REAL TRUE FRIENDSHIP..Appreciation of employer to her employee is on another level.. Tears of joy...wow happy for you Zuchu you are so kind God bless you
Am proud of zuchu na kuanzia leo na subscribe kwenye channel yako, you made my day actually am in dubai bt I feel so happy a bout what you did to your best friend people should from this guy inshallah kama ntaweza nikipata mke wakuoa inshallah zuchu lazma uje atakama ubwabwa utakua birigedi mbili hatakua na shida 💯💯💯✊⚘
Juzi kati tu hapa, Zuchu ndiye alikuwa anazawadiwa gari na bosi wake Diamond. Leo hii anawazadi rafiki zake na familia yake magari. Ama kweli, Mungu si athumani
@@Abu-Hamza254 mwanamke mwili wake wote ni uchi,,,,, na ni haramu kuonyesha umma uchi wako ila ni halali kwa mume wako ,,,,,,,,xx cjui apongezwa kwa lipi uyo😒😒😒
Nimewapata vyema nikiwa Lindi kikazi, kati ya wasanii walio gusa maisha yangu ni zuchu kwani hua na nazikubari sana nyimbo zake, yakwaanza ni Tanzania ya sasa iliyo mkosha marehemu baba yetu JPM, ikiwemo na ile nyumba ndogo hongera sana sana dada angu. Naitwa benard mkaazi wa geita katoro
Watoto wakike pia wanafaida jmn msiwadharau mipia nalele na bintiyangu sasa yani anasoma chuo huku anapambana na vibarua vyakila aina nauombea bintyangu jamani afikie hatuahiipia naombepia mmuombee
Kwenye hii comment sielewagi kitu kimoja mtu akichoka hamuongei maneno Kama Aya.Ila akipata mnaongea , mahusiano ya mtu na Mungu muyaache kwa mtu mwenyewe
@@praygodmtera9907 huyu ni muislam, ww c dhan kama ni muislam au vp,sielewi, cc dini yetu inatutaka tukumbushane, na wala mm cjamtukana wala kumtenza nguvu, akitaka atakumbuka hakutaka ataendelea na dunia yke
Zuchu ni dem wa Simba kabisaa hapo ndo nimeani☝️Maana nimeunganisha matukio, nyumba yake analipa 44.4 milion na kampa mtu BMW Newwww... Kuna nguvu ya Mwamba nyuma amini nawaambia 👏
Daah ihi kweli bongo yaani meneja wa msanii anatunzwa gari tena yakawaida analia nusu kuzimia japo mm sina lakn ihi inaziilisha uku msanii kamuacha mbaliih sana meneja
The celebration was so nice, i am begging for permission of support in my first album song of bongo nataka ni jaribu kutoa wimbo la bongo............. #Sparta Monster
Her reaction is princess less 😌, giving is such a kind act and fulfilling when done inlove . The crowd understood the assignment !#friendsthatgive♥️
🤣🤣🤣
Zuchu thank U soooo much mungu akubalikiye Sanna😘😘🥰🥰🥰🥰
REAL TRUE FRIENDSHIP..Appreciation of employer to her employee is on another level..
Tears of joy...wow happy for you
Zuchu you are so kind God bless you
Wow this amazing tears 😭 of joy Zuchu be blessed God bless u more. Much love 💕💕💕💕💕💕💕💕
Mashaallah ongera sana dada zuchu kwa ulicho kifanya nikitu kikubwa sana Allah adumishe upendo wenu nafuraha yenu inshaallah 🤲🤲🤲
Kutokaa moyo zuchu moyowake
The real human being the real girl the real zuchu congratulations 🎊 👏 💐 🥳 💯
MashaAllah Mungu akuzidishie zuchu upate zaidi na zaidi na uwe na moyo huohuo wa kutoa 😍
Zuchu hongera sana kwa ulichokifanya Yan umemfanya uyo dada kabaki akicheka2 kwa furaha alionayo jmn🤣🤣 mungu awajaalie insha'allah 🙏🥰🥰
That was awesome ☺️ being appreciative to your worker is just amazing 💞💞 am happy for you zuchu,,, congrats to you Doreen HBD 🎉🥳🎉
I wish ningekuwa mtanzanian .....I am regreting mpona nilizaliwa Kenya😭😭 bt one day nitaenda Tanzania. .... congratulations zuchu... Much love from 🇰🇪
Umeona eeh!!! The culture there is different compared na sisi wakenya.watu Tz wanapenda utu na kuuthamini balaa.kenya sasa umbwakni tu.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Wala sijutii kua mkenya
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
WEWE KENYA MAMA YANGU, WEWE KENYA NCHI YANGU..
