SAKATA la TUNDU LISSU LAFIKA PABAYA - WALIOTAKA KUMUUA WALITUMWA na NANI? MJADALA MZITO - FRONT PAGE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 жов 2024
  • SAKATA la TUNDU LISSU LAFIKA PABAYA - WALIOTAKA KUMUUA WALITUMWA na NANI? MJADALA MZITO - FRONT PAGE
    MPIGIE DR.JJ.MWAKA SASA KUPITIA 0758 100 100 na 0785 100 100 UPATE MSAADA WA KITABIBU KWA GHARAMA NAFUU.
    ============================================================
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

КОМЕНТАРІ • 71

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  8 днів тому +2

    MPIGIE DR.JJ.MWAKA SASA KUPITIA 0758 100 100 na 0785 100 100 UPATE MSAADA WA KITABIBU KWA GHARAMA NAFUU.

  • @margarethsaramaki3966
    @margarethsaramaki3966 8 днів тому +2

    Huyu masai mbona anasema mambo bila mpangilio mwache mtu aseme amalize halafu uulize au useme
    Lissu siyo mjinga huu ni wakati sahihi wa Mungu 🙏🏼🙏🏼

  • @EmanueliThomas
    @EmanueliThomas 8 днів тому +4

    Mnaongea pumba hamjui bunge lilisema mtoro pia watatoa ushahidi lini je akienda polisi atawafundisha

  • @WilfredChomo
    @WilfredChomo 8 днів тому

    Wanahabari acheni viherehere.Msijifanye mabingwa wa kuchanganua kila jambo.

  • @nyabahailani3169
    @nyabahailani3169 8 днів тому +2

    Huyo jamaa mwenye kipara mbona anaharisha anavoongea miska 7 mpaka leo watajichunguza wao wee nyamaza mijnga wewe

  • @mwalyoyoalexander2758
    @mwalyoyoalexander2758 8 днів тому

    Background music iko juu, tunashindwa kusikia vizuri mjadala

  • @rashidyardo7929
    @rashidyardo7929 8 днів тому +2

    Nafasi ya Waandishi wa habari katika sakata la shambilio la Tundu lisu Iko wapi? Mimi binafsi nadhani mnatakiwa mjitathimini.

  • @wallacemngoma794
    @wallacemngoma794 8 днів тому +2

    Hawa wachambuzi wetu wanaochambua habari za Mh. Lisu baadhi ni waelewa lakini huyo mmasai anachanganya au labda hakuelewa maelezo ya Lisu vizuri au ndio hao wanaoitwa?

  • @AlphaBarageti-ru5xj
    @AlphaBarageti-ru5xj 7 днів тому

    Nadhani Masai ana kadi ya CCM

  • @chrisostomruta-cw3zf
    @chrisostomruta-cw3zf 8 днів тому +1

    We Masai ufai kuwa mchambuzi unazunguka sana

  • @oliviaseth4652
    @oliviaseth4652 5 днів тому

    Mmasai CHAWA

  • @YohanaMathayo-r7p
    @YohanaMathayo-r7p 5 днів тому

    Wewe masai uwe na hofu ya Mungu itakutokeya mchana kweupe

  • @raymondmjebe2412
    @raymondmjebe2412 8 днів тому +1

    uyo masaiii atoke apoo plz anaharibu mada

  • @xaixaiobrigado4846
    @xaixaiobrigado4846 8 днів тому

    Lengo lao nani?
    Umma wote unataka,dunia nzima inataka kuwajuwa wahusika!

  • @AlphaBarageti-ru5xj
    @AlphaBarageti-ru5xj 7 днів тому

    Masai anyamaze maana naona ana hofu ya kutoa ufafanuzi wake
    Ukiua mtu na ukaonwa umeua, hata ungetangazia dunia hutaharibu ushahidi wa tukio na kesi hiyo.

  • @AbelJohn-tx4in
    @AbelJohn-tx4in 8 днів тому

    Huyo masai mtoeni nje tu maana mtaonekana wote vihiyo wa fani hiyo, kwanza nina mashaka alisomea wapi uandishi wa habari?

  • @godlistengodlisten7552
    @godlistengodlisten7552 8 днів тому

    Hili Swala La Lisu Wala Halihitaji D2.

