ANJELA AMWAGA MACHOZI KISA ZUCHU NA DIAMOND KUMNUNULIA GARI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 3 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 52

  • @agripinadominic78
    @agripinadominic78 3 місяці тому +5

    Hongera sana dogo zuu mkono unaotoa ndo unaopokea, ooooooh mungu azidi kukuongeza zaidi na zaidi

  • @WycliffeAbdulLigare
    @WycliffeAbdulLigare 3 місяці тому +7

    ❤❤❤❤❤❤machozi ya furaha divaa the bowse you are hero too may God bless you

  • @BUPEPATRICK
    @BUPEPATRICK 3 місяці тому +7

    Mungu akuzidishie ulipopunguza zuchu

  • @KelvinMwanzia-hh4rh
    @KelvinMwanzia-hh4rh 3 місяці тому

    Dadangu zuchu tunakupenda sana kumbuka mara kwanza kukutana simba alikupa gari kama sijasahau sasa niwakati wako wakasaindia dadangu Kenya twakupenda sana❤❤❤❤

  • @omarcarlos4595
    @omarcarlos4595 3 місяці тому

    Life ni support,kusaidiana ndio msingi wa mafanikio. Hongera madam SIJI.

  • @alisaidahamed8065
    @alisaidahamed8065 3 місяці тому +2

    Angela vous j'avais mérite 🤩
    Et bravo zuchu zuhra ❤❤❤ Simba 🦁🦄 votre chanson est très belle

  • @dizzomontana7219
    @dizzomontana7219 3 місяці тому

    Zuchu wewe ni madam wa Taifa anae pinga ana sababu zake I love❤ I love❤ I love❤

  • @ZuhuraMohamed-ny1jr
    @ZuhuraMohamed-ny1jr 3 місяці тому +11

    ❤❤❤

  • @aishaahmed5028
    @aishaahmed5028 3 місяці тому

    Mashaallah zuchu ❤❤❤

  • @SynoidahAnunda-pk3pg
    @SynoidahAnunda-pk3pg 3 місяці тому

    Hongera Sana kwao mungu hawazidishie baraka tele 👌👌

  • @Jtiiiiiiiiiii
    @Jtiiiiiiiiiii 3 місяці тому +7

    Zuchu❤❤❤❤❤

  • @OlgaAmboulou
    @OlgaAmboulou 3 місяці тому +7

    ❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @HidayaHamisi-q4l
    @HidayaHamisi-q4l 3 місяці тому +2

    Anjela tushamteka kuja WCB🔥🥰

  • @lidembwemahenge7220
    @lidembwemahenge7220 3 місяці тому

    Mungu akubariki sana msanii wetu kipenzi Zuchu.

  • @ZainabuMoody
    @ZainabuMoody 3 місяці тому

    Jamaan zuchu ana moyo wa ukarim penda shaaaana be blessed pmj na uzao wako inshaallah ata ww anjela be blessed pia una moyo wa shukran

  • @ZuhuraMalagio
    @ZuhuraMalagio 3 місяці тому

    Ubalikiwe kipenzi wajna wangu zuu mungu azidi kukupa zaidi

  • @ramayonline2281
    @ramayonline2281 3 місяці тому +6

    Anjella karbu WASAFI

  • @KwizeLee
    @KwizeLee 3 місяці тому

    Dada nimeuzunikaka siku waliokunyangaya galikule ulipotoka , Ona sasa leo Mungu Ana kuku Muka kwamaranyinginetena yes wow🎉🎉🎉

  • @HusnaAman-m6h
    @HusnaAman-m6h 3 місяці тому

    Zuchu hongera sana uzidishiweee😊

  • @HanifaMohammed-n4r
    @HanifaMohammed-n4r 3 місяці тому +1

    Nampenda Sana anjela jmn mdada wawatu Hana gubu Hana mashauzi ila mungu akusimamie kipenzi changu anjela Mimi sikufaham ila nimekukuta mitandaoni lakini nakupenda sana

  • @MaldyMaldwex
    @MaldyMaldwex 3 місяці тому +10

    Usilie lkn lia❤😂

  • @rii001-b3j
    @rii001-b3j 3 місяці тому +2

    usilie lakin lia😂😂😂

  • @AsiaRajabu-t2n
    @AsiaRajabu-t2n 3 місяці тому

    Zuchu zuchu kiukweli anafungu lako kwa mungu kiukweli nakupenda mmmmno endelea kuwa na moyo huohuo aiseeeh

  • @YasintaNgimba
    @YasintaNgimba 3 місяці тому +14

    Kiukweliiii zuchu anamoyo wakujitoa sana sio mimi 2 nasema hata bwana ake diamond huwa anasema na watyu wake wa karbu pia huongea hana roho ya kwanini

