MKUU WA WILAYA AWATOA JASHO WAVAMIZI ZANZIBAR

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 26

  • @OmerSuley-gl7go
    @OmerSuley-gl7go 2 дні тому +3

    Wavamizi wakubwa wa nchi hii ni Watanganyika

    • @mudymbarouk8279
      @mudymbarouk8279 2 дні тому +1

      Duh kwani wanzabar hawapo Tanganyika

    • @لبيد-ك7ل
      @لبيد-ك7ل 2 дні тому

      ​@@mudymbarouk8279 wapo Tanganyika lkn hawana fujo km walivo wabara znz

    • @OmerSuley-gl7go
      @OmerSuley-gl7go 2 дні тому +2

      @mudymbarouk8279 Wazanzibari sio omba omba huko wala sio malaya wenye kujiuza wao wapo huko kufanya biashara na mengine kama walivyo katika nchi nyengine ila Watanganyika huku Zanzibar wamepafanya jaa
      Ombaomba wamezidi hadi mkuu wa wilaya kawaona kasema warudishwe Tanganyika me nafikiri yule mbunge alikuwa sahihi kurejeshwa kwa Passport kuingia Zanzibar na Tanganyika pia ili kulinda visiwa vyetu dhidi ya uvamizi

    • @JumaMakame-n6x
      @JumaMakame-n6x День тому

      Acha ubaguzi

    • @zanzibarboyzanzibar509
      @zanzibarboyzanzibar509 День тому

      @@OmerSuley-gl7go Kweli Zanzibar Hali imekua Mbaya huko Mashamba ndo hakusemeki, ukisema wanasema Ubaguzi. Machangudoa wote wa Mwananyamala na Wakabaji wa Manzese wote wapo Nungwi, Paje, Jambiani usalama haupo Maadil yetu ya Kizanzibar yamepotezwa

  • @masoudmasoud8138
    @masoudmasoud8138 День тому

    Mzee msemaji mzuri

  • @SAtt-lz1wl
    @SAtt-lz1wl 2 дні тому

    Pole

  • @hemedsalum2650
    @hemedsalum2650 День тому

    Asalam alaykum jamani hvi vtu sasa vnaimiza vle wanafanyiwa wazee wtu..thn naomba namba ya muandishi yyte wa hii online kuna habari nataka nimpatie aipeleke kw jamii

    • @aminamohammed5047
      @aminamohammed5047 День тому

      Twambie kuna habari gani hiyo pia hapo chini pana namba ya ofisi tumia kwa kutwambia iyo habari ya jamii tuifatilie

  • @thamani5842
    @thamani5842 День тому

    Tuoneeni huruma, tutalima wapi?

  • @AyoubPapiy
    @AyoubPapiy День тому

    Watu wameshavunja sheria na unasema wamekwenda kinyume, why hawachukuliwi hatua za kisheria?

  • @AyoubPapiy
    @AyoubPapiy День тому

    Nilichokiona mimi hapo sasa ni mvutano baina ya mkuu wa wilaya na mwanasheria kutoka wizara ya maji

  • @AbdallahJuma-wb8lq
    @AbdallahJuma-wb8lq 2 дні тому +1

    Ccm,hoiiiiiiiiiii

  • @alinasor8553
    @alinasor8553 3 години тому

    Kwani vibali katoa nani