Wallahi shekh wangu mpendwa mbainishaji wa haqqi na batil shekh Muhammad bachu wewe unatuelimisha sana zaidi hata ya sana na hawa jamaa wanajikusanyia matatizo makubwa mbele ya Allah .
Assalamu alaykum warahmatullah wabarakaatuh, wazima nduguzangu, Wallahi cheikh bachu nampenda hao waganga hawana lolote ila matusi na makelele tu,hata huku burundi wasumbuwana hivohivo ila huko ni ashaddu, ALLAH AKUHIFADHI CHEIKH WANGU.
Wallahi yusufu diwani haifai kumsikiliza mpaka atubie nakama hajatubia haifai kuskikiliza kwasababu ni mpotoshaji na muovu na mjinga kwenye tawhidi na mshirikina, Allah tuepushe na fitna za yusufu diwani na wenzake
Sheikh sisi tuanaokuelewa Wallahi tunakupenda kwa ajili ya Allah. Kazi unayoifanya ni kubwa sana hasa kwa sisi tuliokuwa na itikadi ya kikhurafi mwanzo. ALLAH akulipe kila la kheri. Pata nafasi utembee Kisumu Kenya ndugu yetu.
Maashaallah ostadh Muhammad Allah akuhifadhi ila nilichogundua...Hana elimu chuki tu zina mpelekesha... Aya ya Allah anaitilia wasiwasi ati Wakisema Allah unadhani ni huyo Allah unayemfikiria...Bila kuangalia siaqi ya Aya... Mtu akishuhudia ni mwislamu ndio ila uislamu umekamilika hali ya kuwa ameacha nguzo nyingine za uislamu?? Kama ulivyosema uchache wa tawhiid na kutaka kuonekana hajakosea... Kumbe anajiangamiza ... Allah asimfishe katika itikadi hii... هداه الله🤲
Sheikh Muhammad bachu Sisi huku Congo D R C tunafatilia darsan Yako kwa makini , Allah akujaze kila kheri na azidi kukulipa kheri na atujalie mwisho mwema Insha'Allah. Hao matapeli hawajuwi tawhid ndio maana wanatapeli wasio juwa tawhid.
DIWANI MBONA UNATUKANA,UNAHASIRA,UNAONYESHA ELIMU ULO NAYO NI KIDUCHU,WALAHI BILAHI BACHU MFUNDISHE HUYU MGANGA NA WENGINE TUNASOMA HAPA KWAKO MUNGU ATAKULIPA KHEIR INSHA ALLAH
Sinamengu yakusema juu Yako shekh wetu wa tawhid ilatu nakua nafurahika nikikusikiliza Kila mara namuomba allah azidi kukulinda allah akulipe mema duniani na akhera
Allah akuhifadhi ibn Bachu Makhuurafi masuuf wanakukhofia sana kiukweli hawana raha wallah nakuambiaa Mimi nikifuatilia darsa zako unatumıa vitabu lkn Masuuf cjaona watumie vitabu ni maneno ya kısıasa tu! kutoka Suudia
Nakupenda sana shekhe wangu Muhammad bachu kwa ajili ya Allaah mrithi sahihi wa masjid Sunnah tunakuombea kwa Allaah wakufungulie hawa ili uje uhuishe msikiti yetu
Shukran nafurahi sana unavyo mujibu sheikh lakini kunaneno limenichekesha eti mwanaharamu hhhhh hhhhh mbona ana tumia maneno mazito eti mwanaharamu Allah atuogoze Shukran sheikh Muhammad nakupenda kwaajili ya Allah❤❤❤
Al, hamdulillahi faida imepatina sana zaidi ya sana hawana hoja zaid ya ujanjaujanja tu Allah alipe shekh muhmmadi Naifuatilia xana hii mada ya tawhidi Wallahi hoja hawana hawa zaidi ya matusi hassa huyu mganga na kama kweli mko lillahi kaeni kielimu sio porojo
Sheikh Muhammad simama na hakki tu na utapata ujira kutoka kwa Allah tabaraka wataala. Hawa jamaa ni washirikina na hawataacha kukutukana mpaka uungane nao katika kufru. Allah akulinde na fitna na ushawishi wa wanafik hawa.
