Ww askofu sikufaham kwa mana yakukuona ana kwa ana lakn nataman nikuone nimekupenda bure kwa busara yako na ww ni msema kweli taifa hili linaitaji maaskofu wasomi na wasema kweli kama ww hongera sanaa sanaa sanaa
UNAONA ILIVYOPENDEZA VIONGOZI WA NCHI MUNGU AMEPENDEZWA NA HATUA HIYO MLIOWEZESHA HAYO MUNGU AWABARIKI KULETA WATU PAMOJA SIO KUKAA UNAWAZA BORA NISINGEZALIWA TANZANIA.ENDELEENI KUKAA PAMOJA ILI HATA MUNGU AKIWEKA WAPYA IKULU WASITAFTANE.MUNGU IBARIKI TANZANIA.
@@castormwankefu4234Wapinzani waliopo ikulu Zanzibar si ccm B, hao unawaona wapo ikulu washakaa gerezani miaka m3, Babu Duni, Mazuri ashaadhibiwa sana, Maalim Seif pia, wafuasi wao ndio wana makovu ya kipigo kila sehemu, ni ccm wanaotoa maumivu, si vibaya kukaa na watesaji mkapata salama. Tuone 2025 roho ovu ya ccm itakavyoacha maumivu.
mm na imani ya kuwa viongozi wa mazehebu ni wajibu wao kuunganisha nchi ilikuwa vipande vipande sio wanao leta maneno ya Udini ili taifa la Tanzania linalo neema zakimungu walio fanya yote hayo siku zao zinahesabika kwa mungu
Inapendeza sana kukaa kwa amani,Acheni kuuana na kutekana inaleta nuksi kwenye nchi yetu.
Watumishi wa MUNGU Mmefanya kwa sehemi yenu bravol
Mashallah sote ni ndugu wa baba mmoja lazima tupendane
Hakika ndugu yangu
Ukweli nikwamba kama viongozi wetu wataweka maslahi yao pembeni nchi yetu ninchi bora Africa na duniani kote mungu ibariki tanzania ❤❤
Point kubwa sana hii tunataman tuwe ivi lakn maccm yanaharibu nchi hii
Unasema ukweli sana. Kama wanaweza kukutana kwanini wasiongee kwanini wanataka mpaka mambo yawe mabaya?
Haika hii imeniliza sanaa
Mimi muislamu nimependa hu utaratibu aliyoufanya uyu askofu mungu akupe maisha marefu
mama ana Makonda nimekuona nkakumbuka uongozi wako mahiri enzi ukiongoza bunge,i really love you mama
Namuona Mama wa taifa Mama makinda Yuko hapo nakupenda Mama sana nakumbuka bunge lako la viwango mungu akupe Maisha marefu sana
Hongera sana mtumishi wa Mungu, huo ndio ubinadamu
Mungu Asante Kwa zawadi hii
Nimependa sana mahubirii yako na umewakutanisha wanasiasa vizuri kazi iendeleee
😂😂😂😂😂 nimefurahi sana
Daah Tazama inavyopendeza ndugu wakikaa kwa umoja
Wanasiasa wote lao ni moja. Ni mjinga pekee ndo atakubali kuumia kisa kufuata aliyoagizwa na wanasiasa.
hiii nimeipenda sanaaa
Sasa ccm wajue kuwa mungu yupo na angalau hata wamuongope kidogo na kumuheshimu jaman.
Ukweli binafsi nafurahishwa sana napowaona viongozi mnapendana haya yanayorndelea nchini yakomeshwe Mara moja yanachafua taswira ya taifa letu
SISI SOTE NI NDUGU❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤UNDUGU NA KUPONYA ULIMWENGU
Viongozi wa dini mna nafasi kubwa sana yakuliunganisha hili taifa
Nimepata hisia adi machozi yakawa yananilenga kwa hii video, ila sababu ya machozi ata sijui imetoka wapi🫂🫂
Hata mie yamenitokea hayo lakini basi Mungu aendelee kutukuzwa na amani , upendo na mshikamano vitawale. Hayo yote msingi wake ni HAKI.
Hayo machozi ni uponyaji wa Yesu wa ekaristi. Barikiwa na dumu katika kumpenda Yesu.
Mmmmmhhh upande wangu c waamin wanasiasa kamwe mchana hawapendan uck wanapanga ajenda pamoja siandaman ng'ooohh
Watekaji wanaichafua Sana amani ya nchi yetu kiukweli.
Demokrasia ina gharama. Asante sana kanisa katoliki
Yani ingekuwa siomauaji na utekaji huundio utanzania,
Kabisa aisee bas tu
Tatizo masisiem ni WANAFIKI mnooo!!!!
