FIGO_(Short Film) Mwinyi Mpeku,Kiswabi,Dongo,Naomba

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 вер 2024
  • Wazazi wetu wanathamani kubwa sana kwetu ,lakini angalia hawa jamaa wanachomfanyia mzazi wao je ni sawa?
    Plsease SUBSCRIBE,LIKE,COMMENT,SHARE

КОМЕНТАРІ • 364

  • @mubaraknassor4272
    @mubaraknassor4272 4 роки тому +9

    Huyu dada kama umemkubali kama anaweza like hapa

  • @mudytozy5084
    @mudytozy5084 5 років тому +4

    Kazi zuri sana mwiny na wenzako muko vzr sana kiukwel mumepiga hatua sana kisanaa mm nawakubal sana wapemba wenzangu musichoke vipaji munavyo

  • @komboomar8275
    @komboomar8275 5 років тому +179

    Kila mpemba mwenzangu popote alipo anigongee like yake tuende sawa

  • @hunaiyasuleiman1931
    @hunaiyasuleiman1931 5 років тому +11

    pambe pambe sana wapemba wenzangu km nawaona hadi.raha jikazen muowanesh km.wapemba tunajuwa ni.shida mwiny kiswamb big up💜💜💜💜💜👌👌👌👌👍👍👍

  • @salmajadi2506
    @salmajadi2506 5 років тому +53

    Kwenye uporo na Pesa huniibii

  • @salmajadi2506
    @salmajadi2506 5 років тому +29

    Daaah nimecheka mpaka lakini pia inatufuza

  • @komboomar8275
    @komboomar8275 5 років тому +84

    Kaa ndio kaka hhhh tongowa ndio sema hhhh ajikumbukae ni mpemba agonge like yake twenzetu pamoja

  • @hemedsalimmbarouk8451
    @hemedsalimmbarouk8451 5 років тому +146

    Kama unawakubali wasani wa Zanzibar gonga like yako hapa

    • @fatmaaly9686
      @fatmaaly9686 5 років тому

      Kiswabi yuko vizur

    • @fatmaaly9686
      @fatmaaly9686 5 років тому

      Kiswabi utaniuwa wewe ndugu yangu niwako tu

    • @hamzamfaki289
      @hamzamfaki289 5 років тому

      Nawakubali sana tu

    • @ydbnmohammed3583
      @ydbnmohammed3583 5 років тому

      @@fatmaaly9686
      Pppp
      P
      Pppppp
      P
      Ppptrrttrrrrrrrfffrrrrtcadsaaa the same time as the r the xxa
      Pppukgci and pzquh v

    • @ydbnmohammed3583
      @ydbnmohammed3583 5 років тому

      @SuleIman Mwinyi q jhrggrggvg t the coffee shop and the t

  • @sisterhala3916
    @sisterhala3916 5 років тому +6

    mungu tunusulu kidhadhi chetu asante kwakutusudisha jaman pemba hoyeeeee nyumbani ni nyumbani to

  • @a.856
    @a.856 5 років тому +5

    Mnajuwa kuekti mazingira mazuri sana hongereni nyote

  • @mansurwahab6867
    @mansurwahab6867 5 років тому +5

    Masha'Allah nmepata kufurahi Allah awazidishie muzd kuelimisha kuptia mafundisho ya mtume wetu

  • @aliymkuutv4367
    @aliymkuutv4367 5 років тому +23

    Kiswambi wataka mapato ata hujui kiasi cha pesa😀😁

  • @kbjuomaly8466
    @kbjuomaly8466 5 років тому +11

    Huu nzigo tayariiiii

  • @nassorsaleh1811
    @nassorsaleh1811 5 років тому +3

    actually wanawake wanawathamini sana baba zao kwa kweli I like it so much

  • @ashaabdallah5512
    @ashaabdallah5512 5 років тому +14

    😃😃😃😃😃😃nimechka Sana jmn mwinyi kafufuk

  • @professorir8532
    @professorir8532 5 років тому +12

    Aicee tunajua wapemba bwana

  • @majidomar4770
    @majidomar4770 5 років тому +109

    Kama ww mpemba na unapenda maendeleo ya wapemba gonga like

  • @yussuftwahir8655
    @yussuftwahir8655 2 роки тому +1

    So vizuri kuwatesa wazee kama hivyoo

  • @Nahdiya-nr3de
    @Nahdiya-nr3de Рік тому

    Mashaallah movie ya mazingatio sana shukran

  • @albait5227
    @albait5227 5 років тому +11

    jaman musi wazarau wazazi hilo nifunzo Kubwa Sana kwangu daaaai linaniliza😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅

