NINI KINAFANYIKA UNAPOOTA UNAKULA NDOTONI?. APOSTLE MICHAEL MWAKILAMBO.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 29

  • @makimbiliochannel
    @makimbiliochannel  2 місяці тому

    Ukiwa umebarikiwa baada ya kufuatilia mafundisho haya Usiache kumshukuru Mungu kwa namna yoyote iwe kwa tendo au kwa neno na kutujulisha unatufuatilia kutokea wapiii
    Kama utahitaji ushauri na msaada wa kiroho unaweza ukanitafuta WhatsApp namba +255755021008 au unaweza kupiga Simu au kutuma SMS kwa simu namba +255768385240.

  • @makimbiliochannel
    @makimbiliochannel  Рік тому +5

    USIACHE KUFUATILIA MAFUNDISHO HAYA YOTE KATIKA MFULULIZO WOTE..
    KWA MAOMBI NA MAOMBEZI TUMIA NO ZINAZOONEKANA KWENYE HIYO VIDEO HAPO CHINI..
    KANISA LETU LIPO KINYEREZI DAR ES SALAAM..KARIBUNI SANA

  • @HappyErasto-ny6sb
    @HappyErasto-ny6sb 11 місяців тому +2

    Amina pastor binafsi nimejifunza na pia nimegundua kumbe watu wengi tulikuwa tumefungwa katika mambo haya kumbe ulimwengu wa roho wanayatumia sana kututesa Mungu wa mbinguni atukuzwe kwa ajili ya mafunuo haya 🙏🙌🙏🙌

    • @makimbiliochannel
      @makimbiliochannel  11 місяців тому +1

      Amina amina. Usisahau ku subscribe katika channel ya Makimbilio channel. Kama utahitaji ushauri na msaada wa kiroho unaweza ukanitafuta WhatsApp namba 0755021008 au unaweza kupiga Simu au kutuma SMS kwa simu namba 0768385240. Mungu akubariki sana.

  • @nimbonajeanette6899
    @nimbonajeanette6899 2 місяці тому

    Mungu nifunguwe kwene vifungo bya yule mwovu chetani

    • @makimbiliochannel
      @makimbiliochannel  2 місяці тому

      Ukishafunguliwa endelea kuwa makini kimwili na kiroho yule mwovu shetani asikufunge tena kwenye eneo hilohilo. Hongera kwa kusikiliza Mafundisho haya.

  • @rosemuhandoofficial5676
    @rosemuhandoofficial5676 9 місяців тому

    Kabisa mimi n8mekutana na hali hiyo ndotoni nikiamka nikajickia vibaya sana,na nikimwona rafiki yangu,mwimbaji mwenzangu, simtaji akinilisha chakuna chenye nyama ndotoni nilipoamka nikaugua mno moyoni,nikakosa amani

    • @makimbiliochannel
      @makimbiliochannel  9 місяців тому

      Isaya 28:22
      [22]Basi sasa msiwe watu wenye kudharau, vifungo vyenu msije vikakazwa;....... Mara zote shetani akikufunga huwa hataki ujue wala ukumbuke alipokufungia. Ili upatikane ukombozi kamili Mungu hutaka shughuli nzima ya ukombozi ianzie kwenye chanzo ndipo matokeo ya kifungo nayo yatakua hayana nguvu kwako.

    • @makimbiliochannel
      @makimbiliochannel  9 місяців тому

      Hatakama haujaona dhahiri katika maisha yako matokeo ya kufungwa, basi tambua kuna SECRET AGENDA ya shetani inayoendelea kwako ili kufunga maisha yako. Mungu hulituma neno lake ili lituokoe na kututoa katika maangamizi na hiyo ndiyo sababu ya wewe kukutana na mafundisho haya. Mungu akubariki sana kwa kuyapata Mafundisho haya ya Msingi. Kama utahitaji ushauri na msaada wa kiroho unaweza ukanitafuta WhatsApp namba 0755021008 au unaweza kupiga Simu au kutuma SMS kwa simu namba 0768385240.

  • @veronicawilson4263
    @veronicawilson4263 11 місяців тому

    Mtumishi Ubarikiwe sana Kwa haya maarifa ambay Mungu kakupatia, Mtumishi nimeota nimepewa pesa alafu ni dollar huyo kafungu bagi lake kanitolea burungutu ya midollar imepita siku Moja tuu nimeota tena nimepewa pesa eti ni kama shukrani

    • @makimbiliochannel
      @makimbiliochannel  11 місяців тому

      Amina, Mungu akubariki sana kwa kuyapata Mafundisho haya ya Msingi. Kama utahitaji ushauri na msaada wa kiroho unaweza ukanitafuta WhatsApp namba 0755021008 au unaweza kupiga Simu au kutuma SMS kwa simu namba 0768385240. Pia usisahau ku subscribe katika channel ya Makimbilio channel. Unapofanya hivyo, unakua mstari wa mbele wa kupata mafudisho na taarifa mbalilimbali kutoka Makimbilio channel. Be blessed in Jesus name.

