LANGO - Praise Team TAG Forest One ft Ambwene Mwasongwe & Boaz Danken

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 227

  • @kuyandaskitchen4067
    @kuyandaskitchen4067 3 дні тому

    Hakika lango liko wazi, lango hilo ni Yesu, wote waingie kwake

  • @ericmetta7883
    @ericmetta7883 3 роки тому +6

    Tuko mission kwaajili ya kuvuna nafsi huku Kipunguni daresalaam..
    Liko lango wazi.. kusikiliza wimbo huu.. umetibua uwepo na nguvu na Imani kwamba liko tumaini na Kipunguni Yesu Kristo ni Bwana wao.. Haleluyah

  • @kisaipopo1176
    @kisaipopo1176 2 роки тому +1

    Huu wimbo umenipeleka kwenye maombi moja kwa moja na nilikua mkavu rohoni!! 😭😭
    Uwepo wa MUNGU umetamalaki mahali hapa, ninaurudia na kuurudia na kuurudia!!
    Jesus I bow before you oh Lord. Ninatua mizigo iliyonizonga eeh BWANA 😭😭.

  • @directondellu2336
    @directondellu2336 3 роки тому +2

    Moyo wangu ukajawa na furaha na amani na naimba huku nafurah the best song 🥰🥰🥰🥰

  • @ElizabethNelson-nb4ri
    @ElizabethNelson-nb4ri Рік тому +7

    Mbarikiwe sana,napenda kusema pia kuhusu Mapambo na nywele za bandia kina dada acheni ni mizigo hiyo mnayoimba,ninyi ni wazuri sana muimbien bwana ktk utakatifu wa kweli mtamuona Mungu akiwatumia zaidi ya hapo Kwa utukufu wake!

    • @evertheobald1811
      @evertheobald1811 Рік тому +2

      Hakika mapambo yakipitiliza huondoa utukufu wa Mungu kabisaaaa 🙏🙏🙏

    • @joshuawangao1285
      @joshuawangao1285 4 місяці тому

      Kweli bwana duu wasem hao waelewe😮​@@evertheobald1811

  • @josephmathias7021
    @josephmathias7021 Рік тому +5

    Taking me into deep meditation of God's presence in my life and my responsibility towards pleasing him. I pray that i enter Heaven. GOD help me!😭🙌

  • @ramadhandennis
    @ramadhandennis Рік тому +1

    Amaizing,mungu awabariki wapendwa,hakika mbinguni ni kuimba tu!

  • @taicchavala7012
    @taicchavala7012 3 роки тому +6

    Nikiusikiliza huu wimbo hadi mwili wangu unasisimka kabisa ,so powerful song

  • @tumainlession411
    @tumainlession411 3 роки тому +5

    Asee wamenibariki isivyo kawaida

  • @lazaromichael-uv7sw
    @lazaromichael-uv7sw Рік тому +1

    Naipenda Tanzania hakika mungu yupo na ni lang🇹🇿🇹🇿

  • @evelyn9389
    @evelyn9389 3 роки тому +3

    Kila sku nilikua nikitamani kuusikiliza huu wimbo ila nasahau... Sikujua Mungu ameuandaa uwe faraja yangu wakati huu... Asante Mungu tupitishe salama tuingie kwako. 🙏🙏🙏💔💔

  • @dayanapastor2322
    @dayanapastor2322 3 роки тому +2

    Asanteni praise team for good song lkn pia walio muona ambwen weka like twende sawa

  • @hopemtweve9596
    @hopemtweve9596 2 роки тому +2

    Hili ni lango la raha ni lango la rehema

  • @Maggie-yx8pw
    @Maggie-yx8pw 3 роки тому +1

    Yaani kumsifu Yesu Raha Jamani Mmeimba vizuri nilikua na Mzigo kichwani yaani woote umeisha. Mungu awatunze.

  • @ken-ul2jg
    @ken-ul2jg 2 роки тому

    Watumishi walioimba beti 3 za mwisho wamejaa upako sana, I just didn't expect the precision.

  • @EliaMigongo
    @EliaMigongo 3 роки тому +8

    Bonge la wimbo, nice creativity kwenye kuibadili melody, inajazaaa utukufuu.... Pongezi nyingi kwenu Forest , nime LOOP huu wimbo kwa zaidi ya dakika 120 sasa... acha jina la BWANA litukuzwe dunia na ijae utukufu wake...

  • @kalumunafaustineofficial
    @kalumunafaustineofficial 3 роки тому +5

    Hakika Yesu ni lango LA mbinguni ,mbarikiwe Forest kwa sound mpya Hii,ongera pia mdogo wangu Victor L mwakijinja kama nakuona hapooooo!!!!!!

