DUA KUBWA YA KUONDOA MATATIZO BI IDHNI LLAHI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 30 лип 2022
  • hii ni dua ya majina 99 ya allah baada ya kusikiliza dua hii ndugu yangu omba unachotaka kwa sharti kiwe cha kheri

КОМЕНТАРІ • 833

  • @jamilakimaro9993
    @jamilakimaro9993 2 місяці тому +5

    Yaarab nakuomba kupitia dua hii unisamehe makosa yangu yote imma kwa kukusudia au kwa kutokukusudia naomba utuepushie maradhi naomba uwape tahfif marehemu wetu waliotutanguli na uzidi kunipa wepesi ktk kufanya ibada zako yaarab. Aaamin

  • @habibabarker1644
    @habibabarker1644 7 місяців тому +18

    Ya Allah Ya Allah naomba unisamehe ninayoyajua na nisoyoyajua makosa yangu niondolee maradhi nijalie uhai mrefu afya amani nikuabudu nipe rizki ya halali na mwisho mwema

  • @ZawadyKilume
    @ZawadyKilume 2 місяці тому +13

    Allah Ww Ni Mwingi Wa Rehema Naomba Unisamehe Makosa yng Mola Wng Usinifichie nuru Ya Uso Wako Allah Najua Mm ni Mkosaji Mbele zako Nisamehe Mola Wng Ww Ndo Mwingi Wa Huruma Allah Nihurumie Mja Wako Niokoe Ktk Mitihani Hii ninayopitia Allah Wng Niponye Maradhi Ya Ganzii Ktk Mwili Wng Nipone Kbs Nijaze Imani Juu yako Allah Wng Mm Ni Mkosaji mbele Zako niponye Kupitia Dua Hii niponye Kwa Dua iliyomponya Ayubu Allah Nifanye Vile Ikupendezavyo Ww Mungu Wng Allah Nisaidie mja Wako

  • @user-on7cq7cz5t
    @user-on7cq7cz5t 8 місяців тому +17

    Aamiiin🤲🤲🤲🤲yaarabilialamina mwenyezimungu niondolee matatizo yangu ya ALLAH we ndio mtoaji ya rabb takabali dua🤲🤲🤲

  • @ShaniRadjab
    @ShaniRadjab Місяць тому +4

    Ya Allah nipokeleye swalha dhangu n'a dua zangu ya Allah unisamehe dhambi dhangu unijalie mwisho mwema Ya Allah uniweke katika kundi ambalo litakalo ingia katika jannatu fidrau yaAllah warehemu wazazi wangu😢uwasamehe dhambi Zao kupitia dua hiyo ya Allah utunusuri Sisi viumbe vyako dhahifu ya Allah🙏🙏

  • @nasrashaibu158
    @nasrashaibu158 10 місяців тому +12

    Yarab nisamee makosa yangu na unisamee zambizang unipe riziki zangu zaharari kizazichang kiwe miongoni yawaja wema ishaarr❤

  • @user-dh7zv8ke8o
    @user-dh7zv8ke8o 9 місяців тому +12

    Ya Allah unifanyie wepes kwenye mamb yangu na ridhik yang uniepushie na mabaraa,vijicho,husna,uchawi na mashetwani maisha yangu yanakutegemea ww Allah 😢😢Amin 🙏

  • @user-ng4ko6pz9s
    @user-ng4ko6pz9s 7 місяців тому +11

    Amin yarab nisameh makosa yangu Na uniondoshe matatizo YA nyumba yangu

  • @FashionHekima-wq9fl
    @FashionHekima-wq9fl Місяць тому +4

    Yarabi niondoshee matizokatika maishayangu nafamiliya yangu na uondoshee husdakatika utaftaji warzki yarabi nakuomba kwani wewetu ndie mjuzi wakilajambo Amen

  • @nurdinomary4432
    @nurdinomary4432 7 місяців тому +8

    Amini yarab Al Amin niondolee maradh husda za waja uwape afya njema family yangu watoto wangu wazazi wangu yarab nifungulie nakuongezea rizk nifanyie wepes Kaz yangu yarab Kika nifanyalo liwe jepesi Amin Amin