Tatizo masufi hawakufunzwa somo hili la Tawhid na ndio maana wengi wao hawana haja ya Tawhidi za kumpwekesha Allah mimi nimesoma kwa hizi madrasa za kisufi tulikuwa tukifunzwa dhikiri mawlidi na kuwakomoa watu sana sana wanawke mnafunzwa rukia feki... Hata Qur'an masufi bado na uikipata sufi anasoma Qur'an kwa hukmu zake ujuwe anafanya kwa kuwakomoa wtu sio kwa ajili ya Allah... Na ndio maana wao hawana mda wa kumridhisha Mola wao wana mda ya kuwakomoa hela wajinga.. Alhamdulilaah kwa hidaaya kwa kweli wanachuoni wa Ahlu sunna wametusaidia sana sisi vijana... Allah awahifadhi na awape elimu yenye manufaa
M'mungu azidi kukupa elimu na ufahamu tuzidi kunufaika,kama uskilizi kiushabiki basi utamuelewa sheikh Muhammad Bachu,lkn kwa bahati mbaya wengi wetu dini tunaifanya kama timu za mpira,nimemfuatilia sana sheikh Muhammad mara nyingi huongea kwa dalili,tofauti na wengine
Kijana wetu usi vunjiki moyo kwa hayo maneno machafu anayo yasema pambana mtoto wetu uko kwenye ukweli tuna kupenda saaana wa islam kutoka inchini burundi tuna fata saana mijadala yenu allah akuhifadhi
Allah akupe Fahamu sahihi na muongozo Mtume kasema katika kila ugonjwa una dawa je watu hawaumwi mpaka kufa na dawa wanatumia Kuna uhusiano gani kati ya cheni na kuuwa chawa aliyovaa shaykhul islam Tupeni elimu yenye faida na sio khiyana mnayofanya
Dah yaan shekh bachu unawanyoosha hawa matapeli vibaya sana Mungu akuhifadhi na hasad mana km wangkua na uwezo wangekupiga juju hawa, Mungu akuepushie mbali
Diwani kwa hapa umeharibu ubishi tu unakusaidia lkn dah kwa akili zetu tunamuona hana ujuzi diwani unamshirikisha sana Allah dah musiba mkubwa kwako diwani
Nilikua sijuwi kua Yussuph diwani hajielewi. Lakini Alhamdulillaah kwa sasa nimeona wazi wazi kua Yussuph diwani hamna kitu. Namshauri Arudi upya kusoma na pia akajifunze Uslubu wa kuongea na hikma katika maongezi.
Yaani kusoma na kuburuzwa vitu tofauti sana. WAKRISTO wana Amini Mungu yuko na ndie muumba wa vyote, lakini wao wanampa sifa za (ULUHIIYA) Rasulli Allah Issah ibn Maryam, aleyhi salatu wasaalam.
