKILAMBO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 24

  • @rosemuhandoofficial5676
    @rosemuhandoofficial5676 8 місяців тому

    Amina.mchungaji nimesikiliza haya mafundisho nimepata faida kubwa na majibu ya maswali yangu ,lakini pia umenisaidia sana kutambua maana ya nini nifanye

    • @makimbiliochannel
      @makimbiliochannel  8 місяців тому

      Hongera sana. Pia unaweza ukasikiliza pia na hayo mengine ya namna ya kumkomboa mzaliwa wa kwanza. Nayo pia yatafanyika baraka kwako. Kama yalivyofanyika baraka kwako unaweza ukawashirikisha na wengine baraka hii. Mungu na azidi kukuimarisha.

  • @makimbiliochannel
    @makimbiliochannel  Рік тому +1

    Shalom Shalom..Kama umefanikiwa kusikiliza haya MAHUBIRI usikose Mwendelezo wake wa namna ya kumkomboa mzaliwa wako wa kwanza/ Malimbuko

  • @BinSaeed-k3t
    @BinSaeed-k3t 8 місяців тому

    Amen Amen mafundisho mazur

    • @makimbiliochannel
      @makimbiliochannel  8 місяців тому

      Amina amina asante. Usisahau ku subscribe katika channel ya Makimbilio channel. Kama utahitaji ushauri na msaada wa kiroho unaweza ukanitafuta WhatsApp namba +255755021008 au unaweza kupiga Simu au kutuma SMS kwa simu namba +255768385240.

  • @JescaKaizali
    @JescaKaizali 4 місяці тому

    Mim ni mzaliwa wa kwanza Mungu naomba uifungue nyota yangu kutoka mikononi mwa adui 😭😭😭🙌

    • @makimbiliochannel
      @makimbiliochannel  3 місяці тому

      Kama utafanikiwa kuyaelewa mafundisho haya basi natumai yatakupeleka kwenye mchakato wa kufanyia kazi yale ulivyojifunza. Be blessed in Jesus name.

  • @greacembwnwilibati8197
    @greacembwnwilibati8197 11 місяців тому +2

    Amen amen 🙏🙏🙏🙏

    • @makimbiliochannel
      @makimbiliochannel  11 місяців тому

      Amina amina asante. Usisahau ku subscribe katika channel ya Makimbilio channel, ili uwe wa kwanza kupokea taarifa mapema mara tu ninapotuma mafundisho mengine mazuri kama haya. Asante na Mungu akubariki sana.

  • @makimbiliochannel
    @makimbiliochannel  11 місяців тому +2

    KANISA LA THLIC- MAKIMBILIO HM LINALOONGOZWA NA MTUMISHI WA MUNGU MICHAEL MWAKILAMBO LINAPATIKANA KINYEREZI DAR ES SALAAM.
    KWA MSAADA WA KIUSHAURI, MAOMBEZI PAMOJA NA MSAADA WOWOTE WA KIROHO KUANZIA KATIKA HAYA MAFUNDISHO ULIYOYASIKIA, WAWEZA KUWASILIANA NASI KWA WATSAPU NO +255 755 021 008
    WEWE NI WATHAMANI MNOO MBELE ZA MUNGU KWA KUZAWADIWA MAARIFA HAYA..
    BARIKIWA SANA

  • @benedictnzuki9229
    @benedictnzuki9229 9 місяців тому

    Hakika tumefunguliwa kwa neno hili na mioyo yetu imejua kweli ya Mungu

  • @وليدالشمري-ح7ب
    @وليدالشمري-ح7ب 2 місяці тому

    Ayubu 3:3

  • @HappyErasto-ny6sb
    @HappyErasto-ny6sb 11 місяців тому +1

    🙏🙏🙏🙏🙌🙌🙌

    • @makimbiliochannel
      @makimbiliochannel  11 місяців тому

      Amina, Mungu akubariki sana kwa kuyapata Mafundisho haya ya Msingi. Kama utahitaji ushauri na msaada wa kiroho unaweza ukanitafuta WhatsApp namba 0755021008 au unaweza kupiga Simu au kutuma SMS kwa simu namba 0768385240. Pia usisahau ku subscribe katika channel ya Makimbilio channel. Unapofanya hivyo, unakua mstari wa mbele wa kupata mafudisho na taarifa mbalilimbali kutoka Makimbilio channel. Be blessed in Jesus name.

  • @وليدالشمري-ح7ب
    @وليدالشمري-ح7ب 2 місяці тому

    1korontho15: .yeremia 1:4-5

  • @وليدالشمري-ح7ب
    @وليدالشمري-ح7ب 2 місяці тому

    Kutoka 12:2

  • @وليدالشمري-ح7ب
    @وليدالشمري-ح7ب 2 місяці тому

    Mwanzo 35:23

  • @وليدالشمري-ح7ب
    @وليدالشمري-ح7ب 2 місяці тому

    Mwanzo :38:7

  • @ByamunguLusambo
    @ByamunguLusambo 11 місяців тому +2

    Amen 🙏

    • @makimbiliochannel
      @makimbiliochannel  11 місяців тому +1

      Amina amina asante. Usisahau ku subscribe katika channel ya Makimbilio channel, ili uwe wa kwanza kupokea taarifa mapema mara tu ninapotuma mafundisho mengine mazuri kama haya. Asante na Mungu akubariki sana.

  • @SmilingCityMap-xb9md
    @SmilingCityMap-xb9md 2 місяці тому

    Rumi 8:29 yesu ndie mzaliwa wa kwanza kila aaminie huhesabiwa haki yesu pekee ndie lango ukimwangalia yesu utabalikiwa hakunaga malango ya wanadamu hakuna binadamu anaeleta kitu cha kiungu kwako hivyo nawashauli wanafamilia wamwamini yesu ili wapokee ahadi ya mzaliwa wa kwanza yesu

    • @makimbiliochannel
      @makimbiliochannel  Місяць тому

      Asante kwa mchango wako. Lakini si vema sana kutumia falsafa binafsi kulifasiri andiko. Katika ufalme wa Mungu Yesu ndiye mzaliwa wa kwanza, na katika familia yako huenda kaka/dada yako au wewe ndiye mzaliwa wa kwanza.

  • @وليدالشمري-ح7ب
    @وليدالشمري-ح7ب 2 місяці тому

    Kutoka 11-5