Ccm nawambia kwa dhulma hii Wallah mtaondoka kama alivo indoka firaun kila anae soma comment hii aihifadhi hawa In Shaa Allah watang'oka sio mdaa mrefu In Shaa Allah
Asalama aleykum warhamatu wabarakatu. Swali je mmevipima sio tumeletewa na waxungu. Tutumie tu. Maana sahivi wanaleta dawa za kuvunja uzazi nk. Thing before you done.
Asanteni Sana kwa kuboresha na kuleta mandhari ya mji. Pasipo na ruhusa na jengo rasmi ondoa. Tunataka zanzibar nzuri yenye mandhari ya kuvutia si kila mtu anafanya anavyotaka
Ss s waambueni tu wahame kuliko kuchukuwa vitu vyao halafu mnavipeleka wapi lln he hya mambo toka zamani yalitabiriwa kutakuja viongozi washenzi wasiojali maisha ya Wananchi wao na ndio hii tunaiyona Allah awalaani kwa dhulma zao
Big up kiongozi ,,,taarifa mapema itakuwa vyema sana kupita kusema unaondoa taka taka mjini,,,,pia kwa wafanya biashara poleni sana,huu SI ustaarabu kuchukua vitu vya watu,ccm hoyeeeeeeee
Poleni Sana wahanga wote ss endeleeni kuchagua wabomoaji tena jamani tuna taka mabadiliko na sio dhuruma hii ni dhuruma jamani hivi watu wa chini tufanye nn ss 😭😭😭
Tatizo lenu mnataka mufanye ZANZIBAR Kama nchi za wengine ziloendelea ,hio haiwezekani sababu Zanzibar n nchi ambayo wakaazi wake naskini Sanaa, kwaiyo mutasbua sana wananch kwanini wasikae tuu, kwa Ile wanatunza amani?! Nahisi mara kwa maraunawavunjia watu bila ya kujali Hali zao?
Kuna mda nawaelewa ktk lengo la kuimarisha mji ila kiukwel Mkurugenzi busara haijatumika na hua tuna jisahau sana tunapoka kalia kiti mnasahau kama mnapita tu na mnarudi kweny jamii. Sawa mm huo ushauri wangu tu Mkurugenzi hata kama mlikua mshawapa ilan bdo mlikua mrudi kwa busara mfano mdogo hakuna hata raia mmoja alie support hili jambo hata hyo crew yko wengine wanalalama
Heeee hii htri.... Jamani maisha magumu mnaliwaza hili lakini.... bomoweni ila izo Mali zao wapeni.... pimeni uyo mtu uo mtaji tu kaupataje... half nyie muuchukue... tu kirahisi rahisi... Ahhhh kiufupi Allah atufanyie wepesi mana hawa binaadamu mtihani mtupu
Ila mkurugenzi hekma na busara ndio nguzo kuu ya uongozii hao muliowachukulia vyakula vyao utambuwe wanafamilia zinawategemea na pia kumbaka leo wao kesho na ww malipo hapa hapa duniani. Allah awape subra hao wafanya biashara yeye ndio mlipaji
Nadhani na ubishi wakati mwengine tunao,kama ni kweli maneno ya mkurugenzi ameshawaita mara 2 akazungumza nao na bado wanaendelea ni kosa. Hata na mimi ningetumia nguvu kama mbadala wa hiari.
