KIBALI----PASTOR GILLACK(OFFICIAL AUDIO)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 5 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 264

  • @antonyochieng2392
    @antonyochieng2392 Рік тому +1

    Naomba Kigali chako iondolee haibu amen

  • @doreenkwamboka9031
    @doreenkwamboka9031 2 роки тому +4

    Amen and Amen glory to be God, ehee Mungu wangu naomba kibali chako Yesu kitwue juu yangu mm n familia yangu n historia yetu ichange tungae kaa jua baba yangu tusiwe w kusaidiwa tue w kusaidia baba yangu najua wewe n Adonai utatufanya kua watu katika maixha yetu,,,,,,baba angu nahamini hakuna kitu kitanitenga n Yesu wangu kama n magojwa nimekataa kabisaa yashidwe katika jina l Yesu christo

  • @elivllahmoraa
    @elivllahmoraa Рік тому +4

    Through this Altar Huduma yangu ifunguliwe in Jesus name 🙏🏼

  • @antonyochieng2392
    @antonyochieng2392 Рік тому +3

    Katakana nyimbo Kigali naomba mungu anifuliwe kazi kwa familiar yangu .magonjwa,mapito,masengenjo.ndugu wanna check laminitis mungu itabaki kuwa mungu amen

  • @mediakatan
    @mediakatan 2 роки тому +8

    I really appreciate it. Usipunguze sauti na usiongeze madoido pastor.

  • @fredrickogola5522
    @fredrickogola5522 2 роки тому +8

    Like father like son glory to God

  • @mariamkache6682
    @mariamkache6682 2 роки тому +42

    Amen,naomba kibali chako Yesu badilisha historia ya maisha yangu Yesu,niondolee.aibu za ulimwengu na laana nitakapo kanyaga nikubalike niongoze,nitawale niwe nyota kwetu,niwe msaada na baraka kwa wengine,achilia ukombozi kwetu,achilia neema kwetu tukujue ww Bwana Yesu hakuna chochote kitakacho nitenfa nawe Yesu mokozi wangu,niondoe katika kifungo cha utumwa achilia baraka zako,roho wako wa bwana aingie ndani yangu Ame 🙏🙏

  • @budnam
    @budnam 2 роки тому

    Amen pastor ni kitu gani kitazuia Kibali changu cha uimbaji wa nyimbo za injili Aaaaah Hapana nimekataa kabisa nakutamani bwana yesu unitawaleeee hallelujah nani kama ww baba am feeling ur presence of my lord usiniache hooooh😪

  • @vyonemwende305
    @vyonemwende305 2 роки тому +16

    Ministering to me after bn in ICU FOR ONE MONTH 🥵🥵God took us through we come out alive,,Hakuna kitu kitanitenga na Yesu

  • @liliannyaigoti1750
    @liliannyaigoti1750 2 роки тому +1

    Yesu naomba kibali chako ibadirisha maisha yangu

  • @aneth-s6x
    @aneth-s6x 23 дні тому

    Kibali Cha nyota Za wazazi wangu na watoto wangu wapokee Cha masomo na Akili mashuleni na kupata Karo za kuwasomesha Amen Amen Amen

  • @mercyosoro5978
    @mercyosoro5978 Рік тому +4

    My spiritual dad together with Daddy Ezekiel all will be well 🙏🙏 on Tuesday all the enemies will be ashamed

  • @MaseaKerry
    @MaseaKerry Місяць тому

    Hallelujah hallelujah hallelujah Lord Amen Amen Amen fadhili zako ni za milele Amina

  • @lydiahondieki551
    @lydiahondieki551 2 роки тому +2

    🙏🙏🙏pastor gillack naomba pia kibari ya uimbaji kwa jina la yesu natamani sana

    • @creatureman2012
      @creatureman2012 2 роки тому

      Kipawa kiko ndani yako piga hatua ya imani

  • @elizabethjelagat9663
    @elizabethjelagat9663 Рік тому

    Hii nyimbo inaniinua kiwango kingine inanitia moyo be bless 🙌 pastor

  • @margaretmachuma328
    @margaretmachuma328 Рік тому

    Kwa hakika mungu ni mwema kila wakati....tunaish kwa neema ya mungu...yeye ni mwaminifu sana...nasema ni asante juu amenipigania katika maisha yngu ❤❤❤

