Jamaa alikuwaga radio station mbeya, nimetoka school likizo nikafungulia radio, sikujua kuwa ni radio ya mkoani mpk kipindi kilipoisha. Its good ni hatua kubwa, anatakiwa aende hatua kubwa zaidi, mosi uelewa, kujua kwenda na mabadiliko, kipawa na consistency Hongera sana
MH. Kishimba kasema ukweli Wahindi Hawasomeshi watoto waajiliwe watoto wao wakiwa shule akija likizo nyumbani hufunzwa biashara na elimu ya kujitegemea sisi tunawasomesha waajiliwe.
Hiyo mifumo iliwekwa kunyonya waafrica hapo ni mahesabu wacoloni wanafanya Leo ufaramsa eti bado kuna pesa unapata kutoka Africa Hilo ni wizi WA mifumo.
Mzee Kishimba anamiliki Imalaseko, Dar Free Market lkn anasema sio tajiri , Imagine hzo ni baadhi tu ya biashara zake, huyu mzee ni genius ndio maana anajitambua kuliko wasomi.
Shule ya wizi concept is simply a Cybersecurity education in Ethical Hacking training...wizi wa digital unahitaji mafunzo mkabala wa kujua ili uweze kuuzuia... Professor Kishimba is 💯 correct
Nashukulu sasa MH kishimba kama serikali ingeweza kuwa na watu wenye akili hiyo ingeweza kubadili miji na kuwa kama dunia zingine hiyo idea wanazo wazungu kuna Aina tatu za mijego
Brother mtangazaji Hongera unefanya Interview ya Nguvu mno hawa ndiyo watu unaonatakiwa kuwa nao na siii Hao Wasomii wa Vyeti kama Yule mzee uliyemuita Msomi kuliko Yeyote Tz Maisha halis na Ya Mafanikio Hayaelezeki ndiyo maana mzee amesema Hakuna kitabu cha Biashara...
Mzee yupo vizuri tunahitaji kufikiria sana mfano mdogo tuu ni kwa nn watoto wa darasa la kwanza wasisome kiingereza la kwanza ?maana hii itasaidia waalimu na watoto kuelewa mapema kwa nn watoto wanaanza darasa la tatu?
Nakubaliana na Kishimba. Japan ilikuwa kiboko kwa mafia. Polisi ilibidi ijiingize Kwenye umafia na kufanikiwa kupunguza. So Kishimba is Genius. Tumtumie ndugu yetu HUYU.
Sijambo. Hamjambo? TUWAFUNDISHE WATOTO WETU KULA SAMAKI NA KUVUA SAMAKI. (Tuwafundishe watoto wetu kutumia vitu na kuunda vitu). Tuwafundishe watoto wetu kwa maneno na vitendo kuanzia wanapokuwa shuleni hadi vyuoni.
Kwa upeo mzuri wa mzee huyu, natamani atupie macho sana Mahakama zetu pia ili aweze kutusaidia, maana kuna madudu mengi yanayopelekea haki kutopatikana. Mola akupe kila la kheir mzee Kishimba.
Shule ni upotofu tu kama hujui lengo hasa la elimu na hupati ...na kama hupati elimu yenye ubora wa ukweli...watu wanaofundishwa biashara utotoni na wazazi wao au fani nyingine za ujuzi...hutokea kuwa na mafanikio katika kutumia ujuzi huo Kim kimaisha kuliko watu waliokwenda Shule au wenye vyeti fulani...majority of our legacy education system of colonialism is nothing but brainwashing. ..you only get to learn a little. Here in the USA...majority of famous successful entrepreneurs who made big impact not only in business but also in life in general, were dropouts from college such as Bill Gates, Steve Jobs , Mark Zuckerberg etc... Mzee Kishimba yupo sahihi nami namkubali kabisa....elimu aliyokuwa nayo ni zaidi ya Phd...na wengi wenye vertical vya Phd ni viiyo tu. wengine wananunua na kukariri theories only we need to change the whole education system to revive every sector of our country's economy...