Hawa watu wana ardhi bara haina mwisho lakin wanakuja kutuharibia mazingira ktk kisiwa kidogo wapo laki 5 hapa znz shida tupu. Bara nchi kubwa kwa nini kuja kuivamia znz tabu tupu
Hata kiswahili chao si cha kizanzibari utaskia biashala mara tunatafuta liski wengi wameanza kuwadhulumu wazanzibari haki zao, wameletwa kuipigia Kura CCM tena wengine we ameshaleta ndugu zao tele serikalini huku wazanzibar wazawa wananyimwa vitambulisho na ajira pia kwa iyo kama wanaona wameonewa wasiendelee kuteseka ugenini wakati aliewaleta hawajali tena
Siki kokote masoko mushaambiwa yapo mbona unakaa Masham a tunafuata maduka mjini sate' tunapanga daladala unafika kutafanya mambo yetu nakukarejea makwetu mazingira ni bora tuangamize maradhi maradhi yanayotuandma waja
Ok basi mnashindwa kutumia hekima na busara mpaka wavunje kharamu hiyo dhulma hiyo tukutane kwenye kisanduku cha kura mliwazoea wapemba saivi mnawaingilia ndugu zenu wa bongo
Safi sana Mji hauwez kua na mpanqilio wa ovyo na mabanda banda yaliojazana majiani kias hichi Naiponqeza baraza la manispaa kwa hili zoezi na naomba liendelee usiku + mchana
Safi sana. Hawa ni wavamizi, sio Wazanzibari. Huyo aliyeuliza "tukatafutage liziki wapi" kwani jajui walikotoka? Wote warudi walikotoka. Wasituchafulie nchi yetu adhimu ya ZANZIBAR. Wanatuharibia sifa ya kuwa nchi ya kitalii. Hongera Manispaa.
Haya mambo yanataka ujasiri wa watawala kwani hata Hao wanaovunjiwa wataona uzuri wa Mahala wakati wakipita. Nakuomba utizame kwenye you tube huko Gambia wanafanya nini kutengeneza mandhari na kuondoa ufanyaji biashara na ujengaji bila sheria.
Halafu wote wanaofanya hizo biashara ni watu wabara. Sio kwamba hatupendi waje waishi zanzibar ila tungependa wawe wastarabu wahamie wao tu na sio tabia zao
Wanzanzibar wenzangu serekali hii sio jamn tuitafuten zanzibar yenye huru hawa maharamia hawana uchungu na Nch yetu tuipiganie zanzibar kwanz naamn mazila haya yataisha t inshaallah
Ni sawa kwa maoni yako ila serikali c imetowa mda mara kadhaa, ata ivyo mipaka ya barabara c inaeleweka ndugu? Usiilaumu mamlaka, kumbuka serikali huwa haikurupuki tu kufanya maamuzi yake.
Hao jamaa ni wanachochea umaskini, sana wanatenda dhulma ya hali ya juu, ndio maana wanaongoza kwa kula rushwa. Hii dunia ni ya Mungu na wao kama viongozi wanajukumu kubwa sana la kumjibu Allah kesho Akhera.
Maoni yangu ni kwamba serikali kila inapowaita wafanya biashara kuja kutowa muda wa kuvunja, iwatilishe saini na itowe mwisho wa muda wa kuweka saini. Kufanya hivyo itaondoa lawama zisizo za lazima.
The issue on the sidewalks is ok, we need sidewalks but i am surprised the sidewalk of the ferry place in town you cant walk on the sidewalk without being block with motorbikes or stuff blocking the sidewalk, also going to south zanzibar when you passed muyuni you will see children going to school don't have sidewalks and they walk on the roads i think the government should look on the improvement of the country fairly and value all places equally
Mtakuja hukumiwa na hukumu itaanza hapa hapa duniani huo wenu ni ukatili na mtakuja kuulizwa kwa mnayoyafanya 💯mnatumia nguvu zenu kuwakandamiza wengine kisa nyinyi mnapo pakupatiza nna kupata vijio na watoto wenu Allah atawalipa
Unguja imekuwa ovyo sana sana. Kuna watu wanajifanyia biashara za vyakula na kupika katikati ya Mji, pahala siyo muwafaka kwa biashara zao. Kila pahala mpaka njiani kuna vibanda vibanda vya matunda njee mavumbi hata inakuwa hakuna afya nzuri kwa huyo Muuzaji . Serekali muwatafutie pahala muwafaka mlowavunjia maduka yao au muwape sehemu nzuri wafanyie kazi zao lakini siyo chini ya nyumba za watu au chini ya madirisha ya watu kama pale Michenzani. KUMEFELI.
Miji Ijengwe na Serikali ktk hali ya kileo lakini pia wakodishwe kwa bei ya chini ili kila mmoja aweze kumudu malipo. Otherwise Milango itabakia mitupu.