  • @prosperogola4506
    @prosperogola4506 3 роки тому +2

    Hilo lango ni kuzaliwa mara ya pili kwa Maji na kwa Roho, Hili lango ni kuunganika na Kristo na kuwa Mtoto wa Mungu, hili lango ni kupita mauti na kuingia uzimani. Hili lango ni la uzima wa milele. Hili lango ni la Haki Kweli na Utakatifu. Lango hili ni la amani na furaha katika Kristo

  • @gaudensiapeter9546
    @gaudensiapeter9546 2 роки тому +2

    Nimebarikiwa sana! Mungu awainue viwango zaid👍👍

  • @safinamethuselapeter2298
    @safinamethuselapeter2298 3 роки тому +17

    Wimbo mzuri, waimbishaji wazuri, waimbaji wote wazuri, wapiga vyombo mko vzr sana, Mungu yupo Forest 1.

  • @carolinejohn347
    @carolinejohn347 3 роки тому +2

    Jaman kila ninapowasikiliza huwa ninajihisi kubarikiwa na kujazwa upya...
    Haki m'barikiwe sana kwa huduma ilokuwa njema

  • @meshackleonard
    @meshackleonard Рік тому

    Hawa wanaume wawili Mungu aendelee kuwatunza na awafundishe nn cha kufanya ili wakiandae kizazi kingine baada yao jamani 🙆‍♂️🙆‍♂️😭

  • @janethmsogoti8677
    @janethmsogoti8677 3 роки тому +1

    Nabarikiwa na huduma yenu

  • @joyceskawa3119
    @joyceskawa3119 3 роки тому +2

    Nasikiliza huku natabasam mwanzo mwisho Mungu wa mbinguni awainue kwa viwango visivyo vywa kawaidaa

  • @samsonsindano2082
    @samsonsindano2082 3 роки тому +3

    Amina sanaa watumishi wimbo unabarki; Mungu azidi kuwainua zaidi

  • @emmanueljohn7
    @emmanueljohn7 3 роки тому +2

    Niliwahi kutamani Boaz na Ambwene Waimbe pamoja na imekuwa

  • @zawadimwampashe7835
    @zawadimwampashe7835 3 роки тому +5

    Kwa Yesu Kuna raha jamaan, unatembea ukiwa unajiamini kabisa.Mungu awabariki Sana muwe wa viwango vya juu zaidi. Hakika lango li wazi kwasasa.

  • @davidjackson448
    @davidjackson448 3 роки тому +1

    Ameeeeeeeeeeeeeeen nimebarikiwa saaaaaaaaaaaaaaaaana

  • @eber-w3b
    @eber-w3b 3 роки тому +2

    Mungu anaketi kati ya Sifa Tukiimba na kumsifu katika Roho na Kweli anashuka.

  • @TrendingGospel
    @TrendingGospel 3 роки тому +3

    Very awesome 🙏 Lango la Bingu liwazi.. Lango ndiye YESU

  • @edwardnaanita
    @edwardnaanita 3 роки тому +2

    Lango ndie Yesu Bwana ,wote waingie kwake........... God bless you guys n more grace .
    #Langolambinguniliwaziwotetuingie

  • @daxmedia9
    @daxmedia9 2 роки тому

    wow god bless you ..miaka 13 ya moto wa uamsho na uwake

  • @christinacharles6852
    @christinacharles6852 Рік тому

    Barkiweni Sana hakika ni moja tu

  • @lightnessdaniel2820
    @lightnessdaniel2820 2 роки тому

    Lango la mbinguni li wazi🙏🙏

  • @Winniemac_
    @Winniemac_ 3 роки тому +8

    Thanks for doing justice to this song .
    With love from Australia

  • @hellenpascal9605
    @hellenpascal9605 3 роки тому +3

    Nausikia mpaka mwili wangu unatetemeka na kusisimka duuh

  • @EdwardMkandawile-kx7mh
    @EdwardMkandawile-kx7mh Рік тому

    Jaman nabarikiwa Sana na huuu wimbo

  • @gloryminja4144
    @gloryminja4144 3 роки тому +1

    MUNGU azidi kuwainua zaidi na zaidi

  • @StacusMkama-kz1ht
    @StacusMkama-kz1ht 5 місяців тому

    Amen huu wimbo unanibariki sana

  • @fatumahery2679
    @fatumahery2679 3 роки тому +2

    Mumgu awe pamoja nanyi amina nabarikiwa na nyimbo zenu

  • @samwelisrael1557
    @samwelisrael1557 2 роки тому

    Nabarikiwa sana na huduma yenu bora

  • @christinacharles6852
    @christinacharles6852 Рік тому

    Barkiweni Sana❤ mpo kiriho hatariiii

  • @ernestmbwana6282
    @ernestmbwana6282 3 роки тому +2

    And they look classical modern grade one material Christian..
    Munaimba vizuri ,Mumependeza Natumaini lango liwazi kujoin hii Gospel music group..Mbarikiwe sana wote pamoja na music engineer ...