Ndg. Lamert, wewe ni miongoni mwa ‘journalists’ wazuri, lakini unahitaji kuongeza ufahamu wa eneo husika ili uulize maswali bora zaidi. Pili, usijisahau sana hata ukadhani unayemhoji ni wa rika lako. Muhimu utunze urasmi. Mh. Kishimba ni Mbunge, na pia ana umri wa baba yako. Kuna wakati unamtamka bila itifaki anayostahili - siyo sawa kwa wewe kudharau itifaki, na kudhani sasa ‘unalingana’ na Mh. Kishimba! Katika interviews zako zote, kutokujali itifaki muda wote ni udhaifu wako mkubwa.
Hapo kwenye watoto mzee kapotea, watoto wa matajiri wanapata shida sana za kuwa na pressure kuwa wawe watu flani alafu kiongozi wa familia akiwa na mindset ngumu hapo inakuwa hell tu, awasikilize hao watoto wanampango gani awasupport ni simple sana hakuna mtu mtupu kichwani, nawalio fanikiwa ni wengi sana, mzee inabidi a study zaidi jamii za walio fanikiwa asiishi sana kwenye kichwa chake ufalme wa kiti kimoja sio ufalme is a matter of time tu
Swala la watoto si mchezo ndugu unaweza ku train mtoto lkn kila ukimtizama vision yake haiendani na business zako kabisa ni kum-support tu aendelee na mambo yake
@@samuelmajule54 kabisa, wazee wengi wana penda kulisisha talent zao, ilo ni kosa kubwa sana alafu linahatarisha economy ya generations kama utalisisha watu aina ya mambo yako na talent zako wakati wao sio mambo yao maanake iyo wealth lazima ije kufa then inarudi square one, na ndo mataifa yaliyofanikiwa from family level na jamii kwa ujuma wanatuzidi hapo
Best interview 👌 Kuanzia Mwandishi hadi Interviewer! Ni Elimu Kubwa Sana hii Hongereni Dar24media
Hayati Rais John Joseph Pombe Magufuli amewafungua wananchi swala la kufikiri,kujaji na kuunda hoja.Mungu amuweke mahala pema peponi Amina
Uko vizuri brother katika kuuliza Maswali umenifurahisha utafika mbali
Mh. Kishimba nakusaluti,upo vizuri sana with your critical thinking,unaona maisha katika uhalisia wake.Ahsante
Shule aliyosoma Prof kishimba ameisoma sehemu tofauti na amelipia gharama kubwa sana kuliko elimu ya kawaida.
Wewe mwandishi uko vizuri Sana utafika mbali Sana big up.
Professor tuko pamoja the change should start with us to change our country system
Jamaa alikuwaga radio station mbeya, nimetoka school likizo nikafungulia radio, sikujua kuwa ni radio ya mkoani mpk kipindi kilipoisha.
Its good ni hatua kubwa, anatakiwa aende hatua kubwa zaidi, mosi uelewa, kujua kwenda na mabadiliko, kipawa na consistency
Hongera sana
Uyu mbunge ni baraka kwa serikari kama haya mawazo yangefuatiliwa kiundani tungefika mbali sana kama Tanzania 👏👏
mheshiwa kishimba big up
Mzee kishimb💥💥💥anafikilia Sana na anaongea vitu vizuli Sana na vyakweli kiuhalisia
Mungu azidi kukubariki Mzee kishimba...unaongea ukweli mchungu ambao Sisi wa Afrika wengi atutaki kukubari
Kishimba yuko vizuri sana Tusomeshe wajue kutafuta fedha hiyo namba moja
Mh mm nakuelewa sana hongera endelea kutufungua
Tumpee waziri mkuu🎉🎉🎉🎉🎉
Hongela sana mh kwehekima nauerewa waasili mungu akubaliki sana
Huyu mzee tuangalie bhana tumpe uraisi itakuwa nchi ya tofauti sana😅
hongera sana mzee kishimba
"Sio waoga kwasababu hajui madhara saa nyingine kutokujua madhara ni faida pia". Quote imenyooka sana
Big up sana Mzee Kishimba. Nakumbuka tulivyokupokea Harare ukafungua kiwanda Ginery na ukarudi nyumbani kugombea ubunge. Wewe ni jembe.
Nimekubari sana kiongozi
Nampongeza sanaaa mzee Kishimba unastahili kupongezwa na mwanahabari pia nakukubali kipindi kimefana weledi umeshiba
God bless you all, big up sanaaa
hongera saaana moja wa matajiri wakubwa wazawa waliobakia ,baada ya Kufariki Dr.Reginald Mengi.