  • @user-fd1vw9fc9r
    @user-fd1vw9fc9r 8 місяців тому +15

    Ya Allah unifanyie wepesi katika mambo yangu, unikinge Na hasad, husda Na wabaya wote walonizunguka pamoja Na familiar yangu amiin

  • @user-wt5di4hl2o
    @user-wt5di4hl2o 8 місяців тому +19

    Amiin 🙏🏼🙏🏼🙏🏼ewe mwenyezimungu naomba unifunglie mwanganz katik maisha yangu Unifungulie rizk zngu kila zito allah unifamyie wpesi kila ninapoingia nuru inimwilik unajalie mwisho mwem 🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼😭😭😭

  • @rosewangui8316
    @rosewangui8316 22 дні тому +2

    Ya Allah unayajua vyema matatizo yangu nikumbuke nibarike nisamehee dhambi zangu ....Muepushe mpenzi wangu Na adhabu kubwa ya kaburi🤲📿

  • @ZainabuMsangi-gx1fe
    @ZainabuMsangi-gx1fe Місяць тому +4

    Yalaah naomba ninapoisikiliza dua hii uniepushe na maradhi pia unijaalie mwisho mwema na uyape nuru maisha yangu na familia yangu...inshaalah utukubalie dua zenu

  • @Lulu-wt9dd
    @Lulu-wt9dd 2 місяці тому +3

    Ya Allah naomba nitoe malaz niepushe na mabalaa ya kidunia nijaalie lizki nawombea wazazi wangu uwa jaalie her na lizki uwatoe malazi yalabi wajaalie watoto wangu tabia njema na wenye Imani amina 🤲🤲

  • @Joharibakari-cv3oq
    @Joharibakari-cv3oq 4 місяці тому +4

    Ya -Allah Kila zitoo Naomba liwe jepesiii ya Allah Nipe umri mrefu mimi pamoja familia yangu naomba umuondolee mitihan H kila zito kwake liwe jepesi akika Allah wew ndio tumaini letu la mwishoo🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @hanifaahmad5018
    @hanifaahmad5018 4 місяці тому +5

    Ameena yarabi niondeleeee hasada na husda na matatizo yaliombele yangu ninayoyajua na sisiyojua tupe iman ya kukuabudu ww na kuyafata mamrisho yako uwarehemu wote walotangulia mbele ya hakiiiii ameena ya rabbi

  • @tatumbaraka2658
    @tatumbaraka2658 7 місяців тому +44

    Nataman niandike mengi kuhus hii Dua😭 nilipitia matatizo nimeisikiliz San hii Dua bi idhin llah naamin imeniondoshea matatizo yang alhamdulillah😭🤲 allahu akbar 😭

    • @gloriaeliys7589
      @gloriaeliys7589 6 місяців тому +1

      Hapan iyo dua itakua n insababu t ila Allaah ndio alio kuondoshea .

    • @tatumbaraka2658
      @tatumbaraka2658 5 місяців тому

      @@gloriaeliys7589 Kwa kwel ni Allah🤲

    • @HalimaismailySaid
      @HalimaismailySaid 2 місяці тому

      Kwa kweli hii dua imedanya mambo yangu mengi. Yakafunguka sana

    • @FIRDAUSAWADH
      @FIRDAUSAWADH 2 місяці тому +1

      Allahu Akbarr

    • @ummuasmahan5193
      @ummuasmahan5193 Місяць тому +4

      Allah nifungue kutokana na madeni, nifungue milango yangu ya rzk, nikifungua nipate pesa za kulipa madeni na kurudi Hali yangu ya kawaida😭🤲

  • @mishysaidy9802
    @mishysaidy9802 Місяць тому +3

    Yarabih naomba uniongoze katika njia iliyo nyooka naomba uwape afya njema watoto wangu uwape ufahamu Mungu wangu wewe ndie kila kitu binadamu si chochote mbele yako nakuomba Mungu wangu huyu binti yangu apate usingizi mzuri na kama kuna mtu ana7babisha vimludie mwenyewe 😢😢🙏🏼🙏🏼🙏🙏 Amina🙏