Wew umeishi miaka 8 cc wengine tunapajuwa hapo kilimani token 80s huko hapo ni eneo la serikali ni eneo tupu km aliambiwa Kuna mwenyewe bs kapigwa,na km mmechunguza wabongo wengi na wakija wanafabishara wanapojaliwa
Dua ya mwenye kudhulumiwa hairudi, na wala haina kizuizi. La muhimu ni kumshtakia Allaah. Ndio maana wakistaafu tuu, wanapata stroke, maradhi ya miguu,, figo. Nk
Ccm nawambia kwa dhulma hii Wallah mtaondoka kama alivo indoka firaun kila anae soma comment hii aihifadhi hawa In Shaa Allah watang'oka sio mdaa mrefu In Shaa Allah
Asalama aleykum warhamatu wabarakatu. Swali je mmevipima sio tumeletewa na waxungu. Tutumie tu. Maana sahivi wanaleta dawa za kuvunja uzazi nk. Thing before you done.
Kaka upo sahihi hawa washenzi wamezidi dhulma wallah
Ewe mwenyeezi mungu pokea dua zao hawa waliovunjiwa hawana kimbilio zadi yako 🤲
Asanteni Sana kwa kuboresha na kuleta mandhari ya mji. Pasipo na ruhusa na jengo rasmi ondoa. Tunataka zanzibar nzuri yenye mandhari ya kuvutia si kila mtu anafanya anavyotaka
Wacha nikuletee mauwa yko rafiki, ha2wezi kuishi kwamazowea 2, kwani sehemu za biashara czimewekwa, VUNJA YOTE
Mnawaleta watu wapigie kura halafu mnawanyanyasa katika kutafuta rizki za halali
Msiwape kura haooo
Aaa awo hawana haya
Kumbe Zanzibar kuna .. "L" badala ya "R"
Luhusa - Latiba - turipanga
huyu mzamiaji sio kwa errimu hizi na kujiajili huku hahhah
Hiiii sio haki kabisa
Poleni sana mungu akupeni mbadala wa hayo
Kila lenye mwanzo halikosi kuwa na mwisho
Safi sana wapewe maeneo rasmi
AHSANTE NA TUWE POLE WANANCHI WZNG(.MASKINI WZNG )LKN KUJIAJIRI TULIKORUHUSIWA (YUJITAHIDI TUSIVUNJE SHERIAAAAAAA)INSHAA ALLA MWENYEENZI MUNGU SUBHANNA WATTAALLA ATUFANYIE WEPESI AMEEN
Hijakaa sawa kabisa ...ni uonevu.... Allah awaalaani kila mshirka wa upuudhi qalofany dhidi y wanyonge ...
Ayo mambo yana mwisho na Mwenyezi Mungu anayaona. Kubwa ndugu zangu ni kusema Allhamdullillah
Mnapenda sana kusingizia Kuna nguvu za wakubwa wanahusika na kama mlijuwa hivyo kwa nini msiondoke kabla
Wallah dhulma... Hii nchi. Allah awpe subra.. Wahanga wote
hii ndo africa,kila alie juu anamuonea wa chini.
jamani ndugu zangu poleni ila allah halali wala hasinzii atalipa tuu
Ss s waambueni tu wahame kuliko kuchukuwa vitu vyao halafu mnavipeleka wapi lln he hya mambo toka zamani yalitabiriwa kutakuja viongozi washenzi wasiojali maisha ya Wananchi wao na ndio hii tunaiyona Allah awalaani kwa dhulma zao
Big up kiongozi ,,,taarifa mapema itakuwa vyema sana kupita kusema unaondoa taka taka mjini,,,,pia kwa wafanya biashara poleni sana,huu SI ustaarabu kuchukua vitu vya watu,ccm hoyeeeeeeee
Mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah
tatizo wazanzibari mnapenda kuishi maisha ya mazowea yaani hampendi mabadiliko
Wewe unafirwa san 😊
@@greenandbeach8134 haya ila badilikeni
Hawa sio wazanzibar ni wabara angalia vizur
@@greenandbeach8134 Kwa matusi haya yaani wewe ni Mpemba kabisa kutoka chake chake mtambwe hukoo maana Wazanzibari/Unguja hawana matusi ya rejareja
HAO wengi NI wa Tanganyika si Wazanzibari. Hata Hulu sehemu ya Chukwani Manispaa wangekuja Maana vibanda KILA Kona .
