PRAISE TEAM TAG FOREST YA KWANZA FT AMBWENE MWASONGWE & BOAZI DANKEN - LANGO
Вставка
- Опубліковано 13 січ 2023
- #PraiseTeamTAGForestOne
Wimbo huu wa Kitabuni umetengezwa upya na kuimbwa na Praise Team TAG Forest ya Kwanza.
Audio: Samuel Mboya
Video: Steve Tobs Media
Subitittle: Jagali David/ Golden Mwakatobe
Hongereni saana kwa huduma
Lango ndiye Yesu 🔥🥳 barikiweni sana
Mungu awabaliki sana 🙏
Hii nayo ameningusa Mungu Anawatu
Mungu atupe neema ya kuvipiga vita vizuri vya Imani na tuishindanie imani
Hakika nitatua mizigo niliyo ichukuwa kwanza kisha nitavikwa uzima, ooh haleluya.
Ameeeeeen
Wooooow Saxophone Dickson Maige Nakufurahia sana!
Hongeren kwa vipawa mlivyonavyo waimbaji mzidi kueneza lnjili kwa kupitia nyimbo
Lango ndiye yesu kaz nzuri watumish barikiwa sana 🙏🙏
The anointing in the Lords kingdom is just amazing. More grace to the team
Am here again to give you a thumbs up... Team... More love from Kenya🇰🇪
Hallelujah mbalikiwe Sana wapendwaa kwa Kaz njema..
@pundawayesu
❤❤❤
Mungu awabariki sana. Hakuna maisha mazuri kama kumwabudu na kumsifu Mungu.
Beautiful song 💯
MBARIKIWE sana lango liwazi kweli 🙏🙏🔥🔥
Lango li wazi kweli. Asante Yesu
MUNGU awabariki sana,, mnafanya kazi njema mnoo
Mungu wa mbinguni awabariki sana kwa kazi njema
Barikiweni Sana. Mungu awatende mema. You are a blessing to many🙌
Waoh
I like the combination of the sound. May good God bless you 🙏
Amina kubwaaaa
WOW LANGO N YESU
Mbarikiwe mnoooooo
A such blessing sound from Bebycia... Am blessed with the song👏🏽👏🏽👏🏽🙌🏽🙌🏽
Wimbo wangu Pendwa
Nawapenda Sana
You're all blessed.
Wow, powerful praise. Thank you for blessing us with this powerful song
GLORY TO JESUS
nice one
Really waiting for that moment.
Ameeen
Wooooowwww
Amen 🙏
Hallelujah 🗣🗣🗣
wooooow
❤️❤️
😘😘
Spirit inspired song... Blessed team