Katika bakora amepigwa Yussuf diwani ikamuingiya kikweli kweli basi hii bakora imemuingi aswaaa Muhammad bachu siyo saizi yako diwani umepigwa KO ya hatar mnooo wallah wallah hakki itasimama tena itasimama kama 1
Mashaa Allaah Mohamed Bachu endelea nao hao Maana kiukweli tunaupata ukweli wa dini pili tunapata elimu ilioaahihi kwa mwenye uelewa La kama watu wanakusikiliza kwa ushabiki kushabikia basi hawatakuelewa kabisaaa Yaani kiukweli hata Mimi nisie na elimu nakubali kipindi Cha nyumba nilikuwa naona hao wanaoitwa mawahabi hawapo sawa Ila kadiri nilipokuwa nikiwafuatilia ndio nakita uislaamu upo kwa ahalal Sunna walijamaa Kiufupi huyo aliemuita mwenzie mwana haramu haeleweshi Bali anashabikia kitu Fulani au anatetea jambo Fulani na halina manufaa kwenye uislaamu Na jengine nilimsikiliza Sana maana alisema Mohamed Bachu hua ana community mwenyewe kwenye hizi clips zake nilishangaa sana
Allah sw akuhifadhi ktk mjadala mtu akianza kutumia lugha za kashfa ameshindwa huyu mganga diwani tyr keshaonesha margea hamna kitu,we wacharaze ivo ivo kwa evidence na lugha safi
Shekh muhammadi ww fundi na mwalimu wa kufundisha, lakini hawa masufi wengi wao waganga wa kienyeji na wachawi wachawi, ndiomna wana pingana na tahweed ili issue za kuabudia makuburi waendelee nazo
Alaf ushabiki eka kando angalieni vile bachu anachambua vitabu ,mashallah..kama unataka haki utaelimaka tu..acheni ubishoo kwenye dini ya Allah..
wallah kila mda nafungua youtube natamani nione video zako mpya jins unavowatandika hawa Makhurafi. Allah akuhifadh
youtube.com/@qanat_bin_isa?si=xDk5hXS6kqGMBpqF
Wallahi shekh wangu mpendwa mbainishaji wa haqqi na batil shekh Muhammad bachu wewe unatuelimisha sana zaidi hata ya sana na hawa jamaa wanajikusanyia matatizo makubwa mbele ya Allah .
Elimu dosari
@@shuaibabdullahi7544 elimu dosari kivipi?
Assalamu alaykum warahmatullah wabarakaatuh, wazima nduguzangu,
Wallahi cheikh bachu nampenda hao waganga hawana lolote ila matusi na makelele tu,hata huku burundi wasumbuwana hivohivo ila huko ni ashaddu, ALLAH AKUHIFADHI CHEIKH WANGU.
Wallahi yusufu diwani haifai kumsikiliza mpaka atubie nakama hajatubia haifai kuskikiliza kwasababu ni mpotoshaji na muovu na mjinga kwenye tawhidi na mshirikina,
Allah tuepushe na fitna za yusufu diwani na wenzake
Wallahi mm hawa Masufi wanaanza kunitoka kidogo kidogo namuomba ALLAH azidi kunipa ufahamu. INSHAALLAHU
atuzidishie sote ufahamu akhii
Maashaallah ndugu yetu Allah akupe taufiq ktk kuifuata haqi
Tunapenda kwaajili ya Allah
Sheikh muhammad bachu Masha allah wewe huko sahihi kabisa uhibuka fi allahi from Moçambique 🇲🇿🇲🇿
Ele não sabe nada, ainda não criança
Maashaa Allah Allah akuhifadhi cn shaka tena nlikua natak nijue kwanini anaitwa mganga na mchawi Alhamdulillah tupo sawa sasa Baraka Llahu fiyk
Mashallah Tabaarakal Rahman.. Allah akupe umri mrefu wenye kheri na wewe
Ametakasika m/mungu aliyeteremsha quran... Kwa hakika hakuna mola ispokua yeye... M/mungu akuhifadhi muhammad bachu kwa hakika umekuja na haki
SHEKH BACHU ALLAH AKUJAALIYE HAYA MAMBO UYAENDESHE KWA IKHLASWI UPO VIZURI MASHALLAH YAANI UNAWAAMBUA HAWA WANAOTIBU WATU KISHIRIKINA
Hakika
Leo umeshomesha sana MUHAMMAD BACHU ALLAH AKUHIFADH NA AKUPE AFYA MZUL
Al akhy ndugu yetu na sheikh letu Muhammad bachu Allah akuhifadhi na chuki na hasadi za makhurafi
Sheikh sisi tuanaokuelewa Wallahi tunakupenda kwa ajili ya Allah. Kazi unayoifanya ni kubwa sana hasa kwa sisi tuliokuwa na itikadi ya kikhurafi mwanzo. ALLAH akulipe kila la kheri. Pata nafasi utembee Kisumu Kenya ndugu yetu.