  • @emanuelmwakasungula3052
    @emanuelmwakasungula3052 8 днів тому

    Lisu jamani usifikili kakosea anajua lilipo na hapo kaona yupo vizuri

  • @AlphaBarageti-ru5xj
    @AlphaBarageti-ru5xj 7 днів тому

    Mbona Masai anatengeneza stori kwa faida ya upande anaoutaka?

  • @NeemaJohn-n9r
    @NeemaJohn-n9r 8 днів тому +1

    Utajichunguzaje mwenyewe? Miaka saba hata jalada bado halijafunguliwa alafu mtu kavimbiwa zake maharage huko anasema tusubiri, tusubiri nini?

  • @emmanuelikombe5959
    @emmanuelikombe5959 5 днів тому

    Kwani Lisu amemtaja mtu JINA lake?

  • @AlphaBarageti-ru5xj
    @AlphaBarageti-ru5xj 7 днів тому

    Simwelewi Masai, haamini nini? Si wakati sahihi kivipi ?
    Kati ya Masai na wanasheria nani anajua utaratibu wa kisheria ?

  • @AlphaBarageti-ru5xj
    @AlphaBarageti-ru5xj 7 днів тому

    Ushahidi wa video ulichukuliwa na jeshi la polisi , sasa angefungua kesi kwa ground gani ?

  • @hamidudigogo5863
    @hamidudigogo5863 8 днів тому

    Maishani mwangu huwaga napata ukakasi sana yani kukwona mwanadamu mmoja yupo tayali kukatisha maisha ya mwanadam mwenzie kwa niaba ya maisha ya kidunia

  • @xaixaiobrigado4846
    @xaixaiobrigado4846 8 днів тому

    Polisi cio kwamba wameshindwa,balii hawataki kuchunguza;.hiyo ya kusema Labda polisi wana muda wao kuwajuwa-kwani alipotaja kuwa makonda aliongoza watu wawili,je,unategemea polisi wamtaje makonda?
    "Nyawambisa uburwere kelelo kilimbwira -mficha ugonjwa kilio kitamuumbua!
    Kwa hiyo hao walowaficha wahusika wacha kilio kiwaumbue!

  • @elibarikimollel7149
    @elibarikimollel7149 6 днів тому

    Masai una kila sababu mwkt wako na jopo zima akiwemo manyota mumuone masai kuwa anauwezo hata zaidi awe ndiye jaji manyota..

  • @oliviaseth4652
    @oliviaseth4652 5 днів тому

    Mmasai wa wapi huyu

  • @michaelmwambije3603
    @michaelmwambije3603 8 днів тому

    Ndugu hatuna jeshi Tanzania zaid ya majambaz

  • @gidongailo7174
    @gidongailo7174 8 днів тому

    Wachambuzi mmemsikiliza vizuri kweli TL? Kasema kuhusu danadana za serikali kwa miaka yote. Hakuna wala jalada la uchinguzi

  • @Abs-tz8dl
    @Abs-tz8dl 8 днів тому +2

    Uchambuzi wa mazuzu

  • @Wakateezo
    @Wakateezo 8 днів тому

    Miaka 7 n midogo san kWa kesi km iyo P DIDY kashikwa kesi zake ni miaka ya 90 uko

  • @AbelJohn-tx4in
    @AbelJohn-tx4in 8 днів тому

    Huyo masai ni chizi au, umeshaambiwa serikali ua awamu ya tano ilihusika na tukio hilo, sasa anategemea hiyo hiyo iliyohusika itoe taarifa kwamba ikubali kuwa ilihusika masai ulisikia wapi kitu kama hicho, mi naona una shot kidogo kichwani, maana hata maelezo yako hayaeleweki

  • @songeza
    @songeza 5 днів тому

    Huyo lissu hana kitu alikuwa wapi mpuuzi huyo ebu achaneni au mwacheni aropoke ropoke labda anajifariji kwa upuuzo tundu lissu ni kichwa kama kichwa chake kilivyo hakina akili lissu alipgwa risasi alikutwa na mke wa mtu mbona hasemi hayo anaongopa aseme ukweli

  • @HarsonNjau
    @HarsonNjau 8 днів тому

    Anasema kwenye hii hamna uwezekano wa kumpa jaji maelekezo😂😂😂

  • @margarethsaramaki3966
    @margarethsaramaki3966 8 днів тому

    Toeni mziki wenu au punguza sauti

  • @xaixaiobrigado4846
    @xaixaiobrigado4846 8 днів тому

    Wewe vipi?
    Poilisi hawachunguzi chochote!
    Unang'ang'ania ,oo hajaenda polisi kuwaambia cjui nini,, awaambie nini,kwani hawajui?
    Kwa nini sasa hivi-c amesema sasa ana pa kuanzia kwa sbb ya bw.Michael Clifford ametoa ushahidi unaohusika huko ktk kesi yake ya madai ya kufukuzwa kazi,Ebo!

