MC MBONEKE AMKALIA KOONI MR MWANYA/“HAJUI MPIRA/SISI NDIO MABINGWA/MUONENI HUYU”

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 29 чер 2023
  • Leo ndio Leo 🔥 ndani ya Mkoa wa Morogoro Wadau na wapenzi wa Soka Watashuhudia Burudani safi ya mpira wa Miguu katika Dimba la Jamhuri 🏟..
    Ni Mchezo wa Hisani WAPE TABASAMU 2023 kati ya TEAM KIBWANA SHOMARI Vs TEAM DICKSON JOB
    ⏰ Kuanzia Saa 08:00 Mchana
    JE, Unadhani nani ataibuka Mbabe 😊⁉️
    Endelea Kuwa karibu na Mpenja Tv kwa Updates Zaidi.
  • Спорт

КОМЕНТАРІ • 3