Sawa wavunjieni lkn musichukue haki ya mtu hio ni dhulma Allah atawalipa madhalim insha'Allah
Usisikitike lazima tufanye kilicho Sawa tusijenge maaeneo yaliyo nje ya utaratibu
Al fatah Tv Online
Good News
Allah awape subra wote walopatwa na mtihani huu
Hebu uvunjeni mungano kama munaweza .
Mungu bado yupo na sis duwa zetu zinatosha.
Awo wanao vunja sio wabongo
Poleni Sana wahanga wote ss endeleeni kuchagua wabomoaji tena jamani tuna taka mabadiliko na sio dhuruma hii ni dhuruma jamani hivi watu wa chini tufanye nn ss 😭😭😭
Saa nyingine wananchi tunakua wakaidi mtu mushaafukuzwa zaidi ya mara 2 bado mnang'ang'ania tu serikali ikianza kuvunja mnajifanya mnaonewa
Tatizo lenu mnataka mufanye ZANZIBAR Kama nchi za wengine ziloendelea ,hio haiwezekani sababu Zanzibar n nchi ambayo wakaazi wake naskini Sanaa, kwaiyo mutasbua sana wananch kwanini wasikae tuu, kwa Ile wanatunza amani?! Nahisi mara kwa maraunawavunjia watu bila ya kujali Hali zao?
Mungu awape laana yayote atakae iba au kula chochote kwenye vitu walovichukua
Kuna mda nawaelewa ktk lengo la kuimarisha mji ila kiukwel Mkurugenzi busara haijatumika na hua tuna jisahau sana tunapoka kalia kiti mnasahau kama mnapita tu na mnarudi kweny jamii. Sawa mm huo ushauri wangu tu Mkurugenzi hata kama mlikua mshawapa ilan bdo mlikua mrudi kwa busara mfano mdogo hakuna hata raia mmoja alie support hili jambo hata hyo crew yko wengine wanalalama
Kuweka mazingira Safi ni Sawa. Ila kuchukua Mali zao si Sawa. Waambie watoe Mali zao kisha bunjeni na musafishe wao watujuaali zao wapi
Heeee hii htri.... Jamani maisha magumu mnaliwaza hili lakini.... bomoweni ila izo Mali zao wapeni.... pimeni uyo mtu uo mtaji tu kaupataje... half nyie muuchukue... tu kirahisi rahisi... Ahhhh kiufupi Allah atufanyie wepesi mana hawa binaadamu mtihani mtupu
Ila mkurugenzi hekma na busara ndio nguzo kuu ya uongozii hao muliowachukulia vyakula vyao utambuwe wanafamilia zinawategemea na pia kumbaka leo wao kesho na ww malipo hapa hapa duniani. Allah awape subra hao wafanya biashara yeye ndio mlipaji
Wanasahau km hii dunia
Nadhani na ubishi wakati mwengine tunao,kama ni kweli maneno ya mkurugenzi ameshawaita mara 2 akazungumza nao na bado wanaendelea ni kosa.
Hata na mimi ningetumia nguvu kama mbadala wa hiari.
Wakiwa madarakan wanajisahau sana
@@hatibbaraka3956ngjea ukeshavunjiwa utajua uchungu wake
Watu wakifanya kazi mnatoa mapovu wakiachiwa mnasema serikali haifanyi kazi Wazanzibari bhana
Mutetezi wawanyonge ameisha wahi!!RIP Doctor Magufuli
Yani serekali hiii dah mungu ndio anajuwa vya kuihukumu
Ajira ni muhimu lakiñi usalama ndiyo bora zaidi serikali inawapenda lakiñi usalama na mazingira kwanza
Mnabomoa au mnanyang'anya vitu?huo ni uonevu mnaoufanya.Mitaji hamuwapi leo mnawachukulia vitu vyao.Hakika haki iko kwa M,Mungu.😢
N hatari hiyo poleni sana ndugu zangu
And taking their stuff that's not correct, hold them accountable for their mistakes but don't take their stuff and damage them.
