JINSI YA KUTENGENEZA MAFUTA YA NAZI BILA KUYACHEMSHA // how to make coconut oil.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 11 вер 2024
  • Nafurahi kushare video nyingine ya ninyi.
    JINSI YA KUTENGENEZAMAFUTA YA NAZI
    Nadhani wengi wenu mtaupenda.
    Namtumaini mnafurahia Video zangu. Asanteni kwa kuangali.
    Iliusikose video zangu SUBSCRIBE hapo chini
    Nifollow katika mitandao mingine
    Instagram: @glow_ch1
    Tik tok: glow_ch
    Product nilizotumia
    --------------------------------------------
    Labda kuna mtu atataka kujua:
    Camera ninayotumia : Canon 80D
    Software ya kueditia video : imovie
    Taa ninayo tumia : Ring light
    Kamera ya kufanyia vlog: iphone xs
    #ngozi #mafuta #glowcharls
    Kwa, sponsorhip, product review, jisikie huru kunitafuta katika barua pepe: g.mtei54@gmail.com
    Maoni yote katika video zangu ni yangu mwenyewe, bila kujali ikiwa video imefadhiliwa au la. Hivyo basi, bidhaa ambayo nimejaribu ikanifaa mimi inaweza isikufae wewe.
    Wenu,
    Gloria

КОМЕНТАРІ • 105

  • @kibouttv7148
    @kibouttv7148 4 роки тому +2

    Nilikuwa sijui hii mbinu ya kublend Asante kwa kushare, mafuta ya nazi ni mazuri sana yanangarisha ngozi na hii mbinu yako ya kutengeneza nimeipenda mimi mwenyewe sipendagi yaliyochemshwa haya organic ndo mazuri sasa pia yana virutubisho vyote.

    • @GlowCharls
      @GlowCharls  4 роки тому

      Karibu my dear. Organic oil ni mazuri sana kwenye ngozi. Asante sana

  • @legatz
    @legatz 4 роки тому +2

    Mafuta mazuri yanaonekana best nami naenda kuyatengeneza nipake Mimi na mwanangu halafu ntakupa mrejesho

    • @GlowCharls
      @GlowCharls  4 роки тому

      Sawa dear ❤️🥰❤️👌🏽👌🏽👌🏽utayapenda sana

  • @filothiasirizabongo5767
    @filothiasirizabongo5767 3 роки тому

    Hongera sana dear nimeipenda sana japo huku nilipo nazi hakuna ila nikirudi tz pwani nitajaruvu

  • @mamafranjovlog72
    @mamafranjovlog72 4 роки тому +1

    Eh iyo pilipili ya machicha bado sijaisikia kwakweli lol dunia kubwaaa,waoooh hii biology ya hali ya jui G hongera sana i never immagine this procces big up dear👍👍

    • @GlowCharls
      @GlowCharls  4 роки тому

      Mama Franjo Vlog Yaani hii process ni nzuri sana. Na ni mazuri kwa ngozi sana.

    • @GlowCharls
      @GlowCharls  4 роки тому

      😍🥰😍🥰😍😍

    • @didaahlove6197
      @didaahlove6197 4 роки тому +1

      Mama franjo vlog ipo pilipili yaitwa chatini yatengezwa kwa chicha za nazi ulizotoka kukuna

    • @mamafranjovlog72
      @mamafranjovlog72 4 роки тому

      @@didaahlove6197 oh kumbe asante kunijuza

  • @Kenchiyh
    @Kenchiyh 4 роки тому +2

    Safi sana aisee, yani hii natural kabisaaaa👌

    • @GlowCharls
      @GlowCharls  4 роки тому

      Kwakweli ni natural kabisa sis ❤️😍❤️

    • @estherjohn8636
      @estherjohn8636 3 роки тому

      Na mafuta ya naz yanakaa mda gan kuharibika

  • @munawwarmohd2016
    @munawwarmohd2016 3 роки тому +2

    Mashallah 👌

    • @GlowCharls
      @GlowCharls  3 роки тому

      Asante sana ua-cam.com/video/Mfc0l6616zc/v-deo.html hapa utaona video nyengine ya kutengeneza mafuta ya nazi bila kuyachemsha please nipe like yako na comment tafadhali 🙏🏾