Anamiliki nini huyu mzee?
@@MtuSafi isikilze vizuri hii Crip Kuna vingi walivyovitaja
@@MtuSafidar free market
@@MtuSafireal estate na migodi ya dhahabu
Hizo ndio channel za kuangalia Sasa!,Hongera Sana🙏
Mzee Yuko sawa kabisa
Safi sana mwandishi wa habar unauliza maswali ya msingi mno,pia umenyooka na unajiamini
Huyu mzee yupo sahihi sana,wengi wetu tumewachia watoto kwa kuamini elimu zao wamewadondosha sana wazee wao
Kazi nzuri kaka Lambet
Huhuuu Yani uyu ndobaba anajua vingi wazazi wengine wapo kimya tui
Huyu Mzee nashauri Tasisi za Elimu ya Juu wampe Honorary Doctorate!
🤔Kila swali ni hekima na kila jawabu ni elimu. Asante kwa udadisi ufafanuzi na habari nzuri za kutuamsha tusijisahau
Hongera Sana Prof.
Mzeee huyu ni génie, karibu Congo .
Hhhh eti mufumo wa elimu ubadilishwe , tu wafunze pesa darasa la kwanza
MH. Kishimba kasema ukweli Wahindi Hawasomeshi watoto waajiliwe watoto wao wakiwa shule akija likizo nyumbani hufunzwa biashara na elimu ya kujitegemea sisi tunawasomesha waajiliwe.
Mzee yuko humble sana 😅
Huyu mbunge nimempenda sana sana
Hiyo mifumo iliwekwa kunyonya waafrica hapo ni mahesabu wacoloni wanafanya Leo ufaramsa eti bado kuna pesa unapata kutoka Africa Hilo ni wizi WA mifumo.
Jamaaa ana akili sana💪💪💪💪🔥🔥🔥
Kaka wewe ni Mtangazaji Bora sana,Nakuomba siku Moja nikuone kwenye Chombo kikubwa Cha Utangazaji kama BBC,VOA,DW ,TBC,AZAM and so on.
Nakukubali sana Mzee wangu kishimba
Ili uwe tbc uwe CCM
Wewe unataka aondoke Nyumbani
Hapo ondoa TBC na AZAM
@@sautikuu212 tbc na AZAM???😂😂😂
Mzee Kishimba anamiliki Imalaseko, Dar Free Market lkn anasema sio tajiri , Imagine hzo ni baadhi tu ya biashara zake, huyu mzee ni genius ndio maana anajitambua kuliko wasomi.
Mzee wangu nakuelewa sana na best mbunge kwa ssa
wee darFree Market ni yake lile jengo?
imalaseko ni nini sifaham
@@MtuSafi Imalaseko ilikuwa supermarket mwanza, Arusha na Dar
Darasa la saba lina siri kubwa sana😂😂😂
Daaah!!! Drs 7 kichwa sanaaa! Tunajifinza sana kupitia wewe
Kishimbaaaaa hhhh huyu mzeee ni mwalimu saanaaa , duh aiseeee
Mtangazaji uko vizuri ila sauti mliibana sana
Tunaomba interview NYINGINE Mr.Lambert
Upo sawa
Genius
Mtu na nusu......mzee kishimba huwa sikosi kusikiliza interview zako
Broken people act rich
And rich act broken😢..
Shule ya wizi concept is simply a Cybersecurity education in Ethical Hacking training...wizi wa digital unahitaji mafunzo mkabala wa kujua ili uweze kuuzuia...
Professor Kishimba is 💯 correct
Apa interview imekamilkaa
Confusion
"Ambao hawajasoma sio waoga kuchukua hatua kwasababu hawajui madhara saa nyingine kutokujua madhara ni faida pia". Quote imenyooka sana
Aise bro umeongea bonge la point ya sirini ama rohoni
Mheshimiwa.Kishimbaa anafaa apewe PhD ya heshima
#huyu mzee n mtu na nusu
Mwandishi unajua kuhoji safisana
Changamoto saut ipo chin sanaa
Nashukulu sasa MH kishimba kama serikali ingeweza kuwa na watu wenye akili hiyo ingeweza kubadili miji na kuwa kama dunia zingine hiyo idea wanazo wazungu kuna Aina tatu za mijego
Hilo ni somo mh kishimba
Nakuona unazidi kukuwa , Lambet
My favorite
Hongera sana
MTOTO AFUNDISHWE KUTAFUTA PESA AKIWA MDOGO.