  • @rehemamisele-jt1xj
    @rehemamisele-jt1xj 8 місяців тому +5

    Ya Allah naomba uniepushe na kila lililo baya mjn uchw husd za watu mahsd ulinde familia yng uzd kutup uzma na pumz kila kukicha

  • @MariaGoreth-es9ii
    @MariaGoreth-es9ii Місяць тому +3

    Ee mungu nilinde uniepeshe
    Na maovu unikinge mm nagamilia yangu jutukinge na madui unipatie ridhiki Amin unitimizie ndot zang kupitia Dua hii Amin

  • @alphoncymatara5108
    @alphoncymatara5108 7 місяців тому +12

    Ya Allah nakuomba uwapunguzie adhabu ya kaburi wazazi wote wawili , ya Allah nakugemea kwa kila Jambo liwe kubwa liwe dogo ya Allah ukanifanyie wepesi na kuniondolea mabalaa na chuki juu ya kazi yangu na familia yangu Amin🤲🏽😔

  • @MtumwaHamza
    @MtumwaHamza 22 дні тому +2

    Amin ewe mwenyezimungu niondolee chuki,husda, choyo, hasada, shari na mambo mengine yote mabaya

  • @user-fd7wj6wd1f
    @user-fd7wj6wd1f 4 місяці тому +3

    Yaa allaah nakuomba kupitia dua hii unisamehe dhambi zangu unifungulie milango ya rizki hakika wewe ndo muweza wa kila jambo allha mimi nikiumbe chako mnyonge kwako yaa allaah yaa allaah naomba msaada wako ee mwenyeezi mungu nisaidie

  • @user-su6vt8ev8d
    @user-su6vt8ev8d 2 місяці тому +3

    Ya Allah tujaalie kheri za Dunia na kesho Akhera .

  • @saadahassan1437
    @saadahassan1437 4 місяці тому +5

    Yarabi naomba niondolee mitihani kazini na unifanye nidumu kazini naomba unioe ridhki ya halal na yenye kheri naomba umpe pepo ya firdaus baba angu alotangulia mbele za khaki na umat MUHAMMAD s.w.s

  • @FatumaMwaliko
    @FatumaMwaliko Місяць тому +3

    Amina mungu anifanyie wepesi katika kazi zangu inshallah

  • @zainabuhassan6603
    @zainabuhassan6603 3 місяці тому +2

    Ameeeen.
    Eeeh M/Mungu niondolee matatizo kkt familia nijalie hekma ktk moyo wng uwalinde watoto dhid ya husda na maradhi.
    Unifanyie wepc ktk biashara yangu nipate rizk ya halali.
    Waajalie wazazi wng Afya njema.

  • @aishaothman1235
    @aishaothman1235 Місяць тому +2

    Ya allah nakuomba unisafisha niwe safi kwa kila mja niwe mwenyekupendwa n kila mtu nifungulie milango ya rizk niweze kuisaidia familia yangu naomba nipate na kazi ninayoiitaji Amin Inshaalah

  • @khadijaZuberi-wo4eg
    @khadijaZuberi-wo4eg 11 місяців тому +14

    Amiina yaarab nisamehe makosa yangu pia naomba unipe mwisho mwema na naomba nifanye yale yenye kukupendeza, niepushe na maasi ya dunia niwe mja mwema, naomba uniepushe na watu wabaya na wale wasopenda kuona mafanikio yangu wasiwe na nafasi kwangu, nakuomba ya Allah niondoshe na nuksi, mikosi, mapepo, na maradhi sababishi yasinikute, nifungue kila nilipogungwa kwa nguvu za giza, mfanyie wepesi bosi wangu asahau yote yalotokea anirudishe kazini kwa nguvu zako Allah. Naiombea familia yangu, wadogo zangu na wazazi wangu waepushwe na kila Shari na kila baya lisiwakute kila atuombeae ubaya kwetu ugeuke na kuwa uzuri, ❤️🙏

    • @mpondamedia2416
      @mpondamedia2416  11 місяців тому

      😭😭😭🤲

    • @zozosabra2176
      @zozosabra2176 10 місяців тому

      mwenyezi mungu nakuomba uniepushe na mitihani mm na familia yangu niongezee watoto wangu na uniepushe na maradhi makubwa na madogo nakuomba ewe mwenyezi mungu nifungulie milango ya ridhiki mm na kizazi changu . na uwasamehe wazazi wangu makosa ya kaburi Amina