  • @user-ku8js6um3k
    @user-ku8js6um3k 2 місяці тому

    Nimependa

  • @rosemrutu9069
    @rosemrutu9069 4 роки тому +1

    Asante sana dear nimekuelewa sana

    • @GlowCharls
      @GlowCharls  3 роки тому

      Asante sana sana 🙏🏾🙏🏾

  • @user-su5oi5wb6c
    @user-su5oi5wb6c 8 місяців тому +1

    Nice 😢😢❤❤

  • @fatmaali4794
    @fatmaali4794 4 роки тому +1

    Mashallah nimeipenda 👍

  • @mamafranjovlog72
    @mamafranjovlog72 4 роки тому

    Hii sijawai kuisikia dear let me watch nipate maufundii

  • @barikikaroli6088
    @barikikaroli6088 4 роки тому +3

    Asante hata Mimi napenda kutumia mafuta ya nazi ambayo hayajachemushwa

    • @GlowCharls
      @GlowCharls  4 роки тому

      Bariki Karoli ni mazuri sana kwa ngozi. Na nywele. 🙏🙏🙏🙏😍🥰

  • @MohammedAli-vq2dk
    @MohammedAli-vq2dk 4 роки тому +2

    Asante dear ntajaribu na mm

    • @GlowCharls
      @GlowCharls  4 роки тому

      Karibu dear. Jaribu utayapenda mazuri sana kwa ngozi 👌🏽👌🏽👌🏽

  • @malaika1tz601
    @malaika1tz601 4 роки тому +1

    hongera sana mamy kesho najarb na mm

    • @GlowCharls
      @GlowCharls  4 роки тому

      Asante dear. Please jaribu 👌🏽👌🏽👌🏽utayapenda sana

  • @sharifaramsoleen2883
    @sharifaramsoleen2883 4 роки тому +1

    Waooh vzr ntajarbu

    • @GlowCharls
      @GlowCharls  4 роки тому

      Uniambie usijaribu 🙏🏾👌🏽👌🏽

  • @EroniaEronia-h9d
    @EroniaEronia-h9d 24 дні тому

    Nina uso wa mafuta nina madoa na chunusi Ayo mafuta nawezatumia msaada dada

  • @sophiakatondo2016
    @sophiakatondo2016 2 роки тому

    Jambo, napenda kujua baada ya kuchuja unaweka kwenye friji kwa muda gani. Na kama Huna friji utayahifadhi kwa muda gani ili cream na maji yajitenge.

  • @africanbellatherealtalk
    @africanbellatherealtalk 4 роки тому +2

    Nilikuwa sijui how to do this,hii video itanisaidia sana.Next week natengeneza haya mafuta

    • @GlowCharls
      @GlowCharls  4 роки тому

      Tuoneshe please usiache kunionesha kipenzi ❤️🥰😍

  • @getrudagaudence4787
    @getrudagaudence4787 4 роки тому +1

    Thanks unaeleweka sana

    • @GlowCharls
      @GlowCharls  4 роки тому

      Asante sana dear ❤️❤️

    • @floramolel4283
      @floramolel4283 4 роки тому +1

      Ukisha kamua tui yako inatkiwa uifazi siku ngapi ndo ukute umejigawanya siku ngapi

    • @GlowCharls
      @GlowCharls  4 роки тому

      flora molel nimetaja kwenye video. Ni masaa 48. Ambayo ni siku mbili

  • @user-xo9lh9es9w
    @user-xo9lh9es9w 27 днів тому

    Kama auna frig aifai kutengenezs

  • @vickmethord1797
    @vickmethord1797 3 роки тому

    Bado unatengeneza haya mafuta bila kuchemsha ? Nayahitaji nitayapataje kipenzi

  • @joycegasper2517
    @joycegasper2517 3 роки тому +2

    Nmejifunza sasa km Sina fridge nafanyajee ili maji na cream yajitenge???

    • @GlowCharls
      @GlowCharls  3 роки тому +2

      Unaacha tu mpaka cream ijitenge yenyewe

    • @joycegasper2517
      @joycegasper2517 3 роки тому +1

      @@GlowCharls asanteee mamy wangu ntajarib maana yakuchemsha sio smart Sana

    • @FatumaKanyenye
      @FatumaKanyenye Місяць тому

      Ngoja tukuletee frig

  • @mwanakherkione597
    @mwanakherkione597 3 роки тому

    Jaman namba

  • @radhiasalum7156
    @radhiasalum7156 4 роки тому +1

    Asante sana❤️❤️

  • @welovetosee4944
    @welovetosee4944 4 роки тому +2

    Nimependa sana!

    • @GlowCharls
      @GlowCharls  4 роки тому

      Asante dear ❤️🥰❤️

  • @justinakaronge5270
    @justinakaronge5270 2 роки тому

    Je unaweza kuchanganya na karoti

  • @africanbellatherealtalk
    @africanbellatherealtalk 4 роки тому +1

    Napenda maji ya nazi sana.

    • @GlowCharls
      @GlowCharls  4 роки тому

      Ni matamu sana jamani 😍👌🏽👌🏽👌🏽👌🏽

  • @proscoviamacharius7479
    @proscoviamacharius7479 4 роки тому +1

    Asante

    • @GlowCharls
      @GlowCharls  4 роки тому

      Asante Na wewe pia 🙏🙏

  • @itsfarhat1099
    @itsfarhat1099 4 роки тому +1

    Nice

    • @GlowCharls
      @GlowCharls  4 роки тому

      Halua Hamza Asante 🙏🙏

  • @marionntomola1686
    @marionntomola1686 2 роки тому

    Hii njia ya uchotaji hamna.ingine?

  • @happypatrick9466
    @happypatrick9466 4 роки тому +1

    Mummy naweza weka sehemu ya joto ata kwenye microwave or ovens

    • @GlowCharls
      @GlowCharls  4 роки тому +1

      happy patrick sijawai weka kwa microwave au oven Nisingeshauri kwa sababu sijawahi kujaribu. Ila waweza anika juani tu. Pia itasaidia ubora wa mafuta usishuke.

