TUMSIKILIZE MAMA ALIYEPELEKA MTOTO KWA MMEWE AKIWA ANAOWA TUMELALA SANA CHIN ILE ANANIUMIZA NAMLOGA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 лип 2024
  • #mme #mke

КОМЕНТАРІ • 243

  • @Nailaty564
    @Nailaty564 28 днів тому +25

    Kwa ushauri wa bure ili na wewe uishi kwa amani na mungu akubariki usifanye chochote kibaya kitakutesa na wewe cha muhim pambana umlee mtoto wako huyo mtoto ni baraka tosha kwako muombe mungu akupe afya na rizki utafanikiwa
    Mie niliishi na mume tulizaa watoto wawili nilimsaidia biashara zake mpaka akasogea kimaisha mwisho wa ck alinifukuza kama hanijui niliondoka na watoto wangu sikudai chochote alhamdulillah nilimkabidhi mungu maisha yangu na wanangu sasa hivi ni mwaka wa kumi nalea watoto peke yangu na sjawahi kukosa rizki wala sjawahi kuteseka na wanangu na milango ya baraka ilifunguka kwangu sasa hivi yeye maisha aliyo nayo hanifikii hata robo wamechoka hadi huruma

    • @eggysulle7988
      @eggysulle7988 27 днів тому +1

      Hongera mwaya umelipiwa n Allah

    • @annahulilo6719
      @annahulilo6719 27 днів тому

      Exactly my dear.... Kisasi ni cha Mungu! Aachane nae Mungu huwa amenyoooka shwaaaaaa, Ni Mungu wa haki! Pia hili ni somo, hebu kila mmoja abaki kwenye nafasi yake... Mwanamke azae kwa uchungu na mwanaume atafute kwa jasho atunze familia yake jamani! Zaidi MUNGU ATUEPUSHE NA ROHO YA UZINZI PIA ALINDE NDOA ZOTE SHETANI APITE MBALI!🤲🙏🙏🙏🙏🙏

    • @Nailaty564
      @Nailaty564 26 днів тому +2

      @@annahulilo6719 sasa hivi %80 wanawake tunazaa Kwa uchungu na bado tunatafuta Kwa jasho Kwa sababu wanaume mnakimbia majukum yenu

    • @user-lg9sx7fk1b
      @user-lg9sx7fk1b 26 днів тому +4

      Ushauri mzuri. Ata mm nimelea wakwangu sasa nimekuwa na maisha yangu yapo vizuri sana yy hana Ata pakulala😢 usende kwa mganga dada mtoto ni baraka

    • @user-zq2be4xr1o
      @user-zq2be4xr1o 24 дні тому

      Pole sana kwakweli inauma, maisha yanaendeleya lewo kwako kesho kwake

  • @user-vs6lk8pi8t
    @user-vs6lk8pi8t 28 днів тому +18

    Pole dada yamenikuta mimi niliolewa namumewangu tukawanafamilia watoto wa 3 wakike nilimkuta mwanaime hanachochte tulihangaika mpakatukatobowa kimaisha nilivumilia maisha magumu sana lakini tulivotobowa kimaisha nikiwanamimba yamtoto watatu nilifukuzwa namimb ya mwezi 5 mpaka leo naleawatotopekeyangu sikudaichochote katikamalitulivotafuta sasahivi kafilisika anamadeni mpakaanamkimbiahuyo mwanamke mwenyewe anajutasasa namimi maisha yangu alihamdulilah mungukanifungulia milango yarizk muache siyorixki yakodada allah atakupakilichochako

  • @Hawa-y8x
    @Hawa-y8x 28 днів тому +9

    Yn dada hyo baba usimfanye chochote fimbo ya mungu itafanya kaz yke malipo na hapahapa Dunian akhera kuhesabiwa

  • @tausishabani263
    @tausishabani263 27 днів тому +6

    Imenikumbusha mbali sana wanaume bhana wakishajipata wanaona walioanza nao hawakuwa wa ndo to zao ndo wanatafuta wa ndoto zao😅😅😅 Mungu anawaona