  • @AsiaRajabu-t2n
    @AsiaRajabu-t2n 3 місяці тому

    Roh ulio nay ndio alioyonayo kaka etu kwakwel mungu anaweza kumleta mtu kwajiili ya msaada wa mtu mwingine mungu akupe umrii mrefu Zaid na zaidi

  • @FaidhaMalik
    @FaidhaMalik 3 місяці тому

    Zuchu ongera sana

  • @JenipherEdwardy-n3h
    @JenipherEdwardy-n3h 3 місяці тому

    Mung atamuongezea zuchu

  • @youngb8672
    @youngb8672 3 місяці тому

    Kwanzia leo naanza kumshabikia zuchuuu walai

  • @zomasamweli
    @zomasamweli 3 місяці тому

    Kiukweli natamani kumuona anjella akiwa wcb

  • @StanleyKitika-dd7lz
    @StanleyKitika-dd7lz 3 місяці тому

    Angalia usibandue kope

  • @salumualoyce5620
    @salumualoyce5620 3 місяці тому

    Kwangu mm hilo siyo suala la msingi na nafikiri angeomba kupata support nzuri kwenye kazi yake ya muziki ili baadae aweze kujisimamia bila kutetereka. Muziki wake ukikaa vizuri anaweza akamiliki magari mengi na ya kifahari bila shaka.

    • @mwanaidimussa
      @mwanaidimussa 3 місяці тому

      Sikiliza interview yote hiyooo imetokea tu

  • @VenerandaJulias
    @VenerandaJulias 3 місяці тому +1

    Acha makope mwnangu,hayakupendez hata

  • @RaziaMlacha
    @RaziaMlacha 3 місяці тому

    To much drama 🎭

  • @MikidadMahmoud
    @MikidadMahmoud 3 місяці тому

    Angela akili huna pakulala huna ungemwambia kujengee kanyumba kadigo kazuri uwe na kwako maisha yenyewe ya kusaidiwa

    • @KassimhamadMakwawa
      @KassimhamadMakwawa 3 місяці тому

      Alikuja kukugongea mlale wote acha umama ww utadinywa

    • @yussufritzy7684
      @yussufritzy7684 3 місяці тому

      Mda mwengine sio usaidiwe directly kitu ambacho ni muhimu zaidi,,, unaweza kusaidiwa kwa kusafishiwa njia ili upate cha mujimu zaidi kwa nguvu zakk

  • @kharidiloga8605
    @kharidiloga8605 3 місяці тому

    Zuchu àabarikiwe sana kutoa ni moyo

  • @maryaugustino8716
    @maryaugustino8716 3 місяці тому

    Hivi no bora gari, au nyumba? Mie kwangu gari kifo unakiona kileee lakini nyumba ooooh unakuwa safe. Unalia kwa sababu ya kupata gari kweli? Wasaniii mna drama sana

    • @petermusa7711
      @petermusa7711 3 місяці тому +1

      Siku ukiwa na nyumba utakuwa unaiambia ikuwahishe mahali ama nyumba nipeleke mkoani..

    • @ziadasalimu1730
      @ziadasalimu1730 3 місяці тому

      Kajizalilisha analia kusikia ana nunuliwa gari na zuchu ha! Mitandao Ina hifazi badaye mungu akikupa utakuja kujiona mjinga ha!

    • @yussufritzy7684
      @yussufritzy7684 3 місяці тому +1

      ​@@petermusa7711hhhahah alaf pia tuone iyo nyumba,,, km itamuahisha kufika sehem ambazo zinamtengenezea kupata hela

    • @yussufritzy7684
      @yussufritzy7684 3 місяці тому

      ​@@ziadasalimu1730ndugu inaonesha shukran kwako haipo kabisa

    • @andrewkaswagula3367
      @andrewkaswagula3367 3 місяці тому +1

      ​@@ziadasalimu1730hayo ndio maneno ya mkosaji na wivu wa kijinga. Sema tu wewe binafsi haujawai kupata zawadi ya kununuliwa gari ndio maana unaona kama kajidhalilisha.. Punguzeni unafiki mitaani

  • @thoccomakunganya8950
    @thoccomakunganya8950 3 місяці тому

    Naomba number ya zuchu nimpongeze

  • @MustyNgongo
    @MustyNgongo 3 місяці тому +1

    ❤❤❤❤

  • @Jtiiiiiiiiiii
    @Jtiiiiiiiiiii 3 місяці тому +1

    ❤❤❤❤❤❤