Vitoto vya sikuhiz havijui Ay ndio msanii wakwanza kuhit East africa wakati ule akina nameless wana zingua zingua yeyendio wakwanzapia kua na PC yakenya amani naniwakwanza pia kupaa angani kwenda kuanominated chanel O , mtv. Naniwakwanza kuoa Rwanda kwawasanii. HUYO NDIO TOYOYO A.K.A AY
Utofauti wanauleta ni kwamba kipindi hicho chat kina AY kulikuwa hamna mambo ya mtandao kwa sasa mtu anajivunia kuwa kwanza sababu ya utandawazi ndo maana inakuwa ivo
AY amekuwa wa Kwanza ila haikuwa documented.. ndio kosa lake..amekuja kusema baada ya JUX kuweka historia yake wazi. Hivyo, kosa la AY kuwa msiri wa mambo yake... sasa hakuna hata MWANDISHI alikuwa anajua... hapo mzembe yeye AY.. JUX. ameamua kuweka wazi hivyo sio kosa
Hajawai kuperfom ulaya america canada kenya uganda oman ruanda congo kama siyo diamond asingeparfom dubai sifa nyingi hana lolote
Bilashaka wewe ni mtoto wa 2000
Jux safari zake ni china tu mwanafunzi alikuwa anasoma mshamba wa kusafiri ulaya dubai marekani ajawahi diamond kamtoa kidogo maneno mengi
Vitoto vya sikuhiz havijui Ay ndio msanii wakwanza kuhit East africa wakati ule akina nameless wana zingua zingua yeyendio wakwanzapia kua na PC yakenya amani naniwakwanza pia kupaa angani kwenda kuanominated chanel O , mtv. Naniwakwanza kuoa Rwanda kwawasanii. HUYO NDIO TOYOYO A.K.A AY
😂😂😂😂 vipumbavu mno.Masta apewe maua yake
Huyu jux yeye ndo alicho bakisha kujisifu sifu tu kwenye mitandao msenge huyu
Ay ndo aliyetusua kivyake kimataifa na akashuti video za pesa ndefu sema wasanii wa sasa wanapenda sifa sana
Yesaya 👑
That girl is beautiful 😍❤️
Millard you are so wise man!!
Mmb vp
Jux bange nyingi umri mdogo 😂😂😂
Hiyo beat indigo asee noma sana apo sawa
X blaster na Ramy Ongala R.I.P kumbukumbu Ni lazima ziwekwe, wato siku hizi wanaona kama wamemaliza
Frida Huna akili kwel ety naruka pale 😂
Daah awa jamaa napenda sana kuwasikiliza wanajua ni akili mingi asee
2018 is just recently jux should sit his asss down
Omg😳😂
@milladayo 😂😂 Huyo Jux Ndio ni kweli 14:46 Alikunywaa Zanzi Yaan yeye ndio Awe Wa KWANZA hehehehe Du
Wa. Kwanza drop 💧 like
Lava lava mbona kapiga show kisa mondi ,kibango ila yupo kimya😂😂😂😂
Ata tz apati shoo au anapiga shoo kuzimu😂😂
Utofauti wanauleta ni kwamba kipindi hicho chat kina AY kulikuwa hamna mambo ya mtandao kwa sasa mtu anajivunia kuwa kwanza sababu ya utandawazi ndo maana inakuwa ivo
Kaka Millard your sister Frida she's so cute I can marry her is agree, love from Cape Town
Huyu jux hajawai kupafom nje tanzania na diamond ndiyo kampeleka dubai
kule China ulinda wewe au
Ila matangazo ya skuiz😂😅naona mmeamua kutuonesha juis pamoja na mapaja
Diamond unatuaharibia kijana wetu
Washambaa tu,na pia hawangalii historia
Huyo jux yeye aendelee tu kuvaa mabuga na mwenzie diamond miguo mikubwa utafikiri buli cheka 😂😂😂
😂😂😂😂😂😂bulicheka??
Buli cheka au tucheke😂😂
Hamuezi kumshusha mondi hata muungane 😂😂 kwani mkifanya ivyo maana yake nini , hamuezi
Fridaaaa
Ay alewe kwamba alijitenga na Tz akaamia S.A so asituvuruge
chama cha mima laya inayo paka beka
Vanesa mdee ndiyo alimpeleka burundi kwa hiyo asilete sifa za kijinga
Hicho ni Cha chama Cha MAKURUMBEMBE
makuru ni nn
AY amekuwa wa Kwanza ila haikuwa documented.. ndio kosa lake..amekuja kusema baada ya JUX kuweka historia yake wazi.
Hivyo, kosa la AY kuwa msiri wa mambo yake... sasa hakuna hata MWANDISHI alikuwa anajua... hapo mzembe yeye AY.. JUX. ameamua kuweka wazi hivyo sio kosa
Kuna vitu sio habari lakini wapenda Kiki wanafanya ni habari ili waonekane wakubwa.