SERIKALI NA WAZAZI WANAPATA SHIDA NA WATOTO WASOMI 😂
Nchi iendelee kumsikiliza huyu Jamaa kwa ukaribu sana ANA MADINI YA THAMANI KTK UBONGO WAKE!!
namkubali sana huyu mzee kishimba
Huy mzee namkubali saan kwa haya majibu
Unajua kuhoji na Umetulia sana.
Natamani kuonana siju moja na uyu mzee ana madinii sana
Yuko vizuri kuliko wasomi wengi
Sureeeeeee
Brother mtangazaji Hongera unefanya Interview ya Nguvu mno hawa ndiyo watu unaonatakiwa kuwa nao na siii Hao Wasomii wa Vyeti kama Yule mzee uliyemuita Msomi kuliko Yeyote Tz
Maisha halis na Ya Mafanikio Hayaelezeki ndiyo maana mzee amesema Hakuna kitabu cha Biashara...
I wish siku hata tukapata kuona anachoona kwa ukubwa zaidi huyu baba anachozungumza….
Baba huyu ni mwalimu mzuri wa kuelimisha jamii kuhusu uchumi
Hivi huyu mtangazaji hii online tv ni ya kwake? Mbona kama nilishamsikia times fm?
Mzee yupo vizuri tunahitaji kufikiria sana mfano mdogo tuu ni kwa nn watoto wa darasa la kwanza wasisome kiingereza la kwanza ?maana hii itasaidia waalimu na watoto kuelewa mapema kwa nn watoto wanaanza darasa la tatu?
Kiingereza kiliondolewa si miaka Mungu baada ya kuona mtoto wa Drs la kwanza anapewa masomo mengi hivyo anashindwa kuyamudu na Sasa kinarejeshwa tena
Nakubaliana na Kishimba. Japan ilikuwa kiboko kwa mafia. Polisi ilibidi ijiingize Kwenye umafia na kufanikiwa kupunguza. So Kishimba is Genius. Tumtumie ndugu yetu HUYU.
kishimba hiyo ni machine
Watu wenye maadili kama hawa wanachukuliwa poa poa tu,wapumbufu ndiyo wanasikilizwa.
Kishimba anayo mengi ya kusema.ila anaogopa kamati ya maadili
Sijambo. Hamjambo? TUWAFUNDISHE WATOTO WETU KULA SAMAKI NA KUVUA SAMAKI. (Tuwafundishe watoto wetu kutumia vitu na kuunda vitu). Tuwafundishe watoto wetu kwa maneno na vitendo kuanzia wanapokuwa shuleni hadi vyuoni.
🙏👏👏
Kwa upeo mzuri wa mzee huyu, natamani atupie macho sana Mahakama zetu pia ili aweze kutusaidia, maana kuna madudu mengi yanayopelekea haki kutopatikana. Mola akupe kila la kheir mzee Kishimba.
Jamaa yuko vzur sana
Sema nini umesahau kumuuliza profesa mtazamo wake juu ya mambo ya huko bandarini. Bt the rest is good.
Huyu ndiyo mpeni uprofesa siyo taletale
My role model mzee anajua mfumo wa maisha huyu akiongea huwa naacha mambo yote namsikiliza
Huyu mtangazaji huwa namkubali sana
Tatizo mnaokomemt weng sio wakazi wakahama uyo mzee utajir niwakwak nafamilia yake atuletei maendeleo khm barabar Kila Kona mbovu
Sie tunapenda mawazo yake acha hizo
Kahama tuko vizuri Meh. Kishimba simama hivyohivyo dunia imeona umuhimu wako. Hoja zako ni ukombozi WA mwafrika.
