Pd. Kitima Asimulia Alivyomuomba Askofu Kusomea Sheria, Amesaidia Wengi Waliokuwa Wanateseka

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 21 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 17

  • @MagrethKatondo-qs9oz
    @MagrethKatondo-qs9oz 3 місяці тому +2

    Asante sana baba. Kuhusu loliondo hakika moyo wangu unauma sana. Watu hawa wamekwenda uhamishoni bila kupenda. Fikiri kama ni mimi au ni yule kweli. Jamani kuweni na huruma hao pia ni watanzania. usichotaka kutendewa usimtendee wenzio. Tena masikini.

  • @piomgeni8750
    @piomgeni8750 2 роки тому +2

    👍👍👍👍 Hongera sana Fr Kitima High IQ in action!!

  • @leocadianjau7410
    @leocadianjau7410 2 роки тому +2

    Father Kitima Mungu akubariki tunaomba sana mpitisha kabisa makanisani mahubiri yawe ya haki kila siku na ili amani itawale...

  • @gibsonjosephat6352
    @gibsonjosephat6352 2 роки тому +1

    Big up Fr. Dr. Kitima

  • @jonathanntare4787
    @jonathanntare4787 2 роки тому +1

    Asante Baba Askofu

  • @geraldeliona7657
    @geraldeliona7657 2 роки тому

    Knowledge is power

  • @fr.deolyakunga4984
    @fr.deolyakunga4984 2 роки тому

    Msema kweli ni mpenzi wa Mungu...

  • @abelchacha5977
    @abelchacha5977 2 роки тому

    We need to make most of what we are doing

  • @abelchacha5977
    @abelchacha5977 2 роки тому

    God simamaa na hii.

  • @nmatuja2191
    @nmatuja2191 2 роки тому

    Uwiiii, yaani miaka kumi mahabusu inauma sana.

  • @emmanueljames9628
    @emmanueljames9628 2 роки тому

    Huwa napenda uwazi wa Fr.Kitima na haegemei upande mmoja,leo akigonga huku kesho anawagonga upande wa pili

  • @tielyelibariki8958
    @tielyelibariki8958 Рік тому

    Katiba mpya suluhisho

  • @leocadianjau7410
    @leocadianjau7410 2 роки тому

    Tunataka katiba mpya hiyo ndo haki kuu kwa kila mwananchi tunaomba basi wananchi wote na viongozi wetu wa dini wawe mstari wa mbele sasa maana kila mahali kuna waumini

  • @abelchacha5977
    @abelchacha5977 2 роки тому

    Huyu jamaa, kama vile nimesomanae uhasibu, I mean mtangazaji sio padre

  • @abelchacha5977
    @abelchacha5977 2 роки тому

    Ni hivi, huyu mkuu wa tume haki za binadamu, watoe namba kwa kila mchungaji. Ili tusaidie wengi

  • @josef_rodrick4981
    @josef_rodrick4981 2 роки тому

    Blablaaaa tuuuu..... uhuni tuu....