Це відео не доступне.
Перепрошуємо.

KIJIWENONGWA WANAFUNZI WA DARASA LA SABA WAKUBWA /WATORO/WANAPIGANA NA WALIMU

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 3 кві 2022
  • #Kijiwenongwa #GeahTv #geahhabibu

КОМЕНТАРІ • 208

  • @asfarsham9556
    @asfarsham9556 2 роки тому +32

    Hahaha zai jamani mpeni kipindi atutoe stress.

  • @humphreyleodgar9434
    @humphreyleodgar9434 Рік тому +5

    Zai anaishi Uhalisia wake❤❤

  • @waheedsaid225
    @waheedsaid225 2 роки тому +9

    Yan nimecheka mpaka mbavu zinauma da zai unajua sana😂😂😂😂😂🔥🔥🔥🔥🔥

  • @firdausrajabu6822
    @firdausrajabu6822 2 роки тому +8

    😄😄😄 jamn zai dah utafk mbinguni umechok san kwakweliii

  • @didakalaule7840
    @didakalaule7840 2 роки тому +8

    Ila Zai nyie 🤣🤣🤣hizi story sijui anazitoaga wapi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @pacomezouzoua9175
    @pacomezouzoua9175 2 роки тому +11

    Uyo dada anafaa sana kuigiza🤣🤣🤣

  • @ynyynyyny
    @ynyynyyny 2 роки тому +3

    Waalimu, upendo husitiri wingi wa dhambi mtawafanya watoto wachukie elimu

  • @barakakusa7606
    @barakakusa7606 2 роки тому +3

    Geah Mwambie Shangazi big ampe kipindi Zai Kijiwe nongwa.

  • @vivianvivian8585
    @vivianvivian8585 2 роки тому +1

    Jaman

  • @tedytemu9250
    @tedytemu9250 2 роки тому +7

    Haahaaa Zai umetuweza🤣🤣🤣❤️❤️

  • @rachelmshana6555
    @rachelmshana6555 Рік тому +2

    Nimependa hapo kwa wasambaa,"wafa wagima wa wagima,Zai utatuua wenzako.

  • @humphreyleodgar9434
    @humphreyleodgar9434 Рік тому +3

    Kwenye miua chaliiii😂😂😂😂

  • @bensonthobias8401
    @bensonthobias8401 2 роки тому

    Your the best

  • @AnthoniaDavid255
    @AnthoniaDavid255 Рік тому +1

    Hahaha huyu Zai mwisho aisee Kwanza haishiwi content

  • @halimaomari2370
    @halimaomari2370 2 роки тому +4

    😁😁😁😁😁😁 Yaan napendaga mimi.akiwa anaongea huyu dada

  • @rachaelmwaimu6107
    @rachaelmwaimu6107 2 роки тому +3

    Duuuuu
    Jamani jamani nimecheka
    Wewe ni bingwa wa kutufundisha.

  • @reginasawe3356
    @reginasawe3356 2 роки тому +3

    Hahahaah zai nakupenda jaman

  • @queenandchill91
    @queenandchill91 2 роки тому +9

    😂😂😂😂😂😂😂wewe ZAI wewe hapana kwa kweli

  • @madameboss181
    @madameboss181 2 роки тому

    Umenikumbuka mbali sanaaaa

  • @zainabcloud3459
    @zainabcloud3459 2 роки тому +2

    Jomn Wajina nimecheka hd machoz Kwan kina Zay tunashd gni na misaut ilivyo mine😂😂😂😂🙌🙌

  • @scollamwanisisi7062
    @scollamwanisisi7062 Рік тому +1

    Nampenda zai mie

  • @MichaelMaro-hj7yo
    @MichaelMaro-hj7yo 3 місяці тому

    Kweli walim mshara uongwezwe nakukubal Gea

  • @hidodomagarasha5804
    @hidodomagarasha5804 2 роки тому +22

    Zai sijacheka mwezi mzima Leo umenifanya nimecheka Hadi sura yangu nahisi imenyoka Mana ilisinyaa kwa huzuni🤣🤣🤣

    • @reginasawe3356
      @reginasawe3356 2 роки тому +2

      🤣🤣🤣🤣🤣 mwenzangu na miimi

  • @gracemushi3668
    @gracemushi3668 2 роки тому

    Nakupenda sana we mdada

  • @oliviaseth4652
    @oliviaseth4652 2 роки тому +2

    Yaani nikimsikiaga Zai stress zina kaa kando kwa kweli.

