KKKT Kariakoo Praise and Worship Team - ' EHH YESU ' ( Official Live Video )
Вставка
- Опубліковано 13 січ 2024
- Luka 18:19
19 Yesu akamjibu, “Mbona unaniita mwema? Hakuna mtu aliye mwema ila Mungu peke yake.
TITLE : EHH YESU
SONG WRITER : KARAKOO PRAISE AND WORSHIP TEAM
PRODUCER: MWALIMU JAMES MBILIZI
VIDEO PRODUCTION : EMARK STUDIOS
AUDIO PRODUTION AND MASTERING:ABBY PRODUCTION
MUSICIANS
DRUMMER : BRIGHTON
BASS GUITAR: GLORIE BASS
SOLO AND RYTHM GUITAR:MWALIMU JAMES
PERCUSSION : MR CHITIME
AUX KEYS : ELIYA KEYS
FIRST KEYS AND MUSIC DIRECTOR : JOSHUA
BACKUP : kkkt kariakoo praise and worship Team
LEADER : WNNIE & NORBERT
SOUND SYSTEM : SOUND SOLUTION INTERNATION
LIGHTS :DAVID SENGATI
ALL RIGHT RESERVED 2024
KKKT KARIAKOO PRAISE AND WOSHIP TEAM
Safi sana nyimbo nzuri sifa ilifura utukufu wa Mungu sanaaa
Wow the greatest song ever!!!Gooodos.
Yaani binadamu wengine nashindwaga kuwaelewa...mtu anakaaje chini wakati wa nyimbo za sifa kama hizi...ustaarabu mwingine unaboa kwa kweli
Wanatunza upako
Mungu atawapokonya hao waimbaiji... Na imagine wanaketi viti vya mbele
@@princepeter679 utadhani walienda kutumbuizwa!? Wanajipa ubabe mwingi hadi kwenye nyumba ya Mungu.
@@musicschool_tz7014 😂 hata mfalme Daudi pamoja na ukwasi na ufalme wake wote bado alimchezea Mungu wake. Hao waliokaa mbele huenda ikawa hata ubalozi hawana kisha wanajiona wastaarabu sana. Inakera yaani!
Kitu mimi nimeshindwaga ni kuacha mziki umwangike chini
Waoh
Bassist on 🔥🔥🎉 keep it up
Glorie Bass🙌🙌🙌
Uwiiiiii Moto ni mkali 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥👏👏🔥🔥👏👏👏❤
Enyi watu wa kariakoo Mungu amewabairki mno
Hakuna Yesu, for sure!
Dah basist hapana kwakwel dah umetishaaaaaaa🎉🎉🎉🎉
Wow so lovely Ningekuwa hapo Ningecheza adi wangesema huyu dada vipi kiukweli Napenda 🥰
Safisana
Hao watu walioketi hapo mbele...ni wagonjwa ama shida yao ni nini...si basi watoke nje...
The bassist🔥
Hakika hakuna kama yeye Yesu
Wengine wako sababu wapoeshe bt mtu wangu ulipata japo hii nafasi fanta bidii zaidi hili wakilipwa kiwango chao cha kujituma na ww uwe hapo na ww hulipike😂😂😂😂🎉
Mungu azidi kuwabariki na kuwainua!!! Um blessed kwakweli. Kazi nzuri
nyie watu wa Mungu nawapendaje
Kiukweli jamani sina maneno hapo pongezi tuu👏👏👏
Wimbo mzur sana Unanibariki sana
Powerful song am blessed in deed
Niko nawapongeza KwA kaZi zuri
Kazi nzuri sana be blessed alot
Kazi safi sana mbarikiwa
Moto hakika na hakika
I wish this was in Kenya kila mtu angekua ameamka na kuchangamka
The bassist ako levels. 👏👏👏👏👏 The solo guitarist 👏👏👏 a nice composition.... All the best team
Nimebarikiwa sana hongereni kwa kazi ya Mungu
Mbarikiwe
Mungu awabariki sana ❤🎉🎉
Hongereni sana,,,, Utukufu kwa Mungu.
Drummist 🎉Soloist wafungi 🎉🎉🎉🎉aaah mubarikiwe sana
💯💯💯
Oooooh Halleluya 🙌🙌
Bassist 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Safiiiiii❤
❤❤ MUNGU awabariki Kwa kazi nzuri sana
Waoh wimbo mzr sana
Ee Yesu hakuna kama wewe. ❤
This is fireeee
Wimbo mzr sana
Kazi Safi nabarikiwa nikwa +254 Ke🇰🇪 more Grace to the entire team
Ubarikiwe sana mtu wa Mungu
Tumpe Mungu utukufu kwa kuiwezeaha kazi hii
Ooh hallelujah mtu wa Mungu mkuuu
Safisana
Wow the greatest song ever!!!Gooodos.
Wow the greatest song ever!!!Gooodos.
Wow the greatest song ever!!!Gooodos.