  • @salehkhamis9978
    @salehkhamis9978 5 років тому +54

    kama unaikubali hii film gonga like

  • @fatmajumaa1069
    @fatmajumaa1069 5 років тому +16

    Kiswabi nakupenda unapokumbuka tu kidole km shahada

  • @jumahamad6453
    @jumahamad6453 5 років тому +10

    Chake chake

  • @gumzootv425
    @gumzootv425 5 років тому +5

    very good job
    mimi sio mpemba wala sio mzanzibari kabisa lakini nasema wamejitahidi kazi nzuuri

  • @sadakhamis1261
    @sadakhamis1261 5 років тому +7

    Una mafunzo mashallah

  • @muhammadkinega2959
    @muhammadkinega2959 5 років тому +7

    kazi nzuri

  • @bebenissian8282
    @bebenissian8282 5 років тому +6

    thafii sanaaa jufe film

  • @عايشهسعيد-ض5ذ
    @عايشهسعيد-ض5ذ 5 років тому +7

    hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha jamani nimecheka kwa sauti awa watu wanavituko

  • @makameibrahim5086
    @makameibrahim5086 5 років тому +5

    Kiswabi nimeipenda style ya kuvaa shati

  • @naimakweyamba5340
    @naimakweyamba5340 5 років тому +2

    😃😃😃 Tukajuwe Kaburu mapana Sitini Au Mshazari😄😄😄 Uwiii... kuzaa sio kupata wallah

  • @sakinasayd7362
    @sakinasayd7362 4 роки тому +2

    wapemba wenzangu oyeeeeeeeee

  • @rahmarashd6075
    @rahmarashd6075 5 років тому +6

    Kiswabii uko vizur sina mbavu kwa kucheka

  • @yahayahamisi1847
    @yahayahamisi1847 5 років тому +4

    Nimependa sana na nna zidi kuipenda thank for this move

  • @shamimasalim6912
    @shamimasalim6912 5 років тому +4

    Watani zangu mko vzr sana yani mwanikosha 😂😂😂😂😂😂😂ati ivi vifigiri vyangu ivi😃😃😃😃😃😃

  • @khamoshmikidadi9262
    @khamoshmikidadi9262 3 роки тому +2

    Tarehe 26-12-2020 bado nauangalia huu mchezo wallah wapemba wenzang mmejua kunichekesha humu haswa kiswabi

  • @mussahussein3583
    @mussahussein3583 4 роки тому +2

    Hahahahaa eti mii nilijua keshakufa niende kule nikachukue vipimo! Nyanda moja, nyanda mbili nyanda 3. Kiswab bhana too much

  • @alibaraka6699
    @alibaraka6699 4 роки тому +2

    Maudhui ya filamu ni mazuri sana lakini filamu imekosa uhalisia kabisa. Watoto hata kama hawampendi baba yao na wanataka afe ili wapate urithi, haiwezekani hata siku siku kumtamkia moja moja; kufa tupate urithi.
    Na mengine mengi yamekosa uhalisia.
    Zamani walikuwa wanacheza filamu nzuri zenye uhalisia siku hizi wanaaza kuripua.

    • @sharifaabdallah2248
      @sharifaabdallah2248 3 роки тому +1

      Wapo mbon wanaowatamkia maneno km ayo wazaz wao hujawaon weye tu

    • @ally1702
      @ally1702 2 роки тому

      Kuna watu walimtoa baba Yao mzazi kwa mapanga asa ili warithi

  • @mariamfritsi4943
    @mariamfritsi4943 2 роки тому +2

    Nimeipenda sana movie hii ina fundisho kali kabisa, mjomba anaongea kwa busara sana, hadi shemeji yamemuingia na kuwasamehe vijana wake.

  • @wambaamwambaje1272
    @wambaamwambaje1272 5 років тому +10

    Edi Best Asanteee

  • @salummkubwa
    @salummkubwa 5 років тому +10

    "Maji yaliozoeleka hayamwagiki" ha ha ha mbavu zangu, Kiswabi umetisha. Hongera Jufe muko next level

  • @is-hakaali5757
    @is-hakaali5757 5 років тому +8

    😂😂😂😂 dongo bhana eti utakwenda kwa bibio tungamaa akaokote vichuguuu

  • @wambaamwambaje1272
    @wambaamwambaje1272 5 років тому +8

    Dah safii sanaa Nimetuliaa hapa nawapata safiiii

  • @ibrahimzuberi1029
    @ibrahimzuberi1029 5 років тому +9

    kazi nzuri sana aixee kk eddie best mkono wako nautambua #detective

  • @luckyman5084
    @luckyman5084 5 років тому +4

    Nzur sana

  • @hajjism
    @hajjism 5 років тому +4

    Filamu hii ina elimu, ukumbusho na pia fuarha ya kichekesho Asanteni Jufe Film kwa kazi nzuri.

