Це відео не доступне.
Перепрошуємо.

BI HARUSI ATIMUA MBIO UKUMBINI NA KUZUA GUMZO KWA WAKWE NA WAGENI |TAZAMA ILIKUAJE |LUCY’S NIGHT

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 бер 2024

КОМЕНТАРІ • 246

  • @norahernest4243
    @norahernest4243 3 години тому +1

    Bwana harusi simpo mpaka raha oooh ❤
    Mungu awalinde na kuwafikisha mbali zaidi mashaalah

  • @trecygohy7847
    @trecygohy7847 Місяць тому +7

    Mungu wa Ibrahimu awabariki kwenye ndoa yao na damu ya Yesu Kristo iwalinde dhidi ya watu wabaya

  • @happyhaule671
    @happyhaule671 2 місяці тому +17

    Mayatima wenzangu wa mapenzi wakwap 😭😭😭 hongera dada 🎉🎉

  • @mariagitau7453
    @mariagitau7453 4 місяці тому +71

    Ila umejua kutuweza wallah kichwa cha habari na video ni vitu tofauti kabisa😂😂😂 umetukomesha wambea😅

  • @user-tg2jg7ul9n
    @user-tg2jg7ul9n 4 місяці тому +30

    Achen wivu yaani huyo ndio mwanaume mwenye kujiheshim mpaka kwenye mavazi yaani kapata mume huyu dada

    • @lulumpeta6338
      @lulumpeta6338 2 місяці тому

      Na upara wake Hadi Raha seems he has manner

  • @Revinarenatus
    @Revinarenatus 2 місяці тому +1

    Jaman hongera sana Lucy mmh hiyo mbio nimeipenda nimejifunza kitu my dear

  • @monikaphilipo-tz2ij
    @monikaphilipo-tz2ij 4 місяці тому +4

    Smile is everything halloooo mmependeza❤

  • @mariagrayson5414
    @mariagrayson5414 26 днів тому

    Beautifull nakumbukia yangu ilivyokuwa ❤❤❤❤❤

  • @MariamuRajabu-el9ev
    @MariamuRajabu-el9ev 3 місяці тому

    Mashallah adi raha mwaya❤🎉

  • @pheymack6682
    @pheymack6682 4 місяці тому +3

    Adi rahaaaa❤

  • @banajuliana758
    @banajuliana758 4 місяці тому +16

    Uyu dada Ana mapenzi jamani❤

  • @vyonneeugine7507
    @vyonneeugine7507 16 днів тому

    Mashallah, mungu abarki ndoa yenu

  • @PriscaCharles-c7v
    @PriscaCharles-c7v 26 днів тому

    Ongera sana Dada mungu awalinde

  • @DANCANMACHARIAKINYUA
    @DANCANMACHARIAKINYUA 4 місяці тому

    Wow best MC ever

  • @pheymack6682
    @pheymack6682 4 місяці тому +1

    Yuko simple adi rahaaaaaa

  • @LughanoSaid
    @LughanoSaid Місяць тому +3

    😢😢😢😢😢😢Kuna hawa 😅 halafu niko yatima mimi

  • @user-lh4bb8mm8w
    @user-lh4bb8mm8w 3 місяці тому

    Wamependezana mashallah

  • @user-mh8wz7tz3i
    @user-mh8wz7tz3i 4 місяці тому +5

    Amependeza sana

  • @estherkanyondwi1121
    @estherkanyondwi1121 Місяць тому

    😊Hongera sana dada furaha yenu na idumu

  • @RachelElias-ln1to
    @RachelElias-ln1to 3 місяці тому +5

    Bwana harusi ana makusudi jamani kaaah

  • @patricialucas7489
    @patricialucas7489 3 місяці тому +3

    Huu ujasirii nautoa wapii mim jaman uwiiiii🎉🎉🎉🎉❤❤😢

    • @jescarkinabo6281
      @jescarkinabo6281 2 місяці тому

      😂😂😂😂 nimecheka balaaa utaupata tuu

  • @ashminaabdulla8946
    @ashminaabdulla8946 4 місяці тому +2

    Hongera my

  • @drascahbt999
    @drascahbt999 3 місяці тому +4

    Hapo kwenye kijana mpole, hadi shem wetu kashituka "mimi"😮😅

  • @TatuHusseni-hs7mu
    @TatuHusseni-hs7mu 20 днів тому

    Ikawe heri kwenu ❤❤❤

  • @user-vq1qx1dr4e
    @user-vq1qx1dr4e 4 місяці тому +5

    Bwana halusi hataki mambo mengi kama mm 😂😂😂

  • @joycechilumba2370
    @joycechilumba2370 Місяць тому +2

    Ongera sana

  • @SuuhPrecious
    @SuuhPrecious 14 днів тому

    Najitabilia ndoaa 2024 kwajina la yesu atatenda

  • @eunicesaimon9125
    @eunicesaimon9125 4 місяці тому +1

    Sema utu kaka mzuri nyiee

  • @susanaanas221
    @susanaanas221 4 місяці тому +9

    Maskini mimi yatima wa mapenzi 😢!enewei..

