😂😂😂 hii ndio harusi ya kweli au ya kipindi jmn 😂😂 harusi ya ovyoo eti jmn hyu mwanaume nishamuona wapi ok kwa kipindi cha shetan comedy plus bbke khailat😂😂 sasa harusi yenyewe vituko bc
Mjinga mwanaume hovyo eti linaomba msamaha khanis mkubwa kama ulivo mfanyia mwenzio na huyo akae tayari tu atafanyiwa unapiga magoti ya kinafik umemshindwa alie zaa na ww utaweza mpita njian
@@DaheerK sijapata ajey Kwan niwangap wanawake wanalea watoto wao wenyewe bila baba ht mm mjoa wao km mtu ataki kukusaidia kulea. Mtoto bs muachia Mungu kikubwa ww ndio unaejuwa baba wamtoto achana nae tu malipo ni hapahapa Kesho ahera nikujabutu ht km niwanje ya ndoa lkn niwako
Khee mtihani dada mwenye mtt tulia tuu malipo ni hapa hapa duniani
😂😂😂😂😂mambo ya uswahilini pambe jamani 😅😅😅😅
Huyo wifisikaigiza buza kwampalange😂😂😂😂😂😂 uuuuuwiiiii
Bibi harusi ujipange hiyo familia niwaongeaji kwakweli😅😅😅
😂MTU anatia mimba kwengine halafu kuoa anaowa kwengine,
Watoke wanawake km awa wa tatu wanaume wangekaa sw😂😂😂
Mmi ntafanya Ivo ivo
Nani aliyekuambia kuzaa ndio kuolewa.
Alipeleka mtoto hana akili chizi mambo ya kizamani tulia mungu alipe
Aibu
Kumbee move.
Mtihani sana sana..
Ila wembamba tunajiwez 😂😂😂😂 mungu tusimamiy
uswahilini kuna vipengele😂😂😂😂😂😂
Uswahilini kuna mambo kidogo 😂😂😂
Hivi kwa kila wiki wanatoa vipande vingapi hii season
Kalipenda bonge lake mwenyew
Angemwambia ukweli kwamba anamuoa ila ana mtoto
𝐒𝐨 𝐤𝐰𝐞𝐥𝐢 𝐛𝐡𝐚𝐧𝐚 😂😂😂😂
😂😂😂😂😅😅
Igizo😂😂❤❤
Mh! Ila mwanaume
😂😂😂😂😂we pokea mtoto bana
😂😂😂😂
Hatari sana😅😅😅😅😅😅
Hakuna mwanaume hapo 😮😮😮😮😮😂😂
Au igizo😅😅😊
Mchezouo
imekaa kama igizo 😅😅😅
😮😮😮 😅😅😅😅😅😅 😢😅😅😅😅😅
😂😂😂😂😂😂😂😂😂 f
😂😂😂 hii ndio harusi ya kweli au ya kipindi jmn 😂😂 harusi ya ovyoo eti jmn hyu mwanaume nishamuona wapi ok kwa kipindi cha shetan comedy plus bbke khailat😂😂 sasa harusi yenyewe vituko bc
Kumbe maigizo
Mbona kama igizo
Mbagala kuna maigizo??
Ndio
Yapo mengi siku hizi!
Ndoa za kiislam ndio hizo
Wanaume hawatak makasiriko sasa kapata utulivu 😂
Ndio mna mnavyojidanganya
Wanaigiza tuu haoo hakuna hta uhalisia
Hata Mimi nimehisi hivyo
Mungu atatusaidia dada angu
Hapa ndio tunasema kufeli kwa director.
Ila sio mbaya mmejitahidi kiasi.
😂😂😂😂😂😂😂😂
Igizo
Bint kigoma ni mbeya kweli 😅😅😅
Jaman mapenzi haya
Acheni uongo igizo tu hilo
Uongo tu mbona sasa uyo wifi aliekamchukua mtoto tunamuona nje anacheza nayy
😂😂😂😂😂😂
Mjinga mwanaume hovyo eti linaomba msamaha khanis mkubwa kama ulivo mfanyia mwenzio na huyo akae tayari tu atafanyiwa unapiga magoti ya kinafik umemshindwa alie zaa na ww utaweza mpita njian
Ndo tujifunze apo usijiachie kwa mwanaume ambaye hajakuowa
Yaan ata kama mm ndio mwanaume siwez kuoa mwanamke kama huyu
Mwanaume kakuacha siukubari matokeo.kwa mwanamke huyo duu ndio mana bwana wake kaowa mwingine
binti kigoma oyeeeee
Mume huwauma sana😢😢😢😢😢😢😢😢
Sio uhalisia huu! Hili ni igizo tu kama maigizo mengine
Naona kama sio kweli Wana ekit
Hili igizo jmni 😂😂
😂😂😂
Hii lazima ni movie
Kumbe maiguzo mm nikijuwa kweli
Oyo ndo bongo bhna
Ila mawifi wabaya Sasa ndio Nini kumpeleka share baby mama wakaka yao
Hadi sare hapo wamekosea Bora wangenyamaza kimya tu yakapita
Wanaingiza ao
Maigizo tutayaona kwenye Luninga
Nyie kiki hzio maigizo kabisaa wabongo tunawajua
Bibi harusi hata hajui kuekt, anawaharibia igizo.
Mmmh kiki
Haya ni maigizo au kweli
Mbona mtoto mdogo hivo we mwanamke unaakili kweli ww hiyo yote ni usarange tu mm km mm ningekushauri tu ule mtoto wako mwenyewe
Ww ujapata uyo wakukusumbua Shakur mungu
@@DaheerK sijapata ajey Kwan niwangap wanawake wanalea watoto wao wenyewe bila baba ht mm mjoa wao km mtu ataki kukusaidia kulea. Mtoto bs muachia Mungu kikubwa ww ndio unaejuwa baba wamtoto achana nae tu malipo ni hapahapa Kesho ahera nikujabutu ht km niwanje ya ndoa lkn niwako
Ss kuzaa na mwanamme ndo kuolewa
Aya maigizo
Hiii nikweli?? Wala ni movie
Igixo hakuna uhalisia
Mchongo mbona kavaa sare ya kijora
Amna kitu apo
Mbona sielewi ni maigizo au
Niigizo hilo
Ni igizo hadith za kutulnga
Ni igizo hilo
Apo ndip wanaume wanafelig kwann asisem ukwel ila hyo kaka mwigizaji wa bhailam
Pwagu na upwagozi
Maigizo
Wajinga wote pumbafu zenu
Not real upuuzi mtupu
😂😂😂😂 oooh umeachwa oooh hakutaki iiiiih umeachwaaa aaaaah ondoka zako 😀😀😀😀 ila bongo sihami
Igizo
😂😂😂😂😂
Igizo