Eunice Ferdinard - Twakuamini Yesu
Вставка
- Опубліковано 6 лип 2024
- Yeremia 32:27
Nguvu na Uweza wa MUNGU katika mengi aliofanya, lakini pia Uaminifu wake katika kulitimiza Neno lake unatupa ujasiri wa kumuamini YEYE katika mambo yetu yote.
Video editing and capturing:- @stenystudios
Audio Production and Mixing:- @justinrider155
Music director:- @justinerider155
Brass:-@ johnntete
Solo and rhythme :- @josiah_joxfox
Drums:- @Ibrahim_m_mwakisole
Bass:- @amos_bevin
Back Vocals:- VLC PRAISE TEAM
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu nabarikiwa na kazi hii njema
Utukufu kwa YESU. Uzidi kubarikiwa my dear🙏
Hakuna neno gumu asiliweza Bwana....ubarikiwe dada Ang your born to shine
Ni kweli...Amen 🙏🙏ubariwe zaidi
Wooooooow that's my baby sisy. Tunamtukuza Mungu kwa hatua hii❤❤❤
@@miriamsima4009 hallelujah!...
Agape love nilifall in love with lkn hii am obsessed with it
Na wewe Miriam hiwa unaimba nakujua
Uko wapi mbona haukuja siku yenyewe
Wow Glory be to the most High🙏🏾🙏🏾
@@luciusdeogratias5519 hallelujah!...
I was just randomly scrolling and i found this beautiful song.. safi sana mdogo wangu. Big up👍❤
Congratulations my sister
@@goldie173 glory to GOD
Glory to God❤🙌
Ameen
Hongera sana mdogoangu
@@esteriabaturulimi3149 jina la BWANA libarikiwe
Amen.
May God bless you abundantly
@@innocentnnko2292 ameen
Ubarikiwe kwa Wimbo mzur Utukufu kwa Mungu
@@rwizadiocles haleluya!
❤❤❤❤
❤❤❤❤
Woooow hongeraa 🎉🎉🎉
YESU azidi kuinuliwa zaid🙏🙏
Ameeeen🔥🔥🔥🔥🔥🙏🙏🙏🙏🙏
🙏🙏🙏🙏🙏🙏
May GOD Bless you more Minister Eunice Gather with your team 🙏🙏
Amen.. Be blessed pia🙏
Glory Be To The Most High God
Mungu awabariki sana
Wimbo mzuri sana na una uponyaji ndani
Yesu Twakuamini🙏🏻
Amen jina la BWANA YESU litukuzwe
Mungu awabariki sana ❤️💯👍
Ameeen...ubarikiwe pia
Ameen.. ubarikiwe pia
Hongera sana Mwinga ,Mungu azidi kukuinua na kuoanua mipaka yako..GOOD song.
Utukufu kwa YESU. Nashukuru sana🙏
Mungu awatunze Kwa utukufu wake mwenyewe
Haleluya🙇♂️🙏
Hongera Saana Rafiki Yangu❤
Utukufu kwa MUNGU. Asante sana rafiki yana❤
Hongera sana my beautiful angel baby sis nyimbo hii imeniinua Tena Kwa mara nyingine
Utukufu kwa YESU. And thank you sisy
SAFI SANA KEEP UP NA MUNGU APOKEE UTUKUFU
Haleluyah!🙏🙏🙏
Nimebarikiwa na wimbo huu
YESU azidi kutukuzwa🙏
Hashindwi na lolote... Barikiwa sana
Ameen ni kweli🙏🙏🙏
Be blessed Eunice
Amen 🙏be blessed too
Ameen. May God bless you abundantly
Ameen. Be blessed too🙏🙏
You bless my heart,so nice
Glory to the living GOD. Thank you
It's a great work dada Eunice ❤,keep up the good work. I'm proud of you sanaaa tuu🎉🎉🎉🎉
@@esthertimothy...4044 jina la BWANA libarikiwe. Asante mdogo wangu
@@EuniceFerdinand AMEN KUBWAA
Wadau wa instruments ❤❤❤
Utukufu kwa YESU🙏.
Wimbo mzuri eunie🫶🏽
Giiirl thank you.❤❤❤
Glory to JESUS
Perfect ❤❤🔥🔥🔥🔥🔥
Utukufu kwa YESU
🎉🎉🎉🎉🎉🎉mung awabariki xnaaa❤❤❤
@@RobertWalter-c8o aameeen🙏🙏
✍️✍️✍️✍️✍️ 👊👊👊👊
Glory to the living GOD😊
🎉🎉🎉🎉❤❤❤ wimbo mzur sana
@@davidsabaya9362 jina la BWANA libarikiwe
Hongera kwa kazi njema madam, Mungu aikuze na kuieneza kote ulimwenguni. Lakini je, wewe upo kwenye team ya essence of worship au nakufananisha??
Jina la Bwana litukuzwe. Sio mimi rafiki umenifananisha