Tatizo samia hana uwezo wa kuongoza kabisa Kwani kwa kuisoma ile hotuba moja kwa moja imeonyesha hawezi kabisa na imeonyesha a copy na kupest bila kupambanua mambo. Nampa pole sana Atafute wataalam wa kidiplomasia wamsaidie.
HUKO ULAYA HAPA TANZANIA. RAIS LAZIMA AWE JASIRI, NDIVYO ITAKIWAVYO. HAIWEZEKANI AMERIKA KUWA POLISI KWETU, WANALOTAKA NDILO KWA NYINYI KUWEPO ULAYA NI SAWA TU.
Hotuba yakujibizana na wapinzani nasio kuhutubia wananchi na kaleta nn na katatua nn na anajua kelele za utekaji kafikia wap ktk kutekeleza yeye kaja kwa kukejeli vifo na kupingana na wapinzan
Rais mwenyewe anatakiwa badilishe mind set yake wapinzan ni watanzania sio wahaini. Ccm sio wenye haki kwenye hii nchi kila mtanzania ana haki. Ccm wabadilike kutokana na nyakati lasivyo wataharibu amani ya hii nchi kabisa
Akili yako ndogo kama kidonge cha Puriton. Nchi zote zenye uwezo mkubwa wa kiuchumi ni zile zinazohimiza (raslimalimali watu au human resources) kufanya kazi mataifa ya kigeni ili kuchota fedha za kigeni kuzituma nyumbani kwa maendeleo ya familia zao na taifa.
Tatizo samia hana uwezo wa kuongoza kabisa
Kwani kwa kuisoma ile hotuba moja kwa moja imeonyesha hawezi kabisa na imeonyesha a copy na kupest bila kupambanua mambo.
Nampa pole sana
Atafute wataalam wa kidiplomasia wamsaidie.
Well said Mkuu
Kwa kweli rais wangu hajagusa sehemu muhimu zaidi ya kuwatia moyo waovu wana wanyima watu amani
Tusiue watu.Rais kuwa na wajibu wa kulinda raia na mali zao.
Mbona kama vitisho??
Stand up with Justice being witnesses for God. And then even if it is against your own people. (Qur'an 4:135)
Mtihani kwakweli
HUKO ULAYA HAPA TANZANIA.
RAIS LAZIMA AWE JASIRI, NDIVYO ITAKIWAVYO.
HAIWEZEKANI AMERIKA KUWA POLISI KWETU, WANALOTAKA NDILO KWA NYINYI KUWEPO ULAYA NI SAWA TU.
✅
Msaidieni huyu mama
"BANIANI MBAYA KIATU CHAKE NI CHA DAWA " (BEBERU)
Ulipaswa kuanza na strength na baadae uje kwenye weakness
Alipaswa na nani?
Whatever the case. Watu wanaweza kuchakata taarifa in various circumstances 😊
Sasa hutaki polisi?
Hotuba yakujibizana na wapinzani nasio kuhutubia wananchi na kaleta nn na katatua nn na anajua kelele za utekaji kafikia wap ktk kutekeleza yeye kaja kwa kukejeli vifo na kupingana na wapinzan
Wengi wa viongozi wetu serikalini na vyama vya siasa ni perforated hynea na psychopathetic. Hii ni hatari kwa mustabali wa Tanzania. Tusubiri tuone
Rais mwenyewe anatakiwa badilishe mind set yake wapinzan ni watanzania sio wahaini. Ccm sio wenye haki kwenye hii nchi kila mtanzania ana haki. Ccm wabadilike kutokana na nyakati lasivyo wataharibu amani ya hii nchi kabisa
Kabisa ccm wanataka kutuongoza staili moja ya staili ya miaka 30 iliyopita wanatumia njia hiyo hiyo moja Hadi Leo hawa badiliki
Hatutakubali kuingiliwa katika Mambo yetu ya ndani
Ww na nanan??
Wewe ndiyo kweli hujui unalolisema
Kutetea haki ya watu wa wanaotekwa na kuuwawa ndiyo kuingilia mambo ya ndani?
Shame on you
Wewe huna akili ni mjinga
Chawa
Chura katibiwa masikio?
Vichaa nyie msio wazalendo kwanza mmeshindwa kuijenga nchi yenu mpo ulaya mnauza sura
Hujitambui ww kwrndaaaa
@@AbdulhaamisSoud wewe unaejitambua huna sera na Babu Yako Kila siku kulalamika mwanamme halalamiki pigeni kula
Wewe unauza sura lumumba
Akili yako ndogo kama kidonge cha Puriton. Nchi zote zenye uwezo mkubwa wa kiuchumi ni zile zinazohimiza (raslimalimali watu au human resources) kufanya kazi mataifa ya kigeni ili kuchota fedha za kigeni kuzituma nyumbani kwa maendeleo ya familia zao na taifa.
@@SylvesterKameo wewe siyo mzalendo wa kweli na mzalendo wa kweli Hana haja ya mishahara mikubwa wewe
Wapigwe tu hamna namna
Hii nchi tutaibomoa kwa mikono yetu wenyewe. Mungu tunusuru na yote 😢😢😢
Yatakukuta
Ndio maana mkienda SA munauwawa,kwasababu nyie hamtaki kusimamia haki na kujenga nchi yenu munaunga mkono uhovu wa viongozi.