Maashaallah ostadh Muhammad Allah akuhifadhi ila nilichogundua...Hana elimu chuki tu zina mpelekesha...
Aya ya Allah anaitilia wasiwasi ati Wakisema Allah unadhani ni huyo Allah unayemfikiria...Bila kuangalia siaqi ya Aya...
Mtu akishuhudia ni mwislamu ndio ila uislamu umekamilika hali ya kuwa ameacha nguzo nyingine za uislamu??
Kama ulivyosema uchache wa tawhiid na kutaka kuonekana hajakosea...
Kumbe anajiangamiza ... Allah asimfishe katika itikadi hii...
هداه الله🤲
Allahu akbar....Allah akuhifadhi akhui...
Shekhe usia wangu kwako ni ihlas tuu katika Kila kitu na nakupenda Kwa ajili ya Allah mungu akuzidishie elmu na baraka tele
احسنتم وجزاكم الله خيرا ونفع الله بكم الإسلام والمسلمين❤❤❤
Allah akupe umri mrefu wenye faida Shekhe wangu.
Ameen
Sheikh Muhammad Tafadhali unapofundisha usitowe tusi hata likiwa dogo na usithubutu kumdharau yeyote hata unayebishana naye inshaAllah
Allah mpe taufiq
Shekh Nassor amepata urasi wailimu. Allah akuhifadhi
Nataman saana nipate kusoma dini kutoka kwako sheikh. Allah akujaaalie kheir
Sheikh Muhammad bachu Sisi huku Congo D R C tunafatilia darsan Yako kwa makini , Allah akujaze kila kheri na azidi kukulipa kheri na atujalie mwisho mwema Insha'Allah. Hao matapeli hawajuwi tawhid ndio maana wanatapeli wasio juwa tawhid.
Huyu ndie sheikh kijana bora na msomi bora afrika mashariki kama si afrika nzima sheikh muhammad nassor bachu allah amhifadhi.
Ameen
Mpe sifa umuangamize
Huyu ni bingwa wa mizozo duniani,hana lolote zaidi ya kiburi
Na hiyo Mtume S.A.W angekua na khulka mbovu Kama huyu Wala maswahaba wasinge muelewa
unachoyo nakiburi yeye@@RanadhanHamad
DIWANI MBONA UNATUKANA,UNAHASIRA,UNAONYESHA ELIMU ULO NAYO NI KIDUCHU,WALAHI BILAHI BACHU MFUNDISHE HUYU MGANGA NA WENGINE TUNASOMA HAPA KWAKO MUNGU ATAKULIPA KHEIR INSHA ALLAH
Daawa ya Sunnah ya mtume Muhammad itafika tu InshaAllah
Mashaallah Sheikh Muhammad Nassor Bachu Allah akupe umri mrefu wenye kheri ili uelimishe Umma. Hawa kina Yussuf Diwani wapo wengi sana
Jamaa wanatizama nani kasema na hawatizami nini kasema sisi unatufanya tuzidi kusoma unatushawishi sana mashaallah
Sinamengu yakusema juu Yako shekh wetu wa tawhid ilatu nakua nafurahika nikikusikiliza Kila mara namuomba allah azidi kukulinda allah akulipe mema duniani na akhera
Mashallah sheikh Muhammad bachu nakuelewa sanaa
MAASHAA ALLAH TABARAKALLAH SHEIKH ALLAH akuhifadhi nahusda
Jazakallahu khair sheikh.Allah akuhifadhi
Allah akuhifadhi ibn Bachu
Makhuurafi masuuf wanakukhofia sana kiukweli hawana raha wallah nakuambiaa
Mimi nikifuatilia darsa zako unatumıa vitabu lkn Masuuf cjaona watumie vitabu ni maneno ya kısıasa tu!
