KIJIWENOGWA:MIJANAUME INAYOKUJA KUOA NI MIZIPEZIPE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 вер 2024
  • #Kijiwenongwa

КОМЕНТАРІ • 211

  • @monadinadi5295
    @monadinadi5295 2 роки тому +8

    Zai hyo Dada yko mmefanana. Nakupenda zai wng na da geah 💕💕❤️❤️😁😁

  • @sherrymeddy6398
    @sherrymeddy6398 2 роки тому +7

    😂🤣🤣🤣🤣 Da zai wauwah unatufurahisha sanaaaaaa,, Nakupenda 😍😍😍

  • @sifamushi1747
    @sifamushi1747 2 роки тому +8

    MEZAGA MATE UKIONGEA da zai. Tunakupenda sana...

  • @angeljasson4376
    @angeljasson4376 2 роки тому +6

    Mama mjumbe na zai mweee nawakubali sana uwa nammiss sana mjumbe

  • @fathasalumu7241
    @fathasalumu7241 2 роки тому +11

    🤣🤣🤣🤣, zai usinichekeshe nakupenda wallah nataman ungekua dada angu, et panga la harusi, anacheka kiwambazan 🤣🤣🤣

  • @uwimanauwimana7692
    @uwimanauwimana7692 2 роки тому +4

    Mie nikisikia Mizipezipe na kudukwa sina mbavu mieeee😄😄👌 ayo maneno hua unayatoa wapi zai 😄

  • @uwimanauwimana7692
    @uwimanauwimana7692 2 роки тому +4

    Sichoki kuangalia kweli zai unatutoa stress mbavu zangu mieeee 😄😄😄👌👌

  • @rosemaryismaily001
    @rosemaryismaily001 2 роки тому +10

    Zai uwe unameza na mate mana Kam injin🤣🤣😂

  • @ashaissa8813
    @ashaissa8813 2 роки тому +9

    Zai meza mate shoga🤣🤣❣️

  • @ayshazambia6509
    @ayshazambia6509 2 роки тому +18

    Zai unanifulaisha sana pamoja na timu yako 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌

    • @fatumakambangwa2915
      @fatumakambangwa2915 2 роки тому

      Zai wapi unakaaaa utaniuwa siku kwa uongo wako daaaa jamani

  • @fatumahengo6849
    @fatumahengo6849 2 роки тому +3

    Kijiwe nongwa nawapenda sana 😃😃😃😃eti kiarabu mwez 20 😃😃😃😃😃

  • @kijegejemnubi362
    @kijegejemnubi362 2 роки тому +3

    Jamani Dada gea nampenda huyo Dada najikuta mawazoyangu yanapungua kwakucheka nafurahishwasana ,ningepata hata nambayake niwetu namsalimiaga nampenda sana zay kijiwenongwa,😄😄😄

  • @azzamahamdu7039
    @azzamahamdu7039 2 роки тому +2

    Zai na dadaake wanafanana kila kitu
    Dah nmecheka

  • @elochoyakobo7809
    @elochoyakobo7809 2 роки тому +3

    Huyu anapepo la kuongea , haiwezekani mtu uongee kama cherehani namna hii.

  • @nabu.barbim9219
    @nabu.barbim9219 2 роки тому +6

    Wajinaa 🙌🙌🙌😂

  • @ziadaalute6836
    @ziadaalute6836 2 роки тому +2

    Haha AAA alhamdukilah,M azipezipe( mwezi mchanga

  • @totmohammed6430
    @totmohammed6430 2 роки тому +3

    😂😂😂😂😂jmn mtaniwambavuuuuu🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️

  • @glammummy
    @glammummy 2 роки тому +2

    jamani hawa watu eti yeboyebo kama kavaa raba zinavonata mguuniv🤣🤣🤣🤣🤣

  • @Ndu-wa.uroony2
    @Ndu-wa.uroony2 2 роки тому +2

    Uuuuuuwiiii da Geha mi natoka Arusha nije tu kumuona Zai

  • @oliverben8010
    @oliverben8010 2 роки тому +3

    Yaani zai, , 🤣🤣🤣🤣 mbavu zang mie

  • @gladnesswaziri2727
    @gladnesswaziri2727 2 роки тому +3

    Zai 😂😂😂 af mjumbe dadaako nn mnafanana had kuongea 🙄🙄😂😂😂😂😂

  • @lovvy854
    @lovvy854 2 роки тому +3

    😂🤣🤣duhhhh hatarii TZ sihamii

  • @allysalehal-jaber4822
    @allysalehal-jaber4822 2 роки тому +2

    Yeboyebo kama raba!!!! lol! Utadhani kapaka superglue kwenye nyayo!!😀😀. Uswahili kuna raha yake aisee. Utalii wa ndani ndiyo huu.

