Mwigulu Amtaka Mpina Kufuta Kauli Kuwa DP World Wanakusanya Kodi Bandarini, Mpina Akubali Yaishe

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 6 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 18

  • @TM-zs3rm
    @TM-zs3rm 6 годин тому +1

    Iko siku Ndugu Migulu utayalipa haya maumivu yote ya wa Tanganyika. Hii siku iko karibu sana. Kuna watu walikuwa wakuu kuliko wewe. Mungu atakuadhibu mwenyewe kaa chonjo. Hizi tai zote ni mapambo ya nje tu. Watanganyika ni wengi kuliko Mwiguru. DP world iondolewe nchini. Na itaondolewa kwa nguvu Za umma tu na sheria bora Za nchi hii.

  • @nyumbanituthegendaheka7222
    @nyumbanituthegendaheka7222 6 годин тому +1

    Mna mbania sana Mpina...yeye kahoji mikataba kufika Bungeni acheni politricks

  • @DeusdeditMichael
    @DeusdeditMichael Годину тому

    Imeeleweka.

  • @furahachuma9039
    @furahachuma9039 Годину тому

    Sasa hapo spika yuko upande wa wabunge au serikali??

  • @BARAKAJOSEPH-j4u
    @BARAKAJOSEPH-j4u Годину тому

    Kwa iyo DP world cjaelewa apo bdy wanalipwa na TRA au TRA wakishakusanya wanawakatia cha kwao DP kama ni ivo si tayari maanake wameshaanza kazi au

  • @silvesterrichardhelenya1319
    @silvesterrichardhelenya1319 6 годин тому +1

    Kuhusu mikataba ya Dp word kuja bungeni mbona hamjamjibu

  • @abrahamsamweli-wg8ck
    @abrahamsamweli-wg8ck 2 години тому

    Pina tunamwamini,nyeye pigen kerere

  • @juliuskitaluka1206
    @juliuskitaluka1206 6 годин тому

    Changamoto kubwa sana

  • @PeterUmbella-h4k
    @PeterUmbella-h4k 4 години тому

    Sasa apo makofi kwa mwigilu ya nn?

  • @manchalijob9600
    @manchalijob9600 6 годин тому

    Trabo na tradi sierewiiii TANZANIA 🇹🇿 YANGU

  • @anordiobadia.nycsong8123
    @anordiobadia.nycsong8123 3 години тому

    Mpina endelea kumwaga madini

  • @OdiloMagungu-uf5is
    @OdiloMagungu-uf5is 2 години тому

    Bunge dhaifu huzaa maamuzi yasiyofaa

  • @silvesterrichardhelenya1319
    @silvesterrichardhelenya1319 6 годин тому +1

    Muone huyu mwenyekiti wa mchongo

  • @hamisimwinzagu6624
    @hamisimwinzagu6624 6 годин тому

    Mikataba iletwe bungeni

  • @christopherkanyalakc8941
    @christopherkanyalakc8941 5 годин тому

    Kwel nyie mweeeeeee

  • @dicksonkilupa2258
    @dicksonkilupa2258 6 годин тому

    Je ni kweli wanakusanya ushuru? je ushuru siyo kodi? wanaupataje hao huo ushuru?

  • @habibukitwana1552
    @habibukitwana1552 5 годин тому

    Mpumbavu na kipara chake