Kwel bwana
Ukweli ni kwamba UISLAMU HAWAUTAKI HAWA wabongo wanahofu na Waislamu
Ww askofu sikufaham kwa mana yakukuona ana kwa ana lakn nataman nikuone nimekupenda bure kwa busara yako na ww ni msema kweli taifa hili linaitaji maaskofu wasomi na wasema kweli kama ww hongera sanaa sanaa sanaa
Anaitwa Fr Charles Kitima katibu wa balaza la maaskofu katoliki Tanzania TEC
Fr.charles kitima mwanasheria vice chancellor wa kwanza wa SAUT Mwanza
Viongozi mkikaa hivyo mnakuwa sawa muwewamoja mambo ya chama muyaweke pembeni mgawane madalaka Kwa amani mtuongoze sisi wananchi Kwa weledi
Saaafi sana padri
UNAONA ILIVYOPENDEZA VIONGOZI WA NCHI MUNGU AMEPENDEZWA NA HATUA HIYO MLIOWEZESHA HAYO MUNGU AWABARIKI KULETA WATU PAMOJA SIO KUKAA UNAWAZA BORA NISINGEZALIWA TANZANIA.ENDELEENI KUKAA PAMOJA ILI HATA MUNGU AKIWEKA WAPYA IKULU WASITAFTANE.MUNGU IBARIKI TANZANIA.
machozi huwa yanatililika mtu ukimzungumzia Lissu
Sisi wote ni watanzania tunachukizwa na matukio ya utekaji na utesaji nguvu ya Tanzania tokomeza genge la wateka nyara leo na milele.....
TATIZO NI CCM HAWATENDI HAKI
Amina
Kwakweli watanzania Ni ndugu et kwann wanauana? Kwaajili ya vyama ,ndugu zangu vyama vitapita but utanzania utabaki tu.
Mpaka machozi jamani daaah
Wenye D mbili wataelewa saikolojia ya huyu askofu kwa hawa viongozi
Nimefurahi kuwaona..wote..wanatabasamu
Safi sana
Kwa hapo Ni pazuri
Daa!!?? Lakini Bi Mkubwa Makinda Ya Ndege Ana sura Ngumu Kweli Kweli Maana Katabasamu Kinafki Dakika Sufuria Karudia Sura Yake Ile ile
😂😂😂😂We mchokozi
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Waowwww hadi amani kwakwe
Hapa wanataka tusahu nini ??
Tusijadili wizi walio upanga ucaguzi ujao
@@MabulaMalembeka 😂😂😂😂😂😂😂😂
Tunaishi nao kinafki
Mpaka hapa Kuna mtu bado anawaamini Hawa wanasiasa?? Sijawahi aminigi Hawa watu eti
Kanywe soda nakuja kulipa Tena nilipomuona na Chalamila roho yangu imechukia mno
Ukatoriki mtamu.
HUKO TANZANIABARA HAKUNA MPINZANI MZALENDO NINAEMUAMINI WENGI WANANUNULIKATUU UKILINGANISHA WA ZANZIBAR
wazanzibar wepi, hawa amabo nao wapo ikulu, ccm b?
@@castormwankefu4234Wapinzani waliopo ikulu Zanzibar si ccm B, hao unawaona wapo ikulu washakaa gerezani miaka m3, Babu Duni, Mazuri ashaadhibiwa sana, Maalim Seif pia, wafuasi wao ndio wana makovu ya kipigo kila sehemu, ni ccm wanaotoa maumivu, si vibaya kukaa na watesaji mkapata salama.
Tuone 2025 roho ovu ya ccm itakavyoacha maumivu.
Ahsante mungu!!
mm na imani ya kuwa viongozi wa mazehebu ni wajibu wao kuunganisha nchi ilikuwa vipande vipande sio wanao leta maneno ya Udini ili taifa la Tanzania linalo neema zakimungu walio fanya yote hayo siku zao zinahesabika kwa mungu
Mbona hanau
Nchi ngumu sana
Roho imeniuma nataman nchi ck zote ingekuwa hivi
Kwaiyo hapo kuna Amani sasa ?? Watu hawatekwi tena au kuna kitu wanatusahaulisha ??
Tunashukur maaskofu wote mlikomboe taifa
Hubiri watu wasitekwe acha porojo kitendo Cha watu kutekwa na kuuliwa haikubaliki hubirini matendo maovu yaondoke katika nchi
Nimefurh sn
Ha😂😂naona toto tundu umekutana na mama ako happo makinda ulimsumbua sana 😂😂😂
Enzi hizo hata ukipoteza muda kufuatilia bunge haikuwepo hasara
Na Chalamila nae huwa anasali!!
😂😂😂
fr kitima
MUNGU mwema nimeona uwepo wake
Safi sana
Safi sana