kutoka Suudia
Daa bachuu nakusikiliza vzr mpaka nalia Allah akuongozeee
MashaaAllah sheikh nakupenda kwajili ya Allah 😊
Masha Allah sheikh Muhammed bachu upo sawa endelea kutuelimisha jazakallahu khayrah
MashaAllah
Tunakuelewa vizuri sheikh Muhammad bachu
Nakupenda sana shekhe wangu Muhammad bachu kwa ajili ya Allaah mrithi sahihi wa masjid Sunnah tunakuombea kwa Allaah wakufungulie hawa ili uje uhuishe msikiti yetu
Allah subhanahu-wata-'ala atuhifadhi sote
Sheikh bachu Leo nimecheka sana wallah
Sheikh bachu nakupenda Sana,Allah anijaalie anipe Elimu nijue Uislam wangu kama wewe bachu
Alhamdulinlaahi Allah kutuonyesha ukweli ulipo, twamuomba Allah azidi kutuongoza sisi na hawa masufi
Shukran nafurahi sana unavyo mujibu sheikh lakini kunaneno limenichekesha eti mwanaharamu hhhhh hhhhh mbona ana tumia maneno mazito eti mwanaharamu Allah atuogoze Shukran sheikh Muhammad nakupenda kwaajili ya Allah❤❤❤
Ndio,,, watu wajinga wanapokuwa hawana hoja huleta matusi.
Wallahi masufi ni watu hatari namshukuru Alla Alla atuongoze na vizazi vyetu
يا شيخ محمد والله أوصيك لا تترك هذه الدعوة السنية ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
InshaAllah
اخبك فى الله اخويا
احبك عفوا
@@Muhammad_Nassor_Bachu_.Aslam aykum warahmatullah znz darsa zako msikiti gn tunataka Kuja kujifunza
Ustadh namuelewa sana na Allah azid kumpya afya zaid tuendelee kuchota elimu kwako huyu ustadh wa mbagara mungu anamuona
Allah akuhifadhi shekh wetu muhamadi nazidi kuwafundisha hao washirikina
Al, hamdulillahi faida imepatina sana zaidi ya sana hawana hoja zaid ya ujanjaujanja tu Allah alipe shekh muhmmadi Naifuatilia xana hii mada ya tawhidi Wallahi hoja hawana hawa zaidi ya matusi hassa huyu mganga na kama kweli mko lillahi kaeni kielimu sio porojo
Sheikh Muhammad simama na hakki tu na utapata ujira kutoka kwa Allah tabaraka wataala.
Hawa jamaa ni washirikina na hawataacha kukutukana mpaka uungane nao katika kufru.
Allah akulinde na fitna na ushawishi wa wanafik hawa.
Tatizo masufi hawakufunzwa somo hili la Tawhid na ndio maana wengi wao hawana haja ya Tawhidi za kumpwekesha Allah mimi nimesoma kwa hizi madrasa za kisufi tulikuwa tukifunzwa dhikiri mawlidi na kuwakomoa watu sana sana wanawke mnafunzwa rukia feki... Hata Qur'an masufi bado na uikipata sufi anasoma Qur'an kwa hukmu zake ujuwe anafanya kwa kuwakomoa wtu sio kwa ajili ya Allah... Na ndio maana wao hawana mda wa kumridhisha Mola wao wana mda ya kuwakomoa hela wajinga.. Alhamdulilaah kwa hidaaya kwa kweli wanachuoni wa Ahlu sunna wametusaidia sana sisi vijana... Allah awahifadhi na awape elimu yenye manufaa
Jiepushe na dhana sheikh
Amiin
M'mungu azidi kukupa elimu na ufahamu tuzidi kunufaika,kama uskilizi kiushabiki basi utamuelewa sheikh Muhammad Bachu,lkn kwa bahati mbaya wengi wetu dini tunaifanya kama timu za mpira,nimemfuatilia sana sheikh Muhammad mara nyingi huongea kwa dalili,tofauti na wengine
Allah atuongoze pia atuepushe na dunia.atupe subrila
ما شاء الله
Washooshe kaka na haji upepo tunamsubir naona kapotea ajiandae vzr tu InshaAllah Allah atakulipa ujira unaistahiki sheikh muhammad bachu
Hawezii kutokea mizinga anayoshusha machu wee uogop
Maashallah. Mwenyezi Mungu akulipe kheri kwa elimu unayotoa
BACHU ALLAH AMEKUCHAGUA UJE UWEKE WAZI USHIRIKINA NA NDO HAISAMEHEWI DHAMBI YA HAWA WASHIRIKINA KAMA WATAKUFA NAYO
Mashallah shekh Muhammed namuomba Allah akupe mri mrefu wenye kheri na wewe ili umma wa kiisilamu unufaike kwa ajili yako ---Amiin
Wallahi Yussuf Diwani ni Kumbe ni MSHIRIKINA MCHAWAI KHASWAA.