  • @MariamRashid-sm5zw
    @MariamRashid-sm5zw 11 днів тому +1

    nenda uwarabuni mwanangu kafanye kazi miyakayako miwili ukirudy utakuwa mtu tuu inshaallah

  • @abdallahmmary8591
    @abdallahmmary8591 28 днів тому +8

    Akili yakijing uchawi nini mbon upo kwenye giza Wew tawakal Kwa ALLAH atakupa tu mbona

  • @josephinejohn2752
    @josephinejohn2752 13 днів тому +2

    Auna lolote mweu wewe pambana na hali yako kuwachwa wakwanza wewe unautangaza uchawi watakuwai wewe nyoooo😅

  • @Mayasa-o2w
    @Mayasa-o2w 27 днів тому +4

    dada pambana na kutafuta maisha yako wewe binafsi na hao wazazi wako hawakua na kauli nzuri ila wacha tuache hayo yote kwasasa pambana kujitafutia maisha yako wewe kama wewe wanaume hawa .wana mwanzo mwema ila mwisho mwema hawana

  • @MariamRashid-sm5zw
    @MariamRashid-sm5zw 11 днів тому +1

    pole mwanangu uwezi kuwa star mbaka uzalilike inshaallah utapata mwingine aliye wako

  • @generosennko8343
    @generosennko8343 28 днів тому +3

    Pole binti. Wasamehe wote. Hata wazazi wako watarudisha moyo. Wakikutataa naomba uwe mwanangu. Wala sitanii. Ila wewe samehe. Usiwapige kwa chochote. Mwachie mungu ahukumu

  • @evamgaya8240
    @evamgaya8240 27 днів тому +5

    Ukiwa na magumu usiende kwa waganga wa dunia hii, muite Mfalme wa Amani Yeye anajibu maombi

  • @ColethaHillary
    @ColethaHillary 27 днів тому +4

    Wanaume 👐 Tulioumizwa tujuane ❤anyway SINGLE mamaz tunapepo yetu🙏

  • @user-qv8uo3bc6o
    @user-qv8uo3bc6o 22 дні тому +4

    1 hamna akili una ziniwa una mwita mume
    2 mnatoka kwenu mnaenda ishi na wanaume mna endelea kuziniwa mpaka mnazaa nje ya ndoa
    3 hamjui kusema hapana zinaa hapana ndoa kwanza halafu yakiwakuta mnaanza hangaika hizo ndizo laana zenyewe mzibebe TU

  • @MsNajma-j7e
    @MsNajma-j7e 7 днів тому

    My dear njoo oman utafute pesa zako me yarinikuta mbaka sasaiv nipo uku napambana na namshklu mungu alhamdulillah nimepga hatua namshklu mungu mtto wako usimuachie mama wa kambo please dunia ya sasaiv mtto wako rea mwenyewe

  • @sskondopoleani9616
    @sskondopoleani9616 3 дні тому +1

    Ahadi nzuri ni NDOA tu. ZINAA ni MAJUTO

  • @user-kf1jv2nm1l
    @user-kf1jv2nm1l 26 днів тому +3

    Mwanamke sio mgomv wko pamban na mwanamme mwanamke Hana kosa lolote usijipatishe dhambi bure Kwan mbon ss tumelelew bil y baba na tumekua n tumepitia maisha magum lea mtt dada

  • @IrineSelestin
    @IrineSelestin 27 днів тому +1

    Pole sana dada angu lililo kukuta wewe sio wakwanza limewakuta wengi nmimi nikiwa mmojawapo ila nakushauri acha kuamini mambo ya uchawi wewe muamini mungu wa mbinguni ipo siku atakulipizia kisasi wewe usilipe kisasi mwachie mungu na utaona matokeo mazuri kwake mora wetu

  • @josephinejohn2752
    @josephinejohn2752 13 днів тому +1

    Kama ulijibweteka mila kufanya biashala ulikuwa unategemea kupewa sasa kimekulamba😅

  • @naturelle1097
    @naturelle1097 23 дні тому +3

    Sio mwisho wa dunia.Mungu yupo!