    • @nooralhadidi6420
      @nooralhadidi6420 4 місяці тому

      [​@@zozosabra2176

    • @user-dc1zn9ry5s
      @user-dc1zn9ry5s 4 місяці тому

      Mungu atufungulie riziki za halal yarabi atupe wepesi wake

    • @user-dc1zn9ry5s
      @user-dc1zn9ry5s 4 місяці тому

      Yarabi ndoa iwe ya kheri kwangu

  • @husnakoku2899
    @husnakoku2899 15 днів тому +1

    Yah Allah niepushe na magonjwa, mpe mfahamu mwanangu katika masomo yake inshallah, niepushe na kila baya, nifanyie wepesi katika kutafuta rizki inshallah

  • @alphoncymatara5108
    @alphoncymatara5108 6 місяців тому +4

    Amiin Yarab al-amin nakuomba rehema zako na afya na kutimiza malengo yangu Yarab al-amin,hekima juu yako Allah pia nakuomba utulivu juu ya familia na Maisha yangu kwa ujumla.

  • @user-qv4oz2sq4f
    @user-qv4oz2sq4f 24 дні тому +1

    Yarabi naomba uniondoshee matatizo na huu wakat mgumu nnaopitia atakukataliwa na kukosakazi Amiin 🤲🙏

  • @JasminKibula
    @JasminKibula 13 днів тому +1

    Ya Allah naomba unisamehe makosa yangu yale niliyo yafanya kwa kuelewa na kwa nisiyo yaelewa Allaha naomb unipe mwisho mwema Ya Allah

  • @shumatagirl2767
    @shumatagirl2767 Місяць тому +1

    eeeeh mwenyezi Mungu, mwingi wa Rehema ambaye hufananishi na kitu chochote, naomba nisamehe makosa yangu naomba nimurike katika nuru yako na uyapokee maombi yangu na kuyajibu mollah wangu sina pa kukimbilia zaidi ya kwako. Amina🙏

  • @MwanaMone
    @MwanaMone Місяць тому +3

    Ya allah naomba unisamee mabaya yangu yote na uniondole matatizo nlio nayo.unilinde na hasad za waja ya rabina halameen🙏🙏

  • @user-zx4ze5yw8s
    @user-zx4ze5yw8s 9 місяців тому +5

    Yarabi nijalie lakheri unijalie ndoa uniepushe nazinaa Amiina Amiina 🤲🤲

  • @ambelekhan6548
    @ambelekhan6548 4 місяці тому +4

    Ya ALLAH niongoze yaliyo mema 🤲Nipe mwisho mwema nope rizki🤲 ya halali nakuomba mola wangu pekeyangu siwezi 😭🤲 Nakuomba Mola wangu niongoze nipe rizki niondolee hofu niondolee maradhi mimi na watoto wangu Ya ALLAH ya ALLAH nakuomba🤲🤲

  • @NayBakari
    @NayBakari Місяць тому +3

    Yarab nifungulie ‘ nifungue funguko vyote vilivyokuwepo ,mwilini Kwangu viwe vya binadamu au majini au wachawi Naomba Allha nifungulie ridhiki yangu nipe umri mlefu na mama angu,muondolee,malazi na umpe umri mlefu inshallah. 👏👏👏

  • @allthingdranabeauty
    @allthingdranabeauty 10 місяців тому +2

    Mwenyezi MUNGU Naomba uniondoshee mauchawi majini walionitumia 😢

  • @habibaamiri9786
    @habibaamiri9786 Рік тому +7

    Amiin yaarab ewe mola wangu nijaalie kila lenye kheri na Mimi niepushie kila lenye mitihani na Mimi nifungulie riziki zahalali kila kilicho fungwa kifungulie mollah wangu niondoshee kila penye ugumu kiwe kimefungwa namajini au wachawi Allah wewe ndio kinga yangu yaaraby takabar dua

  • @iradukundamimi4212
    @iradukundamimi4212 13 днів тому +1

    Yarabi niondoleye matatizokatika maisha mwangu yarabi napia mengi muno unipe moyo yasubra