  • @marywali4067
    @marywali4067 2 роки тому +3

    My favourite song😍♥️...
    Indeed you blessed Boaz together with you team...

  • @fallymusa6361
    @fallymusa6361 3 роки тому +2

    Hakika Yesu ndiye njia kweli nauzima. Ukimtafta lango liko wazi

  • @elibarikimushi3264
    @elibarikimushi3264 3 роки тому +3

    Ninyi watu nawapenda sanaaaa. Nabarikiwa na kila wimbo mnaouimba. Napenda mlivyo wanyenyekevu na kumaanisha mnachokifanya. Keep maintaining holiness and a heart of worship, kwa mmoja mmoja na kama team [Waebrania 3:12-15]; bado mna safari ndefu ya kuendelea kutubariki na kuachilia nyimbo zinazoamsha roho ya maombi na ibada. Nawapenda.

  • @gladyelisante6002
    @gladyelisante6002 3 роки тому

    Mungu awabariki sana nabarikiwa sana na utumishi wenu forest1

  • @lilianjoseph6696
    @lilianjoseph6696 2 роки тому

    Mungu Wa mbinguni awabariki sana

  • @agnethamwilenga5810
    @agnethamwilenga5810 3 роки тому +1

    amen mungu ni mwema

  • @brandeva
    @brandeva Рік тому

    Jaman nimebarikiwa 🥰🥰🥰🥰

  • @NDISA1
    @NDISA1 3 роки тому +2

    huu wimbo nimerudia kuusikiliza zaidi ya mara kumi na hauchoshi

    • @praiseteamtagforestyakwanza
      @praiseteamtagforestyakwanza  3 роки тому

      ameen... ubarikiwe mpendwa

    • @rechomndeme429
      @rechomndeme429 3 роки тому +1

      Miaka kumi na tatu ya uamxho,lazima shetani ajue kua Moto wa uamsho🔥🔥 umewaka ,,inapendeza saaana🙏

  • @GaneKaambwa-zh5yp
    @GaneKaambwa-zh5yp Рік тому

    Mko vizuri achen kujipamba mnamkoso Mungu uumbaji wake

  • @hellenrichard187
    @hellenrichard187 3 роки тому +2

    Nimeusubiri huu wimbo kweli Mungu azidi kuwabariki Siku zote

  • @yohanawillberforce641
    @yohanawillberforce641 3 роки тому +1

    Amina watumishi

  • @mcmpomaonlinetv3483
    @mcmpomaonlinetv3483 2 роки тому

    Nmependa sanaaaaaaaa jamn

  • @BethuelofficialTz
    @BethuelofficialTz 3 роки тому +2

    Nabarikiwa Sana na wimbo huuu mzuri

  • @loemapanga6087
    @loemapanga6087 2 роки тому

    Mbarikiwe sana watu wa Mungu

  • @daktarikiganjani4031
    @daktarikiganjani4031 2 роки тому +3

    2022 Here again to rewatch my favorite song from my favorite home team...... still blessing to date....

  • @zawadikiumbu-ny9ov
    @zawadikiumbu-ny9ov Рік тому

    Haleluya mungu ni mwema nimebarikiwa sana na wimbo huu

  • @keeptimenimrod3770
    @keeptimenimrod3770 3 роки тому +2

    Amen. Liko lango naye ni YESU. Good song

  • @grolyqueen5833
    @grolyqueen5833 3 роки тому +4

    I see u my young sister be blessed 🙏🏽

  • @meshackmawala8629
    @meshackmawala8629 2 роки тому

    Halleluya nimebarikiwa sana

  • @happinesslatonga783
    @happinesslatonga783 3 роки тому +2

    When the mans of God meets.....
    There is nothing to intervene!!!

  • @jemadanieli7153
    @jemadanieli7153 3 роки тому +4

    Amin Tuingie kwenye lango lile

  • @drronvanny
    @drronvanny 2 роки тому

    MUNGU NA azidi kuwatumia Siku Hadi siku

  • @dr.ayoubmsalilwa2738
    @dr.ayoubmsalilwa2738 3 роки тому +1

    home home ...... Nafurahia sana sana kwa yanayoendelea... Mungu azidi kutuinua

  • @mathiasstephano8165
    @mathiasstephano8165 2 роки тому +1

    Asante minister, hakika siku hizi AMBWENE UMEBADILIKA NA KUUJUA UKWELI ZAIDI, UMEACHA NYIMBO ZA KUMLILIA MUNGU NA KUANZA KUMSIFU MUNGU KWA UKUU WAKE HAKIKA UMEBARIKIWA SANA.
    KALE KA WIMBO KA MWANA WA AKILA sichoki kukasikiliza💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥

  • @metrodkivike5140
    @metrodkivike5140 3 роки тому +1

    Mungu awabariki ninyi watuuu

  • @christabibukenya4097
    @christabibukenya4097 3 роки тому +3

    Love you ministers ..you such a blessings, I keep on coming back here all the time,love you from Kenya

  • @evelinegeorgemlay4014
    @evelinegeorgemlay4014 3 роки тому +3

    Wimbo mzuri mnooo...🙌🙌🙌🙌la mbiguni li wazi....

