Praise Team TAG Forest ya Kwanza ft John Lisu - UTUKUFU (Official Live Video)
Вставка
- Опубліковано 20 тра 2019
- #PraiseTeamTAGForestOne #JohnLisu #Utukufu #Gospel #NgommaTz
Utukufu (live recorded song) sung by Praise and Worship team TAG Forest One Mbeya featuring Minister John Lissu from Tanzania.
The song UTUKUFU is among the nine songs in a live recorded DVD Album titled UNAISHI.
Be Blessed.
The DVD is available For TSH 5000/=
Call #+255655871759 or #+255756801416
Kindly Share, Comment and don't forget to subscribe the channel.
Video: stevetobs media
Audio: Frester Records (Masanja)
watch "peke yako" here: • Praise Team TAG Forest...
Watch Yesu wa Thamani here: • Praise Team TAG Forest...
Watch Pokea Sifa here; • Praise Team TAG Forest...
©2019 Administered by Ngomma VAS Limited.
Gonga like km unaamini bwn ndie wakupewa sifa
Kweli kabisa naaamin hivyo mungu anafurahi Sana waimbaji n wengi wanaimwia
👍👍
Napenda huu wimbo sana sana🙏🙏🙌🙌🙌
Utukufu kwako Yesu
Utukufu upewe BWANA na heshima ni zake wastahili wewe tuu umezungukwa na sifa
Ukuwaji wa huduma hizi za kusifu na kuabudu inchini kaka John Lissu unahistoria Mungu aendelee kukuimalisha, kukuinua na kukubariki kiroho na mwilini amina.
Hakikaa mtumishi na vijana wanao fanya hizi live performance wanapaswa kuutambua mchango wa John lisu kwasababu ni legend
Waooo waoooo Nabarikiwa sana, Mungu azidi kuwainua. Hakika wimbo huu unanifanya nijisikie kumwabudu Mungu muda wote.
Mmenibariki moyo wangu wapendwa hakika Mungu amezungukwa na SIFA
Jamani natamani sana kuhudhuria kwenye hizi huduma, huwa mnafanya wapi na lini
Hallelujah 💃💃yesu umezungukwa na sifa🙌🙌🙌
Umezungukwa na sifa wastahili heshima
The backing vocalists did their homework excellently!...kuanzia 4:40 solo guitarist alinyimwa sauti sound engineer njoo ule kiboko kimoja kkk
Raha sana jaman mmeimba vizuri sana
Baraka 🙏
Sifa na heshima na adhama zinawew baba utukuzwe
So sweet and powerful
Bwana amezungukwa na sifa🙏🙏
Mungu awabariki wapendwa kwa kazi nzuri.... Tunaisubiri UNAISHI
Mnajua jaman duuuu!! Hadi raha
Nzuri sana
Hongera sana yaani mungu awabariki
Bwana awabariki mnoo
Mungu awabariki sana kazi njema sana awainue zaidi
Amen blessed after listening to this song
Kawimbo katam, mbarikiwe
Asanteni mnazidi kutubariki...Mungu awabless sana kutoka Nairobi kenya
Kazi nzuri nyimbo ina upako
Napemda San jamn daaaa
The song is sweet
Mbarikiwe
Saf sana
💪💪 powerful enough
mmenifanya nitamani kumuimbia bwana
Much love from Kenya 🇰🇪 ,am immensely blessed
Ameen.. kindly share and get blessed!
Amen be blessed my friend
Kaka aliyeanzisha ameimbisha vema kabisa ILA INGEPENDEZA ZAIDI ATAMKE MANENO KATIKA UHALISIA WAKE KULIKO KUTAMKA KATIKA NAMNA KIINGEREZA
Hakuna sehemu walipoimba kwa kiingereza
ok
Wakufiwa ni Mungu pekee hastahili yeyote kuutwaa utukufu huooo
Mungu awabariki Sana waimbaji
Mungu wetu anastshili sifaa,,,mubarikiwe sana wana wa Mungu
Mungu azidi kuwabariki
wastahiri wewe tu Bwana
Mungu awabariki kazi nzuri
Benja agiza Pepsi nakuja lipa.. Mmenibariki One Baba🙌
John lissu wakiwa 200 Tanzania kutakuwa na mlipuko wa injili usio kawaida huyu jamaa ananibariki sana am so proud to be Christian
Its blessing
It blesses so much touched
barikiweni sana wana wa Mungu hadi mshangae. nasubiri muutupie wimbo wa UNAISHI. Huwa unanitoa machozi kila mara maana unanifanya niutafkari ukuu wa Mungu kwa hali ya juu sana. weka like hapa kama na ww unausubiri wimbo huo.