  • @kadijahajali3918
    @kadijahajali3918 2 роки тому +1

    Mtihani

  • @ashurajengela3926
    @ashurajengela3926 2 роки тому +7

    Zai www zai utanilipa mbavu zangu 🤣🤣🤣🙌🏻

  • @oliviaseth4652
    @oliviaseth4652 2 роки тому +7

    ZAI UNA NIUWA WEWE DADA 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @mariamsalim9311
    @mariamsalim9311 2 роки тому +1

    Wallahi hata kama umenuna nikikuangalia nacheka 😀😀😀😀😀😀

  • @lulugama1547
    @lulugama1547 2 роки тому +3

    😂😂😂😂😂😂😂 huyu Zai ni next level

  • @zahramsabah5089
    @zahramsabah5089 2 роки тому +1

    Ila mitoto. Mengine inatia hasira vo sababu. Hawana mm nawaelewa waalimu wote

  • @didakalaule7840
    @didakalaule7840 2 роки тому +7

    Zai zai zai🤣🤣🤣🤣🤣nakupenda 😘🥰🤣🤣🤣🤣🤣

  • @asiamohd5516
    @asiamohd5516 2 роки тому +1

    Kiatu 42

  • @shakilamasoud2983
    @shakilamasoud2983 2 роки тому +14

    Jamani natafuta mteja nimuuzie Zai kwa Bei rahisi. Hata kwako nitamleta🤣🤣🤣🤣

  • @sylviermuhonjah8411
    @sylviermuhonjah8411 2 роки тому +2

    Zai hapungukiwi vituko 😃😃

  • @OchoaHomeDecor_
    @OchoaHomeDecor_ 2 роки тому +1

    9:45 naweza kukaa nae kwenye deski 🔥🔥🔥

  • @linahsemindu4261
    @linahsemindu4261 2 роки тому +2

    Da geah jmn akiwa na zai mbavu Hana 🤣🤣🤣🤣

  • @pilealmas3079
    @pilealmas3079 2 роки тому +1

    Ila zai

  • @ukhutfatumah1154
    @ukhutfatumah1154 2 роки тому +1

    Haaaaa zai tano tena wallah

  • @deogratiusndunguru7636
    @deogratiusndunguru7636 2 роки тому

    Daah,zai balaaaaa

  • @mutalemwa-woerle
    @mutalemwa-woerle 2 роки тому +1

    Jamani hata mimi nilimmiss Zai, 😂😂👍

  • @alfonsiabruno2310
    @alfonsiabruno2310 2 роки тому +4

    Hahaha Zai 🥰🔥🙌😅😅

  • @zenamilanzi1471
    @zenamilanzi1471 2 роки тому +1

    Nikweli hunayo yasema yamemjaa mtani

  • @SalimRashid-cq2pi
    @SalimRashid-cq2pi Рік тому

    Jaman zai

  • @Fabulousmom509
    @Fabulousmom509 2 роки тому +1

    😂😂😂😂😂😂 jamani we Zai unatuvunja mbavu

  • @davidmangwea5173
    @davidmangwea5173 2 роки тому +2

    Aisee! Zai we ni chizi.....hahahaha

  • @mariamjuma9486
    @mariamjuma9486 2 роки тому +3

    Zai wee kiboko kwakweli 😄🤣🤣🤣🤣🤣

  • @groveyagroya1280
    @groveyagroya1280 2 роки тому +3

    😂 😂 😂 Zai nacheka mpaka mwarab ananyooka

  • @uwimanauwimana7692
    @uwimanauwimana7692 2 роки тому +1

    Kweli zai utaniua kwa kucheka mbavu zinauma 😄😄😄😄

  • @nuratzimbwe8655