  • @neemamsanga253
    @neemamsanga253 26 днів тому

    ❤️💐💐waooo

  • @SalmaAbdallah-bv6vp
    @SalmaAbdallah-bv6vp 4 місяці тому

    Masha Allah ❤

  • @hadijaabdallah4057
    @hadijaabdallah4057 Місяць тому +6

    IPO siku na mm Mungu atajibu maombi yangu bado sijakata tamaa😢😢

    • @mayasajuma2251
      @mayasajuma2251 13 днів тому

      Ucjal dada mungu humpa kla m2 kw wakt wke

  • @user-cv2js2oc6g
    @user-cv2js2oc6g 2 місяці тому +2

    Wanaume wa aina hii wanakuwaga wanaupendo mkubwa sana

  • @user-ft2vq5on6l
    @user-ft2vq5on6l 2 місяці тому +1

    La muhimu hapa jamani ni tabia ziwe nzuri waweze kudumu sio mavazi mazuri wala nini watu wanavaa vzr na siku mbili wanaachana jueni muhimu ni tabia waungana wangu ni km huyo ila nina miaka 20 sasa ya ndoa na hana kokoro hadi raha

  • @neemamlay-om4bb
    @neemamlay-om4bb 4 місяці тому +1

    Umenibamba😂😂😂

  • @lovenesszedekia7814
    @lovenesszedekia7814 4 місяці тому +7

    😂😂😂hyo kazi mlio mpa bwana harusi ya kushika hyo feni ni balaa

  • @FunnyDivingBoard-mw8rm
    @FunnyDivingBoard-mw8rm 4 місяці тому +4

    Atapendeza cku ya ndoa

  • @evasamwely7969
    @evasamwely7969 4 місяці тому

    ❤❤❤❤❤

  • @user-jt5ll2sk5c
    @user-jt5ll2sk5c 4 місяці тому +7

    🎉jamani si atokee mmoja anipende hiv 😢😢

  • @EsterThomas-tr9sr
    @EsterThomas-tr9sr 4 місяці тому +2

    Likaka flani lizuri 😅😅😅😅 goja niendelee kutesek 😢

  • @agnessbahamu3931
    @agnessbahamu3931 2 місяці тому +1

    Walipendeza ila mke ako moto sanaa😅😅😅

  • @serenamassawe1202
    @serenamassawe1202 3 дні тому

    Nimefungua haraka nione alivyo tokomea sasa nimekutana na vitu vingine 😂😂😂😂

  • @user-jm4xq8fd5v
    @user-jm4xq8fd5v 17 днів тому

    Mmetosha

  • @irenembura8045
    @irenembura8045 4 місяці тому

    Wanawake tunajua kupenda😂😂

  • @eggysulle7988
    @eggysulle7988 4 місяці тому +2

    Mwanammee kavaa simpo tue hana mambo ya kinadaimond kavaa ki king kiba no matashititi 😄

  • @user-fn3uo1wm6r
    @user-fn3uo1wm6r 3 місяці тому

    Wakat wanakuja mbele nilizan mzima kumbe kalewa hahahah ila mzuriii

  • @user-ux6pr6mz2s
    @user-ux6pr6mz2s 3 місяці тому

    Dj niuwe unikunywe supu😢😂❤❤❤❤❤❤

  • @MiliamenockEnock
    @MiliamenockEnock Місяць тому

    Jamani mngu awabaliki

  • @appylin4031
    @appylin4031 2 місяці тому

    Mbn hajakimbia😂😂ss

  • @user-nc6lb7ox1c
    @user-nc6lb7ox1c 4 місяці тому +16

    Yani huyu kaka Yuko Kama wa kwangu hataki mambo mengi Ila Ana upendo sana

  • @NaahZephania
    @NaahZephania 4 місяці тому

    woow jmn!!Na iwe ya kher jmn❤

  • @lillianlewis8082
    @lillianlewis8082 4 місяці тому +6

    Basi angevaa japo shati la mikono mirefu.