SITAKUACHA MILELE,♥️♥️♥️🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Jamani tufurahi naye . Sote tunapenda marafiki wa kweli. Tears of joy 😭
🐫🐫🐫🐫🐫🐫🐫🐫🐫🐫🐫🐫🐫🐫🐫🐫🐫🐫🐫🐫🐫🐫🐫🐫🐫🐫🐫🐫🐫🐫🐫🐫
À santé sana
May God bless you Zuchu. You are so kind
Ma star ya wasafi anakipaji giku hakia Mungu ndomna na wapenda sana❤❤❤ Mungu abafunguliye mlango mfanikiwe zaidi
Wow, young girls supporting each other
Ubarikiwe sana zuchu kumbe uko naroho nzuri💋
Nakupenda sanaa dada zuuuuh,naomba unisaidie kazi yoyote ntafulai sanaa🙏
Zuchu asante kwa urichokifanya mungu akubariki
walio lia juu yaa hii kazi zuri..machozi yenu itawaletea mafanikio bora zaidi🙏🙏🙏🙏
Am proud of zuchu na kuanzia leo na subscribe kwenye channel yako, you made my day actually am in dubai bt I feel so happy a bout what you did to your best friend people should from this guy inshallah kama ntaweza nikipata mke wakuoa inshallah zuchu lazma uje atakama ubwabwa utakua birigedi mbili hatakua na shida 💯💯💯✊⚘
Walimwengu walilisema sema gari lake aina ya IST kisa manager wa Zuchu, haya leo kapata BMW...Riziki mafungu saba
Much Success Blessed Zuchu I love yuor Songs
Juzi kati tu hapa, Zuchu ndiye alikuwa anazawadiwa gari na bosi wake Diamond. Leo hii anawazadi rafiki zake na familia yake magari. Ama kweli, Mungu si athumani
brother maisha yanaenda kasi sana kwa baadhi ya watu ....lakini wengine hapa yamekolapti kabisa ayaend mbele bali yanaludi nyuma taratiibu
Hhhhh si athumani
BMW iyo hatari sana k...hongera Zuchu kwa upendo wako the best friend ever
Her reaction was priceless...God bless Zuchu for her generosity and good friends
More and my blessings up you zuchu nakupenda sana from 254🙏👆👆👆👌
True friendship GONGRATULATIONS Zuchu🥳🎉 lots of love ❤️💕😘😘
Zuchu congrats my girl more love from Kenya wish to meet you aky
Wow zuchu l love it🥰🥰
Congratulations zuchu 😘😘
Uko juu sana Zuchu hongera sana nakutakia mafanikio mema Mungu aendelee kuwa nawe
She's the real human being❤️❤️❤️big love from this side🇰🇪
Oh my God,this made me cry, thanks Zuchu for your true love to this girl
Me too
Jamani watanzania, muna upendo wa kweli Mungu azidi kuwabariki zaidi
Kama kweli anatembea na diamond bas mchongo kausimamia boss ☺
Zuchu na ibra walianza wiki moja safari ya muziki ...
Tofautisha dume na jike ndugu
Hahahahaaa
@@fredrickedward975 sawa
@@dfordadu176 muziki wa Ibra anatumia nguvu kubwa kwa sababu ya label yake na changamoto za boss wake ili ngoma ziende
U ar my first who promise and do it ,then keep on yr love's heart
One love from Kenya 🇰🇪😍
Hongera sana mwenyezimungu akupe wepes Zaid na zaidi🙏
Wow so lovely ❤️❤️
God bless you so much Zuchu
Nimelia kiukweli, am very happy and very emotional
Hongera zuhura 🙏, lots of love from 🇰🇪🇰🇪, true friendship congrats
Awesome 💕🤗 Priceless. Be blessed you Zuhura inshaAllah 🤲🏾
You called it priceless van you affored that for your girl
That’s very sweet indeed.
Gongrats for good heart zuchu,God bless you
Mungu azidi kumbariki Zuchu
“In shaa Allah”na upo uchi subhanallah
Jistiri kwanza dada🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Halafu watu wanampongeza na Mali ya haramu,,,,sub hanna llah
@@fatumaalisaid9816 Kweli yako dada Fatuma,vipi dada muislamu kufaa VEST ndani halaiki ya watu
Hawana heshma na dini ya kiislam hawa ma star
@@Abu-Hamza254 mwanamke mwili wake wote ni uchi,,,,, na ni haramu kuonyesha umma uchi wako ila ni halali kwa mume wako ,,,,,,,,xx cjui apongezwa kwa lipi uyo😒😒😒
@@fatumaalisaid9816 Subhanallah
Nimewapata vyema nikiwa Lindi kikazi, kati ya wasanii walio gusa maisha yangu ni zuchu kwani hua na nazikubari sana nyimbo zake, yakwaanza ni Tanzania ya sasa iliyo mkosha marehemu baba yetu JPM, ikiwemo na ile nyumba ndogo hongera sana sana dada angu. Naitwa benard mkaazi wa geita katoro
Watoto wakike pia wanafaida jmn msiwadharau mipia nalele na bintiyangu sasa yani anasoma chuo huku anapambana na vibarua vyakila aina nauombea bintyangu jamani afikie hatuahiipia naombepia mmuombee
Love you zuchu ❤️
Uuu ndo urafiki wa kweli Zuchu barikiwa.
