Amen,pst nyimbo zako zimeubariki moyo wangu sana na pia zinanisongezaga karibu na mungu wakati nahisi mpweke,ubarikiwe sana na mungu azidi kuinua huduma yako uwafikie walio mbali🙏
Pasta nishatibiwa hadi kwa waganga bado nasumbuliwa na tumbo kujaa gasification.leo hii anishindiye magumu .yesu aweze Leo hii .naomba nyimbo zako Unipe tumaini na nifanikiwe in Jesus name amen
What heavenly songs pastor Gilack,pastor Ezekiel ,pastor Sarah and pastor Josephine May the almighty keep blessing you. You have thought me much. 🙏🙏🙏🙏🇬🇧
Mungu anapenda anae mtumikia kwa roho na ukweli. Mubarikiwe enyiwatumishi wa Mungu .Hata Mimi nime amua Leo Mimi na nyumba yangu nitamtumikia bwana🙏🙏🙏🙏🙏
May God's grace be sufficient to this family.Mum Rebecca and Mzee James are happy.Kulea watoto katika msingi wa Kikristo na washikilie pale hadi wawe watu wazima sio mchezo.Wapendwa ni neema ya Mungu🤲🤲🤲🤲🤲🤲.Sifa na utukufu ni kwa Mungu milele na milele Amina.
Yesu niwezeshe ili nieze kukutumikia najua Yesu kuna kazi yako unataka nikufanyie,Roho niwezeshe nijielewe mimi ni nani,neema ya msalaba initoshe tu nitafute ufalme wako kwanza.
Ooooh my God 🤭🤭🤭 much wonderful songs like son like father. Even voice like pastor Ezekiel. Keep it up and maintain that anointing am very much blessed.
Iposiku nami nitabarikiwa.nyimbo zako yanifanya kama nahisi kama nishapona mungu azidi kuwa mungu amina .nikilala familiar yetu afanikiwe.kutokana nyimbo hizo hayo ishanipata laminitis kuna mungu
Everything about God is awesome.Thankyou God for the gift of life,,free oxygen to inhale..thankyou for giving me a loving husband and good health.Aki mungu umenitoa mbali...ASANTE..Najua ata kama nimekaa kwa ndoa miaka tano bila mtoto...nakuamini..najua utanibariki na watoto..My time will come..I will live to thank you,,have faith in you and cherish.Oh GOD,,,I LOVE YOU.THANKYOU SO MUCH FOR EVERYTHING
Good fruits, like father like son. Nasikia tu kama evangelist Ezekiel. Ninabarikiwa sana tena zaidi. Bwana wa majeshi ainuliwe.
HAKI MUNGU NI MKUU NDANI YA HIZI NYIMBO ,YESU POKEA SIFA KWA YOTE
Well
Both paster Gilack and paster Ezekiel may God bless you to continue spread the gospel
amen👍👍👍👍👍👍👍
Amen,pst nyimbo zako zimeubariki moyo wangu sana na pia zinanisongezaga karibu na mungu wakati nahisi mpweke,ubarikiwe sana na mungu azidi kuinua huduma yako uwafikie walio mbali🙏
😭😭🥰🥰🥰🥰😁😁🤔🤔🤔🤔🤔aki huu wimbo wanipa amani sana amen Mungu azidi kuwabariki
Wale ambao hawachajua kilucho ndani ya hizi nyimbo na Hawa wachungaji yesu wafungue macho ya kiroho wajue
Be blessed pastor 🙏 🙌 na barikiwa sana na nyimbo zako ❤
Pst tangu nijuwe hii madhibau nasukuŕu sana
God bless
Mungu anaweza kila jambo ambalo sisi atuwezi Amen 🙏
Mchungaji nyimbo zako na EV EZEKIEL zanibariki sana nikuwa kwa nyumba na kazi nazipenda sana niko NAIROBI thika road KIMBO
Amen amen barikiwa sana mtumishi wa mungu wimbo safi sana amen amen
Big up man of God, Glory to Glory
Mungu apewe sifa siku zote
Am blessed mungu wa mbingun akuongeze 🙏🙏🙏🙏
Mungu akubariki voice ya pastor Ezekiel ni Mungu Tu tubarikiwe zote
I really love this songs .pastor be blessed and your family
Pasta nishatibiwa hadi kwa waganga bado nasumbuliwa na tumbo kujaa gasification.leo hii anishindiye magumu .yesu aweze Leo hii .naomba nyimbo zako Unipe tumaini na nifanikiwe in Jesus name amen
Amen
Ilove your song, nice,zinatia moyo sana ,nkumbuke maombi ,tumbo
Amen 🙏🙏🙏
🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🎤
utapona bro
Like daddy like son 🙏🙏🙏more Grace ❤️❤️
I tell you 🙏
True 🙏🙏🙏
Hallelujah 🙌 Ame
Ameen🙏🙏
Aaaaaàààaaaaaaààaaaa1àaa
God bless you man of God 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Amen,pokea sifa Yesu
What heavenly songs pastor Gilack,pastor Ezekiel ,pastor Sarah and pastor Josephine May the almighty keep blessing you. You have thought me much. 🙏🙏🙏🙏🇬🇧
Poll lPllpp0p0pppp
Naskia tu twende mbinguni kama ni hivi
Good songs God bless you .