  • @zainabufaidhi4799
    @zainabufaidhi4799 28 днів тому +3

    Bint kgm Leo kavaa ushungi kapendeza kweli MA Sha Allah

  • @justerissaya9165
    @justerissaya9165 18 днів тому +1

    Ila mi naona ukubl utulize nafc pambania maisha Yako na mwanao achana na uyo kwanza mshukr mungu kuoneshwa mapema

  • @user-de1wm3of2l
    @user-de1wm3of2l 28 днів тому +4

    Lakini mawifi wengine wanakaga kama majenti wa shetani vile Mimi Kuna vitu siwezi Fanyia mwanamke mwenzangu kwa sababu so vizuri nawewe dada usiloge mwenzio mbona sisi tunawacha na maisha inawapiga vizuri tu bila uchawi jamani wachana nao machozi yako tu inatosha😢

  • @user-bo1cn3dw6o
    @user-bo1cn3dw6o 28 днів тому +1

    Pole sana dada jitahidi fanya kazi na mungu atakupa mume bora usikate tamaa

  • @MosesKatumbi
    @MosesKatumbi 21 день тому +1

    Pole sana dad mungu atakubariki ndo mawifi walivo dad malipo ni apa apa duniani muachie mungu

  • @MobileCare-iq1mw
    @MobileCare-iq1mw 27 днів тому +2

    Pole saana ndugu.ndio.mitihani.hiyo.yatapita.tuuu.biti.kigoma.leo.kapendeza.jamani.❤❤❤

  • @MsNajma-j7e
    @MsNajma-j7e 7 днів тому +1

    Pole sana my dear me yamenikuta hayo mzazi mwenzangu turianza maisha mbaka kufkia tunalalah sait kwenye maboksi na mbaka tukahaza kupanga basi sasa arivyo haza kushika pesa tu bas kabadrika na kuona wadda wa kawe ndio wazuri mmi nikawa sifai tena,,wanaume zetu wa tz ndio warivyo unamvumiria akipata tu hanakusarinti,, sasaiv sitaki kusikia kumvumiria mwanaume mwanaume haje na pesa zake kabsaa na mim nilee?

  • @AishaMchana-el9td
    @AishaMchana-el9td 26 днів тому +1

    Pole kipenzi hayo yapo tu me mwenyewe yashawahi kunitokea,,tena mzazi mwenzangu alinionyesha sana kunipenda na ahadi za ndoa kila hatua alokua anaifanya ya ndoa alikua ananambia ila mwisho wa cku kaenda kumwoa mwanamke mwingne nikasema bahc namwachia Allah,nikwel waliishi ndani ya mwaka mmoja tu wakaachana na saiv kutwa ananisumbua turudiane

  • @SaadaBenadi-pj2bn
    @SaadaBenadi-pj2bn 25 днів тому +1

    Dada pole sana hayo uliopitia hata mm nimepitia hayo hayo ila mm mwezako nilijikaza nikajiuliza kwaza nimezaa nje yandoa niwakwangu sikufich nimemlea mwanangu tangu miez 2 mpaka saiv nimwali tena na mtoto hamjui baba na mm nampa sumu namwambia mwanangu baba yako kakutupa hakutaki kwaiyo nakushaury mlee mwanao kwenyeshid kwenye raa ipo siku mungu atamlipia pole

  • @Hawa-y8x
    @Hawa-y8x 28 днів тому +1

    Pole sana dada yng kwa hayo ulo pitia. M, mung ataksaidia in sha Allah. Wanaume ndivo walivyo dada, hata mm yamenikta hayo

  • @JoycebarakaEster
    @JoycebarakaEster 26 днів тому +1

    Sameee naww wewe SI wakwanza uwezi jua mungu kwann amekuweka mbali nayeye uyo mume

  • @user-ns3so9wv1f
    @user-ns3so9wv1f 26 днів тому +5

    Nambona tupo wengi single
    Mother simama kwa mungu
    Na umlee Mtto mungu ata
    Shusha kudura zare😢😢😢