  • @evamusuruve3196
    @evamusuruve3196 2 роки тому

    😭😭😭😭YESU ,nipe kibali nikutumikie ziku zangu ,za maisha yangu ,,,nimechoka na dthambi , nioshe kwa Damu Yako ,nikubalike mbele zako Jehovah

  • @lucykerubo4662
    @lucykerubo4662 2 роки тому +1

    Amen,tunabarikiwa sana mtumishi na nyimbo zako

  • @winniembula392
    @winniembula392 Рік тому +1

    NAKUTAMANI BWANA YESU UNITAWALE🙌🙌🙌

  • @janepherafandi8491
    @janepherafandi8491 2 роки тому +1

    YESU wangu nakutamani utawale maisha yangu,tawala wazazi wangu... Asante sana mchungaji🙏

  • @mariamsamwel2750
    @mariamsamwel2750 Рік тому

    Naomba uponyaji kupitia nyimbo hizi ndoto mbaya wachawi nawalaanii in Jesus name amen mungu niangalie nipe kubali yehova Linda wanangu bila WW hatuwezi sisi n Bure mungu tuzingire na damu yko

  • @eunicenanzala2784
    @eunicenanzala2784 2 роки тому +1

    Amen pastor kibali kituwe juu yangu

  • @mwanagumitowekesa4227
    @mwanagumitowekesa4227 2 роки тому +5

    Amen and Ameeeeeeen I love these wonderful and powerful worship songs and may Almighty God lead you and uplift you for the best songs

  • @judykeyah4651
    @judykeyah4651 2 роки тому

    Kibali chako kitwae juu yangu YESU 🙌🙌🙌

  • @mercymoraa7686
    @mercymoraa7686 2 роки тому +1

    Mungu wetu naomba KIBALI chako nibadilishe historia yangu na ....naitaji KIBALI chako kikae juu yangu milele

  • @mapenzizawadi7979
    @mapenzizawadi7979 2 роки тому

    Naomba kibali chako yesu ju ya kazi yangu nisionekane mm Bali ukaonekane ww bwana🙏🙏😭 nfungulie njia zilizo fungika yesu

  • @aneth-s6x
    @aneth-s6x 23 дні тому

    Kibali Cha huduma vipawa karama miujiza ishara maajabu uponyaji maabudu ualimu Unabii Uijilisiti uonaji utambuzi na Hekima Yesu kristo kitue juu yangu Mimi Kurwa na mke wangu Aneth Kurwa ✨🌟⭐💥💫

  • @irinenanciebarasa5566
    @irinenanciebarasa5566 2 роки тому

    Amen Amen amen hallelujah asante mtumishi wa mungu ooooh mungu akutie nguvu nyimbo pokea nyimbo mpya saidi kutufariji nabarikiwa nikiwa Saudia hallelujah...ooooh my heart feel cring....ooooh tukumbuke mungu wetu...

  • @joyceomwega9024
    @joyceomwega9024 Рік тому

    Amen.naomba Kibali chako Yesu kìtue juu yangu

  • @rebbeckitaerness6578
    @rebbeckitaerness6578 Рік тому

    Its too much for me,feel like giving up but again idont want to. Through this worship nakutamani bwana yesu unitawale,take control over my life,niondolee hii aibu inaniandama,magonjwa umasikini,mungu achilia nyota yangu.when you get to see this comment plz pray for me and my family.amen and amen

  • @maclineogaro8949
    @maclineogaro8949 2 роки тому +1

    AMEN, ombi nzuri nami naomba kibali

  • @Pauline-d3b
    @Pauline-d3b Рік тому +4

    Amen 🙏🙏🙏 you truly bless me with your songs all the time

  • @christineatieno3848
    @christineatieno3848 2 роки тому

    Blessing song....naomba kibali 2023.