Amen 🙏 when l listen this songs nachazwa na roho mtakatifu
Be blessed pastor,wimbo unanitia nguvu,pastor be safe in the name of jesuss
Pastor Gillack may God give u strength to spread his gospel
kweli Mimi na nyumba yangu nitamtumikia bwana...... Glory beto God 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
My favourite Songs ❤❤❤❤
Mtoto wa nyoka ni nyoka so amazing pastor
HE IS ALWAYS TOUCHING OUR SOULS
In this songs there is deliverance.God bless you pastor and our spiritual father.
Amina nice song🙏🙏🙏
Glory! I have a testimony from New Life Church Kisii. Jesus is real! JESUS IS REAL!😭😭😭
Yes for sure JESUS IS REAL.. I also have a testimony from New life Kisii
Exactly Jesus is real 🙏🙏🙏
Huu wimbo unanigusa sana mm pia siku moja mungu atanikumbuka.
Pastor Gillack you a true blessed vessel of the Lord....uzidi kutumiwa kama chombo mbele za bwana
Usiwache hii wimbo pastor
Mungu anapenda anae mtumikia kwa roho na ukweli. Mubarikiwe enyiwatumishi wa Mungu .Hata Mimi nime amua Leo Mimi na nyumba yangu nitamtumikia bwana🙏🙏🙏🙏🙏
I love this song ❣️❣️❣️❣️❤❤ na uendelee kuimba pastor
sante sana mtunzi huu wimbo unanikumbusha mbari sana❤❤❤❤❤
Paster keep it up nirejeshewe nyota
Nitangulie yesu kwa Yale nisio yawesa
Pastor wakati ukifika Nami nitabarikiwa what a blessing and encouraging message,Amen
Thank you for the song and channels here in SaudiArabian is veryclear
My God bless you father ❤❤❤ and mother my God bless you and your family
Jeniffer thanks pastor yeyote anayepingana n p ezekiel mungu wetu simama n madhabu yako our lord s consuming fire amen p ezekiel be courageous man
May GOD give you favour as you preach his word
Mimi na nyumba yangu nitamutumikia bwanaaaa🔥⭐🙏
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu huu wimbo hufanya nihisi uwepo wa Mungu kila mahali nilipo
May God's grace be sufficient to this family.Mum Rebecca and Mzee James are happy.Kulea watoto katika msingi wa Kikristo na washikilie pale hadi wawe watu wazima sio mchezo.Wapendwa ni neema ya Mungu🤲🤲🤲🤲🤲🤲.Sifa na utukufu ni kwa Mungu milele na milele Amina.
Bila wewe yesu mi siez😢Nishike mkono unitangulie yesu🙏🙏🙏
Mungu akubariki voice ka ya pst Ezekiel kabisa
God bless you
Be blessed the man of God 🙏🙏 nabarikiwa na nyimbo zako
Mungu no mkuu milele na milele
Am pastor wambua but i feel blessed when I listen and watch these two great blessed servants of the most high God.... Amen 🙏
Amen
Yesu niwezeshe ili nieze kukutumikia najua Yesu kuna kazi yako unataka nikufanyie,Roho niwezeshe nijielewe mimi ni nani,neema ya msalaba initoshe tu nitafute ufalme wako kwanza.
Mungu akupe neema kwa ombi ilo akutendee by pastor Flora ngaiza.
Wacha Mungu akutie neema zaindi na zaindi
Blessings after blessings sauti kama ya Ev.Ezekiel your just a blessing to this country.
Brother wa pastor Ezekiel
Ooooh my God 🤭🤭🤭 much wonderful songs like son like father. Even voice like pastor Ezekiel. Keep it up and maintain that anointing am very much blessed.
