Huyu mtoto inawezekana anachokifanya ni sawa, Allahu aalam, navoona Mimi ni tatizo amekosa hekma, na hivo anavofanya tiba hadharani wanawake wa kiislamu kuchagawa hadharani wakipiga makelele sio vizuri. Mambo katika uislam yanahitaji stara. Allah ndie mjuzi wa yote
Huyu mtoto inawezekana anachokifanya ni sawa, Allahu aalam, navoona Mimi ni tatizo amekosa hekma na maneno ya kebehi dhidi ya mashehe walio na umri kama wazazi wake, na pia hivo anavofanya tiba hadharani wanawake wa kiislamu kuchagawa hadharani wakipiga makelele sio vizuri. Mambo katika uislam yanahitaji stara. Allah ndie mjuzi wa yote.
@@الزغويالزغوي-ض3ن Mwenyezi Mungu Hawasamehe kushirikishwa na humsamehe yaliyo duni ya hilo kwa amtakae. Na anae mshirikisha Mwenyezi Mungu basi amezua dhambi kubwa" Suratul Nisaa(4:38) MUNGU AWAANGAMIZE WASHIRIKINA WOTE AWADHALILISHE HAPA HAPA DUNIANI. WASILAMU WATAFAUTISHE HAKI NA MAUZA UZA YA WASHIRIKINA.
🫢Sub'haana llah!! Daaah hzo ndo dalili za qiyammah jmn mnadhan nan ataingia moton mnatak wakosekane wa kuingia jahhannam, pia washirikina wote wanao jivika vazi la uislam na kumkufuru allah ndo watakuw wakazi wa jahhannam; ila allah humuongoa amtakae na humpotosha amtakae naiman ipo sku utazinduk inshallah allahumma ameeen thumma Ameen 🤲
Bismilaahi rahmani raahim namshukuru mungu tena sana alhaamdulilaah na yeye ni mfalme hakuna mwingine zaidi YAKE AMIN AMIN AMIN AMIN yaarab AMIN alhaamdulilaah namshukuru mungu tena sana kua mwislam dini iliyoo nyookaa na isiokua na shaka juu yake alhaamdulilaah uislam raahaa sana alhaamdulilaah uislam ni njiaa iliyoo nyookaa alhaamdulilaah wanawake wajinga tena sana ni mtihani mkubwa wanawake huo ni msibaa mkubwa inaaa lilaahiii wainaaa ilaahi raaajuhn poleni sana Sasa wewe unawawekea biti watu wewe naniii uislam hautakiwi hivyo mnafki mkubwa inaaa lilaahiii wainaaa ilaahi raaajuhn poleni sana waislam wenzangu mmekua wanafki sana kiboko wako kishki alikwambieni ukweli kazi pesa elfu kumi kumi sema laaailaaa haaaailaaalhaaah pesa elfu kumi inaaa lilaahiii wainaaa ilaahi raaajuhn huo ni msibaa mkubwa
MM NAMUOMBA ALLAH UNACHO KIPAMBANIA WW SHEKH SHARIFU ILI WAJA HAPA DUNIAN TUNUSURUKE....NAWE UTAVUKA KWA HAYO WAYAIBUAYO MASHETAN BINADAM NA MAJJINNI....INSHAALLAH UTAVUKA
Anacho pambania ni kipi?utueleze wew na yeye hizo tiba kama hizo kazitoa wapi?nahazipo kwenye kitabu wala sunna hayo niyakwake tu na mtume anasema mwenye kuzusha jambo jambo ambalo halipo kwenye dini basi jambo hilo atakuja kurudishiwa mwenyewe sasa wew ungana nae kwavile wanawake wengi anawafurahisha lakini kwenye uislam hayo yakujifananisha namakafiri kua tunaupako kwetu hayapo
Acha kudanganya watoto wa kike hapo Kijana bdo mdogo sn unaingia Kwenye vita na m mungu na hao machawa wako walio pembeni Allah awaingoze ,,hakuna mtindo wa dua za namna hiyo ktk uislam kwanza hamna sheriff anaejisifia
Huyu ni mshirikina anatumia mashaitwan wanawake kuweni makini na hawa watu ni washirikina wanawaingiza katika shirki na itawapelekea kukaa motoni milele someni dini yetu mjue ipi tiba sahihi na ipi ni shirki ila hawa ni washirikina sana na wanawake ndio waliwao kila siku
Vita nikubwa kwa masheitwan binadam na masheitwan majini....SHEKH UKIAMKA DUA...UKILALA DUA...USIJE UKAKATISHWA TAMAA NA HAO WASITAKA ULIMWENGU UZINDUKE.