  • @ZakayoGhuliku
    @ZakayoGhuliku 10 днів тому +1

    Rea mwanao huenda mungu kakuepushia

  • @khadijanjama8721
    @khadijanjama8721 28 днів тому +3

    Pole dada ntakufata uje kenya uanze maisha mapya

  • @user-fs8pw9tl8i
    @user-fs8pw9tl8i 27 днів тому +1

    Allah atakulipa dada usiedi kwamnganga wemuombe Allah tuh Atakusimamiya dada Sisi wote tumezalishwa Ila tupo tuh

  • @AmiriHumudi-hn6pt
    @AmiriHumudi-hn6pt 27 днів тому +1

    Nyingi Wakati hamumtaki mungu yatawakuta mengi Tu. Imeumbwa ndowa Ndo kuzaa Lkn nyinyi mnazini mkazaa Ndo mkafunga ndowa Basi ata Bado hayajawakuta.

  • @shakilasharifa9
    @shakilasharifa9 27 днів тому +1

    Pole Sana dada allah akufanyie wepes aza umpy mungu atakusaidia ❤

  • @fatmaalnabhani3609
    @fatmaalnabhani3609 28 днів тому +2

    Sasa utapata faida gani ukiwaroga ati utawaharibia maisha yao, usijaribu mungu yuko tu.

  • @user-jm2uh6mk3g
    @user-jm2uh6mk3g 6 годин тому

    Dada kachukue mtot wako achana naye. Yule sisi wanawake tunadhalilishw vby ila Mungu yup inshaallah tutahukumiw APA ap dunian

  • @user-kf1jv2nm1l
    @user-kf1jv2nm1l 26 днів тому +1

    Pol sn Dada hayo nd maisha Ila Lea mwanao Kwan hakuna mtt mbay mungu atakulipia na huy mwanaume asikushuhulishe San mung atakusimamia na asimchukie na hilo chozi lina mlipo pole snw

  • @wahidabakar
    @wahidabakar 24 дні тому +1

    pole sana Allah atakufanyia wepesi

  • @SamiraseifAlfan-ph4ke
    @SamiraseifAlfan-ph4ke 28 днів тому +1

    Binti kigoma unayaweza ww mfukunyuku 😂😂😂 unajua kumchimba mtu wallah ila unaushauri mzuri

  • @ramlaleila374
    @ramlaleila374 24 дні тому +1

    Mawifi mungu atawalipa kwa ubaya wenu

  • @HenrietteUwimana-s8n
    @HenrietteUwimana-s8n 28 днів тому +5

    Pole sana Dada yang naona kimekukuta kilichonikuta mim Ila nikushahuli kama Dada yang ni hiki Wewe achana nao umuleye mwanao Maana Malipo nihapa Duniani usifanye kibaya kitakuludia wew tafuta maisha umuleye mwanako tu Na mzazi mwenzako usiache kumsemesha ili umuonyeshe kam amejikomoa

  • @user-km6dx1xh6w
    @user-km6dx1xh6w 23 дні тому +1

    Naumia sana yani Mungu atusaidie sana wanawake

  • @hillarimtambo482
    @hillarimtambo482 28 днів тому +1

    Pole sana mpendwa yalinitokea ila nikamuachia Mungu

  • @Omanzikra-ft5cr
    @Omanzikra-ft5cr 28 днів тому +1

    Iko ivi ktk vitabu vyote vya mungu hakuna dalili inayosibitisha kwamba kunandoa ya mtu na mzinifu wake wala mzazi mwenzie ktk dini yetu ya kiislam mungu ktk surratl maida anasema msiowi wanawake mmeoishawaingilia wala kuwaweka kinyumba ktk sunna mtume wetu muhammad swallahu alay wasalama anasema la nnikah baada sifah yaan hakuna ndoa baada ya kumuingilia ama kuingiwa kwahiyo ww ndugu yangu subiri utaolewa na mzinifu mwenzako ila nayeye asikuingilii kwanza kabla ya ndoa nahiyo ndio itakua ndoa yako umeolewa na mzinifu mwenzako ndoa hii ndio iliokubaliwa na ukiolewa na huyo bwana wako sijui mzazi mwenzako nyinyi mtakua hamna ndoa ila humaa zaaniyani mujtamaa yani niwazinifu wawili ambao mmejikusanya kwa pamoja hadi mtakapo achana ama akafa mmoja kat yenu ndio zinaa yenu itakua imeisha hapo ila tu fanya ibada zako muombe mungu atakuletea mungine mwenye kheri na ww kuliko huyo mzinifu amin

