MAKEKE YA BIBI SHARIFA WA ZANZIBAR; ANAZUNGUKA NA WATALII, LAKINI HADAI MALIPO YOYOTE
Вставка
- Опубліковано 7 лис 2022
- MAKEKE YA BIBI SHARIFA WA ZANZIBAR; ANAZUNGUKA NA WATALII, LAKINI HADAI MALIPO YOYOTE
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm
Poleni waZanzibari mulijidunga mwiba (Muungano) wenyewe.....mutalia hadi kiyama !!!!! UDHALILI MTUPU !!!
Hongera mama endelea hivyohivyo na uzalendo wa kweli sio wengine wanajiita wazalendo wakinafik mie mzalendo uzalendo gani kila kukicha mtoaji kasoro wa viongozi wako nchi yako kila rais anavyojitahid kuleta maendeleo mabadiliko ya nchi weee ndio wa kwanza kumkosoa halafu eti mie mzalendo mama ,mwinyi fanyeni kazi zenu tunawapebda sana❤🇹🇿
Shikamoo Bi. Sharifa nimependa unavyotema yai, Safi sana
Mashallah
Ww bibi kaa na Wana wake wenzio wanaume Hao
Huyo mume wa huyu bibi vipi anamruhusu mke wake aende kukaa na W/ume vigengeni au huko ndio kupendana?
This woman speaks fluent English. Better than our leaders - should be Minister for Education
Bi Sharifa ushauri wangu fungua cooking class. Don't hesitate :)
Zanzibar.itabaki..kuwa..zanzibar..hata..mfanye.nn
Wehauijii nchi unashinfa polini
Kwanini mtu ukiulizwa kuhusu ZANZIBAR. Huwa unashindwa kusema ukweli. .. tusijaribu kuwogopa mbele ya kamera. Ongeeni ukweli wa mambo ulivo .kama alivo ongeya LUKUVI KULE KANISANI. .tusidanganyane. ZANZIBAR si ZANZIBAR tena tupo tu na mahangaiko ya MAISHA. Origineel ZANZIBAR ilikuwa 11januwar 1964i kabla ya ASUBUHI ya januwari 12. 1964 Haya yote munayoyaona ni vivuli tu va MAISHA. Kabla ya MUNGANO zenji kwa PASPORT baada ya MUNGANO zenji kwa VIBOTI. MAREHEM shekh ILUNGA . Alisema ZANZIBAR ilikuwa MADINA al elmu. . ZANZIBAR ilikuwa most power nation
Usiache pesa bwana bi sharifa, chukua saidia wengine
UNAPIGA GITAA
Tunajivunia wewe bi sharifa
Acha unafiki ww bibi tunapendana gani sie labda kurogana