Kwa usema ukweli hawa watu wanatapeli sana watu hasa wanawake ndio wanatapeliwa sana jamaani yatupasa tu some dini yetu hasa kina mama someni dini acheni kuingizwa kwenye shirki hata Quran hajui kusoma
Nawasihi sana maimamu wote wanaojitambua wasimpe jukwaa la kuongea kwenye miskiti yao maana wanajitia aibu kwa kitendo cha kujihusisha na mtu kama huyu Mimbar na Qibla kwenye misikiti zisipewe mtu yeyote kuongea ambaye hana Ilmu na hana Silsila ya Ilmu
Huyu mbwa kwenye kur,an nikufuru ilio pitilza mpaka najiulza majibu sipati lakini hata hmnz alisema mungu ni mwanamke na akapata watetezi tena wengine walikuwa mashekhe wapumbavu
Dini Na Matendo Ya Mtu Nj Vitu Viwili Tofauti Kaka,Ukiataka Kujua Dini Ya KIISLAMU Soma Kitabu Cha ALLAH Ambacho Ni Quran Kisichokuwa Na Shaka Na Nikisafi.Ukisoma Ndio Utaelewa Dini Inaamrusha Nini.
Wewe Dogo Kwanza Ungejifunza Kuisoma Vizuri Quran Maana Yaonesha Huijui Vyema Quran.. Alamyaja'al Qaida . watusomea Almnajaalkaida... Kawaida Ya Uongo Huwa Haudumu..
Endelea na tiba kijana wakucukiya wacikiye. Alie tapeliwa ajitokeze tuone tusifate kumbo ju Kishki kasema basi ikawa ni kweli hata yeye ni binaadam. Fitna tu
Muongo tu jenga hoja zenye mashiko acha utapeli. Walimushirikina final jaanam ghalidina fiha abadan. Aya nyingi kwenye kuran zimemzungumzia mshirikina ataiona pepo milele na milele
Kaka huo unaofanya ni ushirikina, hakuna katila diniyetu dua alafu unafunga mafundo sanda, kaka narudia tena acha ushirikina Allah atakudharirisha kuleta ushirikina katika dini yake. Hakuna mazindiko katika uslamu huo ni uchawi. Na atakuja kunidisapoint ustadhi langu shrkh shafi siku akija kukutetea
Daaah. Mafundisho ya wapi haya ktk uislamu. Et shekhe kiboko ya wachawi yeye harogwi wakati mtume wake tena kipenzi cha Mwenyezi Mungu alirogwa kama mtihani ila yeye sasa anadai harogwi. Sikia wanawake wanavyo furahi daaah so sad kwakweli
Hii biashara Mzee...mnapigwa tangazo LA biashara hili....dalili za mtu muongo ni kuapia apia bila sababu...matapeli muogopeni Allah hii dini wamekufa mitume na maswahaba kuitetea dini hii...acheni kutapeli kupitia dini
Allah akupe nguvu upambanie kile unacho Kiamini...KUBWA USMAME NA LAAILAHA ILLAALLAH MUHAMMAD RRASULULLAH.
Wanawake wanapenda sana uongo kuliko ukweli huyo ni mganga wa kienyeji sio mbaya tiba hizo ila usharifu hapana
sanaa ndo maana mtume aliwaona watu walio wengi motoni ni wanawake
Kwa sbbu duniani w’ke wengi. Na ingekua duniani w’me wengi nawao wangeonekana. Si tunaona ukhabithi wao nawao
Huyu mtoto inawezekana anachokifanya ni sawa, Allahu aalam, navoona Mimi ni tatizo amekosa hekma, na hivo anavofanya tiba hadharani wanawake wa kiislamu kuchagawa hadharani wakipiga makelele sio vizuri. Mambo katika uislam yanahitaji stara.