  • @mohammedalnabahan.4127
    @mohammedalnabahan.4127 4 роки тому +1

    Jamani kisemo cha nyumbani kizuriii, Pemba juuuu.

  • @maryamnassoornassoor3336
    @maryamnassoornassoor3336 5 років тому +7

    Kiswabi kweny uporo na pesa asema haibiwi yy

  • @saydbarakismailiya1515
    @saydbarakismailiya1515 5 років тому +5

    Hunambii kitu kwa hawa wasanii nawakubali miaka 100

    • @JufeFilmCompany
      @JufeFilmCompany  5 років тому

      Tunashkur sana kwa kutusapot kk tuko pamoja

    • @BigBoss-mj1cg
      @BigBoss-mj1cg Рік тому

      @@JufeFilmCompany machalah Mungu aweke wahifadh culture wetu wapendwa 👐👐👐👐

  • @user-dx5lz6du4y
    @user-dx5lz6du4y 5 років тому +6

    Hahahaha Leo nimecheka

  • @wambaamwambaje1272
    @wambaamwambaje1272 5 років тому +12

    Kiswabii utaniua jaman

    • @ashahaito9074
      @ashahaito9074 5 років тому

      big up sana washiriki wote wa hii muvu ila kiswabi yani humu umenifraisha sana kuliko.... keep it up!

  • @user-ri8iw3we7l
    @user-ri8iw3we7l 5 років тому +6

    Jamani maiti kanfufuka na akili kali

  • @othmanhaji1123
    @othmanhaji1123 2 роки тому

    Jufe nendeni mkoani maeneo ya ukutni Kijiji Cha kichak yupo kijana anakipaj san huyo jamaa anajua sana

  • @hawaabubakar2619
    @hawaabubakar2619 5 років тому +6

    Haha mbavu zangu miye maji yakisha zoeleka hayamwagiki karidhishwa pili pili haha

  • @dalhahassan6098
    @dalhahassan6098 5 років тому +1

    Jomn hizi like unazigonga wap maana kila mtu ana daii like

  • @mpajiramadhan3507
    @mpajiramadhan3507 5 років тому +6

    😁😁😁😁kiswabi unapendeza uki vaa hivyo😎

  • @AbdulHakim-fd5ui
    @AbdulHakim-fd5ui 5 років тому +3

    safi babu mwinyi

  • @saidal-hind5338
    @saidal-hind5338 5 років тому +2

    Hahahahaha hongerenii likuwa nina hasira ila saiv nina furaha

  • @hawata7614
    @hawata7614 5 років тому +4

    Sante mswabi hahahaha huniibii hapooo hahaha

  • @faizasaid8262
    @faizasaid8262 5 років тому +8

    Jamani mie

  • @josephnchunga6554
    @josephnchunga6554 5 років тому +1

    safi film hii nzuri inafundisha na inaburudisha sana endeleeni kufundisha jamii hii inayo endelea kumomonyoka

  • @taabohosain3849
    @taabohosain3849 5 років тому +8

    😁 😁 😁 😁 😁 😁 😁 😁 😁 😁 😁 😁 Makilemeti jmn kiswabi una nini lakn

  • @makamemufadhil627
    @makamemufadhil627 5 років тому +4

    Hahahaaa watu hawo wapo

  • @sadakhamis1261
    @sadakhamis1261 5 років тому +23

    Mungu awape imani vizazi vyetu.. NA tuwe na huruma na wazazi wetu.. Aamiin

  • @faizasaid8262
    @faizasaid8262 5 років тому +10

    Mbavu zangu mie

  • @salehlule7062
    @salehlule7062 5 років тому +3

    😆😆😆kiswabi una matatz akili yako sio nzur

  • @komboomar8275
    @komboomar8275 5 років тому +11

    Bwamshemegi kisu kimfika mfupa hhh

  • @ismailjuma3692
    @ismailjuma3692 5 років тому +12

    Wale wa mtangani like hapa.

