Yesu Ndiye njia ya kweli na uzima ya kwenda Mbinguni hebu MWAMINI YESU na Uokoke na ulithi uzima WA milele na uende Mbinguni.(Yohana14:6, Warumi10:9-10).
Kuna Utofauti wa Mashine, Kuna ambazo hutumia Karanga zilizomenywa Tayari....Lakini hii hapa niliuliza pia, wakasema Ukimenya zinanata kwenye vyuma coz itaanza kutengeneza Peanut Butter... ndio maana wanashindilia pia na Hayomataka ili itoe mafuta tuu!
Yesu Ndiye njia ya kweli na uzima ya kwenda Mbinguni hebu MWAMINI YESU na Uokoke na ulithi uzima WA milele na uende Mbinguni.(Yohana14:6, Warumi10:9-10).
Mashallah.pigeni kazi ndugu zangu mwanamke kujituma
Mashaallah ni zury ssa doo ya litre kumi unapata mafuta litter ngapi
Wao natural kabisa
Mungu akubariki nakukubali kinoma
Shukran
Mansha'Allah 👍
Wow kazo mzuri hio. Naomba video ya peanut butter asanteni. Pia naomba kujua hio machine yakutengeneza mafuta inapatikana wapi
Kazi jema
Napataje haya mafuta da ika
Woow nayataka ayoo
Ubarikiwe sio mchoyo
Good work
ika tunaomba darasa la kutengeneza tomato Ika
Hapo ni tabora sehemu gani ika?
Wanauzaje ayo mafuta
Bei gn
Wanapatikana wapi?
Ni mazur mno kwa wali unachambuka sana mnapatikana wap?
Tunayapataje ika?
HII MASHINE INAUZWA WAPI?
❤️❤️❤️❤️
By the way it's health
Nawaza tu... Kwa nini wasitumie karanga zilizomenywa?
Kuna Utofauti wa Mashine, Kuna ambazo hutumia Karanga zilizomenywa Tayari....Lakini hii hapa niliuliza pia, wakasema Ukimenya zinanata kwenye vyuma coz itaanza kutengeneza Peanut Butter... ndio maana wanashindilia pia na Hayomataka ili itoe mafuta tuu!
@@ikamalle JAMBO kwanza Mimi naitwa Daniel mfaume naishi Kenya nigeomba namba yako ya whaspp pia kujua hii machine inanunuliwa pesa ngapi?
@@MFAUME-zl4gs +255752413459 Anaitwa Da lucy... atakupatia maelezo yote kuhusu hiyo mashine
Asante kwa video nzuri hio,naweza pata wapi machine kama hii???tafadhali jibu
Sijui kwakweli… kama nilivyosema mimi nilienda tuu mashineni
Mashineni wapi au mkoa gan
@@ikamalle mashine ipo sehemu gani niende naweza jifunza mengi
Where cn I get the machine
Usafi hapo ni zero ni hatari kwa sumu kuvu aise
🔥🔥
Insta unatumika jina gani
Ika naomba pia kama una namba ya mtu mwenye mashine ya kutengeneza Peanut Butter vizuri
ua-cam.com/video/SjCfE6ispEI/v-deo.html (angalia hiyo video)
@@ikamalle nakupenda jmn mungu akulnde
Amina....
Mafuta lita 20 yanapatikana kwa karanga kiasigani
Wasiliana na huyu 0752413459
😋😋😋😋😋😋
We won't your nomber prees