Allah ndie mjuzi wa yote
Huyu mtoto inawezekana anachokifanya ni sawa, Allahu aalam, navoona Mimi ni tatizo amekosa hekma na maneno ya kebehi dhidi ya mashehe walio na umri kama wazazi wake, na pia hivo anavofanya tiba hadharani wanawake wa kiislamu kuchagawa hadharani wakipiga makelele sio vizuri. Mambo katika uislam yanahitaji stara.
Allah ndie mjuzi wa yote.
Mungu AWAANGAMIZE WASHIRIKINA WOTE MOTONI.
ALLAAH AWAONGOZE WASHIRIKINA WOTE KABLA YA KUFA
Umetisha kwa kuwaombea duwa washirikina wabadilike@@الزغويالزغوي-ض3ن
Watu wengi hawajui maana hasa yaushirikina.... aallah atuongoze
Naam maisha nimagumi sana... wachawi niwengi
@@الزغويالزغوي-ض3ن
Mwenyezi Mungu Hawasamehe kushirikishwa na humsamehe yaliyo duni ya hilo kwa amtakae.
Na anae mshirikisha Mwenyezi Mungu basi amezua dhambi kubwa"
Suratul Nisaa(4:38)
MUNGU AWAANGAMIZE WASHIRIKINA WOTE
AWADHALILISHE HAPA HAPA DUNIANI.
WASILAMU WATAFAUTISHE HAKI NA MAUZA UZA YA WASHIRIKINA.
Wanawake,Wanawake,Wanawake Hivi Kwanini Mnakuwa Wadhaifu Sana?!!! ALLAH Awanusuru Ila Wanawake Wakiislam Mnatudhalilisha Sana Wallahi
🫢Sub'haana llah!! Daaah hzo ndo dalili za qiyammah jmn mnadhan nan ataingia moton mnatak wakosekane wa kuingia jahhannam, pia washirikina wote wanao jivika vazi la uislam na kumkufuru allah ndo watakuw wakazi wa jahhannam; ila allah humuongoa amtakae na humpotosha amtakae naiman ipo sku utazinduk inshallah allahumma ameeen thumma Ameen 🤲
Je wewe wajijua utaingia peponi na hivyo viibada vyako
Bismilaahi rahmani raahim namshukuru mungu tena sana alhaamdulilaah na yeye ni mfalme hakuna mwingine zaidi YAKE AMIN AMIN AMIN AMIN yaarab AMIN alhaamdulilaah namshukuru mungu tena sana kua mwislam dini iliyoo nyookaa na isiokua na shaka juu yake alhaamdulilaah uislam raahaa sana alhaamdulilaah uislam ni njiaa iliyoo nyookaa alhaamdulilaah wanawake wajinga tena sana ni mtihani mkubwa wanawake huo ni msibaa mkubwa inaaa lilaahiii wainaaa ilaahi raaajuhn poleni sana Sasa wewe unawawekea biti watu wewe naniii uislam hautakiwi hivyo mnafki mkubwa inaaa lilaahiii wainaaa ilaahi raaajuhn poleni sana waislam wenzangu mmekua wanafki sana kiboko wako kishki alikwambieni ukweli kazi pesa elfu kumi kumi sema laaailaaa haaaailaaalhaaah pesa elfu kumi inaaa lilaahiii wainaaa ilaahi raaajuhn huo ni msibaa mkubwa
wew tapel fany kazi
Huyu jamaa ni msenge tuh asitutukanie ma shekhe zetu, asifosi tufanye maamuzi nikiwa kama muislam. Mungu niongoze🙏
Oya waisikiliza Aya ya kwanza ya alamtara wakajua jamaa kaboronga waje apa chino😂😂😂
Muwadanganye wanawake ambao hawajielewi lakini wanawake wenyedini hapana
Mashkh wakata suruali wamenyooka vby mno huku kwadufu Iman dhaifu sanaa
Siku yako itafika tuu ww mshenzi.....unaongopea hao mambumbu...mungu anakuona
Duh shehe unazungumzia hadi vikoba ktk dini
Jamaa hata Qur'aan hajui msikilizeni hiyo alam tara daa 😢😢😢😢😢😢😢
Nashangaa wanao kwenda wanasomewa dua gani?