  • @Moraaleah
    @Moraaleah Рік тому

    Im very powerful ✨✨✨ true all songs i must be a start to sing Gospel songs of God i im the Star ✨✨✨ i believe in Jesus name God will guide me 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @lilianalara8007
    @lilianalara8007 2 роки тому

    Bwana yesu natamani unitawale milele,binadamu wanatamni niwe marehemu lakini kwano bado nina dhamani unitawale bwana🙏🏼🙏🏼🤲🏼🤲🏼

  • @teresakerubo374
    @teresakerubo374 2 роки тому +1

    amen pastor Kwa nyimbo unazo toa sinatupariki

  • @lynnm7866
    @lynnm7866 2 роки тому +3

    Amen naomba kibali chako Yesu juu ya maisha yangu na familia 🙏🙏🙏🙏..wimbo mzuri wa kubarikiwa

  • @eunice3001
    @eunice3001 2 роки тому

    Pst Gillack mungu akubari xana uzidi kumtumikia siku bada ya nyingine mtuombee SS ambayo tuko gulf Kwa utafutaji kila Mahali tukiingia kibali cha mungu kitangulie mbele yetu kama Easter alivyo kubalika Kwa mtumishi modekai ju kibali cha mungu kulikuwa juu yake amen barikiwa xana pastor Gillack

  • @Lydia-pe9cn
    @Lydia-pe9cn Рік тому

    Amen pastor naomba unigagwie nami nibarikiwe

  • @gracemutua3455
    @gracemutua3455 2 роки тому +2

    Inspiring song.....Hii si ya Msanii I thank God for you pastor pst Gillack

  • @vincentnyariki2171
    @vincentnyariki2171 2 роки тому +1

    Dady you are doing good work in gusii land may God give you strength 4 the wonderful work you are doing .

  • @polynewere7475
    @polynewere7475 2 роки тому

    Naomba kibali chako yesu nikaweze kufuga daraja ngine yaulimwengu yamenishinda wacha nibaki na wewe tuh..... I need you God to help me

  • @AnnKerubo-e9f
    @AnnKerubo-e9f Рік тому

    Amen paster l like this song mungu akumbaliki paster

  • @merabishoepalace6348
    @merabishoepalace6348 2 роки тому

    Yesu naomba kibali chako Cha uombaji kitue juu yangu baba

  • @josephinebosibori6928
    @josephinebosibori6928 2 роки тому +2

    Wow nice song am blessed thank you pastor Gilack ubarikiwe sana Mungu azid kukuinua miaka mingi ili uweze kutukomboa sisi wanao 🙏🙏

  • @phyllisneema6301
    @phyllisneema6301 2 роки тому +2

    Amen . Nahitaji Kibali chako Yesu... powerful worship 🙏🔥🔥🔥

  • @ednajoy2757
    @ednajoy2757 2 роки тому +9

    wow!! the worshipping song is powerful. I speak favour in my life today. Have stagnated in the same life point. Lord open my doors and I speak destiny connectors. Thanks 🙏 you Lord for my health. I have strength to serve you my Lord. Thanks Pastor Gillack for this message.

  • @faithchebet8834
    @faithchebet8834 2 роки тому +2

    Amen Asante pastor gillack for such blessings songs

  • @Damarisndukumutua
    @Damarisndukumutua Рік тому

    Pastor natamani nimtumikie mungu , niombee nipate kibali

  • @gloriaochango3323
    @gloriaochango3323 Рік тому

    Oooh Yesu naomba nibadilishie my life

  • @gib3888
    @gib3888 Рік тому

    Amen Wimbo nzuri parikiwa snaa

  • @damarisnyabeki5501
    @damarisnyabeki5501 2 роки тому

    Hallelujah 🙏🙏🙏,naomba kibali chako yesu kitwae juu yangu na kuniondolea aibu

  • @yunispatrick8613
    @yunispatrick8613 2 роки тому +3

    Nakutamani Bwana Yesu katika maisha yangu, Glory be to God 🙏🙏🙏

  • @CarolinCarolin-w7v
    @CarolinCarolin-w7v 9 місяців тому

    Hakuna kitu kitanitenga na yesu mwokozi wangu kwa umbali umenitoa nakushukuru

  • @rebeccaatemo5838
    @rebeccaatemo5838 2 роки тому +5

    Amen pastor Gillack and pastor Ezekiel you're a blessed in our lives .what a powerful worship