  • @AbelJohn-tx4in
    @AbelJohn-tx4in 8 днів тому

    Huyo masai aende kuchunga ng"ombe, awaachie wenye fani

  • @oliviaseth4652
    @oliviaseth4652 5 днів тому

    Huyu MGOGO SIO MMASAI

  • @abdulnassor6132
    @abdulnassor6132 6 днів тому

    Mnachmbua Nini na mpira NDIO unaanza?

  • @VictoryMTarimo
    @VictoryMTarimo 8 днів тому

    Wachambuzi machawa

  • @johnkaleli
    @johnkaleli 8 днів тому

    Masai anaharibu kipindi

  • @RomanMwinyi
    @RomanMwinyi 8 днів тому

    Uyo jamaa mwenye mapengo ana akili wakati polic mia2 awaja chunguza kwamaana Wana lindana sasa sijui anaongea pumba gani

  • @MohamedRashid-py7ro
    @MohamedRashid-py7ro 8 днів тому

    Wamlete Dereva alio mkimbia kwanza alio kuwa Uberijiki

    • @AbelJohn-tx4in
      @AbelJohn-tx4in 8 днів тому

      Dereva wa nini wewe wakati ishu yoote iko wazi, wewe uko nchi gani

    • @MohamedRashid-py7ro
      @MohamedRashid-py7ro 8 днів тому

      @@AbelJohn-tx4in ishu gani wewe pimbi huna hata unalolijua dereva ndio mwenye ushaidi kamili

  • @ZakariaMwinuka
    @ZakariaMwinuka 8 днів тому

    Masai atulie kwanza

  • @NsanyaMwasire
    @NsanyaMwasire 8 днів тому

    Tuko pamoja

  • @PhilipoNyari
    @PhilipoNyari 8 днів тому

    Nina Hamu Ya Kujua Hili

  • @lucaskiswizah7097
    @lucaskiswizah7097 8 днів тому

    Muwe munaita wasemaje wenye weledi

  • @raymondmjebe2412
    @raymondmjebe2412 8 днів тому +1

    ovyo sana nyie sio lazima kuongerea mambo ambayo hakili ako aiko na uwezo ,akili zenu ni ndogo sana chambueni segereee tuu nyie

  • @oliviaseth4652
    @oliviaseth4652 5 днів тому

    Kelele ya mziki ina boar

  • @MohammedAwadh-gq9si
    @MohammedAwadh-gq9si 8 днів тому

    Kesi haina kichwa ! Kakurupuka !

    • @daudzabron5514
      @daudzabron5514 8 днів тому

      Ulitaka kichwa kipi, je Alishambuliwa au hakushambuliwa??, Je. Selekari imefanya Nini Hadi hivi Sasa Kwa kipindi cha miaka Saba

  • @johnkaleli
    @johnkaleli 8 днів тому

    Masai simuelewi kabisa

  • @FarajiIsumaily
    @FarajiIsumaily 8 днів тому

    Kunahak Gani yatendewa lisu mnayoijua nyie waandishi

  • @robertphilip385
    @robertphilip385 8 днів тому

    Huyu masai hajui kitu toeni huyo akachunge ng'ombe

  • @lucaskiswizah7097
    @lucaskiswizah7097 8 днів тому

    Muwe munaita wasemaje w

  • @evodiusrweyemamu2348
    @evodiusrweyemamu2348 8 днів тому

    Duu maasai sijamsoma kivile

  • @michaelmshighati8432
    @michaelmshighati8432 8 днів тому

    Wameshindwa Tangu 2017 MPAKA SASA NANI AMEKAMATEA JALADA LIKO WAPI ? LISU ALIYOSEMA NISAHIHI WACHA USHAHIDI UKAMILIKE WALIOHUSIKA MKONDO WA SHERIA UFUATE.