Na anasema kila nmoja aweke elfu kumi halafu waseme maisha magumu kumbe pesa wanawapa wendawazimu
@@Shamshuunoon hawa bakwata sijui wanakazi gani kuwafumbia matapeli macho , wallah inauma
@@Shamshuunoonwomelogwa hawaposawa hao.😂😂
Ajawai kutokea sharifu kama uyu mshamba mmoja uyo
Hawa ndo wanaochangia kuudhalilisha waislam
MM NAMUOMBA ALLAH UNACHO KIPAMBANIA WW SHEKH SHARIFU ILI WAJA HAPA DUNIAN TUNUSURUKE....NAWE UTAVUKA KWA HAYO WAYAIBUAYO MASHETAN BINADAM NA MAJJINNI....INSHAALLAH UTAVUKA
Anacho pambania ni kipi?utueleze wew na yeye hizo tiba kama hizo kazitoa wapi?nahazipo kwenye kitabu wala sunna hayo niyakwake tu na mtume anasema mwenye kuzusha jambo jambo ambalo halipo kwenye dini basi jambo hilo atakuja kurudishiwa mwenyewe sasa wew ungana nae kwavile wanawake wengi anawafurahisha lakini kwenye uislam hayo yakujifananisha namakafiri kua tunaupako kwetu hayapo
@ramadhanhassan5285 msipo ona anacho kifny Allah anatosha...hii ni DUNIA bhnaa.
@ramadhanhassan5285 Kwani panadol ipo kwenye kitabu
Mganga sharifà
Kila ngoma haikosi wachezaji"
Nahii ngoma imepata wachezaji bila uoga"
Namm ninatangazo langu
Ukimali lakiwanja nitangazie biashara yangu ya kigenge liwe duka kubwa"
Tapeli chini ya kimvuli cha usharifu
Tapeli mkubwa wew uwache wizi nyama wew
Mambo yamakafiri hayo washirikina wakubwa njie
Acha kudanganya watoto wa kike hapo Kijana bdo mdogo sn unaingia Kwenye vita na m mungu na hao machawa wako walio pembeni Allah awaingoze ,,hakuna mtindo wa dua za namna hiyo ktk uislam kwanza hamna sheriff anaejisifia
بل الإنسان على نفسه بصيرا
Watu wanapenda wachekeshaji hawapendi wasema kweli
Uzuri ni kwamba shekh kishk yeye kafikisha tu kajitoa dhima mbele ya Allah, asa wee ona kama unamkomoa yeye na USHIRIKINA wako 😂😂😂😂
Mganga wa kienyeji katika ubora wake
Na vijanajike vipo vinadanganywa
Shekh uje na mwanza tunarogwa sana
We mnafiki sn hayo kwanza ni mafuta ya zaituni hlf unajidai kudanganya watu ipo siku yk utaadhirika
Huyu ni mshirikina anatumia mashaitwan wanawake kuweni makini na hawa watu ni washirikina wanawaingiza katika shirki na itawapelekea kukaa motoni milele someni dini yetu mjue ipi tiba sahihi na ipi ni shirki ila hawa ni washirikina sana na wanawake ndio waliwao kila siku
Huyo ni mganga wa kienyeji
Mashehe piganeni tuone maana Tanzania imechafuliwa daa
Vita nikubwa kwa masheitwan binadam na masheitwan majini....SHEKH UKIAMKA DUA...UKILALA DUA...USIJE UKAKATISHWA TAMAA NA HAO WASITAKA ULIMWENGU UZINDUKE.
Mganga. Wa kienyeji halafu wanawake no wapuuzi kishenzi!
Allah amuongoze aweze kuiona haq
Allahumma ameeen 🤲
Kwa usema ukweli hawa watu wanatapeli sana watu hasa wanawake ndio wanatapeliwa sana jamaani yatupasa tu some dini yetu hasa kina mama someni dini acheni kuingizwa kwenye shirki hata Quran hajui kusoma
Sa mbna sharifu mwenyew anabana pua kama anachamba au co rizki uyu
😂😂😂😂
Hahahaaaaa Umeona eeee wanaulizwa tu uongo kweli
Kweliiiii
Uongo kweli kweliiiii
Naa anaependa kuapa saana huyo nimnafkiii,,,Sasa huyu jama wallahi nyingiiii,,,,,karogwaa mtume itakuwa wewe eti mama yangu anaitwa Hawa njo niroge,,,ACHA kujisahau wewe
Nakuapia vitu vya uwongo zambiyakehiyo unawezakuchanganyikiwa
Wewe mwiziii mkubwa
Mimi kinacho fanya nikusapot wagalatia wanawalitadisha sana waislam kwa sababu ya tiba kaza uwaludishe kwenye uislam
Ss qnawarudisha anawaangamiza?