    @nuratzimbwe8655 2 роки тому +2

    Unafuraisha zai

  • @alexandrinadomaino9868
    @alexandrinadomaino9868 2 роки тому

    Haaa haa jamani huyu dada

  • @juliethndomba639
    @juliethndomba639 2 роки тому +1

    😀😀😀😀zai unaniuwa

  • @Shuu.A
    @Shuu.A 2 роки тому +3

    Zai jamani 😂😂😂😂

  • @ummyjumaa4151
    @ummyjumaa4151 2 роки тому

    Zai bhana

  • @evainnocent9520
    @evainnocent9520 2 роки тому

    Ila zai unanitoa stress jamn haki Ila unafundisha

  • @faridapandu7579
    @faridapandu7579 Рік тому

    Zaimm Jani hii nazaidi kuipenda

  • @deborakasisi5049
    @deborakasisi5049 2 роки тому +1

    Zai ww mi hoi

  • @mumynanah5479
    @mumynanah5479 2 роки тому

    Mimi sio wakucheka ivi jmn daah!😂😂

  • @iduelabu4007
    @iduelabu4007 2 роки тому

    Ariko

  • @fellybonny5618
    @fellybonny5618 2 роки тому +2

    Zai mbavu zangu mimiiii

  • @khadijagumbo4143
    @khadijagumbo4143 2 роки тому +2

    Nililumiss zai

  • @ayshamadege7981
    @ayshamadege7981 2 роки тому +11

    🤣🤣🤣🤣🤣zay jamani yaani umenikumbusha Vingunguti B jamani darasani kwetu kulikuwa na njemba hatari kumbe hayo mambo bado yapo tu🤣🤣🤣🤣🤣ah nimecheka hatari🙌 😍

    • @singinggirl6554
      @singinggirl6554 2 роки тому +2

      Nimecheka kweli hata mimi nimesoma na mababa la saba wengine walikuwa wameanza kutoka na ndevu wallah 😂😂😂😂😂

    • @mengiuswege3654
      @mengiuswege3654 2 роки тому

      Mwaka gani 🤣🤣🤣🤣

    • @ayshamadege7981
      @ayshamadege7981 2 роки тому +1

      @@mengiuswege3654 enzi hizo za khamsini kweusi 🤣🤣🤣🤣🤣ila zile njemba 🙌🙌🙌

    • @mengiuswege3654
      @mengiuswege3654 2 роки тому

      Shiminta, zimwi , mwalimu sadic kiwia , magoke ,mapesa ,jumbe

    • @josephjosephat2310
      @josephjosephat2310 3 місяці тому

      Yule kiwia na miwani yake alikuwa hatari,halafu kuna Joel barua.

  • @hdggu6792
    @hdggu6792 2 роки тому +1

    Zai ulikuwa wapi jamani mbona ulikuwa kimya sana 😂😂😂😂

  • @dottohamisi9844
    @dottohamisi9844 2 роки тому +10

    🤣🤣🤣Jamani dada Zai ww unajua kunifurahisha

  • @wimasianjau2814
    @wimasianjau2814 2 роки тому +5

    Nimecheka aki kama mjinga zai wewe

  • @zaytunhijja6771
    @zaytunhijja6771 2 роки тому +1

    😂😂😂😂😂zai muongo jamani

  • @uneyynmuhammed7229
    @uneyynmuhammed7229 2 роки тому +2

    Zai mbavuzangu meeee🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @subirapoo8619
    @subirapoo8619 2 роки тому +1