  • @user-qr6wq9kk6c
    @user-qr6wq9kk6c 10 днів тому +1

    Ya Allah nakuomba uniondolee matatizo yanngu unifungulie baraka zangu inshaallah😢😢😢😢😢😢😢

  • @fadhirajuma1240
    @fadhirajuma1240 Рік тому +5

    Eeeee Mwenyezi Mungu nifanyie wepesi niweze jifungua salama inshahalah🙏🙏

  • @zuwenasalim2794
    @zuwenasalim2794 Рік тому +9

    Eee Mola wangu naomba ninapocniliza Dua hii maradhi yamgongo yanayonisumbua nipone kwa rehma zako,Mwanangu masikio yake umfanyie wepesi ya Allah apate kusikia Amiin

    • @malak-lz6kx
      @malak-lz6kx Рік тому

      Hta mm mgongo vle pia kunyonyesha allah atupe afya njema inshaallah

    • @SubiraMussa-ik2mh
      @SubiraMussa-ik2mh 10 місяців тому

      Ya rabi nakuomba niondoshee kila lililofungwa unifungulie

    • @malak-lz6kx
      @malak-lz6kx 10 місяців тому

      @@SubiraMussa-ik2mh allahumma amiin.

  • @HalimaismailySaid
    @HalimaismailySaid 2 місяці тому +6

    Hakika hii dua ni dua mjarad sana Allah atukubalie na atufungulie na kutuongoza kwa kile tunachokikusudia nilienda nikatia udhu nikanuia nikasikiliz zaid ya mara 7 wallah majb niliyapata siku hiyo hiyo mpk nililia kwa furah

  • @aminachilindima-cr6fv
    @aminachilindima-cr6fv Рік тому +2

    Yarabbi nakuomba nijarie upendo ndani ya familia yangu ,nijarie ridhiki na mjalie mwanangu apate ridhiki kwenye maangaiko yake wajalie mama na Baba yangu afya njema ,yarabbi ww ndo unajua mapito yangu amiin

  • @asnatabdallah
    @asnatabdallah 13 днів тому +2

    Ya Allah nakuomba unisamehe makosa yangu ninayo yajua na nisio yajua nakuomba unipe afya njema na mwisho mwema 🤲

  • @user-wo5nx9mq6b
    @user-wo5nx9mq6b 7 місяців тому +2

    Emola wangu niondole mitihan yenye inanikabili pamoja na maradhi nilyo nayo wewe ndie tengemeo letu sinamwengine wa kumtengemea isipokua wewe Mola 🤲🤲

  • @user-qc8pu2kz2l
    @user-qc8pu2kz2l Рік тому +7

    😮eemungu wangu usie shindwa na jambo lolote naomba mungu wangu uniodoleshe maradhi katoka mwili wangu nipate mumeo mwenye hekima napia wape wazazi wangu mwisho mwema amin

  • @user-iq5dc3bj3w
    @user-iq5dc3bj3w 3 місяці тому +3

    Ya Allahi niondeshee mitihani na unipe Kila hitaji la moyo wangu, niondeshee maradhi na unipe furaha kwenye maisha yangu

  • @rukiamohammad9773
    @rukiamohammad9773 2 місяці тому +3

    Amiin thumma Amiin Yaarab tuondoshee matatizo utufanyie wepesi hapa duniani na kesho Akhera . Amiin

  • @tatusaidy9661
    @tatusaidy9661 Місяць тому +3

    Ya ALLAH wewe ndie mtoaji wa yote basi nakuomba ya rabby niponye katika kila matatizo ninayo ya pitia nipe nuru ndan ya paji langu lauso naniokoe katika kila zito ninalo pitia mimi pamoja na familya yangu ya rabby😭😭

    • @fatumakyengya45
      @fatumakyengya45 Місяць тому

      YA Allah Nijalie Yaliyo Mema Na Uniepushe Na Mitihan ,,,Unijalie Afya Njema Na Umri Mrefu ,,,Unijalie Watoto Walio Wema Na Uwajalie Wazazi Wangu Afya Njema ,,Aman Katika Nyoyo Zayo Amiiin