  • @officialdoablej6455
    @officialdoablej6455 2 роки тому +3

    🤣🤣🤣🤣🤣 zai umefanana dada ako adi mnavyoongea

  • @tausihasheem5169
    @tausihasheem5169 2 роки тому +3

    Mizipe zipe jmn😂😂😂😂

  • @allymawazo7189
    @allymawazo7189 2 роки тому +2

    Mambo haya unatakuta dar tu😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @kibibiismair3241
    @kibibiismair3241 Рік тому +1

    Zay Nakupenda Bureeeer🤣🤣🤣

  • @AfricaQueen
    @AfricaQueen 2 роки тому +2

    Yaani nimecheka daah!wewe zai kibokoooo 😂🤣🤣🤣kwa kweli unatufurahisha kijiwe nongwaaaa kibokoooo🤣😂😂🥁🥁🥁🤣😂😂😂😂

  • @user-pg3pu4jk9f
    @user-pg3pu4jk9f 2 роки тому +3

    Zai mbavu zangu🤣🤣🤣mweee Umejuwa kunifurajisha

  • @haphsamaulid304
    @haphsamaulid304 2 роки тому +3

    🤣🤣🤣🤣🤣Zai nakugawa bure hahahahahah

  • @user-ye5ik6mb3n
    @user-ye5ik6mb3n 3 місяці тому

    Da geh acheki mim ningekua wew apo chali

  • @tausihasheem5169
    @tausihasheem5169 2 роки тому +1

    Fimbo ya kichwa moja takatifu jmn😂😂😂😂😂😂😂

  • @rukiaomar3369
    @rukiaomar3369 2 роки тому +1

    NIKWELI ZAI ATA HUKU OMAN WAMAMA WAKIONA WATOTO ZAOMATAILA WANAWATAFUTIA WACHUMBA WAFANYAKAZI WA NDSNI KUNA MMOJA ALIOLEWA NA MTU MPUNGUFU WA AKILI KILA MDA ANATAKA KUFANYA MAPENZ MPAKA YULE DADA KADANGANYA MAMA YAKE KAFA TZ KALUDI

  • @mmn7480
    @mmn7480 2 роки тому +1

    🤣🤣🤣🤣🤣zai ww noma🙌🙌🙌🙌

  • @kabintmpase1544
    @kabintmpase1544 2 роки тому +2

    Kwan kumuona zai shingap🤣🤣🤣

  • @fainesnyalile7296
    @fainesnyalile7296 2 роки тому +1

    😆😆😆😆😆😆😆😆😆nyie hyu zaiii hpnaa nimecheka km mwehuuuu jmniiii

  • @lovenessmtaita9321
    @lovenessmtaita9321 2 роки тому +2

    😆😆😆😆😆 zai jamaniiii unanifurahisha

  • @kreamagdfsa1697
    @kreamagdfsa1697 2 роки тому +3

    Na ndio maana sitak habarii za kuletewa mume

  • @asmahanyally3225
    @asmahanyally3225 2 роки тому +1

    We zai kiboko

  • @khadijaamour7654
    @khadijaamour7654 2 роки тому +4

    Zai husutiki wewe wakija na tarumbeta kukusuta unaingia weye kati unacheza badala wao 😂

  • @zuenajohn8325
    @zuenajohn8325 2 роки тому +1

    Leo naona Zai anapacha yake,wafanana zao hao.

