2 KUONDOA MAZUIO KATIKA MIFUMO YANAYOZUIA KUFANIKIWA KWAKO || MWL CHRISTOPHER MWAKASEGE || Singida
Вставка
- Опубліковано 8 лют 2025
- Semina ya neno la Mungu Singida || Day 2 || Tarehe 18 JULAI 2024
.................................................................................................................
Unaweza kutumia njia zifuatazo kutuma sadaka yako kwetu:-
M-PESA 0754 211 633
0752 888 847
TIGO-PESA 0715 511 633
AIRTEL MONEY 0682 657 080
HAKIKISHA JINA LINALOKUJA NI DIANA MWAKASEGE
WEZA KUTUMA SADAKA KUPITIA _-:
CRDB BANK
ACC: 01J2032214400
JINA: CHRISTOPHER & DIANA MWAKASEGE
Eeee Mungu tunakushukuru kwa kumleta Mwakasege wetu, endelea kumtunza na kumtengenezea mrithi wa huduma,, ili huduma ya MANA isiwe na kikokomo mpka kuja kwake Kristo
Mungu amtunze baba na mwalimu wetu mzuri
Amen
Kwani mrithi wake ni nanai
Amina amina
Ndugu yangu haiwezekani kumpata mwingine kama Mwl. Christopher Mwakasege! Huyu aliletwa na Mungu mwenyewe kwa ajili ya kizazi hiki, akichukuliwa kwenda zake mbinguni uwe na uhakika hatapatikana mwingine kama yeye! Kwanza huwa unasikiliza vizuri anavyochambua neno la Mungu, jinsi anavyooanisha uhalisia na ukweli uliopo na namna anavyotafsiri mistari ndani ya Biblia Takatifu? Kwa kifupi nimekuwa nafuatilia mafundisho yake kila nikisikiliza mafundisho yale yale napata neno jipya na uelewa tofauti na mara ya mwisho niliposikiliza mafundisho hayo! Hii maana yake Mwl. Mwakasege anaongea na Mungu na Yesu moja kwa moja na anaongozwa na Roho Mtakatifu kwa ukaribu zaidi kuliko tunavyodhania! Kwa hakika kama nimfuatiliaji wa mafundisho yake na una Roho Mtakatifu utagundua hilo! Hata Shetani akisikia sauti ya Mwl. Mwakasege anakaa chonjo maana anajua Mutumishi wa Mungu anaunguruma, madhabahuni au popote pale anapotamka neno la Mungu kwa sababu yoyote ile! Ukitaka kujua ni kwa kiwango gani Mwl. Mwakasege yupo karibu na Mungu, sikiliza anavyotoa shuhuda au kuongelea jambo ambalo kwa kawaida ungempongeza. Yeye utamsikia akisema "Utukufu kwa Bwana, Utukufu Kwa Yeye aliye hai!" Kuhusu mwingine kama yeye kupatikana akinyakuliwa kwenda mbinguni, jifunze kwa watumishi wa Mungu waliomtangulia! Ulishawahi kuona au kusikia mbadala wa Askofu Moses Kulola? Hakuna.
Yesu nakushukuru kwa ajili ya somo hili,naomba unikumbuke juu ya mifumo mibaya katika maisha yangu,biashara,ndoa,uchumi,familia nitoe katika nyavu walizofunga miguu yangu ili nisivuke kwa damu yako yesu ya agano jibya nisaidie yesu nakuamini,wakumbuke watoto wangu,mime wangu,ndugu zangu,ukoo wa baba na mama.ameeee!! asante yesu kwa msaada wake kwutu,ameeen!
2:24
Eee Baba nipe ufahamu wako
Asante kwa neno lako Bwana, asante kwa mtumishi wako Bwana. Mtie nguvu zako Bwana. Mlinde kwa Damu ya Yesu❤
Somo nzuri Sana barikiwa mtumishi was Mungu
Asante mungu cwez kueleza naamin nitafunguliwa naogopa mate ndo Yako kwel mungu akupe maisha marefu kupitia ww mtumishi wake tunapokea uponyaji
Mungu akutunze mtumishi wa mung amen
Barikiwa sana mwalimu, Mungu akutunze.
Yesu nitetee,maana naamini upo nami hujawahi kuniacha
We are blessed 🎉be blessed Teacher
Barikiwa mnooooooo Mungu awatunze pia kuiendeleza huduma ya MANA.
MUNGU NISAIDIE NAOMBENI MAOMBI Mungu aniweze kupata watoto wakiume mapacha
MUNGU ninakutukuza kwa kwa somo xiri.Halelluyaa
Eeh mwenyezi mungu bariki kila moja wetu kwa nafasi yake
Mungu azidi kukupa mafunuo ya kuwaokoa wanadamu
Nisaidie YESU jinsi ya kusimamia maono yangu
Huu ni wakati wangu asante mungu
amen
Eeh Mungu usinipite
Nimda wa Maduio baba naomba nielewe kimoja hadi kingine😢😢Mifumo ya familia yangu baba ingilia kati 😢😢🙇♂️📌📌🇦🇪
Amina
Aminaa
Yakima umenisamehe na kunitendea mema. Asante Mungu
Eeeée mungu ufalme wak ukae kwenye mifumo yang
Ameni.hakika.mbingu.ziendelee.kufunguka.haleluya
Eeeh Mungu wangu nijakuhitaji, nihurumie na unitete katika kazi yangu.
AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Barikiwa sana mtumishi
Neno lako na liwe Halisi kwangu kama lilivyo nifunguliwe kila ninapoliskia mifumi isizuie lolote au chochote kwenye Maisha yetu Mapenzi yako Eee Bwana Yesu kristo yatimizwe kwangu😢❤
Asante mungu
Ameen
Ameeeen
Hakika Mungu ameikumbuka Tanzania kwa jinsi ya ajabu.Ngazi ya familia,huduma Taifa .Utukufu kwa Bwana.
Eee Mungu unikumbuke
Amen Amen Amen 🙏
YESU niponye miguu
Nimebarikiwa kutoka bahama
Germany
Ee Bwan bila ww ss atuwez jamb lolote
Amen
Amen