  • @shakirajuma-ro9fh
    @shakirajuma-ro9fh Рік тому +3

    Yarabiy nakuomba unifanyie wepesi Kwa kila ninalo pitia yarabiy 🤲 nakuomba uwasamehe wazazi wangu zambi zao yarabiy 🤲 nakuomba unifanyie wepesi kwakila jambo 🙏 Amiin 🤲🙏

  • @user-sn7ex7qr8z
    @user-sn7ex7qr8z 18 днів тому +2

    Amin yarabi

  • @christinejohn7294
    @christinejohn7294 2 місяці тому +3

    Ya Allah nisamehe makosa yangu ninayoyajua na nisioyajua. Nifungue mimi na uzao wa tumbo langu. Kutokana na vifungo vyote vya hasad, vya majini, vya laana za ukoo na iwapo kuna sihri pia utufungue yarabbi

  • @jasminmsafiri3053
    @jasminmsafiri3053 Рік тому +4

    Amin yarab niondoshee maradh Katika mwili na niepushe husda za waja na unifungulie milango y liziki yarab

  • @subiraasadi6536
    @subiraasadi6536 2 місяці тому +2

    Yaa Allah niondolee maradh ninayoyajua nanisiyoyajua wakinge wanangu na familiar yangu nakila mabalaa nahusda na Mambo yote mabaya

  • @user-rd2jj5fm9j
    @user-rd2jj5fm9j Рік тому +4

    Amina yarabi niondole matatizo mm na familia yangu na mpeuzima mamangu muondolee maratha lnshaallah 🤲

  • @ismailkuyugu3070
    @ismailkuyugu3070 Рік тому +4

    Amen 🤲🤲 yallabi nakuomba nifanikiwe katika hili ninalosubilia ww ndo muweza wa kilakitu

  • @rizikisalim4212
    @rizikisalim4212 Рік тому +5

    Yaa ALLAH tusamehe dhambi zetu n utuwanye wapesi wenye kufanya swalah

  • @elizabethgitau-xl3mx
    @elizabethgitau-xl3mx 2 місяці тому +2

    Naomba YaAllah aniepushe na haya machungu nimepitia sana mangumu

  • @solaboss1795
    @solaboss1795 11 місяців тому +4

    Amiiin ya rabbal Allamiin Naomba kupitia Dua hii Allah Aniweke wepeesi kweny safari yangu Itimie kwa uwezo wake

  • @mwamvuaathumani4182
    @mwamvuaathumani4182 Рік тому +4

    Ya Allah taqabari Duaa ya Rabi nipe subira Kwa kila jambo mola wangu nipe kizazi chema nifanye niwe mwenye kusimamisha swala mie na kizazi changu nipe Mme Bora na mwenye hofu juu yako ya Allah😢😢 niepushie maradhi husda na kila baya litakalo nijia ya ALLAH😢😢🤲

  • @user-dz4pi6np8i
    @user-dz4pi6np8i 11 місяців тому +3

    Ameen🤲🤲🤲ya alla nijalie Kila laheri ,Kwa kazi,Kwa familia yangu ,na bos wangu anijali,na mambo yangu nifaie wepesi.

  • @monarm9363
    @monarm9363 Рік тому +4

    EEE yarrabbi tuepushie na kila la Shari na utupe kheri njema inshalla🙏🙏🙏🙏

  • @rehema5110
    @rehema5110 Рік тому +8

    amin yarab nipe wepesi kwenye maradhi yangu niweze kupona 🙏

  • @fatmakassim6726
    @fatmakassim6726 Рік тому +4

    Ya Allah naomba ujijalie mume mwenye hofu y’a mungu na anipende kwa dhat 📿🤲🏻

  • @user-py8hm7jr7l
    @user-py8hm7jr7l 11 місяців тому +3

    Amin nifunulie njia zangu emwenyezi mungu kila lenye shari niepushe nalo yarabbi

  • @HassanVicent
    @HassanVicent 7 днів тому +1

    Aamii mwenyezi mungu naombasa unibaliki kupitia hii dua

  • @MayasaOmar
    @MayasaOmar 3 місяці тому +5

    Ya allah nakuomba uniondoshe husda chuki fitna za waja unifungulie milango y riski unifungulie mlango wangu wa ndoa inshallaah uniondoshe maradhi mabaya ynayotawala mwili nnayoyajua n ni siyoo yajua inshallaah ni ww t tunaekuomba n kukutegemea n kuitaji msaada kwako allahumma amina

  • @habibaramadhani-xv2ed
    @habibaramadhani-xv2ed 8 місяців тому +3

    Alhamndulillah ALHAMNDULILLAH Shukrani Kwa Duaa.