Wanaojuwa kusoma Quran wote wanajuwa kuwa Firdaus hajui kuaoma Quran kama ilivyoandikwa.Masikini wanawake wengi hawajui Quran.
Nacc waislaam mwaka tunaofunga na tunaofungua sio huu wa kikristo wa milaadiyah, mwaka wetu ni hijriyyah
Kumbe kweli maneno ya sheikh kishki Qur-an haijui kweli huyu ni mganga wa kienyeji
Hajui Qur'an wala Du'a.
Muda wa kuongea naye kwa hikma umekwisha. Sasa hivi ni akemewe wazi wazi maana anatia aibu uisilamu na kuwapotosha watu
Nawasihi sana maimamu wote wanaojitambua wasimpe jukwaa la kuongea kwenye miskiti yao maana wanajitia aibu kwa kitendo cha kujihusisha na mtu kama huyu
Mimbar na Qibla kwenye misikiti zisipewe mtu yeyote kuongea ambaye hana Ilmu na hana Silsila ya Ilmu
Sharifu mapete
Duh huyu kijana mnafiq hatari sana na rais wenu Samia lazima amchukulie hatua
Kina mama amkeni mnatapeliwa kisha nna waswas nae km si shoga
Matapeli hao hata karima toohd hujui kuitamka mshamba mmoja ww hata kiswahili kutamka herufi hujui fala ww
Kwanza maji yametiwa rangi siuongo huo haya wadanganye kwakuwa wanawake ndio viumbe wepesi wakutapeliwa ila haya kijana
Kwa kitambaa cheupe😢😮
ولا تطع كل حلاف مهين
Huyu mbwa kwenye kur,an nikufuru ilio pitilza mpaka najiulza majibu sipati lakini hata hmnz alisema mungu ni mwanamke na akapata watetezi tena wengine walikuwa mashekhe wapumbavu
hamna kitu hapa mpiga pesa Tu....AKA tapeli mkubwa...😂😂😂😂😂njaa Tu inamaumbuwa
Sasa hiyo dua gani sasa kama sio ushirikina huu
😂😂 Dah! Kweli usanii
Hee hukumwisho naskia kama wanasema alaji au cm yangu inazingua😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂 Sharifu unachekesha kumbe hujui kweli kusoma qur-an, subhaanallaah, Alamtara huijui
hapa nyie tanzanis mwazidi sasa mwache ushirikina
Mimi nikuwa siaminigi kuwa uisilamu ni dini ya haki ila imeanza kudhihilika na bado tutaendelea kuijua vizur dini ya haki
Dini Na Matendo Ya Mtu Nj Vitu Viwili Tofauti Kaka,Ukiataka Kujua Dini Ya KIISLAMU Soma Kitabu Cha ALLAH Ambacho Ni Quran Kisichokuwa Na Shaka Na Nikisafi.Ukisoma Ndio Utaelewa Dini Inaamrusha Nini.
Huna adabu hata ya kuvalia nguo tapeli mkubwa huna wazazi
Huyu ana mapungufu kichwani ni taahira huyu
NAMI NAITAJ DUA ZAKO SHEKH NAFANYA KAZ KM YKO
Jiombee Mwenyewe Shekhe Jiamini Na Mtegemee ALLAH Utafanikiwa Zaidi Kuliko Kutegemea Watu
Wewe shalifu feki pia shalifu njaa
Wewe muooongooo mkubwa
Tapeli
ujanja ujanja mwingiiiii😂😂😂
Njaa itakupelekeni pabaya njaa itakupelekeni paya fedheha gani hii usanii mtupu
Sharifu mwezi hata سورة الفيلhayijui kuyisoma halafu anajita sharifu nime cheka kwasauti😅😅😅😅😅😂😂😂😂😂😂
😂😂😂kawalainisha. Alafu anawapigakibom elfu 10 kilammoja mpaka na watoto😂😂 hatali
Hakuna sharifu hapa ni janja janja Tu zao
Huyu akamatwe
Mh na vitambaa vyeupe Tena
Dalili kubwa za kumjua mtu mnafiqi ni kuapa apa bila kuambiwa apa
Mm sijaona shida maaana kunasalafi pale majohe anasomea rukia spesho kwa lakimbili na nusu ila hawayaoni hayo
Ata akisomea kwa millioni km hana sifa ndo hamna kitu huyo
Wewe chizi muogope Allah hii yote ni njaa tu unafanya hayo
Mganga
acha uongo njaatu inakusumbuwa nyoooo
Wewe Dogo Kwanza Ungejifunza Kuisoma Vizuri Quran Maana Yaonesha Huijui Vyema Quran.. Alamyaja'al Qaida . watusomea Almnajaalkaida... Kawaida Ya Uongo Huwa Haudumu..
