We aly kamwe pamela yuko na mavala tv leo anakulilia ulimwahd kwenda nae morogoro alf haujatimiza. Alf huyo simba juu ya mti alipo ona kombe alitabasam et😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Inawakilisha sio inawasilisha....Yote kwa yote hongereni kwa ubunifu uliotukuka. (Kwakua tunatangaza utalii basi tujitahidi kiswahili tukifikishe kwa usahihi). Kuwasilisha ni neno sahihi la kiswahili ila maana yake sio hiyo uliyokusudia. Hapo ulitakiwa kusema kuwakilisha....Kuwasilisha maana yake ni kufikisha kitu chochote mahala fulani.
Haha😂😂😂 hapo kwanza nicheke yanga washamba nyie simba wa mjini et?? Vp zile pesa za mchicha na boxer mlishalipa au ndo kwako hakuna furaha unakuja kuitafuta kwa jirani??
Wewe jitafakar....kuna game ya charity(kurudisha Kwa jamii) hakimi nae kama Mchezaji mkubwa atahusika siku hiyo kama kivutio pesa itayopatikana itarejeshwa Kwa jamii kosa liko wapi hapo????
Lakini na wewe alikamwe inabidi upunguze utoto hata Mimi ni yanga lakini umezidi kufanya matumizi yasiyo kuwa rasimi na viongozi WA kuangalie hizo NI ada zetu unafanya utalii kwa kihezo kwamba unazungusha kombe kwa nini hulipeleki hata gombe huko kigoma au mahale punguza utoto
mzee hizo gharama zote ziko sponsord na CRDB sio pesa ya club hizo ni offer za Team bingwa hata ingeshinda team nyingine wangefanya hivyo, wewe huwazi kwanin hawajabeba kombe la premear league? (NBC)?
mnaojua kiswahili sawa ,nafurahi kuwa mmeelewa ali maanisha nini na sio ushamba au uchungu wa matumizi ya ada zao asemao Enock Kombolela na musarama 7692 wanaokalili .maisha.
Leo me was kwanza bhn nipen like zangu mwananchi mwenzenu kahwa
Et kombe lipite lisalimie wanyama mbalimbali dahhhh nimecheka sanaaaaaaa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌
Tanzania bila yanga haiwezekani
Hakuna ushamba ktk maisha, maisha ni mtazamo
Brilliant man
Inshaallah Allah aijaalie timu yetu mafanikio zaidi
Daima mbele nyuma mwiko 🎉🎉🎉
Kama nyie mlipeleka kifurushi cha nguo mlima kilmanjaro, mnaona ushamba kupelekwa kombe serengeti?.
Hongera semaji Ali kamwe 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Hongera semaji Ali kamwe kwa ubunifu
sema hilo kombe zuri xan
Yanga
We aly kamwe pamela yuko na mavala tv leo anakulilia ulimwahd kwenda nae morogoro alf haujatimiza. Alf huyo simba juu ya mti alipo ona kombe alitabasam et😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Yanga 🎉🎉🎉
Safi sana
Kila la kheri 🎉🎉🎉
Yanga 🎉🎉🎉🎉
Ally Pamella analia kwaajili Yako aisee 🤣🤣🤣Fanya mchakato Mkuu 🙏🙏🙏
Utani utani mara hakim anakua mwananchi
Hongera Sana semaji letu naona unatamba na kombe lako mwenyewe
Well said 🙏🙏🙏
Umoja wetu nitishio kubwa Sana Yanga oyeeee sema kamwe
Ila kamwe unawakela ww duuuuh
Kilalakheir Viongozi wetu
💛💚💛💚💛💚💛💚
yan ally et my wetu alikua anaogop😂😂😂😂😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Yanga hoyeeeee
Nimechekaa ahahahahahahah uuuwiiii huyo simba alivopanda kwenye mti 🤣🤣🤣🤣
Mmetisha yanga hamna jambo dogo
Yanga hatuna dogo ss
Hili kombe kweli ni Mali ya Yanga ndio maana lina umbile la Y
Hatar kweli l kweli hapa msemaji tumepata
Msemaji hatar sana
Kazi wanayo upande wapili
Na Bado Bugati ndani,mbona msimu huu kazi wanayo
💛💛💛💚💚💚
Hauna baya Ally kamwe
🔥🔥🔥
Kuwakilisha kufanya jambo kwa niaba, kuwasilisha ni kukabidhi iwe ripoti au taarifa
Inawakilisha sio inawasilisha....Yote kwa yote hongereni kwa ubunifu uliotukuka. (Kwakua tunatangaza utalii basi tujitahidi kiswahili tukifikishe kwa usahihi). Kuwasilisha ni neno sahihi la kiswahili ila maana yake sio hiyo uliyokusudia. Hapo ulitakiwa kusema kuwakilisha....Kuwasilisha maana yake ni kufikisha kitu chochote mahala fulani.