  • @hurumachaula985
    @hurumachaula985 3 роки тому +2

    Most powerful song may God giv u favour forever

  • @neemagodfrey1376
    @neemagodfrey1376 3 роки тому +1

    Mbarikiwe wana jaman! Nimependa hiyo saut ya dada wa pili

  • @hediachristopher5492
    @hediachristopher5492 3 роки тому +2

    God bless you 🙏💞

  • @florencelawrence6667
    @florencelawrence6667 2 роки тому +3

    An amazing song . The two men of God are a blessing to the body of Christ . Blessing to the Praise team

  • @ambeledavid6107
    @ambeledavid6107 3 роки тому +1

    Hongereni sana. Nabarikiwa sana na huu wimbo

  • @raymundakisanji7617
    @raymundakisanji7617 2 роки тому

    Amina.lango liwazi haleluya 👏👏👏🙏

  • @juliethgodwin9570
    @juliethgodwin9570 3 роки тому +1

    Mbarikiwe sana jamani nawapenda

  • @beatricenziku6788
    @beatricenziku6788 3 роки тому +2

    Mungu awabariki!am blessed

  • @upendoobedi5222
    @upendoobedi5222 Рік тому

    Dear God help me to stand in your presence I wish to enter in heaven plz help me

  • @geraldlutamigwa7556
    @geraldlutamigwa7556 3 роки тому +2

    Mbarikiwe sana ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️

  • @lucyringo4487
    @lucyringo4487 2 роки тому

    Huu wimbo nausklza kwa sku Zaid ya mara tatu...very powerful 🔥🔥🔥🔥🔥❤️❤️❤️❤️

  • @mbogatisa6152
    @mbogatisa6152 3 роки тому +3

    Good video, keep it up Team, I'm neno Elimu TV UA-cam welcom

  • @dorismsilu2973
    @dorismsilu2973 2 роки тому

    Am blessing sanaaa 🙌

  • @onesmuskioko3321
    @onesmuskioko3321 3 роки тому +7

    The best redition of this old tenzi. So powerful, God bless this team as they serve Him

  • @emmymongina5420
    @emmymongina5420 3 роки тому +2

    Emmy from qatar, I like listening this song ten times a day ,a nice song ever

  • @ireneobote257
    @ireneobote257 3 роки тому

    Mungu awabariki mnoooo

  • @musyimifelix1221
    @musyimifelix1221 3 роки тому +2

    Much blessed can't stop listening en remembering that there is a big open door in heaven waiting to open for me after my journey here on earth is over... Pokea upenda wangu kutoka kenya 🇰🇪🇰🇪

  • @jescapatrick4790
    @jescapatrick4790 3 роки тому +2

    Oooh
    God bless you 🙏

  • @patrickdominick549
    @patrickdominick549 2 роки тому +1

    Blessed are those who worship God in their true heart, you are blessed

  • @samrecordvwawa9133
    @samrecordvwawa9133 3 роки тому +3

    Lango li wazi 🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙏🏻🙏🏻

  • @ikupachaula1477
    @ikupachaula1477 3 роки тому +1

    Mbarikiwe sana.....👏👏👏👏

  • @jemadanieli7153
    @jemadanieli7153 3 роки тому

    Nawapenda ninyi watumishi nasihi had homa

  • @neemaboniface9361
    @neemaboniface9361 2 роки тому

    Mungu awabariki sana

  • @veonicamhembe2022
    @veonicamhembe2022 3 роки тому +1

    Mbarikiwe sana watumishii wa Mungu😘 Mungu awainue kwa.viwango vya juu

  • @augustinekisapi288
    @augustinekisapi288 3 роки тому +2

    Nabarikiwa sanaa

  • @agnessernest9620
    @agnessernest9620 2 роки тому

    Ambwene bwana ......u nailed it bro

  • @mwalimuwakiingereza241
    @mwalimuwakiingereza241 3 роки тому +2

    Full of anointing...bless u servants of God👏👏👏

  • @leocadiabaranyikwa4047
    @leocadiabaranyikwa4047 3 роки тому +1

    Lango liwazi ........ Let's go in there..... Let's go it.....

  • @leahmwakasege1395
    @leahmwakasege1395 2 роки тому

    Nimefurahia wimb

  • @bebyciaramuel
    @bebyciaramuel 3 роки тому +4

    Powerful song🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