  • @gracekalama6935
    @gracekalama6935 Рік тому +2

    Amiin thumma Amiin yarabbi ninusuru na husda za waja nipe riziq za halal kila nifanyalo liwe la kheir🤲🤲

  • @user-ob2hk3jx7i
    @user-ob2hk3jx7i 3 місяці тому +2

    Ya Allah naomba shifaa.nagonjwa sana ya Rabbi🤲kishwa kinaniuma na ninasikia kizunguzungu Kila siku.nakuomba ya Rabiii🤲

  • @zubedamohamedi753
    @zubedamohamedi753 10 місяців тому +3

    Yaa Allah niondoshee mitihan, chuki, majini, husda na unipe mwisho mwema Yarabb. Unipe moyo wa uvumilivu na moyo ya kushukuru

  • @rechomwamedimfamahrechom-ep8sh

    Amina Allah atuepushe na asali za kidunia atupe ujasir Ahifunguwe Family yang yumba yang kazi yang mashamba yang watot wang mweny kuwalahan alaaniwe mwenye Amin

  • @manenosakulo7076
    @manenosakulo7076 Рік тому +3

    We mwenyezi mungu niondolee matatizo,chuki, husda kazini kwangu nyumbani kwangu yarabi niongezee kipato Cha kheri na Halal niwe huru,kwenye biashara zangu nifanikiwe,unijalie mwisho mwema,nitafutie sehemu nzuri ya biashara,niachane nayo mambo yenye kukuuzi, Nina pikpik nauza bc niuze kwa faida na kazini kwangu niwe na Nuru, kauli na niwe na nyota kwa Kila ninachokifanya

  • @bintifikirini-wy3kc
    @bintifikirini-wy3kc Рік тому +7

    Eeeh mola wangu naomba unifungulie mwangaza katika maisha yangu, uniepushe na kila shari lolote baya lisinifikie unifungulie kizazi changu, ee mola wangu naomba ulinde familia yangu popote pale uwaepushe na kila shari eeeh mola wangu, amiin ya rabby.

  • @asiakibali1253
    @asiakibali1253 Рік тому +6

    Amiin 🙏🤲🤲nakuomba nipe kibali katika maisha yangu na Familia yangu

  • @bintshariffmuhammad620
    @bintshariffmuhammad620 Рік тому +5

    Yaa Allaah naomba unifanyie wepesi mambo yangu uniondolee dhiki nilio nazo unipe furaha na raha za dunia na akhera unitie peponi pamoja mtume SalaAllahu Alayhi wa Salam

  • @Ukhty-firdaus
    @Ukhty-firdaus Місяць тому +2

    Ya Allah nakuomba unisameh hakika mim sio mkamilifu nina kuomba radhi yarasulallah nisameh na uniondoe kwenye hii mitihani napitia kupitia dua hii kila zito liwe jepesi yarasulallah 😭hakika wewe ni mwengi wa Rehema na amani nisameh mola wangu

  • @HusnaBakari-wc7xm
    @HusnaBakari-wc7xm Рік тому +4

    ee mola wagu ninapo cikiza dua hi hunifuguwa kilamahali yarabi niogoze pamoja na familia yagu ❤❤❤❤

  • @nuruddin5074
    @nuruddin5074 Рік тому +5

    NA UMSAMEHE MZAZI WANGU MAKOSA YAKE NA UMJAALIE KATIKA WAJA WA PEPON INSHALLAH NA MAMA YANGU UMJAALIE MWISHO MWEMA NA KIZAZI CHANGU KIWE NI CHENYE HOFU YA ALLAH NA FAMIRIAY YANGU NA UWASAMEHE MALEHEMU WOTE UWAJAALIE KATIKA WAJA WEMA UWAEPUSHE NA ADHABU YA MOTO NA ADHABU YA KABR