  • @user-xk7vy4gb6g
    @user-xk7vy4gb6g 28 днів тому +2

    Ushaur wangu mtunze mtoto wako ipo siku huyo mzazi mwenzio atakuja kukupigia cm anakuja hali ya mtoto. Mawifi pia inaonyesha Ndiy wamechangia kumsapoti kaka yao.

    • @ndogolofadhila6203
      @ndogolofadhila6203 27 днів тому

      Jamani ndugu hawawezi kuwa upande wako wakamuacha ndugu yao

  • @kilogreekachananawatuwasio4054

    BINTI KIGOMA UNAVYOHONGEA UMETOKA KIJIJINI SANA MKOA UNAOTOKA BADO SHOMBO LA USHAMBA LAKIJIJINI ALIJAKUTOKA 😂UNAMIAKA MINGAPI DAR MADAM KIGOMA?????

  • @ashapearubart2624
    @ashapearubart2624 27 днів тому +1

    Huyo mwanaume nafikiri ni maoko yanatoka kwa Huyo alie muoa.hiyo dio tabia ya vijana wa sasa. Hakuna kingine.

  • @Aisha-qg5mj
    @Aisha-qg5mj 28 днів тому +1

    Pole my sister

  • @kilogreekachananawatuwasio4054

    KWANINI KATIKA UGOVI WA FAMILY UTAKUJA KUSIKIA KULAKULA TU NYUMA YA KUKU UBWABWA CHAKULA NDIO CHANYO KWANINI WAAFRICA WENGI BADO KULA NDIO TATIZO KUBWA????????😢😢😢😢

  • @rahmahasan32
    @rahmahasan32 27 днів тому +1

    Naswali mzuri unayomuhoji

  • @momsash9210
    @momsash9210 28 днів тому +1

    Stor ya uongo hii,wifi ulimsalimia akakujib kama mnashea kitu,so hakurud kumwambia kakake kivuruge yupo nje?disco limeingia mmasai😂😂sijapenda

  • @AminaMagulati
    @AminaMagulati 24 дні тому +1

    Huyo mkaka simuigizaji kweny filamu ya shetan au ndoyale mashetani yamemvaa

  • @mmnimshindi
    @mmnimshindi 25 днів тому

    Usiwahukumu kwa uchawi ila chozilako ni uchawi mtaingia kwenyevita yakishilikina kwan yametukuta wengi kama ww tukajipa moyokwavile hajanicha nakilema chochote halafu ww shukuru unawa zaziwako shukuru mungu tafuta biasharaufanye achakumfilia wanawake sikuhizi tunajiamin

  • @RamadhaniKitala-gx6wc
    @RamadhaniKitala-gx6wc 14 днів тому

    Dada yangu muachie mungu uliwafanya chochote hiyo pesa ya kuwafanyia jambo lako bora upike ns mwanao mle hao ndio wanaume

  • @bdmas2003
    @bdmas2003 25 днів тому

    Mwishoni ndio umeamka dada hakuna mwanaume ambaye ukijilegeza, unaamkia kwake. unampa vitu kabla ya ndoa huo ni umalaya tu. Mwanaume atakuwa anakuambia vitu vinavyokufanya uwe malaya wake mwingine kwa sababu wewe sio wa kwanza. Wanawake mngejifunza kusikiliza wazazi wenu, funga ndoa sawasawa ina baraka zake. Kujirahisisha ni umalaya, hautaenda mbali utarudishwa kuwasumbua wazazi wako tena.