    • @asantekwahuuwimbozubeda873
      @asantekwahuuwimbozubeda873 4 роки тому +1

      Mfano km huna freji utatengenezake mafuta ya nazi

    • @GlowCharls
      @GlowCharls  4 роки тому

      Asante kwa huu wimbo Zubeda hau hitaji fridge kutengeneza mafuta.

  • @hilalmtambo8401
    @hilalmtambo8401 2 роки тому

    Mpendwa nashida na namba yako a
    Ahsante

  • @evitarobert9549
    @evitarobert9549 3 роки тому +1

    Samahani my dada nimetengeneza mafuta kama wewe,ila nayaona yananuka nimekosea nini,

    • @GlowCharls
      @GlowCharls  3 роки тому

      Uliyahifathi wapi?? Na siku ngapi??

  • @hudahope9851
    @hudahope9851 3 роки тому

    Thank u honey

  • @mayaguntram951
    @mayaguntram951 Рік тому

    Je yakiganda kwenye friji mwisho wa siku inaweza kuyayuka?

  • @fideleemmanuel3035
    @fideleemmanuel3035 Рік тому

    samani niulze,, iwapo auna blenda, utatumia njia gani

  • @annalunenge3378
    @annalunenge3378 4 роки тому +2

    Yananukia Pia kama yale yakuchemshaa? Na nmependa technique yko dada

    • @GlowCharls
      @GlowCharls  4 роки тому +1

      Anna Lunenge asante dear yananukia na pia ukipikia yanaladha ya nazi.

  • @raheemmbowe4890
    @raheemmbowe4890 3 роки тому +1

    Great

  • @aminamzungu2250
    @aminamzungu2250 3 роки тому +1

    Je Nazi hii ambayo haijapikwa ni salama kwa watoto?

    • @GlowCharls
      @GlowCharls  3 роки тому

      Ndio haina tatizo kwa mtu yoyote mtoto au mtumzima.

  • @sherbanieabdoul9552
    @sherbanieabdoul9552 3 роки тому

    Mashallah

  • @bahatimoa
    @bahatimoa 4 роки тому +1

    This was great!

  • @lovenessibrahimu6730
    @lovenessibrahimu6730 3 роки тому +1

    Nikichanganya Na Aloevera Je

    • @GlowCharls
      @GlowCharls  3 роки тому

      Sijawai kuchanganya na alovera kwahiyo siwezi kukupa jibu sahihi dear.

  • @user-bf6yr4pk8g
    @user-bf6yr4pk8g 3 місяці тому

    Kama Sina freg haiwezekan

  • @lizbethmbwambo8918
    @lizbethmbwambo8918 2 місяці тому

    Umetobolea nn kutoa maji

  • @nasmasaidi1310
    @nasmasaidi1310 2 роки тому

    Yanafaa na kupikia au

  • @nicerkenny4239
    @nicerkenny4239 3 роки тому

    Hayo yaliyobak ulifanyia nin

  • @fatumasamiji5547
    @fatumasamiji5547 2 роки тому

    Kama hauna firij je

  • @belindaalainmpela4826
    @belindaalainmpela4826 3 роки тому

    Ukitengeneza hivi,yanakuwa hayana harufu kali ya nazi???

  • @berthamsodoki2865
    @berthamsodoki2865 4 роки тому +1

    Nimejaribu ila nkiweka kwa friji mbona hayagandi hivo nakosea wapi?

    • @GlowCharls
      @GlowCharls  4 роки тому

      Umeweka kwa muda gani?? Ukiacha Zaidi ya masaa 5 lazima yataganda. Sema ukiyatoa hayatakaa kuganda muda wote sana. Lazima yatayeyuka tu

    • @berthamsodoki2865
      @berthamsodoki2865 4 роки тому

      OK ahsante wacha nijaribu tena ntaleta nrejesho

    • @kurthummwinyi5145
      @kurthummwinyi5145 4 роки тому +2

      Kwani nilazima kuweka kweny frig maana wengine hatuna nimeyapenda sana na nimekuelew dada sema ich kipande cha kuweka kwenyefrig kwanz kwasabab m sina frig

    • @GlowCharls
      @GlowCharls  4 роки тому +1

      Kurthum Mwinyi hello dear haina haja ya kuweka kwa fridge. Mimi niliweka tu kuonesha kuganda

    • @kurthummwinyi5145
      @kurthummwinyi5145 4 роки тому

      Thanks love shukran sana yan nitafanya hii next time leo t nimetoka kutengenez mafuta naona hii njia yak unapata mafuta meng mno sante san

  • @fatumasamiji5547
    @fatumasamiji5547 2 роки тому

    Je nazi mbovu zinafa

  • @lovenessibrahimu6730
    @lovenessibrahimu6730 3 роки тому +1

    Chupa Kama Hiyoo Napata Wapi

  • @dorcasomary9747
    @dorcasomary9747 3 роки тому

    Nice