Wow I like you zuchu ❤️❤️
9:07 me crying with her 😂lol my eyes full of tears 😭
Wasaf mko juu
Dada wa kiislam, usiisahau cku ya mauti, maisha ya kaburini, na siku ya malipo, maisha ya dunia niyakupita na niyamda mfupi sana.
Nikwelii
Kwenye hii comment sielewagi kitu kimoja mtu akichoka hamuongei maneno Kama Aya.Ila akipata mnaongea , mahusiano ya mtu na Mungu muyaache kwa mtu mwenyewe
@@praygodmtera9907 huyu ni muislam, ww c dhan kama ni muislam au vp,sielewi, cc dini yetu inatutaka tukumbushane, na wala mm cjamtukana wala kumtenza nguvu, akitaka atakumbuka hakutaka ataendelea na dunia yke
@@farhatnassor7412 ok sawa nimekuja kukuelewa
Hongera sana da zuchu
Kule upande wa pili kwasemaje maana kuko kimya boss anaendelea kuimba nyimbo za watu tu 😭😭😭
😀😀😀
MashaAllah ❤💕🔥👌
Wakati rafiki zangu hata gari LA makaratasi tu hawawezi nizawadia...duh!! Hongera
Barikiwa kumkumbuka rafiki
Enjoy dada mahisha mafupi,, mungu kama amekupa amekupa.
Wueh😭😭❤️must be nice😩💕
Much love zuchu 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Mashallah raha kabisa
Emotional😂😂😂😂😂hongera zuhura
Happy birthday to you..big present 🎁 birthday 🎂
Congratulations zuchu
God bless Zuchu haya ni matunda ya Dimond
Urafiki wenu udumu mpaka milele ❤️❤️
Happy birthday Doris
God bless u zuchu 🥰🥰🥰
Mashaallah mashaallah
Hawa wote wanaoraanika hapo wote ni waslma wakifa ndio utajua kama waislam Allah atupe mwisho mwema na hii dunia
So amazing
Nimeupenda huu urafiki wa kweli
God bless you zuchu
Zuchu 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Safi Sana zuuu iyo ndo raha ya shukurani
Zuchu ni dem wa Simba kabisaa hapo ndo nimeani☝️Maana nimeunganisha matukio, nyumba yake analipa 44.4 milion na kampa mtu BMW Newwww... Kuna nguvu ya Mwamba nyuma amini nawaambia 👏
Sasa kiswahili ajui au sifa tu jmn khaa wabongo wakijua kizungu anajishauwa balaaakhaa😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌
😭😭😭😭😭😭😭a true friend💖
wow zuchu umefanya ki2 flani amazing
So happy mashallah
Me nimkenya but Tz 🥰👌
Gari gani hiyo sasa🤣🤣🤣🤣🤣
Sema wema Hana gari aaah Aristote
Wewe mbona hauna sehem za siri, hautuhadithiii?
@@belak999 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@@belak999 jamani kah🤣😅🤣🤣🤣
@@belak999 🤣🤣🤣
@@belak999 nimecheka km mjinga sijui umewaza nn
Hongerani.
That is not a new 1 series bmw, it’s a less than 2011 old car or reg plate. In the world of blind, the one-eyed is the king, alas!
Sema MashaAllah! Kapewa hata kama niya 2009 ni zawadi.
Wakati wengine wanaangaika na million 8 ya mlabaha upande wa pili wanapeana zawadi ya BMW da maisha yanaenda Kasi sana
Congratulations zuchu love
Karibuni chama la mafanikio maana hakuna lofa hapa
Mashaallah 👌👌
Vizuri sana zura
Uwo.uwongo🎉🎉🎉mhh
Ubarkiwe zuchu
Daah ihi kweli bongo yaani meneja wa msanii anatunzwa gari tena yakawaida analia nusu kuzimia japo mm sina lakn ihi inaziilisha uku msanii kamuacha mbaliih sana meneja
The celebration was so nice, i am begging for permission of support in my first album song of bongo nataka ni jaribu kutoa wimbo la bongo.............
#Sparta Monster
Zuchu umenenepa Masha Allah
🔥❤🔥
Is that Zuchu talking? Her accent is not Zanzibarian though I like that!.
Bravo zuu
Mashllh 😭😭😭😭❤❤
Thankyuuuuuuu my sistaaaaaa😂😂😂