  • @marymomanyim7826
    @marymomanyim7826 Рік тому

    God bless you pastor🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @susanmunyasia
    @susanmunyasia Рік тому

    Naomba kibali chako yesu ibadilishe maisha yangu 🙏🙏

  • @mercylinaadema6547
    @mercylinaadema6547 2 роки тому +10

    You are a blessing to our country Kenya may God continue to use you in higher level 🙏🙏🙏🙏🙏🙏😭😭 thank you for doing what he called you to do ooh lord protect him from every evils ..you are soo faithful

    • @rodemaryatieno5547
      @rodemaryatieno5547 Рік тому +1

      Mama Ogatuoni Etago. Amen 🙏 nnakutamani unitawale BWANA YESU napitia makubwa nishike mkono BABA 🙏

  • @AnnKerubo-e9f
    @AnnKerubo-e9f Рік тому

    Naomba mungu unikumbuke kwa maombi kwamaana wewe ndio kila kitu

  • @leahbhoke8718
    @leahbhoke8718 2 роки тому

    Hallelujah Hallelujah Yesu Ni Bwana Mwokozi wa mataifa yote Naomba kibali chako kitwae juu ya familia yangu 🙏🙏🙏🙏🙏

  • @silviamigarusha3179
    @silviamigarusha3179 Рік тому

    Ameeen natamani kibali cha maombi breakthrough ya maombi

  • @AnneKarakoni
    @AnneKarakoni Рік тому

    Through this song am blessed beyond measure 🙏🙏🙏🙏barikiwa sana pastor

  • @CarolinCarolin-w7v
    @CarolinCarolin-w7v 9 місяців тому

    Bwana yesu nakutamani unitawale na watoto wangu

  • @CalsterNyabaro
    @CalsterNyabaro Рік тому +1

    Amen ,be blessed man of God 🙏

  • @fgc7914
    @fgc7914 Рік тому

    Ameeeeen nice song so blessed with your worship song God bless you more pst

  • @mjombawallace4966
    @mjombawallace4966 2 роки тому +1

    Amen 🙏🙏 Asante kwako Gillack

  • @Sellycee
    @Sellycee 2 роки тому +1

    Naomba kibali baba, be blessed MOG for this song.

  • @princessj7192
    @princessj7192 2 роки тому +14

    This songs comes in my rescue whenever I feel am low,,,I don't have friends,,,my dad is battling from diabetes. No one is even wishing to give me money on credit,,,to take him to church for healing but I know through this songs God is doing his work,,😭😭🙏

  • @parsilaa50
    @parsilaa50 2 роки тому +1

    Nakumani unitawale Bwana yesu tawala

  • @jacklinemaravi8688
    @jacklinemaravi8688 Рік тому

    Hakuna chakunitenga na YESU.mwokozi wangu..

  • @lindauma982
    @lindauma982 2 роки тому

    Amen 🤲🙏 naomba kibali chako ituwe juu yangu

  • @larrysimanko189
    @larrysimanko189 2 роки тому +3

    Amen🙏 I really feel in the spirit whenever I listen your worship songs ..Mungu akuongeze siku zoote and your spiritual father pst ezekiel.