  • @hidayaMlowe-rk1kn
    @hidayaMlowe-rk1kn Рік тому

    Mjumbe jamani🤣🤣

  • @calvinmmary735
    @calvinmmary735 Рік тому

    Nakupenda unanifurahusha sana

  • @angelbarnabas7075
    @angelbarnabas7075 2 роки тому +1

    Oooohhhhh mbavu zangu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @sabarluis493
    @sabarluis493 2 роки тому +1

    😃😃😃😃 gea mazipe zipe

  • @ayshamadege7981
    @ayshamadege7981 2 роки тому +1

    🤣🤣🤣🤣mazipezipe🤣🤣🤣ila nyie🙌🙌

  • @nabilagafar4175
    @nabilagafar4175 2 роки тому +3

    😂😂😂😂zai bwana mambo yako ni shida yani unanichekesha

  • @salomewandya7257
    @salomewandya7257 2 роки тому +1

    Hahaha nimecheka jmn eti hamsini majununi 🤣🤣🤣🤣

  • @eysherjuma3779
    @eysherjuma3779 10 місяців тому +1

    Mazimbezimbe kama yote

  • @sakinamahmoud6502
    @sakinamahmoud6502 2 роки тому +2

    Huyo mjumbe ameniacha hoi mimi

  • @roswitaexavery3378
    @roswitaexavery3378 Рік тому

    Mbona mnafanana sana

  • @elizabethndimbo9536
    @elizabethndimbo9536 2 роки тому +2

    Mizipezipe😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @rahulsolanki2523
    @rahulsolanki2523 2 роки тому

    Dah zai unanifanya nicheke mm pia naomba nikuone laivu nakupenda jmn nikuone tu jmn

  • @sullylyja3925
    @sullylyja3925 2 роки тому +1

    Jmn zai weeehh unafurahisha..lkn mtihani jmni daahh

  • @razikimustapha4731
    @razikimustapha4731 2 роки тому +3

    Hahahaha mizipezipe

  • @juniveraisaya1624
    @juniveraisaya1624 2 роки тому +2

    Hakiamungu wanaume wengine vichaa tupu 😃😃🤣🤣🤣

  • @dottohamisi9844
    @dottohamisi9844 2 роки тому +3

    🤣🤣🤣Zai 🙌🙌

  • @fatmazullu4933
    @fatmazullu4933 2 роки тому +2

    Eti kibanga ampiga mkoloni!! Jamani sijacheka hivi muda mrefu doooh!

  • @tatusalum5728
    @tatusalum5728 2 роки тому

    Love ❤ uyo dada

  • @rukiaomar3369
    @rukiaomar3369 2 роки тому +1

    Da nimecheka jamani

  • @sylviermuhonjah8411
    @sylviermuhonjah8411 2 роки тому +2

    Zai kasema hadi akoroma sauti imekauka😃😃

  • @janethmalaika5241
    @janethmalaika5241 2 роки тому +1

    Ila zai jamani nimecheka sana da😀😀😀😀😀😀

  • @zainabamran6716
    @zainabamran6716 2 роки тому +2

    Jamani mbavu zangu

  • @farajamwakagile9647
    @farajamwakagile9647 Рік тому

    Mjumbeeee😂

  • @benedictakinawiro-ht1wf
    @benedictakinawiro-ht1wf Рік тому

    🤣🤣🤣🤣zai shikamoo ila tuone huruma Mbavu zinauma

  • @AshaJuma-kr3rb
    @AshaJuma-kr3rb Рік тому

    Ila kweli kunawatu wanaficha mzaifu yandgubyao mladi muowane tuu mungu tuu

  • @stellamwakatulile3202
    @stellamwakatulile3202 2 роки тому +3

    Mazipe zipe🤣🤣🤣

  • @kalucheray
    @kalucheray 2 роки тому +1

    😆😆😆😆😆😆 aise awa mma wachekesha

  • @magrethmallya7728
    @magrethmallya7728 2 роки тому +2

    Hahahaaa. Nimecheka la mazuri.

