Mama zuluu tumekupenda sana sisi kama waana Kenya wanaotoka kwenye mipakani kirongwe muhuru bay Kwa kazi unafanya kama rais kumbe waislamu ni wazuri sana
\🇷🇼🙄🗽🗣️🇹🇿Mansha Allah " very loud and cleare👂 kwanza Ongera Sana Kwa mama mlezi ambae ndo Rais wa inchi ya East-Afrika Tanzania % Allah Azidi kuwalinda Wababu zetu Na Bibi zetu waliyopigania Hi Ardh ya Afrika 🌍👩✈️🤩👮, Na awape myaka mingi Dunian ,Allahuma Amiin 🤲✍️⌚®✓
Matendo mema waliyoyafanya katika kazi yso nzuri ya Polisi ndio yamewaweka mpaka leo tunawashuhudia wakipewa tuzo. Polisi wa leo kuna funzo hapo kama utatenda mema kwa raia wa Mungu .
Sijui macho yangu. Naona kama rahis ni mbaguzi. Anashindwa nini kuwapa mikono au ni yale ya Saddam Hussein kuogopa kupewa sumu akaishia kunyongwa? Namshukuru mama aliyemlazimisha kupeana mikono japo hakutaka kufanya hivyo kana kwamba yeye si binadamu.
Aaaaaaah huyu jamaa amezeeka na ameishi miaka mingi hakika❤
Kazi nzuri kabisaaaaah Police documentation yenu imekaa vema mnonoooooooh
Kazi nzuri...
Hongera sana rais kwa kuwakumbuka
Kazi nzuri sana polisi Tz.
Mama zuluu tumekupenda sana sisi kama waana Kenya wanaotoka kwenye mipakani kirongwe muhuru bay Kwa kazi unafanya kama rais kumbe waislamu ni wazuri sana
Mungu awabarika sana rtd soldiers
Masha ALLAH tabaraka ALLAH
Mungu ni mwema sana na walifanya kazi nzuri hivyo wanastahili hongera kubwa sana tunawashukuru sana na taifa lipo salama.
Nimeumia sana mh mama samia baba yangu ni no A3131 kwa upendo wako jeshi liwaenzi hata walio tangulia mbele za haki kwan watoto wao tupo
Hongera sana jeshi letu la polisi hakika mfanya vyema kutambua viongozi hao.
Mngu wabariki Hawa asikari wastafu uwapee afya njema
Mungu aendelee kuwatunza walifanya kazikubwa kwenye taifa letu
\🇷🇼🙄🗽🗣️🇹🇿Mansha Allah " very loud and cleare👂 kwanza Ongera Sana Kwa mama mlezi ambae ndo Rais wa inchi ya East-Afrika Tanzania % Allah Azidi kuwalinda Wababu zetu Na Bibi zetu waliyopigania Hi Ardh ya Afrika 🌍👩✈️🤩👮, Na awape myaka mingi Dunian ,Allahuma Amiin 🤲✍️⌚®✓
hapa kenya hakuna kitu kama hicho ...hatuwajui hata ....
Mungo awabariki wazee away amina
Jeshi letu wasitafu mola hawajaarie afya njema
Mungu awabariki wote walopewa tuzo KAMA HAWAKUUA .
kama Hawakufanyaje
Matendo mema waliyoyafanya katika kazi yso nzuri ya Polisi ndio yamewaweka mpaka leo tunawashuhudia wakipewa tuzo. Polisi wa leo kuna funzo hapo kama utatenda mema kwa raia wa Mungu
.
Allah aqbaar yaarabby wape Hawa wazee mwisho mwema..........wamefanya kazi kubwa sana......
Amina: hiyo nimependa sana Mungu awabakisana kuwambuka wastaaafu inaleta laha sana idala zote wainge mfano huo kuwa kumbuka wa stsafu wote
Muwagaiye gari angalau za kuendea sptal nishani peke yake haitoshi nawao wsle keki ya tanzania muwafikiry wastaafu
Alhadulilahi wazee wetu wametambuliwa kabla ya kufa
Wasasa vp kwan akuna umakini
Muwape na fedha nawao wafurahi
Wario shiriki vita ya iddi amin bado wengine wapo hai mbona sijawhi ona wanapewa tuzo
Siwaelewi mimi
Awa akina mama askari wa enzi hizo walikuwa watenda haki
🎉🎉🎉🎉🎉
🙏
Sijui macho yangu. Naona kama rahis ni mbaguzi. Anashindwa nini kuwapa mikono au ni yale ya Saddam Hussein kuogopa kupewa sumu akaishia kunyongwa? Namshukuru mama aliyemlazimisha kupeana mikono japo hakutaka kufanya hivyo kana kwamba yeye si binadamu.
Wacha VIROBA wewe 😢😢😢
@@OmmyJames-xn7ji We acha bangi iliyochanganywa na maveeeee.
Police wa zamani hawakuwa wauwaji kama wasasahiv
Polisi.muwe.polisi.kuwa.nahuruma.hawa.ni.ndugu.zsnu.wananchi.wanaolia
Kupotelewa.watoto.waume
Wanaopotea.wanaume.kwann
Babu Mchome
Vijana mbona hawapewi?
Watapewa wakizeeka
Sikuhizi ukiwa na nafasi na ni wakike lazima uwe identified....
Acha wivu
C kwa wanawake tu maana walikuwa identified hapo ni wanaume wamewazidi kuliko wanawake
Cheap ceremony for such national police lol
Explanation please! Why & what do you mean by saying Cheap ceremony