Nyimbo zinagusa moyo kwa kweli
they put us close to our God
Mungu ni mkuu ndani ya hizi nyimbo uzidi kubarikiwa
Pokea sifa eeh mungu wetu
I enjoy the song with my mafamly haki Mungu jui sana,be grorify more than here, beleka cc mbinguni pastor
Touching worship, nitangulie Bwana🙏🙏
Nabarikia na hizi nyimbo sana.Mungu akubariki pastor.Bwana anaweza song
Iposiku nami nitabarikiwa.nyimbo zako yanifanya kama nahisi kama nishapona mungu azidi kuwa mungu amina .nikilala familiar yetu afanikiwe.kutokana nyimbo hizo hayo ishanipata laminitis kuna mungu
Nyimbo zilizojaa uwepo wapi wa mungu
Wow I am blessed " yea my enemies, muniache! Una zako niko na zangu ! Full of anointing power
Ppj u
Ni grace 🙏🙏
Wonderful inspiring worship. Thank you so much kip up. Usiniwakye bwana yesu, nishike mukono baba
Asante yale nisio ya weza bwana anaweza Amen🇸🇷❤❤❤❤
Mungu wangu nipanguzu machozi hata adui ashangaeeee
Barikiwa sana Pastor Gilack,Mungu akutende mema zaidi na zaidi
Amen Amen be blessed man of God.
Am so much blessed Asante YESU Asante YESU Asante Kwa wimbo wa kutufunza mengi juu ya ukuu wa YESU Asante YESU
Everything about God is awesome.Thankyou God for the gift of life,,free oxygen to inhale..thankyou for giving me a loving husband and good health.Aki mungu umenitoa mbali...ASANTE..Najua ata kama nimekaa kwa ndoa miaka tano bila mtoto...nakuamini..najua utanibariki na watoto..My time will come..I will live to thank you,,have faith in you and cherish.Oh GOD,,,I LOVE YOU.THANKYOU SO MUCH FOR EVERYTHING
Pastor your songs is very nice has bleeedd me I'm hearing from USA .
Kwa hakika Bwana ni mweza yote, barikiwa pastor in Jesus name
Wimbo mzuri mungu azidi kuwabariki tu
Hallelujah hossana mponyaji wangu uzidi kubarikiwa ❤❤❤❤ nice song
Hallelujah Mungu amenitendea kupitia matabau yako Pastor Gilack wacha Mungu apewe sifa milele🙏🙏
Today have learn something that with out God in my life am just like 😭😭😭😭 nothing .. mungu unitawale na unisafishe na damu Yako
🙏🙏🙏🙏
Remember me God through this songs
Amen LORD 🙏🙏 Glory to GOD 🙏🙏🙏
Barikiwa sana hakika najihisi kua karibu na. bwana kupitia nyimbo hizi,may God add you more favor
New life church Mombasa & New life church kisii... there is power in those Alta..mm nko kwa pst.Ezekiel Mombasa Mavueni
From Mombasa town kuja mavueni it's how much bro
Kutoka Mavueni Stage mpka gate ya church ni sh.100 boda , io ni kuja alone
@@shiroJ2824between 300-400
Barikiwa sana wimbo safi sana amen amen
Good song God bless you so much bro I am blessed from Saudi 🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇸🇦
Amen glory to be God, pastor Gillack amekua kimbio letu uku uarabuni
Yale nisiyoyaweza kwa hakika mungu unayaweza ninayo Imani nitashinda. Katika vita🙏🙏🤲
Hakika
First time hearing gilack socks ad already shedding tears....Yale nisiyoyaweza,nisiyoyajua bwana anaweza
AMEN AMEN 🙏 🙌 PLZ HII KANISA IKO KISII WAPY
Very powerful,, God bless you pastor 🙏🙏
I have felt the heavens is near me by listening 🎶this 🙌 God continue working in you man of God bless you more.
Amen niwezeshe bwana wangu😭😭🙏🙏
More grace, great man of God,am blessed,nimekua peninah kwa miaka mingi,but mungu ataajia baraka zangu
holy spirit hi here i love that worship
Hallelujah Jehovah, mimi siwezi bila wewe
Mimi na nyumba yangu nitamtumik a Bwana Yesu, may God heal my marriage through these songs and new life Altar today this is my prayer ooh God
Napeda yesu sana may god blesses muipokee
Na mungu awabariki pastor ur a blessing to us man of GOD
Aky wee mtoto ni babako mtupu kweli Ezekiel alizaa mwana, ubarikiwe pastor na huduma yako inuuke zaidi na zaidi katika jina la yesu.
🙏 🙏 🙏 🙏 🙏 🙏 🙏 Amen
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏Amen 🙏 🙌 👏 ❤ ✨
Peninah uniwache kabisa