Umekaa unafikiri utaletewa mkononi Hilo sahau piga kazi hakuna atakayekupa maendeleo yako binafsi mpaka unaingia vumbini
Kwakweli huyu mzeee namkubali Sana na uwezo wake wakufikili na kuleta hoja zinazo gusa jamii moja kwa moja
Huyu Mzee anatosha kabisa kuitwa Professor zaidi ya ma professor wa darasani
@@mohamedykisuda6401hy
Nimeanza kuamini wasukuma wana kitu,kama taifa tuache kuwachukulia poa na kuwatania ushamba,kumbe sisi ndio hatujui😂
Shule ni upotofu tu kama hujui lengo hasa la elimu na hupati ...na kama hupati elimu yenye ubora wa ukweli...watu wanaofundishwa biashara utotoni na wazazi wao au fani nyingine za ujuzi...hutokea kuwa na mafanikio katika kutumia ujuzi huo Kim kimaisha kuliko watu waliokwenda Shule au wenye vyeti fulani...majority of our legacy education system of colonialism is nothing but brainwashing. ..you only get to learn a little. Here in the USA...majority of famous successful entrepreneurs who made big impact not only in business but also in life in general, were dropouts from college such as Bill Gates, Steve Jobs , Mark Zuckerberg etc...
Mzee Kishimba yupo sahihi nami namkubali kabisa....elimu aliyokuwa nayo ni zaidi ya Phd...na wengi wenye vertical vya Phd ni viiyo tu. wengine wananunua na kukariri theories only
we need to change the whole education system to revive every sector of our country's economy...
❤❤
Uyu mzee akilikubwa nasapoti sana mawazoyake big up
Uyo mzee amnakit anamaendeleo yoyot kwenye jimbo lak barabar zimeoza kilakona
Kazi ya mbunge ikiwa ni kutengeneza Barabara na kazi ya serikali inakuwa ni ipi?.
Mimi nashauri kama mtamzania huyu Mzee kishimba awe waziri mkuu wa Tanzania anachokiongea ni mdaa wa sasa Nina maada Anaenda na mdaaa
Kumbe Darasa la Saba wako wengi na sio Msukuma tuu
Anawaza sana
Hhhhhhhhhh dada wanao zaaa waozeshwe
Amesoma amejiendeleza huko Zimbambwe ana degree ya biashara na uchumi
Mitaani tunatumia kombi yetu ya pmk unaijua hiyo siyo elimu ya wazungu
Hongera sana tumepata Elimu ya uhalisia
Baba una mawazo ya ajabu....pale bungeni pangefaa angalau robo ya Wabunge wawe wa aina hii
Ndg. Lamert, wewe ni miongoni mwa ‘journalists’ wazuri, lakini unahitaji kuongeza ufahamu wa eneo husika ili uulize maswali bora zaidi.
Pili, usijisahau sana hata ukadhani unayemhoji ni wa rika lako. Muhimu utunze urasmi. Mh. Kishimba ni Mbunge, na pia ana umri wa baba yako. Kuna wakati unamtamka bila itifaki anayostahili - siyo sawa kwa wewe kudharau itifaki, na kudhani sasa ‘unalingana’ na Mh. Kishimba! Katika interviews zako zote, kutokujali itifaki muda wote ni udhaifu wako mkubwa.
The man
Hapo kwenye watoto mzee kapotea, watoto wa matajiri wanapata shida sana za kuwa na pressure kuwa wawe watu flani alafu kiongozi wa familia akiwa na mindset ngumu hapo inakuwa hell tu, awasikilize hao watoto wanampango gani awasupport ni simple sana hakuna mtu mtupu kichwani, nawalio fanikiwa ni wengi sana, mzee inabidi a study zaidi jamii za walio fanikiwa asiishi sana kwenye kichwa chake ufalme wa kiti kimoja sio ufalme is a matter of time tu
Swala la watoto si mchezo ndugu unaweza ku train mtoto lkn kila ukimtizama vision yake haiendani na business zako kabisa ni kum-support tu aendelee na mambo yake
@@samuelmajule54 kabisa, wazee wengi wana penda kulisisha talent zao, ilo ni kosa kubwa sana alafu linahatarisha economy ya generations kama utalisisha watu aina ya mambo yako na talent zako wakati wao sio mambo yao maanake iyo wealth lazima ije kufa then inarudi square one, na ndo mataifa yaliyofanikiwa from family level na jamii kwa ujuma wanatuzidi hapo
Nimejifunza
Kama namuona waziri wa fedha hivi bila vyeti😁😁😁