  • @Mayasa-o2w
    @Mayasa-o2w 27 днів тому

    huyo mwanaume nimuuaji mkubwa ila huyo dada ane olewa ajiandae kwasababu mwenzio akinyolewa tia maji nywele zako wewe achana na hilo limwanaume lisilo jua dhamani ya mwanamke nikweli inauma sana lakini kwasasa wewe pambana tu na maisha yako

  • @w4058
    @w4058 17 днів тому

    Haaa ati amfanyie uchawi umgejifanyia mwenyewe kwanza ukatulia nafsi yako zinaa imekatazwa uzini halafu upangiwe nyumba mtoto atizamwe ungetulia ukapitisha maghfira Allah akakutaqabalia lakini inaonekana kwamba wewe mwenyewe hujatulia Allah akuhidi na jamii ya Waislam na wasiikuwa Waislam kweli inauma lakini ungerudi kwa MMungu wako kwanza mtoto wa nje ya ndowa ni wako sio wala huarusiwi kubeba jina la baba ake tusomeni dini jamani tupate kuepukana na ujinga kama huo

  • @NeemaChuwa-bm1ke
    @NeemaChuwa-bm1ke 22 дні тому +1

    Angalia maisha yako dada mungu yupo unaweza fosi ndoa ukaja kujutia baadae mpambanie mwanao ww

  • @esthercharles-zq1lc
    @esthercharles-zq1lc 26 днів тому +1

    Wanaume mavi tu

  • @solihanegier890
    @solihanegier890 23 дні тому +1

    Ww hata ukitoa machozi hukuolewa uliku hawara tu iyo ndio faida yke ss

    • @w4058
      @w4058 17 днів тому

      Ndio hapo

    • @w4058
      @w4058 17 днів тому

      Subhanallah Allaah atustiri waja wake

  • @PaulinaRaymond-f6s
    @PaulinaRaymond-f6s 25 днів тому

    Dada pole.Delete Pambana nawanao na Mungu atakupigania.uza maandazi chapati chochote cha riski anza biashara na Mungu atakupa mwenza sahihi

  • @user-lg9sx7fk1b
    @user-lg9sx7fk1b 26 днів тому

    Huyo muachie tu mungu usende popote ataadhibiwa had arudi akuombe msamaha mwenyewe 😢

  • @joycenyamwela9967
    @joycenyamwela9967 26 днів тому

    Umechemka sana penzi lilikuwa la upande mmoja mwanaume alikuwa anakutapeli tu
    Watoto wetu muwe makini
    Ukiamua kuzaa jipange lolote linaweza kutokea
    Simama kwamiguu yako lea mtoto wako
    Unachofanya ni ujinga watu wanaachwa na mimba
    Hayo ndio uliyoyataka sasa pambana ulee mwanao hela usimalize kwa waganga
    Huyo umekutana nae ukubwana sio ndugu yako
    Kama umezaa Rais je unajuaje?
    Unadhani kuzaa ndio kupendwa?
    Huyo mtoto wa watu pia ana wazazi wake
    Ndio ujinga huo ukakope uende kuloga na unasema mtoto anaumwa looooo

  • @Samira-k7o
    @Samira-k7o 28 днів тому +1

    Usifnye kitu chochte kibaya dadaangu waachie mungu atkulipia wasamehe tuko wengi dada msamehe muachie mungu🙏🏻🙏🏻

  • @NasmaRajab-vg3bh
    @NasmaRajab-vg3bh 28 днів тому +1

    Dad pole san wanaume wataendwa kuchomwa san

  • @user-eu6ql9zl7n
    @user-eu6ql9zl7n 23 дні тому +1

    Mie nilitorokwa mtu akafunga ndoa na mwingine mtoto akiwa na miez 11 niligundua baada ya mwez mwanamme akanismbia sina shida na mtoto nina shida na pesa kumbe mwanamke alieolewa hana kizaz yan kilitolewaga nikasamehe leo mwanangu ni profesa ananitunza babaake anaona aibu tuuu

