Ongea yote ikutoke Ata sisi Ezekiel Ni baba yetu wa kiroho .ama wewe Ni VIP kutuliko ...heshimu watumishi wa Mungu na wacha madharau na unafiki .... Ezekiel akiezakosana na Bishop bado utakua wa kwanza kukosoa bishop Muiru....heshimu wachungaji......eti ndio umuone mtumishi wa Mungu, ukishamuona ndyo nini ifanyike ...watu waanze kufufuka kanisani ama ...eih jameni wakristo tuko na kibarua
KWA KWELI PASTOR MUNGU AMEKUTOA MBALI,NAMI NAAMINI ATANITENDEA UYU MUNGU WAKO NA WA DANIEL❤❤❤❤AMEEEEEEEEN 🙏
NATAMANI SANAAA...woowww...
I bless your soul man of God ,kwa nyimbo zako nainuliwa na kuzindi kuweka tumaini kwa Mungu
Mungu abariki na tena akuinue sana pastor
Ameeeen b Blessed Daddy
PASTOR GILACK.. POKEA UPENDO ZANGU KUTOKA NANDI COUNTY... NANDI HILLS.. NAKUPENDA SANA..
Wow God richly bless you abundantly man of God more grace
Wow so beautiful ❤️ video safi director flavour
Mooooooore blessings mtumishi this song made to shed tears😭🙏🙏
Kwa kweli pastor umetoka mbali kwa Imani nami mungu anione
Waooooooooooooo🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾more grace pastor Gillack
A blessing songs,b blessed pastor
Pastor Gilack ubarikiwe u bless our souls 🙏
Blessings my pastor, God bless you so much for me🙏 nyimbo zako Zina mfuto ,Mungu akubariki na unapoomba nikumbuke NAMI pastor Gilack.Barikiwa
Haleluyha bwana Atukukuzwe
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤be blessed the way I'm also blessed 🙏🙏🙏 oooh
keep it up 🎉🎉
Go go pastor gillack 🙌🙌🙌
It's a nice one pastor
Natamani nifanane nawe🙏🙏🙏🙏
God's grace up on Uganda, Kenya and to the all world
Wow my spiritual dad God lift you more
Waooo pastor nimesikiza huu wimbo wako tangu nikupate UA-cam ndio nasitiza pekee yake🙏🙏🙏🙏kweli mungu anatowa wanake mbali
Very deep song.inafanya mtu ajirudie .Mungu akuzidishie nyimbo mingi zaidi kama hii
Bwana apewe sifa...nashukuru sana Kwa hi wimbo brother Gillack mungu azidibkuku bariki..nyimbo zako Zina bariki ..asante sana
Amen amen
Good song and blessing our soul. Amen pastor God bless you so much. Tunauona mkono wa Bwana
Amen 🙏
Thanks for this great song may the lord bless you with more songs
Bwana Natamani nifanane,Nawe Bwana Yesu. Nakushukuru Mungu Kwa Neema Yako nifanane Nawe ❤❤❤❤❤❤❤❤
Yesu nifananewe
God's grace always🙏🙏🙏🙏
nice song
Wow that's awesome song ❤❤❤❤ like it
Very powerful song❤
Mungu akuinuwe mtumishi zaidi na zaidi
God bless you baba alafu akuondolee kila mapito unayopitia
Natamani niwe nawe Yesu 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🎤🎤🎤
So blessings,Naweza jua video editor plzzz ,
Aaaaaaamen
Amen amen 🙏🙏
Amen
Aaaamen
Ameeeeena ameeeeena.
Ameen
Ameeeen 🙏🙏🙏🙏
Natamani sana
Mimi Bora atii babangu wa kiroho Ezekiel ndio nnimione mtumishi wa mungu bila hvvo ata ndege wa angani wanaimba kusifu mungu
Ongea yote ikutoke
Ata sisi Ezekiel Ni baba yetu wa kiroho .ama wewe Ni VIP kutuliko ...heshimu watumishi wa Mungu na wacha madharau na unafiki .... Ezekiel akiezakosana na Bishop bado utakua wa kwanza kukosoa bishop Muiru....heshimu wachungaji......eti ndio umuone mtumishi wa Mungu, ukishamuona ndyo nini ifanyike ...watu waanze kufufuka kanisani ama ...eih jameni wakristo tuko na kibarua
Is Ezekiel a God??? Ezekiel tunamtabua ,Mungu wake tumemuona ,pst gillack tunamjua basi tuambie na wewe ni nani
Unaongea matope. @@bonfaceondieki967
@@Jacobmusilihasira ni za nini,mwambie awache kiburi
Babako wa kiroho ndio upuzi gani focus on our heavenly father
Amen 🙏
Amen
Good song
Amen