Shida ni kuwa timamu, akili sote tunazo😂😂
Tubadilike jamaniiii mfanye biashara sehemu husika baada ya serikali.kuchukuwa hatua mnajifanya mmeonewa bomoa hao mana kwa hiari hawataki
We jibwa unashadidia sindio
Daa mungu akulaan ww
Kwan nyie wqgeni hpa zanzibar mbona maeneo ya kufanya biashara yamewekwa mbona mambo ya kule mnatuletea huku fateni sheria bana
Hawa watu wana ardhi bara haina mwisho lakin wanakuja kutuharibia mazingira ktk kisiwa kidogo wapo laki 5 hapa znz shida tupu. Bara nchi kubwa kwa nini kuja kuivamia znz tabu tupu
Hata kiswahili chao si cha kizanzibari utaskia biashala mara tunatafuta liski wengi wameanza kuwadhulumu wazanzibari haki zao, wameletwa kuipigia Kura CCM tena wengine we ameshaleta ndugu zao tele serikalini huku wazanzibar wazawa wananyimwa vitambulisho na ajira pia kwa iyo kama wanaona wameonewa wasiendelee kuteseka ugenini wakati aliewaleta hawajali tena
Wacha ujinga
Warudi kwao waliko toka kisiwa karibu kitazama lol
SERIKALI YA CCM NI SERIKALI YAKISHENZI SIJAPATA KUONA MWAKA WA60HUU MADARAKANI LAKINI HAWANA MPANGO WOWOTE. ZAIDI UONEVU,MAJANGA,NAKUONGEZA NJAA .😅
Km miaka 60 bado hakuna mipango jee 😅 kutakua na mipango
Wallahi ni Mtihani mkubwa sana huu lakini Allah yupo atawapa malipo yao stahiki
Tunaiomba mbagala ije hii uhuru ukizidi ni fujo mbagala biashara ziko barabara wapita njia tuko hatarini
Barabara ya Mchangani mbona haionekani?
Udhalilishaji huu mungu atahukumu serikali ya ubabe
Poleni sana 😭😭😭
Siki kokote masoko mushaambiwa yapo mbona unakaa Masham a tunafuata maduka mjini sate' tunapanga daladala unafika kutafanya mambo yetu nakukarejea makwetu mazingira ni bora tuangamize maradhi maradhi yanayotuandma waja
Mtihani dah!
Mungu awalaani wote mbaobomoa na kuwatia watu umasikini tena kwenye laana hiyo ianze nawewe mzee unaeongea pumba
Wakiachiwa hao wanaweza hata kwenda kujenga vibanda vya biashara ndani ya viwanja vya michezo furusha wote
hawa jamaa ni washenzi sana
Kweli kwa upande I naharibu na masoko biashara ikiwepo kokote nafata mbona nchi za nje tunafuata bidhaa kokote
😢😢😢wanawanyanyasa tu wanyonge
Ok basi mnashindwa kutumia hekima na busara mpaka wavunje kharamu hiyo dhulma hiyo tukutane kwenye kisanduku cha kura mliwazoea wapemba saivi mnawaingilia ndugu zenu wa bongo
Ila jasho la mtu halipotei mungu ni wetu sote hakika mtavuna mnavyovipanda.
Mnafanya makosa kisha mkichukuliwa hatua mutilishe huruma
Rudini kwenu Msikae zbar mnachafua mji mmezidi sana kila pahala mmejaa nyie mnaleta tamaduni c zetu uchafu mwingi
Acheni ubaguzi.
@@JabirJabir-c9oUbaguzi nini mnachafua mji ah si muende mkaombe nafasi kwenye masoko mapya huko mnakera bhana
@@JabirJabir-c9o Kama kuweka mazingira bora ya mji wetu ni ubaguzi basi wacha tuwe wabaguzi tu katika ardhi yetu ❤❤ila hizo slums hatuzitaki
Je! na wao watufuke kule Tanzania bara??