    • @bintikigoma
      @bintikigoma  23 дні тому

      😂😂😂😂 hii KIBOKO haki nimetamani kufanya interview na wewe hata kwa njia ya sim pls 0620607628 Naomba unicheki

    • @esthersissamo1120
      @esthersissamo1120 14 днів тому +1

      Kweli hayo ndio matokeo ya watoto wanaolelewa na mama zao huwa wanapata akili za ajabu huyu dada Mungu atamuinua na huyo mtoto wake

  • @saidaliomar
    @saidaliomar 7 днів тому

    mlikuwa mnazini tu sio kakuowa uwe mpole utafute mtu akuowe uzae watoto wa halali kulingana na dini yako

  • @zainabukivale9571
    @zainabukivale9571 28 днів тому +2

    Uyo sio Yule dada mwembamba na kichwa kidogo uyo kichwa kikubwa

  • @mariakibusi5914
    @mariakibusi5914 28 днів тому

    Wanaume khhha,jamani mapenzi tuwaachie wenyewe,hivyo vitu vimetutokea wengi tunafunga mkanda tunasonga mbele

  • @sskondopoleani9616
    @sskondopoleani9616 3 дні тому

    Sheia ni Kuolewa kabla ya kuzaa

  • @dottomputa548
    @dottomputa548 28 днів тому +2

    Kila kitu kinaenda na riziki mungu akikupangia subili mungu atakupa mume mwengine wakati wa mungu ni wakat sahihi

  • @faudhiahassan7907
    @faudhiahassan7907 28 днів тому +2

    Mpende mwanaume ukiwa ndani ya ndoa na ukikaa na mwanaume bila ndoa jua siku yeyote anaoa mwanamke mwingine

    • @NadhiraNa-vm5hs
      @NadhiraNa-vm5hs 28 днів тому

      Usujipe iman iyoo ayajakukuta mm ndoa na yamenikuta anasaminiwa awara anakuja adihome mm sijui kutwa ndani nikitika madras kumbe nilienda madras awara anakuja chumbani tena changu

    • @FatimaAli-of4gh
      @FatimaAli-of4gh 28 днів тому

      ​@@NadhiraNa-vm5hs
      Hee huyo mwanaume kakuchoka kwani magesti hakuna akuletee chumbani kwako wanga hao

  • @OmanOman-dd5qk
    @OmanOman-dd5qk 28 днів тому

    Bint kingoma wemwenyewe siulimsikia yule mama mbwagizo anawabwagiza wanaume tu

  • @BurureMarwa
    @BurureMarwa 27 днів тому

    Mh pole dada angu hayo niya dunia kwa sababu sio kila mwanaume atakupa hera upereke kwenu ni wachache dada ila jikaze achana na visasi

  • @roqayaro9439
    @roqayaro9439 26 днів тому

    Angalia maishaa yako achana nao usije ukaenda kuloga ukalogwa na wewe uchawi wa kizazibar achana nao fata yako

  • @user-cc6gx1ue6w
    @user-cc6gx1ue6w 28 днів тому +1

    DD yangu achana nao wemlee tu mtoto wako

  • @pillyseleman8090
    @pillyseleman8090 28 днів тому

    Kwakweli dada binti kigoma pengine mdada hana simu kubwa tafadhal mpe simu na umfungulie hiz message asome meseji za watu akishaur na watanzania wenzake naona hapa kila mmoja anampa moyo asijidhalilishe mtoto mmoja hatashindwa kumlea mwanae ,ajipe moyo atamlea mwanae maon hapa wrngi usjaur mxur amuachie mungu kwa yote

  • @user-fs8pw9tl8i
    @user-fs8pw9tl8i 27 днів тому

    Mama arusi ana tatizo yoyo dada usimfanyiye mwenzako ivyo ule ana tatizo lolote dada usifanyi ivyo

  • @MwanaidiRulimbiye-y7q
    @MwanaidiRulimbiye-y7q 28 днів тому

    Mimi kila cku huwa naongea unaanzaje kumsikiliza mwanaume hajakuoa eti nizalie 😅😅 aise wadada tujitambuwe basi

