kutengeneza mafuta mwanamwali ya Nazi/mafuta ya nazi bila kuchemsha

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 16 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 13

  • @RayaAsmani
    @RayaAsmani 10 місяців тому

    Wow very very nice exllente good will ❤

  • @AgnessMrutu
    @AgnessMrutu 4 місяці тому

    Uko vizuri sana

  • @LittaMushi
    @LittaMushi 4 місяці тому

    Waow dear... Thank you

  • @barikiwa22
    @barikiwa22 2 роки тому +1

    Very well explained, asante sana

    • @homecookingtz2488
      @homecookingtz2488  2 роки тому

      Nashukuru sana,na karibu tena

    • @barikiwa22
      @barikiwa22 2 роки тому

      @@homecookingtz2488 nime fanikiwa kutengeneza aisee yametoka mengi tena mazurije🙏

    • @homecookingtz2488
      @homecookingtz2488  2 роки тому

      @@barikiwa22 Safi sana na hongera sana kipenzi nimazuri mno tena kwa watoto wadogo,nimefurahi sana

  • @farhannahomary5505
    @farhannahomary5505 4 місяці тому

    ❤❤❤❤❤❤❤

  • @mamafavor9283
    @mamafavor9283 8 місяців тому

    Yaani nimekuelewa sana❤❤❤

  • @lyneteisaack2800
    @lyneteisaack2800 6 місяців тому

    Km hun frij unafanyaje

    • @homecookingtz2488
      @homecookingtz2488  6 місяців тому

      Kama hauna friji ni vigumu kutengeneza aya yasiyo chemshwa,ila unaweza kutengeneza ya kuchemsha baada ya kupasua nazi utaikuna au ku blend kisha utakamua tui na baada ya hapo uta weka kwenye sufuria jikoni na uchemshe kwa moto saizi Ya kati mpaka utaona ile rojo na mafuta yanajitenga kisha utatumia kijoko kutoa mafuta

    • @lyneteisaack2800
      @lyneteisaack2800 6 місяців тому

      @@homecookingtz2488 sante sana