  • @gracemassawe3670
    @gracemassawe3670 4 місяці тому +5

    Watu sijui wanapataga wapi wanaume wakuwaowa

  • @Jahra2023-gm1qp
    @Jahra2023-gm1qp 4 місяці тому

    Mmependezana ❤

  • @Kidotii
    @Kidotii 3 місяці тому

    Bora kavaa kawaida ila ana behave...sio wale wenzangu na mie mwaka wa kufosiii😅😅 anakuaibisha mpaka unajuta

  • @user-gp1hb4xt1t
    @user-gp1hb4xt1t 4 місяці тому +1

    Yaaan wangu hajui hata kujitkisa😅😅😅

  • @pascosalvatory5274
    @pascosalvatory5274 2 місяці тому

    #MC UMETISHA SANA MPE SALAM #DJ KAPANGILIA SANA NMEMUELEEA ANAKITU ATAFIKA MBALI

  • @janethtemba6854
    @janethtemba6854 4 місяці тому +2

    Jamaa yupo vyombo

  • @user-le9tb3jc8g
    @user-le9tb3jc8g 4 місяці тому

    Kapendeza kaka wa watu na wanapendana sema hataki mambo mengi

  • @najmasalim-rg6ow
    @najmasalim-rg6ow 4 місяці тому +12

    Kaaah! Mume kaa mwalikwa aliestukizwa

  • @yustersimon5104
    @yustersimon5104 4 місяці тому +6

    Bwana harusi kapendeza watu hawajasanuka tu kavaa kulingana na umri wake na mwili pia

  • @PAULINAAMMO
    @PAULINAAMMO 2 місяці тому +2

    Umejua kutukomesha wambea

  • @LovenessFedrick-cy9fh
    @LovenessFedrick-cy9fh 4 місяці тому +10

    Ndo bahati yake awe kavaa hovyo awe kalewa ndo wake tuwaombee waishi kwa amani na upendo basi

  • @user-ts5bu7os5d
    @user-ts5bu7os5d 4 місяці тому +3

    Umeanza kuwa muongo

  • @HalimaJuma-s6v
    @HalimaJuma-s6v Місяць тому

    kuma la mama akob

  • @IreneUtwa
    @IreneUtwa Місяць тому

    😂😂😂😂😂

  • @ashurahatibu5069
    @ashurahatibu5069 4 місяці тому

    gauni bustani😢😢😢

  • @JescaEmgimwa-un5lw
    @JescaEmgimwa-un5lw 4 місяці тому +2

    Kikumbwa mali imeletwa kwetu😂😂

  • @pasilizajohn6067
    @pasilizajohn6067 4 місяці тому +6

    Acheni wivu mbona kapendeza Sana

  • @kachenjedennis6795
    @kachenjedennis6795 Місяць тому

    Amevaa simpo had raha

  • @JOSYLINREVETA
    @JOSYLINREVETA 4 місяці тому +9

    Yeye kashaolewa tutabaki oo shati halijachomekwa.

  • @fetyalmas698
    @fetyalmas698 Місяць тому

    😂😂😂dada ucjimalize Hawa watu hawana dhamana ya moyo 😂😂😂😂najikuta nacheka km mazuri

  • @norahfred6450
    @norahfred6450 3 місяці тому

    naomben shemej yenu asicheze mm mwenyewe nitashindwa vumilia nitacheka nikae chin nguo ichafuke bure

  • @RedemtaJustus
    @RedemtaJustus 4 місяці тому

    Na mimi Mungu anijalie nipate Mume wakujiheshimu kama huyu baba jamani maana vijana wa siku hizi daah!

  • @LidyaJob
    @LidyaJob 2 місяці тому

    Anambio

  • @MariamjonasKalaita
    @MariamjonasKalaita 3 місяці тому

    Jamn mtuombee na sisi tupate wa naume

  • @amosmahona433
    @amosmahona433 Місяць тому +1

    mmekula zangu ovyo kabisa

  • @hongeramwinuka5334
    @hongeramwinuka5334 4 місяці тому +3

    Pombe ikizidi ina haribu shughuli😂

  • @DeboraNgura
    @DeboraNgura 4 місяці тому +1

    Jmn apo kwa bwana harusi kushika feni😂😂

  • @hadharaally6523
    @hadharaally6523 Місяць тому

    Pacha wa zailisa ??