😂 wakae kwa kujishikilia ..unaelewa hiio kitu ukiwa kwa gari vile itakuwa
Nawaona makolo wanavyoteseka juu miti baada ya kuliona kombe duhh Ally unajua kuwakera makolo😂😂
😂😂😂😂😂hapo kwa mai wetu duuh😂😂😂😂wewe kamwe ww
ILA ALI KAMWE😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😁
Baba Pamela 😂😂😂😂
😂😂😂😅😅
Ukianza na kubwa usishangae utaishia na dogoooo
Leo nikukosoe semaji, sio kuwasilisha ni kuwakilisha. 😂😂😂
Utopolo washamba sna
Haha😂😂😂 hapo kwanza nicheke yanga washamba nyie simba wa mjini et?? Vp zile pesa za mchicha na boxer mlishalipa au ndo kwako hakuna furaha unakuja kuitafuta kwa jirani??
Kupeleka matambala mlima Kilimanjaro ndo ujanja??? 😂😂
😂😂😂😂 washamba waloo peleka matambala mlima Kilimanjaro wao walipeleka matambala wenzao wakapeleka kombe we huwogopi 😂😂😂😂😂
Tatizo mashabiki wa simba wamekaa kiroho mbaya.Mtu mwenye roho mbaya huwa hafanikiwi hata siku moja
yupi mshamba kati ya aliepeleka furushi la maronya rona mlima kilimanjaro, naaliepeke kombe😂 twende apo
Kombe la serikali timu ya serikali mpaka league pia ..... Akija mbappe mtamuonesha hadi matako 😂 huyo akim mkamuonesha kombe kama kivutio
😂😂😂😂😂acha wivu www utazeeka vibayaaaaaaa😅
Huo sio ubunifu NI matumizi mabovu ya rasilimali za klabu
Wewe jitafakar....kuna game ya charity(kurudisha Kwa jamii) hakimi nae kama Mchezaji mkubwa atahusika siku hiyo kama kivutio pesa itayopatikana itarejeshwa Kwa jamii kosa liko wapi hapo????
Lakini na wewe alikamwe inabidi upunguze utoto hata Mimi ni yanga lakini umezidi kufanya matumizi yasiyo kuwa rasimi na viongozi WA kuangalie hizo NI ada zetu unafanya utalii kwa kihezo kwamba unazungusha kombe kwa nini hulipeleki hata gombe huko kigoma au mahale punguza utoto
Wewe ndo unaona utoto, fikra zako ndogo.." At first you have to risk "
Hiyo ni biashara wewe na ukae ujijua hapo Crdb wamedhamini hiyo tour ndio maana anawatangaza sana.
mzee hizo gharama zote ziko sponsord na CRDB sio pesa ya club hizo ni offer za Team bingwa hata ingeshinda team nyingine wangefanya hivyo, wewe huwazi kwanin hawajabeba kombe la premear league? (NBC)?
alafu Ally kanwe ni Balozi wa CRDB , naona tatizo sio wewe aoo tatizo ni shule
Kama unaona anazitumia vibaya usilipie kadi yako 😂
sijawahi kuona tokea nizaliwe mshamba kama Al kamwe yaan kusemea mpira hajui amekaa mambo yake kama ya mke mwenza,
Umepungukiwa akili wewe