Kijana wetu usi vunjiki moyo kwa hayo maneno machafu anayo yasema pambana mtoto wetu uko kwenye ukweli tuna kupenda saaana wa islam kutoka inchini burundi tuna fata saana mijadala yenu allah akuhifadhi
Mashaallah UKITULIA somo linafika vizuri
Allaah azidi kukuhifadhi
Allah akuhitimishe pamoja natauhid asamehe pale ulipoteleza amin
Waalikum salaam warhamatullahi wabarakaat❤🎉
Allah akupe Fahamu sahihi na muongozo
Mtume kasema katika kila ugonjwa una dawa je watu hawaumwi mpaka kufa na dawa wanatumia
Kuna uhusiano gani kati ya cheni na kuuwa chawa aliyovaa shaykhul islam
Tupeni elimu yenye faida na sio khiyana mnayofanya
Basi kijina wetu bachou una kosea tena una kosea mimi niko njeee ya inchiii ila kipenzi wa ma shekh y dr aima mbongo
Dah yaan shekh bachu unawanyoosha hawa matapeli vibaya sana Mungu akuhifadhi na hasad mana km wangkua na uwezo wangekupiga juju hawa, Mungu akuepushie mbali
youtube.com/@qanat_bin_isa?si=xDk5hXS6kqGMBpqF
Wallahi kila zama Alla humleta mtu kwaajli ya kutetea dini yake Alla akuhifadh mtoto wa mm Amina na amsamehe mzee wako aliotangulia mbele ya hakki
Jazaka llahu khaira,,,,
Diwani kwa hapa umeharibu ubishi tu unakusaidia lkn dah kwa akili zetu tunamuona hana ujuzi diwani unamshirikisha sana Allah dah musiba mkubwa kwako diwani
Nilikua sijuwi kua Yussuph diwani hajielewi. Lakini Alhamdulillaah kwa sasa nimeona wazi wazi kua Yussuph diwani hamna kitu. Namshauri Arudi upya kusoma na pia akajifunze Uslubu wa kuongea na hikma katika maongezi.
Na'am hawa ni wachawi akhi na baya zaidi ni kwamba wanalijua hilo na wanafanya hiyana wal-iyadhu billah
Ayaaa ulicherewa diwan mbovuu
Tunafaidika sana hapa Marekani kwa Tauhidi.
Allah hakufanyie wepes ktk daawa zako inshaAllah
Mm hpa sheikh abul hussein Mohammed nassor bachu vizuri sna
Asalaamualaykum... Shekh Muhammad hawa waganga ndo wale alio wataja Allah katika suratul baqara "asufahaau" hawasomi wanafuata ngoma
Allah Akupe kila la kheri inshaallah watanyooka tu hawa
فَإِذَا رَكِبُوا فِي الْفُلْكِ دَعَوُا اللَّهَ مُخْلِصِينَ لَهُ الدِّينَ فَلَمَّا نَجَّاهُمْ إِلَى الْبَرِّ إِذَا هُمْ يُشْرِكُونَ
Naishallah sheh wangu mm niko kenya bali mm ni tz ila ndug yangu ujumbe wako unafika mbali ,naamin watatuelewa
Huyo ndiye shehe ya watu, wallahu musta'an
Yaani kusoma na kuburuzwa vitu tofauti sana. WAKRISTO wana Amini Mungu yuko na ndie muumba wa vyote, lakini wao wanampa sifa za (ULUHIIYA) Rasulli Allah Issah ibn Maryam, aleyhi salatu wasaalam.