  • @mbwanahasan2971
    @mbwanahasan2971 8 днів тому

    Uvhambuzi wa mazuzu na machawa

  • @PhilipoNyari
    @PhilipoNyari 8 днів тому

    Mmasai Anaongea Nini Hapo? Hebu Aongee Mtu Mwingine Bwana Mtu Walitaka Kumuua Na Anasema Hadi Sasa Anatembea Na Risasi Mwilini Mungu Alivyo Wa Ajabu Hakutaka Afe Binaadamu Mna Roho Za Kinyama Sana Ni Nini Mlichotaka Kumuulia Binadamu Mwenzenu? Hizi Mali Na Fedha Ni Za Kupita Sipati Picha Mtu Anayepinga Mambo Wanayotendewa Wenzake Itakuaje Siku Akisikia Imebisha Hodi Kwake Je Ataenda Kulalamika Polisi? Maana Anafurahia Kusikia Mwenzake Amepatwa Na Matatizo Na Alimanusra Afe Usifanye Mchezo Kuua Mtu Damu Ya Mtu Ni Mbaya Sana Na Itakutesa Maisha Yako Yote Na Kuingiza Familia Yako Kuilipa Hii Hadi Senti Ya Mwisho

  • @WilfredChomo
    @WilfredChomo 8 днів тому

    Zingatieni hotuba ya Tundu Lissu,"Jambo hili liwe siri au wazi?"Mahakama ilisema liwe wazi.Hii imempa Lissu fursa ya kulisema jambo hili wazi

  • @endygwaje3326
    @endygwaje3326 5 днів тому

    Mnatafutavkik amabazo siyo size zenu, acheni kuwa na ndoto za kitoto . Your Television to descuss Lissu assassination attempt is like a little boy of 3 years old to say he can go and fly a plane . So acheni kudanganya watu nyie . Hamna ubabu wa kusema ukweli mtafungiwa TV yenu . Mwambieni huyo mmasai akachonge meno zaidi . Mnaongea utumbo tu na kupotezea watu muda kwenye UA-cam. Try to be serious to bring people who are competent to discuss this issues that will be good idea.

  • @KassimHanga-xr7rb
    @KassimHanga-xr7rb 8 днів тому

    Lazima wajuulikane sababu alifanyiwa unyama kama sio binadam mwezetu Kwa sababu za kijinga

  • @gregoryRukiza
    @gregoryRukiza 8 днів тому

    NINYI NI WAJINGA. MNADHANI WATANZANIA NI WAJINGA KAMA NINYI. MIAKA 7!SERIKALI GANI INAITAJI MDA GANI. WACHENI KUTUDNGANYA. HATA HUYO BIBIKUKU ALIKWENDA KUMWONQ KAMA YUPO HAI?

    • @margarethsaramaki3966
      @margarethsaramaki3966 8 днів тому

      Hahaha Gregory kweli umechoka kwa kweli mambo ya Tanzania yanakera, mtu kama mh Lissu miaka 7 sasa hakuna lolote kwa serikali
      Lissu awaburuze tu mahakamani
      Kenya 2010 wanevadilisha katiba na wanataka tena kuibadilisha
      Bunge linamtaka naibu raisi aachie kiti atoke
      Tanzania maneno ni mengi na lawama pasipo uajibikaji
      Shame on Tanzania goverment

  • @Mjeda-q1m
    @Mjeda-q1m 8 днів тому

    Hivi wewe mmasai aende unaposema aende polisi wakati anayetajwa ni bosi wa mkoa je watamhoji?pili kama taalifa ya tukio ilikuwa ijadiliwe bungeni kipindi kile lakini ikaondolewa kinyamela na bunge likashindwa kujadili mbunge kushambuliwa polisi wangeweza ?wakati wanapewa maelekezo na amri Toka juu ?wakati mwingine tutawalaumu bure polisi lakini kumbukeni nao ni binadamu na akuna binadamu anayependa kulaumiwa

  • @oswaldtemba2770
    @oswaldtemba2770 8 днів тому

    Akili sio.kuvaa suti.mjinga wewe

  • @rashidyardo7929
    @rashidyardo7929 8 днів тому +1

    Nafasi ya Waandishi wa habari katika sakata la shambilio la Tundu lisu Iko wapi? Mimi binafsi nadhani mnatakiwa mjitathimini.

  • @chrisostomruta-cw3zf
    @chrisostomruta-cw3zf 8 днів тому

    We Masai ufai kuwa mchambuzi unazunguka sana