  • @halimaswaheli1495
    @halimaswaheli1495 2 роки тому +1

    Uyu ZAI siozima🤣🤣🤣

  • @christiannyamamba9089
    @christiannyamamba9089 2 роки тому +1

    Yani nimecheka hawa madada wehu kweli😅😅😅

  • @zaiiomary8970
    @zaiiomary8970 2 роки тому +1

    Dagea huyu zai ni ndug yako au😂😂😂

  • @doramkolo1745
    @doramkolo1745 2 роки тому +4

    😂😂😂😂😂😂😂 mizipezipe jaman......nawapenda kweli zai na team yako

  • @kingfrankjd7025
    @kingfrankjd7025 2 роки тому +1

    Hahaha uswahilini raha natamani nipate mtu anayekaa uswahilini anihost nijionee

  • @neemaabeid6861
    @neemaabeid6861 2 роки тому +1

    Kweli zai nimecheka mgosi mizipezipe

  • @aminayusufu6823
    @aminayusufu6823 2 роки тому

    Dah

  • @mwajabukaseke8710
    @mwajabukaseke8710 2 роки тому

    Yani chiziii😅😅😅😅😅😅jmniiii

  • @dianaakello6609
    @dianaakello6609 2 роки тому +1

    🤣🤣🤣🤣fimbo takatifu.......Zai basi bwanaaaaaa

  • @malkiawakemomba2219
    @malkiawakemomba2219 Рік тому

    Nyiee majembe

  • @fettyobah7855
    @fettyobah7855 2 роки тому +1

    😅😅🤣🤣nimecheka

  • @najuf8021
    @najuf8021 2 роки тому +3

    🤣🤣🤣zaiii unanikumbusha niliolewa namuhind dada kufika anapoishi kama gereji vyuma matayri panya oil humu loh visu seti nzima kwenye kabat

  • @HalimaHalima-id2cb
    @HalimaHalima-id2cb 2 роки тому

    😀😃zai na dadako mnafanana😃

  • @jumashukani8472
    @jumashukani8472 Рік тому

    Hawa kinamama ni ma comedy wallah 😂😂

  • @HanifaOman-oo4pl
    @HanifaOman-oo4pl 7 місяців тому

    😂😂😂zai

  • @mankalodi5796
    @mankalodi5796 2 роки тому +4

    Hata ukiwa na stress zinakata hii hekaheka balaa 🙉

  • @fathasalumu7241
    @fathasalumu7241 2 роки тому +1

    Harafu huyo mwengine amefanana na zai kidgo

  • @angelkapimba2434
    @angelkapimba2434 2 роки тому +1

    mizipezipe 😀😀😀

  • @mayaashassan3918
    @mayaashassan3918 17 днів тому +1

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Zai mbavu cna nihurumie bc

  • @janemsamati6700
    @janemsamati6700 2 роки тому +1

    Zai jamani una mambo

  • @maryammamuu4206
    @maryammamuu4206 2 роки тому +1

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣zai banaaaa

    • @maryammamuu4206
      @maryammamuu4206 2 роки тому

      Nimejifunza maneno leo eti
      kiarabu mwezi ishirini
      Mazipezipe
      Halfkhan🤣🤣🤣
      🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @hawakindamba6519
    @hawakindamba6519 2 роки тому +1

    Da zai ujawahi kuwa mzm 🤣🤣🤣

  • @jeniphermassawe6738
    @jeniphermassawe6738 2 роки тому +1

    Jaman huu huwaba wakuolewa Bora Mimi mchaga tunaolewa na miaka 40

  • @bahatimellita6619
    @bahatimellita6619 2 роки тому +3

    Kwani zaiii huyuu kaolewa nikamuoe maana ananikosha sanaaaaaaa nakupenda hatariiii unachangam Sha kijiweeee nongwaaaaaaa sana

  • @HanifaOman-oo4pl
    @HanifaOman-oo4pl 7 місяців тому

    Kiarabu mwezi 20😂😂😂

  • @rukiaregeya5649
    @rukiaregeya5649 2 роки тому +3

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @sabihahamadi2287
    @sabihahamadi2287 Рік тому

    Haaaaaa dazai wewe kiboko da geya nakupenda kwa kuitikiya

  • @aishasaluom681
    @aishasaluom681 2 роки тому

    Zai Kwan ww mzaramo mwenzang eeeh maana unangenga gweye aka

  • @aishafrancis7714
    @aishafrancis7714 Рік тому

    Mjumbe umejua kunichekesha mizipe zipe daah😂😂😂😂

  • @user-ch6lb6lu8s
    @user-ch6lb6lu8s Рік тому

    Nacheka pekeyangu kama zipezipe jamani nipo omn😂🎉

  • @aishachumo
    @aishachumo 2 роки тому +1

    50 majinuni 🤣🤣🤣