duh sasa wewe mbona mganga wakienyeji kabx siujitangaze2 shekhe mbona wateja wapo Na utapiga pesa kuliko hivi unavofanya Nizambi
Matapeli wa kidini
Acha purupangadi zako soma Surat yasini mbele ya watz
Hiyo Suratul Fiyl Haijui Akaisome Yassin..
Kwanza sijawahi msikia akiongea jambo ajatoa na ayaaa mmh @@kisiwaPanza
Endelea na tiba kijana wakucukiya wacikiye. Alie tapeliwa ajitokeze tuone tusifate kumbo ju Kishki kasema basi ikawa ni kweli hata yeye ni binaadam. Fitna tu
Bac asiegemee kwenye dini km watu watamuliza tatizo anatumia mgongo wa dini na hakuna mafundisho haya
Muongo tu jenga hoja zenye mashiko acha utapeli. Walimushirikina final jaanam ghalidina fiha abadan. Aya nyingi kwenye kuran zimemzungumzia mshirikina ataiona pepo milele na milele
Kaka huo unaofanya ni ushirikina, hakuna katila diniyetu dua alafu unafunga mafundo sanda, kaka narudia tena acha ushirikina Allah atakudharirisha kuleta ushirikina katika dini yake. Hakuna mazindiko katika uslamu huo ni uchawi. Na atakuja kunidisapoint ustadhi langu shrkh shafi siku akija kukutetea
Sharifu gan wewe
Mbona tabia zakimwamposa
Wateja wakubwa wa wachawi ni wanawake
Siku hzi na wanaume pia. W’me wengi wanapenda utajiri wa kishaitwani
Wa waislam wa msimamo mkali sijui wako wapi?..makhanithi kama hawa ndo wakuchapwa bakora..
Labda wenye njaa kali
Hatahuyo kishki alikuwa akisomea watu rukia lakini sio bure kunawaislamu wanarohombaya sana na chuki wanataka wapate waotu
Km izo sifa 12 anazo jee? Kwanza Kishki silsila yake inatokana na bwana Mtume Swallallaahu a'layhi wasallam, kwahio yy ni sharifu halina shaka hilo
Somadini ujue msingi wadini ili ufahamu mipaka yako
Bakwata iko wapi inamuacha mtu huyu anakufuru
Huyu ni shoga kabisa. Anahitaji ruq-ya ya kisheria masheitwaan yote yatatoka kwenye bongo lake.
Hadha ddajal
Mbona wagonjwa wako ni wanawake na watoto
Sisi wanawake ndio twawatawalisha waganga 😂😂😂😂😂 Mungu atusamehee na atuongoze
Daaah. Mafundisho ya wapi haya ktk uislamu. Et shekhe kiboko ya wachawi yeye harogwi wakati mtume wake tena kipenzi cha Mwenyezi Mungu alirogwa kama mtihani ila yeye sasa anadai harogwi. Sikia wanawake wanavyo furahi daaah so sad kwakweli
Hii biashara Mzee...mnapigwa tangazo LA biashara hili....dalili za mtu muongo ni kuapia apia bila sababu...matapeli muogopeni Allah hii dini wamekufa mitume na maswahaba kuitetea dini hii...acheni kutapeli kupitia dini
Kwenda uko mshirikina mmoja ww ni mfanya biashara sio sharifu wala shekhe ww ni shaitwan
Usiape mshilikina wewe wagonjwa wa ukweli wapo hospital muhimbili nenda ukatibu
Wanaorogwa ni wamama tuu