  • @princessleonard9522
    @princessleonard9522 4 місяці тому +6

    Mie mume wangu anavaaga kama huyo hanaga mambo mengi ila anapendaga mie nipendeze ila kiheshima. Hawa wanaume wa hivi jaman wanakuwaga wapole sana nampenda sana huyu mwanaume Mungu alonipatia.

  • @LucyMichael-pn6pr
    @LucyMichael-pn6pr Місяць тому

    Sasa amezua gumzo gani jamaniii hapooo😀

  • @gracequeenpers4731
    @gracequeenpers4731 4 місяці тому +58

    Hawa wenzetu wanaume cjui wanawapataga wapi jamni khaaa mungu atusaidie tuuu jamni

    • @najmasalim-rg6ow
      @najmasalim-rg6ow 4 місяці тому +4

      😂😂 nikimwangalia mume 😅😅 limelew San na huo mshati😮😂😂

    • @Zuu673
      @Zuu673 4 місяці тому

      😂😂😂😂😂😂

    • @syliviakente9460
      @syliviakente9460 4 місяці тому +2

      Kuvaa ni art

    • @Official83640
      @Official83640 4 місяці тому +5

      Hama unapokaa utapata tu mume mwema maana mazingira ya unapoishi yanachangia kukosa mume In'shaallah utapata

    • @ozuabrahamu8079
      @ozuabrahamu8079 4 місяці тому +1

      Greace

  • @DevothaSwai-ni5md
    @DevothaSwai-ni5md 2 місяці тому

    Hizo title zenu ban

  • @Revinarenatus
    @Revinarenatus 2 місяці тому

    Ooh mtabaki kusema kavaa vibaya ndo kashaoa hivyo

  • @user-eu7dn4xr3w
    @user-eu7dn4xr3w 4 місяці тому

    ❤❤❤❤

  • @DianaDotto-i3u
    @DianaDotto-i3u 21 день тому

    Yan kunamud nawek band ili tyu niangarie wanaofung ndoa napend

  • @KhalidNa-bn4gp
    @KhalidNa-bn4gp 3 місяці тому

    Aaan😅😅

  • @hawanaiye-pt6xv
    @hawanaiye-pt6xv 4 місяці тому +1

    Amependeza yu

  • @user-dy9fr2mi5n
    @user-dy9fr2mi5n 3 місяці тому

    Hata cheza yake anaonekana mwema

  • @beatricemrisho8431
    @beatricemrisho8431 Місяць тому

    Hao bado hao mashauzi mengi sana sijui kama watafika miaka 5

    • @LucyMatemu
      @LucyMatemu 29 днів тому

      Ww yako imefika mingapi jiheshimu!!

  • @AloyceAloyce-oi8km
    @AloyceAloyce-oi8km 2 місяці тому

    Kikubw uzma2 nakueshimian

  • @RachelMadege
    @RachelMadege 3 місяці тому

    Asa mbona hatujaona mbio jamani wambea tukome

  • @EvanaFelix-cr3hj
    @EvanaFelix-cr3hj 4 місяці тому

    Af mbna kapendza jaman ingawa kalewa 😂

    • @user-mr3qg9iq5k
      @user-mr3qg9iq5k 4 місяці тому

      😅😅😅kapendza tu watu wananongwa nao

    • @NaomyJohn-hd4bq
      @NaomyJohn-hd4bq 4 місяці тому

      Weee watu walivyowengi lazima atoe aibu na pombe kdg😂😂😂

  • @israelkisaila8401
    @israelkisaila8401 4 місяці тому

    Mbona kavaa hovyoooo? Hakumuandaaa?😮

    • @leahmagaiwa9099
      @leahmagaiwa9099 3 місяці тому

      Anamjua mwanaume wake. Anapenda kumwona hivyo

  • @user-jm4xq8fd5v
    @user-jm4xq8fd5v 17 днів тому

    Mc katokisha nitakupa mwaliko

  • @user-es7xd3bg7c
    @user-es7xd3bg7c 2 місяці тому

    Dah nataman ila bhas tu

  • @berthakapelle9750
    @berthakapelle9750 Місяць тому

    Ila bi harusi umechachuka

  • @matronmkenda3510
    @matronmkenda3510 4 місяці тому

    Bibi harus mtu wa disco nini mbona nyimbo zote kashika kichwan ila wapo vizuri sana kila la heri kwenu

  • @user-mw8wc4rq6f
    @user-mw8wc4rq6f 3 місяці тому

    Tuache kwa selective