  • @Edmundkajuna-lu2fs
    @Edmundkajuna-lu2fs 11 місяців тому +2

    Ameen

    • @makimbiliochannel
      @makimbiliochannel  11 місяців тому

      Amina, Mungu akubariki sana kwa kuyapata Mafundisho haya ya Msingi. Kama utahitaji ushauri na msaada wa kiroho unaweza ukanitafuta WhatsApp namba 0755021008 au unaweza kupiga Simu au kutuma SMS kwa simu namba 0768385240. Pia usisahau ku subscribe katika channel ya Makimbilio channel na pia kutufuatilia katika mitandao mingine ya kijamii kama vile Facebook na Instagram kwa jina la Makimbilio channel. Unapofanya hivyo, unakua mstari wa mbele wa kupata mafudisho na taarifa mbalilimbali kutoka Makimbilio channel. Be blessed in Jesus name.

  • @BinSaeed-k3t
    @BinSaeed-k3t 8 місяців тому

    Amina Mtumishi kwa mafundisho mazuri Mungu atupe maarifa

    • @makimbiliochannel
      @makimbiliochannel  8 місяців тому

      Amina amina asante. Mungu akubariki sana kwa kuyapata Mafundisho haya ya Msingi. Kama utahitaji ushauri na msaada wa kiroho unaweza ukanitafuta WhatsApp namba +255755021008 au unaweza kupiga Simu au kutuma SMS kwa simu namba +255768385240. Ubarikiwe.

  • @BeatreceJackson-ut8ct
    @BeatreceJackson-ut8ct 11 місяців тому +2

    Amen

    • @makimbiliochannel
      @makimbiliochannel  11 місяців тому

      Amina amina asante. Usisahau ku subscribe katika channel ya Makimbilio channel, ili uwe wa kwanza kupokea taarifa mapema mara tu ninapotuma mafundisho mengine mazuri kama haya. Asante na Mungu akubariki sana.

  • @huldamichael4445
    @huldamichael4445 11 місяців тому

    Asante sana mtumishi wa MUNGU,vitu ulivyoongea vimethibitishwa ndani yangu kwa mengi yaliyokwisha tokea kwangu.MUNGU akupe maarifa zaidi

    • @makimbiliochannel
      @makimbiliochannel  11 місяців тому

      Amina amina asante. Kama utahitaji ushauri na msaada wa kiroho unaweza ukanitafuta WhatsApp namba(+255) 0755021008 au unaweza kupiga Simu au kutuma SMS kwa simu namba (+255)0768385240. Usisahau ku subscribe katika channel ya Makimbilio channel, ili uwe wa kwanza kupokea taarifa mapema mara tu ninapotuma mafundisho mengine mazuri kama haya. Asante na Mungu akubariki sana.

  • @Edmundkajuna-lu2fs
    @Edmundkajuna-lu2fs 11 місяців тому +1

    Amen baba

    • @makimbiliochannel
      @makimbiliochannel  11 місяців тому

      Amina amina. Usisahau ku subscribe katika channel ya Makimbilio channel na pia kutufuatilia katika mitandao mingine ya kijamii kama vile Facebook na Instagram kwa jina la Makimbilio channel na pia kutufuatilia katika mitandao mingine ya kijamii kama vile Facebook na Instagram kwa jina la Makimbilio channel. Kama utahitaji ushauri na msaada wa kiroho unaweza ukanitafuta WhatsApp namba 0755021008 au unaweza kupiga Simu au kutuma SMS kwa simu namba 0768385240.

  • @shinemichael-oj7wc
    @shinemichael-oj7wc Рік тому +2

    Amina baba

    • @makimbiliochannel
      @makimbiliochannel  11 місяців тому

      Amina amina asante. Usisahau ku subscribe katika channel ya Makimbilio channel, ili uwe wa kwanza kupokea taarifa mapema mara tu ninapotuma mafundisho mengine mazuri kama haya. Asante na Mungu akubariki sana.

  • @wondrousTv07
    @wondrousTv07 Рік тому +1

    Yes this is incredible

    • @makimbiliochannel
      @makimbiliochannel  11 місяців тому

      Amina amina asante. Usisahau ku subscribe katika channel ya Makimbilio channel, ili uwe wa kwanza kupokea taarifa mapema mara tu ninapotuma mafundisho mengine mazuri kama haya. Asante na Mungu akubariki sana.

  • @wokovunisasatv7576
    @wokovunisasatv7576 11 місяців тому

    Asante Apostle kwa mafundisho mazuri

    • @makimbiliochannel
      @makimbiliochannel  11 місяців тому

      Amina asante na wewe kwa kuutenga muda wako kuyasikiliza mafundisho haya. Be blessed.

  • @JamesOdhiambo-wu2pj
    @JamesOdhiambo-wu2pj 11 місяців тому

    Amen

    • @makimbiliochannel
      @makimbiliochannel  11 місяців тому

      Amina, Mungu akubariki sana kwa kuyapata Mafundisho haya ya Msingi. Kama utahitaji ushauri na msaada wa kiroho unaweza ukanitafuta WhatsApp namba 0755021008 au unaweza kupiga Simu au kutuma SMS kwa simu namba 0768385240. Pia usisahau ku subscribe katika channel ya Makimbilio channel. Unapofanya hivyo, unakua mstari wa mbele wa kupata mafudisho na taarifa mbalilimbali kutoka Makimbilio channel. Be blessed in Jesus name.