Mcheni Allaah, dini yetu haijaweka nafasi ya kubaguwana kw kabila wala rangi
Wao wapo kwao hao. Na huko waliobomolewa ni miji yao. Wamefika UNGUJA kabla wewe kutoka jazira na ushahidi upo. Kelele sasa mnajua kusema?
Safi sana
Mji hauwez kua na mpanqilio wa ovyo na mabanda banda yaliojazana majiani kias hichi
Naiponqeza baraza la manispaa kwa hili zoezi na naomba liendelee usiku + mchana
Chinga wakorofi sana wanaharibu mji ,kule kwao kariakoo wamefukuzwa wamevamia Zanzibar
Wauweni !
Miaka mitano tena 😂 hapo bado yajayo yanayanafurahisha😂😊
Safi sana. Hawa ni wavamizi, sio Wazanzibari. Huyo aliyeuliza "tukatafutage liziki wapi" kwani jajui walikotoka? Wote warudi walikotoka. Wasituchafulie nchi yetu adhimu ya ZANZIBAR. Wanatuharibia sifa ya kuwa nchi ya kitalii. Hongera Manispaa.
Acheni roho mbaya
So uzur kubaguwa watu hjui nan atkaekufaa kesho
Dah sio maneno mazuri hayo ndugu , kwani hakuna Wazanzibari wanao tafuta rizki zao Bara?
Maskini dah😢😢😢, sio vizuri lakini uonevu huo
Haya mambo yanataka ujasiri wa watawala kwani hata Hao wanaovunjiwa wataona uzuri wa Mahala wakati wakipita. Nakuomba utizame kwenye you tube huko Gambia wanafanya nini kutengeneza mandhari na kuondoa ufanyaji biashara na ujengaji bila sheria.
Munazingua mbona munamwaga taka kwenye makazi yawatu
Halafu wote wanaofanya hizo biashara ni watu wabara. Sio kwamba hatupendi waje waishi zanzibar ila tungependa wawe wastarabu wahamie wao tu na sio tabia zao
Tabia waziwache Chumbe 😂😂😂
🎉🎉😂😂🎉🎉
Wanzanzibar wenzangu serekali hii sio jamn tuitafuten zanzibar yenye huru hawa maharamia hawana uchungu na Nch yetu tuipiganie zanzibar kwanz naamn mazila haya yataisha t inshaallah
Ni sawa kwa maoni yako ila serikali c imetowa mda mara kadhaa, ata ivyo mipaka ya barabara c inaeleweka ndugu?
Usiilaumu mamlaka, kumbuka serikali huwa haikurupuki tu kufanya maamuzi yake.
Yaani we Kama utapewa hii nchi lazima ioze na inuke Kama uvundo
@@harithwhite589 kwa 7bu gani umenena ivyo?
Hao jamaa ni wanachochea umaskini, sana wanatenda dhulma ya hali ya juu, ndio maana wanaongoza kwa kula rushwa. Hii dunia ni ya Mungu na wao kama viongozi wanajukumu kubwa sana la kumjibu Allah kesho Akhera.
Visiwa vyenyewe vya kimaskini halaf mnawaonea na kuzidi kuwaongezea umaskini....ila Mungu atawasmamia
Jamani jamani muogopeni mungu binaadamu wanatafuta riski
Uwonevu tu ngombe nyie mungu awalani nyote guruwe pori nyie 😢😢
Haw wanafanya svo kuchufuwa vtu vyawatu msjshau una mungu mtaenfa kujbu nni
Maoni yangu ni kwamba serikali kila inapowaita wafanya biashara kuja kutowa muda wa kuvunja, iwatilishe saini na itowe mwisho wa muda wa kuweka saini. Kufanya hivyo itaondoa lawama zisizo za lazima.
Sasa Kuna ulazima Gani wa kuwavunjia meza?