  • @ahmedsanchez2341
    @ahmedsanchez2341 4 роки тому +1

    Juhudi inahitajikaa kiswabi nkkubli njoo Zanzibar shoo tkuone live

  • @mgenisaid5377
    @mgenisaid5377 4 роки тому +1

    Maji moto kokoa wannipatamie hahaha wallaah mkataa kwao mtumwa

  • @FatmaAbuu-cf8ce
    @FatmaAbuu-cf8ce Рік тому

    MpembaI ❤

  • @mozaseif7299
    @mozaseif7299 4 роки тому +1

    Naomba nakupendaa my

  • @salimsalum7796
    @salimsalum7796 5 років тому +1

    Ama kiswabi weye n hodari,wannfurahisha kweli

  • @mohdseif2459
    @mohdseif2459 5 років тому +6

    Hhhh eti ivi vispeya kiswabi hatari

  • @gagalinho9534
    @gagalinho9534 4 роки тому +1

    kiswabi chiz sana pia anajua xana

  • @wambaamwambaje1272
    @wambaamwambaje1272 5 років тому +8

    Ghahaaaa kiswabii jaman utaniuaaa

  • @aliabda6693
    @aliabda6693 5 років тому +3

    Dah!noma

  • @Emedroadtocanada
    @Emedroadtocanada 2 роки тому

    Mmmmh huyu kiswabi sio mchezo

  • @yahayahamisi1847
    @yahayahamisi1847 5 років тому +1

    Hahahahha hiii move inchekeshaa

  • @allymuhammad1162
    @allymuhammad1162 5 років тому +2

    Kaz kaz Nakubali kazi

  • @atkayussuf2960
    @atkayussuf2960 5 років тому +2

    haahahaaaahaa kifaru changu,

  • @selmebitiusc7743
    @selmebitiusc7743 2 роки тому +1

    Nasi

  • @ramlamohammed1661
    @ramlamohammed1661 3 роки тому +1

    Kiswabi😂😂😂😂 bahasha bint barua

  • @SamiraameirSamira-qt9yn
    @SamiraameirSamira-qt9yn 10 місяців тому

    Loh kiswab eti kufa kufa kufababa kufa 😢😢

  • @raysalalmandhary1713
    @raysalalmandhary1713 5 років тому +20

    Kiswabi yeye anataka vikali tu na alijua ni nyumba na gari alisahau hata JUA ni kali pia, kaongezewa na pilipili.

  • @yassirrashid7802
    @yassirrashid7802 5 років тому +3

    Mumeweza

  • @salemkambuteh1409
    @salemkambuteh1409 5 років тому +2

    Mzee mwinyi ajuta kuzaa,
    hahahahahaha

  • @rjofficial4264
    @rjofficial4264 Рік тому +2

    My Favourite🙏🙏

  • @nuweyrahalbakraan8627
    @nuweyrahalbakraan8627 5 років тому +1

    Huu mzgo tyr huu😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂kiswabi my ribs

  • @wambaamwambaje1272
    @wambaamwambaje1272 5 років тому +4

    Mjomba nafurahii nakusikia

  • @ibrahimzuberi1029
    @ibrahimzuberi1029 5 років тому +7

    wakwanza kulike

  • @salhaothman4038
    @salhaothman4038 4 роки тому +3

    😂😂😂😂kafufuk na akili

  • @muhammadkinega2959
    @muhammadkinega2959 5 років тому +19

    Allah Atujalie watoto wasikivu

  • @latifalatifa4298
    @latifalatifa4298 4 роки тому +1

    Nazipenda hizi filam

  • @lilchidytv3394
    @lilchidytv3394 5 років тому +1

    Nimeikubali zaid ya sana

  • @laythatsuleiman7184
    @laythatsuleiman7184 5 років тому +2

    Kama umesikia kumfufuka na skili gonga like apa😁😁😁

  • @yasodishonest9792
    @yasodishonest9792 4 роки тому

    Kiswabi Dongo jamani.dahh nyinyi mwisho.🙌🙌🙌

  • @mwanajumakomar3831
    @mwanajumakomar3831 3 роки тому

    Hahaha mashaallah movie nzuri sana yenye mafunzo

  • @halimanasihu1200
    @halimanasihu1200 4 роки тому +1

    Hahaha mtaniuwa kiswabiii

  • @biubwaally1659
    @biubwaally1659 3 роки тому +1

    Mjomba mdungi wajina Safi hekima nyingi

  • @maliipao1265
    @maliipao1265 4 роки тому

    Hongeren sana wasanii wa kwetu munatuwakilisha