    mwezenu nakufaaaaaaaaa😃😃😃😃😃😃😄😄😄😄😄😄😄😄

  • @ashuiddy9322
    @ashuiddy9322 2 роки тому +1

    Zaiiiiiiiii, uwiii 🤣🤣

  • @HalimaHalima-id2cb
    @HalimaHalima-id2cb 2 роки тому

    😄😄😄😄jamani zai kavaa ntungulie uzi mmoja

  • @hanifatanzania7258
    @hanifatanzania7258 2 роки тому

    Hahaaa zai

  • @milonmilestz4312
    @milonmilestz4312 Рік тому

    Mbavuu zangu

  • @edithamichael7639
    @edithamichael7639 Рік тому +1

    Jamani watu🤣🤣🤣

  • @stellahchristopher9064
    @stellahchristopher9064 2 роки тому

    Zai hao watoto ni wa kuzimu😅😅😅

  • @hawasaid7151
    @hawasaid7151 2 роки тому +4

    Yan uyu dada nampendaga😂😂😂

  • @neemajohnmpinga1834
    @neemajohnmpinga1834 Рік тому

    Nmechekaaa jmn daah nguvu sina

  • @dianajames2451
    @dianajames2451 2 роки тому +3

    😂😂😂😂 jaman mtatuua

  • @hamidahamis4537
    @hamidahamis4537 2 роки тому

    Zai utaniuwa mbavu zangu mimi

  • @getmad9908
    @getmad9908 2 роки тому +5

    Wanga wazee 🤣🤣🤣

  • @mengiuswege3654
    @mengiuswege3654 2 роки тому +2

    AJENGEWE SANAMU VINGUNGUTI PALE MAKABURI YA MAVI (SPENCO)🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @zenamilanzi1471
    @zenamilanzi1471 2 роки тому

    😀😀😀

  • @humphreyleodgar9434
    @humphreyleodgar9434 Рік тому

    Huyo mwanafunzi teja au😂😂😂

  • @jaksoncasty436
    @jaksoncasty436 2 роки тому

    Jmn jmn zai khaaaaa🤣🤣mbavu zngu

  • @bahatiguyana7060
    @bahatiguyana7060 Рік тому +1

    😂😂😂😂😂😂mbavu zangu jamani

  • @maryamos2882
    @maryamos2882 10 місяців тому

    Mwanangu chegema atakuua huyo😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @milonmilestz4312
    @milonmilestz4312 Рік тому

    Moe apewe ajira jamani

  • @fathiasaed9718
    @fathiasaed9718 2 роки тому

    zay apana

  • @zarinadaud3261
    @zarinadaud3261 2 роки тому +5

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 mbavu zangu jaman🤣🤣🤣🤣

  • @sabarluis493
    @sabarluis493 Рік тому +1

    Mwalimu katika uturuki 🤣🤣🤣🤣

  • @Matiherbalist
    @Matiherbalist 2 роки тому

    We zai mi nacheka hadi naonekana kama chizi zezeta

  • @hidodomagarasha5804
    @hidodomagarasha5804 2 роки тому +10

    Zai nilikumiss Sana ❣️❣️❣️

  • @agnesnjama8688
    @agnesnjama8688 2 роки тому

    😂😂😂😂deksi

  • @mwanamvuamuhsin7130
    @mwanamvuamuhsin7130 2 роки тому +1

    zai utaniuwa jmn😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @rahmaomary5045
    @rahmaomary5045 2 роки тому +2

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Mbavu zangu mimi jmn

  • @azorindege2556
    @azorindege2556 2 роки тому

    Ahahahaha daaaah hapana daaah

  • @pendogodson9880
    @pendogodson9880 Рік тому +1

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 da zai unaniua

  • @jeniphermosses4767
    @jeniphermosses4767 3 місяці тому

    Jamn zai 😅😅😅

  • @evainnocent9520
    @evainnocent9520 2 роки тому

    Misur yamakalio hahahaaaaaaaaaa uwiiiii

  • @animallovers3473
    @animallovers3473 2 роки тому +1

    Zai jaman🤣🤣🤣🤣

  • @aishazaid6625
    @aishazaid6625 2 роки тому +1

    Ila Zai hahahaha