Mbwa wakubwa tu ninyi, washenz sana
Naona awo walovunjiwa wote ni ndugu zao kumbee mshachoka kuwavunjia wapemba saiv mnawavunjia ndugu zenu
ubaguz upo ktk damu yko
😂😂😂umeona eeeh
Chinqaz tupu
The issue on the sidewalks is ok, we need sidewalks but i am surprised the sidewalk of the ferry place in town you cant walk on the sidewalk without being block with motorbikes or stuff blocking the sidewalk, also going to south zanzibar when you passed muyuni you will see children going to school don't have sidewalks and they walk on the roads i think the government should look on the improvement of the country fairly and value all places equally
dawa zinapatikana wapi na ni kiasi gani
Mbona wingi wanaohojiwa niwaleeeee ? Au maskio yangu tuu
Ndio wale wale.......kiongozi.....wala usjali
Amepeleka Balua na sio Barua kumbe ni Watanganyika wanatujengea mabanda na sio maduka mazuri
Mtakuja hukumiwa na hukumu itaanza hapa hapa duniani huo wenu ni ukatili na mtakuja kuulizwa kwa mnayoyafanya 💯mnatumia nguvu zenu kuwakandamiza wengine kisa nyinyi mnapo pakupatiza nna kupata vijio na watoto wenu Allah atawalipa
Inaonekana Hawa walio hojiwa ni ndugu wa Tanganyika.
Unguja imekuwa ovyo sana sana. Kuna watu wanajifanyia biashara za vyakula na kupika katikati ya Mji, pahala siyo muwafaka kwa biashara zao. Kila pahala mpaka njiani kuna vibanda vibanda vya matunda njee mavumbi hata inakuwa hakuna afya nzuri kwa huyo Muuzaji . Serekali muwatafutie pahala muwafaka mlowavunjia maduka yao au muwape sehemu nzuri wafanyie kazi zao lakini siyo chini ya nyumba za watu au chini ya madirisha ya watu kama pale Michenzani. KUMEFELI.
Halafu iyo sijda ya nn apo na ubabe huo...? 😢
Sasa vitu vyao mnavichukulia nn? SI muwaambie tu waondoke jamani
Naona waliohojiwa wote wabongo hakuna mzanzibari Hata mmoja
Fotsek, nonsense
Waja ujinga hamna mzanzibar kwani wabongo ngombe au hapa tunaangalia maslahi yetu sote sio bongo wala kichwa
Kila mnacho letewa na wazungu mnakiamini.
Kuhara na kutapika si kawaida tu.
Hata wewe utastafuu utajua pesa nnini na twakuombea Allah ajekuonesha tamu ya utafutaji😊
Dur Jaman uchafu upo wap humo munapobomoa 😊
Miji Ijengwe na Serikali ktk hali ya kileo lakini pia wakodishwe kwa bei ya chini ili kila mmoja aweze kumudu malipo. Otherwise Milango itabakia mitupu.
Sasa baada kumuomba mung akusaidieni munaiyomba serekali ambayo imekudhukumuni😊
Mamb yot ay angekuwa magufuri bas yasinge tokeaaa😢
Alafu vijana mujiajiri wanafiki tu😭😭😭😭
Niulize swali izo sehemu mnazotaka watu waende jee nafasi ipoo
Biashara za watu unazita taka Sawa mungu sio athumani kama uongozi unakusahaulisha unakoelekea
Sasa jamani mnataka tufnye nin😢😢😢
Mtapataa laana😢
Wew umeishi miaka 8 cc wengine tunapajuwa hapo kilimani token 80s huko hapo ni eneo la serikali ni eneo tupu km aliambiwa Kuna mwenyewe bs kapigwa,na km mmechunguza wabongo wengi na wakija wanafabishara wanapojaliwa
Siku zote ogopa dua ya anaedhulumiwa kwani baina yake na mungu hakuna padhia
Dua ya mwenye kudhulumiwa hairudi, na wala haina kizuizi.
La muhimu ni kumshtakia Allaah.
Ndio maana wakistaafu tuu, wanapata stroke, maradhi ya miguu,, figo. Nk
Tumejiali
Murudi mulipotokea
Hii ndio zanzibar 😢😢😢 wote watanganyika
Nyie wakubwa nyieeee