HALAFU HILI JINA MTOTO WA HARAMU DAH,SHEIKH BUSARA HANA KABISA😥
Bado hujasema mpak muache kuabudu makaburi
Kuna mashehe na mashehena
ماشاء الله يا محمد
Katika bakora amepigwa Yussuf diwani ikamuingiya kikweli kweli basi hii bakora imemuingi aswaaa Muhammad bachu siyo saizi yako diwani umepigwa KO ya hatar mnooo wallah wallah hakki itasimama tena itasimama kama 1
جزاك الله خير ا يا اخانا
Mashaallah shehk kiboko na maghuraf na wachawi kama diwani
Shukran ❤❤
Sante san.....mungu akulipe kheir
وَالَّذِينَ يُؤْذُونَ الْمُؤْمِنِينَ وَالْمُؤْمِنَاتِ بِغَيْرِ مَا اكْتَسَبُوا فَقَدِ احْتَمَلُوا بُهْتَانًا وَإِثْمًا مُّبِينًا (58)
Hao majamaa kusoma hawataki ata kdg kisha wakielimishwa wanatukana .
MUNGU AZIDI KUKUPA NGUVU NA UTHUBUTU INSHAALAH!!!
Mimi nakukuomba shekh bachu utufundishe tiba sahihi
Muhammad bachu bhana eti tena linaapa 😂😂😂😂
Shekh Muhammad Nasor Bachu anapiga kwenye mshono
Shekh ujumbe umefika alla akuhifadh usivunjlike moyo kwa hawa mashetan wa kibinadam
Wanatapelia watu hawa😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Naapa mbele za Allah Wewe unajua kufundisha vizuri Tena kwa ushahidi hata tusio jua tunaelewa unavyo nyoosha
Voces nao podem discutir entre vocês, tem coisas muito importantes para combater no mundo Islâmico.....
Tawhid e más importantes mano quale más importantes duque tawhid?
Mashaa Allaah Mohamed Bachu endelea nao hao
Maana kiukweli tunaupata ukweli wa dini pili tunapata elimu ilioaahihi kwa mwenye uelewa
La kama watu wanakusikiliza kwa ushabiki kushabikia basi hawatakuelewa kabisaaa
Yaani kiukweli hata Mimi nisie na elimu nakubali kipindi Cha nyumba nilikuwa naona hao wanaoitwa mawahabi hawapo sawa
Ila kadiri nilipokuwa nikiwafuatilia ndio nakita uislaamu upo kwa ahalal Sunna walijamaa
Kiufupi huyo aliemuita mwenzie mwana haramu haeleweshi Bali anashabikia kitu Fulani au anatetea jambo Fulani na halina manufaa kwenye uislaamu
Na jengine nilimsikiliza Sana maana alisema Mohamed Bachu hua ana community mwenyewe kwenye hizi clips zake nilishangaa sana
Allah sw akuhifadhi ktk mjadala mtu akianza kutumia lugha za kashfa ameshindwa huyu mganga diwani tyr keshaonesha margea hamna kitu,we wacharaze ivo ivo kwa evidence na lugha safi
Halafu inaonesha wazi wazi kabisaaaa kua Yussuph diwani kwa Upande wa Qur ani hamna kitu
Shekh muhammadi ww fundi na mwalimu wa kufundisha, lakini hawa masufi wengi wao waganga wa kienyeji na wachawi wachawi, ndiomna wana pingana na tahweed ili issue za kuabudia makuburi waendelee nazo