NAMNA YA KUMKOMBOA MZALIWA WA KWANZA. APOSTLE MICHAEL MWAKILAMBO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 5 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 18

  • @uswegetunsalilemwasonya1824
    @uswegetunsalilemwasonya1824 3 місяці тому

    Barikiwa mtumishi, nimepata majibu najihisi nimeshinda vita hii nimesumbuka sana mahali hapa

    • @makimbiliochannel
      @makimbiliochannel  2 місяці тому

      Be blessed more...Karibu kwa MAWASILIANO zaidi...0755021008

  • @josephinelusambo4593
    @josephinelusambo4593 11 місяців тому +2

    umbarikiwe kwa mafundisho yako kwajili ya mzaliwa wa kwanza

    • @makimbiliochannel
      @makimbiliochannel  11 місяців тому

      Amina amina asante. Usisahau ku subscribe katika channel ya Makimbilio channel, ili uwe wa kwanza kupokea taarifa mapema mara tu ninapotuma mafundisho mengine mazuri kama haya. Asante na Mungu akubariki sana.

  • @huldamichael4445
    @huldamichael4445 11 місяців тому

    Powerful powerful powerful.....MUNGU aweke vitu vyake ndani yako zaidi na zaidi

    • @makimbiliochannel
      @makimbiliochannel  11 місяців тому

      Amina, Mungu akubariki sana kwa kuyapata Mafundisho haya ya Msingi. Kama utahitaji ushauri na msaada wa kiroho unaweza ukanitafuta WhatsApp namba (+255) 0755021008 au unaweza kupiga Simu au kutuma SMS kwa simu namba 0768385240. Pia usisahau ku subscribe katika channel ya Makimbilio channel. Unapofanya hivyo, unakua mstari wa mbele wa kupata mafudisho na taarifa mbalilimbali kutoka Makimbilio channel. Be blessed in Jesus name.

  • @joycemaige6838
    @joycemaige6838 10 місяців тому +1

    Ibada yote ni mimi najisikiliza sometimes najikuta nachoka kila kitu mimi kila kitu mimi nawaambia wadogo zangu ivi iyo michango hakuna wengine wataweza kuchangia pia yani kunavitu najiona tu nimechoka tena jana nimetoka kuongea leo nakutana na hii ibada 😢😢😢

  • @JaneJoseph-op3js
    @JaneJoseph-op3js Рік тому

    Ubarikiwe BABA yang MUNGU aendelee kututupa maarifa zaid nimejua limbuko kwa undani zaid ya nilivyokuwa najua

    • @makimbiliochannel
      @makimbiliochannel  Рік тому

      Ameee Glory be to God....Kwa wewe mwingine usiache kufuatilia mfululizo huu na mafundisho mengine kwani yamebeba vitu vizuri sana

  • @joycemaige6838
    @joycemaige6838 10 місяців тому

    Nime sikiliza kufika hapa unapo sema usipo angalia utaiuza nafasi ya mzaliwa wa kwanza kama Musa alivyo uza kwa ndugu yake nimejikuta napatwa na uchungu wa kulia na hii inanitesa sana nikisikiliza ibada kama hivi

  • @joycemaige6838
    @joycemaige6838 10 місяців тому

    Hakuna mtu unaye sema naye najiona mimi yote uliyo ongea hapa pia nimemuona mama yangu kila kikao anaitwa yeye misiba au kikao chochote kuhusu family

  • @vikiMwakilambo
    @vikiMwakilambo 11 місяців тому

    Ubarikiwe sana mtumishi

    • @makimbiliochannel
      @makimbiliochannel  11 місяців тому

      Amina amina asante. Usisahau ku subscribe katika channel ya Makimbilio channel, ili uwe wa kwanza kupokea taarifa mapema mara tu ninapotuma mafundisho mengine mazuri kama haya. Asante na Mungu akubariki sana.

  • @makimbiliochannel
    @makimbiliochannel  11 місяців тому

    USIACHE KUSHEA MAFUNDISHO HAYA AMBAYO YAMEIBIA MAARIFA MAKUBWA MNOO HUSUSANI KWA WAZALIWA WA KWANZA WA AINA ZOTE NA WENGINE WENGI KUFUNGULIWA...
    JAPO KUFUNGULIWA KUKUU KATIKA MAMBO HAYA NI KUIJUA HEKIMA YA MUNGU JUU YA MAENEO HAYA KWA UJUMLA WAKE TUKIHUSIANISHA NA LIMBUKO

  • @thelivingwordchannel9027
    @thelivingwordchannel9027 10 місяців тому

    Mh!....kukomboa mzaliwa wa kwanza?.Wapi kwenye agano jipya inasema hivyo.

    • @makimbiliochannel
      @makimbiliochannel  10 місяців тому

      Mathayo 5:17
      [17]Msidhani ya kuwa nalikuja kuitangua torati au manabii; la, sikuja kutangua, bali kutimiliza.
      Yesu mwenyewe aliye mjumbe wa agano jipya sawasawa na Waebrania 12:24 na Yesu mjumbe wa agano jipya, na damu ya kunyunyizwa, inenayo mema kuliko ile ya Habili. Anasema kwamba hiyo torati yaani agano la kale hakuja kuitangua bali kutimiliza. Mfano tunaona dhahiri katika mafundisho yake katika hiyi sura ya tano akiwa anarekebisha baadhi ya vifungu vya torati ambavyo vilikua na utata mfano suala la kulipiza kisasi, ambalo katika torati ilinenwa jino kwa jino na jicho kwa jicho. Lakini yeye alisisitiza msamaha pale mtu a apokukosea. Hivyo kama hakuna kifungu ambacho hakukitolea ufafanuzi maana yake hakikuwa na shida.
      Mathayo 5:18
      [18]Kwa maana, amin,
      nawaambia, Mpaka mbingu na nchi zitakapoondoka, yodi moja wala nukta moja ya torati haitaondoka, hata yote yatimie.....Ukisoma hapo utaona yeye mwenyewe Yesu anasisitiza kwa kusema kwamba nukta yoyote ya torati haitaondoshwa. Kwahiyo uwepo wa agano jipya sio kwamba ndo kuondoshwa kwa zile torati zilizokuwepo hapo kwanza kama hazikufanyiwa marekebisho yoyote na Yesu au Mitume.
      Mathayo 5:19
      [19]Basi mtu ye yote atakayevunja amri moja katika hizi zilizo ndogo, na kuwafundisha watu hivyo, ataitwa mdogo kabisa katika ufalme wa mbinguni; bali mtu atakayezitenda na kuzifundisha, huyo ataitwa mkubwa katika ufalme wa mbinguni.

    • @makimbiliochannel
      @makimbiliochannel  10 місяців тому

      Kama utahitaji Maelezo zaidi unaweza ukanitafuta WhatsApp namba 0755021008 au unaweza kupiga Simu au kutuma SMS kwa simu namba 0768385240. Be blessed in Jesus name.

    • @saum-jv5mi
      @saum-jv5mi 10 місяців тому

      Ameen