  • @mamakesufi6740
    @mamakesufi6740 20 днів тому

    Pole dadangu machozi yako hayajatoka bure dadangu 😢😢

  • @oparetionmaalum9030
    @oparetionmaalum9030 24 дні тому

    Nyinyi wanawake inakuaje mnawapa Kuma wanaume hadi wanakuzalisheni bila kuolewa ndo mana mnaumizwa

  • @joycenose2356
    @joycenose2356 27 днів тому

    Achana nae cha msingi pambanania maisha upate pesa ipo siku atakuja kukupigia magoti

  • @FatmaMakame-d5x
    @FatmaMakame-d5x 13 днів тому

    Malipo ni hapa hapa dunian

  • @mariakibusi5914
    @mariakibusi5914 28 днів тому

    My dear vyote hivyo na mimi ilitokea kama hivyo hivyo,na akaenda kuoa hivyohivyo wasamehe wapotezee fanya kama uwajui

  • @rabiahamiss1997
    @rabiahamiss1997 28 днів тому

    Mm kama mwanamke cjampenda uyo dada alichomfanyie mwanaume wake cku ya ndoa, taratibu za kudai haki ya mtoto zipo nyingi ikishindikana angekubali tu kuwa single mother km tulivyo wanawake wengi tanzania lkn kufanya vulungu zile alikosea sana

  • @ZuhuraIbrahim-re6zl
    @ZuhuraIbrahim-re6zl 28 днів тому

    Binti kigoma mapenz yanauma san dada jipe moyo machozi Yako hayaendi buree

  • @trophywilson7211
    @trophywilson7211 12 днів тому

    Hee Tanzania kuna Ant age ??hahaha

  • @esthersissamo1120
    @esthersissamo1120 14 днів тому

    Likuepukalo lina heri nawe tulia jambo limekuepuka

  • @user-cr8pr3kn3c
    @user-cr8pr3kn3c 28 днів тому +1

    Sasa kuna haja gani ya kumfunika wakati tulisha muona siku ya tukio

  • @user-he2pk6io4d
    @user-he2pk6io4d 28 днів тому

    Kwani we dada wewe ndio wakwanza kuachwa ukiwa na mtoto tena mtoto mwenyewe mmoja anakushinda kulea heti ukawaroge ukisha waroga unapata faida gani 😂😂😂 wengine tumeachwa tukiwa na watoto 3 mmoja miaka 3 mwingine 2 na wamwesho tuliachana ana miezi 3 na nilikubali matokeo watoto wangu nalea bila ya shilingi moja ya baba yao na yupo hai mpka leo watoto wamesha kua mabinti wakutosha emu pambana kutafuta kazi 😂😂😂 njoo oman 🇲🇬🇲🇬💸💸pesa ipo

  • @rqiyaabdallah840
    @rqiyaabdallah840 26 днів тому

    Mhh uchawi wambali

  • @eggysulle7988
    @eggysulle7988 27 днів тому

    Waroge tu washenzi sana wanamme anza na yule wif mdomo waz,,nenda kakopee

  • @Naju645
    @Naju645 25 днів тому

    Laana zakuroga mtu zitakukosti milele

  • @user-zo7bg4dw2d
    @user-zo7bg4dw2d 27 днів тому

    We muongo harusi uwalikwe uende namitunguu hiyo

  • @suzysam6002
    @suzysam6002 26 днів тому

    Kama mnaona amefanya mazuri kwann afunike sura wakati mwingine tumwogope MUNGU

  • @getrudaleonard8323
    @getrudaleonard8323 27 днів тому

    Kuroga achana nako
    Dada
    Malipo ni apa apa
    Duniani

  • @w4058
    @w4058 17 днів тому

    Hana lolote huyu mwanamke kakusudia kuvunja harusi ya halali kazini kazaa baada ya kujstiri anajifedhehesha Allah tustiri waja wako

  • @saidaliomar
    @saidaliomar 7 днів тому

    kumbe huyo mama wa mtoto ni mchawi