  • @wilkistershanga2907
    @wilkistershanga2907 2 роки тому +1

    Amen Amen kibali changu kitwae juu yangu milele

  • @blessingokello
    @blessingokello Рік тому

    Pastor naomba unusaidie nifike kwa hiyo kanisa

  • @FaithOgega-nb9or
    @FaithOgega-nb9or Рік тому +1

    Amen,with God everything is possible

  • @lillianjoshua955
    @lillianjoshua955 2 роки тому

    Pastor Ezekiel , Pastor Gillack God is great be blessed not the preachings not the songs you all deliver powerful teachings but am still praying na mimi nipate ile Neema ya Mama Sarah. When am down I tune in to niskize tu nyimbo🙏🙏🙏

  • @rosemarynekesa
    @rosemarynekesa Рік тому

    Pastor Gillack na pastor Ezekiel MUNGU azidi kuwainua nyimbo zenu zina upako

  • @georgeshalom4169
    @georgeshalom4169 2 роки тому +4

    🔥🔥🔥 you did it again pastor gilack ...more blessings to you en all new life prayer center en church fratanity shalom!!!

  • @jocelythernyaboke4629
    @jocelythernyaboke4629 2 роки тому

    Kibali chako kikanibebe in Jesus Mighty Name

  • @AnnKerubo-e9f
    @AnnKerubo-e9f Рік тому

    Amen naomba kibali chako mungu

  • @aneth-s6x
    @aneth-s6x 23 дні тому

    Naomba kibali Cha uponyaji Laurent Kabwiji Jeremia na Uhai Wake Kwa jina la yesu kristo

  • @cjosephinejosephine4550
    @cjosephinejosephine4550 Рік тому

    Pastor gilack may God heal me through this Altar

  • @felixorego2432
    @felixorego2432 2 роки тому

    Naomba Mungu anirudishie nyota yangu nilipokonywa

  • @emilykerubo7557
    @emilykerubo7557 Рік тому

    Amen naomba kibali yahweh

  • @catherinekerubokerubo1019
    @catherinekerubokerubo1019 Рік тому

    Waaaauuu powerful 💪 song and blessed AMEN

  • @MonicaCherono-bx6ke
    @MonicaCherono-bx6ke Рік тому

    Pst uniombee nami niko na wito ya kuhudumu ya kuabudu ili mungu aniinue na nipate kibali mbele za mungu

  • @faithmachuma
    @faithmachuma Рік тому

    Kibali chako yesu katika nyumba yangu

  • @phanicewafula5355
    @phanicewafula5355 2 роки тому +2

    Thank you Jesus Christ Amen praise LORD

  • @emmahkemunto3550
    @emmahkemunto3550 2 роки тому +1

    This songs makes me shade tears of joy for what Lord has done for, asante Mungu kwa mtumish wako🙏🙏🙏

  • @MonicaCherono-bx6ke
    @MonicaCherono-bx6ke Рік тому

    Mungu akufunike kwa damu yake pst

  • @dorahmalemba6665
    @dorahmalemba6665 2 роки тому

    Kibali nimebarikiwa sana mungu akubariki sana🙏🙏🙏

  • @stelachemutai9135
    @stelachemutai9135 Рік тому

    Amen naomba kibali 🙏🙏

  • @AnnKerubo-e9f
    @AnnKerubo-e9f Рік тому

    Nakutamani mungu katika maisha yangu na mtoto wangu amen

  • @VionaBochaberi-zf6pm
    @VionaBochaberi-zf6pm Рік тому

    Work a miracle in my life Jesus. Am going through a lot and may you God hear my prayers

  • @gracemurage6214
    @gracemurage6214 2 роки тому

    Ameeeeeen Mungu naomba kibali Chako

  • @DOUGLASDADIRA
    @DOUGLASDADIRA Рік тому

    Mungu wimbo hui hunipa Moyo wa kukutafuta

  • @cynthiaotieno-g6j
    @cynthiaotieno-g6j 4 місяці тому

    Mimi ni mwana wako .uniombe Tena ombea bwanangu kazi yake apate kastama 🙏

  • @jamesmasika8029
    @jamesmasika8029 2 роки тому

    Barikiwa Sana Mtumishi wa Mungu

  • @GenrixNafula
    @GenrixNafula Рік тому

    You really bless me may God continue uplifting u up

  • @Joshusilva
    @Joshusilva Рік тому

    Through this alter God raise me and give me financial breakthrough