ameen, barikiwa pia.. soon tutauachia, cha kufanya subscribe kwenye Channel ili upate notification. ila kwa sasa unaweza pata DVD, piga 0655871759
Mungu apewe sifa
Mungu awabariki .....kazi nzuri tunawaamini tunawapenda pia
Mko vizuri
Mko vizuri
Nzuri sana...Be blessed watumishi wa Mungu
Umezungukwa na sifa 🙏🙏
Good werk
I attended heaven gate prayer mountain...i heard hii song mara ya kwanza ikabidi nitafute
BWANA YESU anastahiri Sifa na utukufu
🙏🙏🙏
Mbarikiwe sanà huduma yenu n njema
Nce song
Am so touched
Brother Onesimo be blessed more i see there at the top more than sky
Mungu awabariki sana. Kuna raha katika kuifanya kazi ya Bwana
Utukufu na heshima apewe Bwana Anastahiri......Bro Onesmo & Lisu....with all team be blessed kazi nzuri hakika Glory to Living God
Grayefully
Benjaaaaaaaa bass. Daaah jaman nmefanya kaz nzuri sana
Sifa na utukufu ni vyake Bwana,,hakika anastahili vyote
Mungu utuongoze sawa sawa ili tumtumikie kiuaminifu..
am filling blessings 🙏🙏
Hallelujah!!!
Utukufu upewe bwana,na heshima ni zako, wastahili wewe tu bwana ,umezungukwa na sifa,,........Lord receive my praise.
AMEN...
Hongereni Sana......wimbo mzuri
Amazing 😊
Ooooh
Nimeipenda
@@lilianmwalo9397 im blessed wid this song
@@lilianmwalo9397 im blessed wid this song
Mbona sijaizoea hii ya John Lissu? Kama alikuwa ameimba sana
Kazi nzuri saana hakika utukufu ni wake aliye juu. Good song and so powerful
Huu ndio mlipuko wa sifa😍😍,, UTUKUFU APEWE BWANA,, HAKIKA AMEZUNGUKWA NA SIFA!! MBARIKIWE SANA ONESMO, LISU NA TEAM NZIMA 🔥🔥🔥
nabarikiwa💯💯💯💯💯
Nimebalikiwa sana kwakazi yaBwana
Very blessed 🙏
Haleluya Jehova utukufu n wako milele..stay blessed
All the praises,honour and worship go to you because you deserve it almighty God.Am blessed when I listen to this song
🔥🔥🔥
Am blessed
It's such a nice song
Utukufu
Hakika utukufu na sifa ni za Bwana mkubwa YESU nabarikiwa sana na nyimbo za kumuinua MUNGU aliye juu mbarikiwe sana sana watumishi wa Bwana muzidi kuongezeka viwango zaidi na zaidi!
Awesome
Mbarikiwe na Bwana kwa kazi mliyojitoa ila tu msisahau kuwa majivuno hayana faida yoyote ile...na pia Fanya kazi kwa moyo wala si kwa kuangalia binadamu.Amina
Amen.. barikiwa sana
Wewe tu ndio unastahili, Umezungukwa na sifa bwana, 🎉🎉❤❤ kudos TAG ft John Lisu. Nyinyi ni wa baraka sanaa
😇😇😇
Praise team TAG forest ya kwanza mnanibariki mno.Mungu azid kuwainua.
Ameen.. barikiwa pia
Hakika BWANA amezungukwa na sifa
Mko vizuri TAG praise team💝💝💝💝💝
nice song ur voice's are perfect may god bless u guys keep it up
haleluja am blessing with this powerful song
Awesome song
Umezungukwa na sifa.... 🔥
Woooh Nice &powerful work.I'm real blessed.@ Sanga Robby
🙌🙌
mungu awabariki kazi nzuriiii
In the middle of this yr 2020 I have across come this song am truly blessed thanks much love from 🇰🇪
Grt
Waooooo so nice
Wow. Blessed team . Glory to God
Amen
Bwana Yesu amezungukwa na sifa
This song blesses me a lot. Blessing shower to all participants, thank u for taking as closer to the Spirit with your singing👏👏
God bless you
Hallelujah
🙌