  • @mahmoudhassanali6448
    @mahmoudhassanali6448 Рік тому +5

    Rabana atena fidunya hassana wafil akherate hassana wakina adhabanar

  • @MariamuOmary-m5p
    @MariamuOmary-m5p 21 день тому +2

    Amin 🤲

  • @asharonga6660
    @asharonga6660 Рік тому +3

    Amin yarabbi 🤲..Ya Allah nikinge na familia yangu kwa llte lile baya,husda na sihir.Nifungulie rizki mafungu tele InshaAllah.Kila nifanyalo liwe na kheri na baraka ndani yake InshaAllah

  • @simonkatunzi1776
    @simonkatunzi1776 Місяць тому +1

    Ewe mwenyenzi mungu niondole dhiki na fungulie riziki Mimi na watoto zangu niondole maradhi magumu

  • @nzitogondwe9976
    @nzitogondwe9976 4 місяці тому +3

    Yarab naomba niondolee madeni yote nibaki huru

  • @AlphonceMichael-qy6jf
    @AlphonceMichael-qy6jf 14 днів тому +2

    Amin

  • @shanymgunda7502
    @shanymgunda7502 Рік тому +4

    Yarab naomba unisimamie katika kila kitu changu naomba unisimamie katika kazi zangu.naomba unilinde na maradhi mm pamoja na kizazi changu pamoja na ndugu zangu naomba unisimamie kizazi changu katika masoma na umuondolee maradhi yote alionayo yanayoonekana na yasiyoonekana na utulinde na mabaya ya dunia

  • @FauziahNambaka-bn2ln
    @FauziahNambaka-bn2ln Місяць тому +2

    Mwenyezi mungu anitakabalie dua zangu,swala zangu,funga zangu na anisamehe madhambi zangu zote na waislamu wote duniani

  • @Coco-nu4of
    @Coco-nu4of 4 місяці тому +3

    Amin yaa rabbi 😭😭😭😭👏

  • @AminaAmina-up8ce
    @AminaAmina-up8ce Рік тому +2

    Aamin Yarabii, Ya Allah nikinge na hasad mitihan mm na family yangu isiyo na kheir na ss nibarikie kazi ya mikono yangu nifuguwe riziki za halali inshaallah na unifanyie weps kila jambo lenye kheir na mm Aamin Yarabii

  • @ZainabuZaijath-tp1wj
    @ZainabuZaijath-tp1wj Рік тому +4

    Ya Allah 🤲nikizie haja zangu zote ,ya Allah naomba ulinzi katika maisha yang, ya Allah naomba mafanikio ya dunian na akhera, ya Allah nipandishe darja, ya Allah nifungulie milango ya ridhki ,barka ,neema na mafaniko

  • @MwanapiliAthumani-zp1bs
    @MwanapiliAthumani-zp1bs Місяць тому +3

    Yaraby nakuomba unifanyie wepesi kwa kila njia kupitia dua hii insha Allah

  • @zahraabdul9652
    @zahraabdul9652 Рік тому +3

    Nakuomba hitaji la moyo wangu unipe kwani ni wewe wajuwa kila maombi ta siri subra unipe kwa maisha 🤲🤲

  • @Qian-ei6lx
    @Qian-ei6lx 3 дні тому

    Aminii🙏 Ewee Mwenyezi Mungu mpunguzie adhabu ya kaburi baba ang ,,

  • @monarm9363
    @monarm9363 Рік тому +3

    Amin amin amin eee yarrabi wetu tujalie dua hii ituondoshee husda zote tulizotegewa na utuponye sisi waja wako🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @Atb300
    @Atb300 Рік тому +76

    Amin Yarab Al-Amin niondolee na mitiani husda na kila lilokua Baya mbele yngu nifungulie rizki ndogo ndogo na kubwa kwani wewe ndo kimbilio lngu Hakuna wa kuabudiwa zaid yko yaah Allah🙏❤️

  • @ruqayaissa990
    @ruqayaissa990 Місяць тому +1

    Amiin amiin amiin 🙏 nakuomba unipe afya njema nitimize ndoto zangu niondolee na huzuni😥