WAPE TABASAMU | MC Mboneke, Mr. Mwanya watunishiana misuli kwa maneno

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 19 чер 2024
  • Tazama huu ushindani wa maneno kati ya wahamasishaji hawa wawili, MC Mboneka wa Team Dickson Job na Mr. Mwanya wa Team Kibwana Shomari.
    Ni kuelekea tamasha la #WapeTabasamu litakalofanyika Juni 22 mjini Morogoro.
    Tamasha la Wape tabasamu litafanyika katika dimba la Jamhuri Morogoro, Jumamosi ya Juni 22 kati ya Team Kibwana dhidi ya Team Job.
    #WapeTabasamu
  • Спорт

КОМЕНТАРІ • 3