Hongera sana,ila uwe mkweli katika kipindi hiki,siasa inapo wapangia viongozi wa dini nini cha kufanya,ukakeme maovu udhalimu bila kujali,Mungu awe ndie kiongozi wako na si vinginevyo.God bless u.
Hongera nyingi sana kwako Mhesh. Dkt. Baba Askofu Mkuu wa KKKT, ALEX GEHAZI MALASUSA kwa kuchaguliwa tena kwa mara ya pili, na leo umesim8kwa rasmi. Mungu akuongoze na kuusimamisha na kukuongoza ukitenda kazi zake kwa uaminifu mkubwa na hekima zake anayekuongoza. Mjoli wa Bwana, Aminiel E. Maro, Morogoro, Tanzania.
Yaani hapa ni usaniitu nikama alimuomba Mzee Shoo amshikie alafu kamrudishia nafasi yake si jaona sababu ya kufanya tena uchaguzi lakini basi. Hamna jinsi.
Sauti ya watu ni sauti ya Mungu walio wengi wameona anafaa kuliongoza kanisa kwa kipindi kingine tena. Kweli ya Mungu ni mengi wengi wameshangaa. Na ndio kazi ya Mungu ilivyo lazima binadamu ashangae. Mungu akuongoze kuitenda kazi yake Baba askofu malasusa
Sijui mno baba askofu wahurumie walio chin mnoo...wako walioumizwa na wakubwa kwa nafas zao Wala hawakuwajali Wala hawakuwahurumia..nafas uliyoipokea Tena shika njia nyingine usitembee na njia iliyotembelewa shika ingine na Yesu akuongoze ..tuliza mioyo
Huyu hafai kanisa la kkkt kwa mara nyingine tena tunapata mtu ambaye hataweza kulitumikia kikamilifu kanisa. Ni mtu anaependa kuegemea kwa wakubwa wa serikali. Hajui kukemea maovu ya serikali ndio maana wamemrudisha. atatumika kukandamiza demokrasia kwa kutumia vifungu kwenye bibilia vinavyosema, trinity mamlaka. Yupo kwenye kamati ya maridhiano ambayo haina maana ni usanii mtupu. Watu wanaonewa na wanalalamika hawasikilizwi. Hafai hakuna njia mungu atatulinda. Nilikuwa na imani kubwa na askofu shoo mungu amulinde.
Hawa watu wasilewe vyeo hawana mbingu ya kutupeleka wanatakiwa wawe na hofu na bidii sana kumtegemea Mungu wakemee dhambi waache kufanya siasa na roho za watu, hizi ni siku za hatari kemeeni dhambi ndg zangu mtadaiwa hawa watu mnaoita washarika siku moja, comply na biblia siku zote usifurahishe watu kwa maneno yakutiana moyo na moyo wako ukijua kbs sio sawa.all the best sir ❤❤
Wapendwa, maaskofu walifunga na kumwomba Mungu ili awawezeshe kumchagua,Mungu anayemtaka, sasa Mungu katipa Dr Askofu Alex Malasusa.Tusipingane na Mungu kwa hoja za kibinadamu, hatutamweza Mungu, ila tumwombee wapendwa ili Mungu amwezeshe kutenda Mapenzi yake.
Tunahitaji hospital ya Kanda ya kaskazin ijengwe Arusha tuachane na KCMC na hospital ya Kanda ya ziwa ijengwe mwanza tuachane na Bugando zilipe Kodi zinakwepa San kodi
Waumini KKKT mna akil sana hongereni sana KUONDOA shoo HUYO ASKOFU WA CHADEMA hakustahili kuwa kiongozi wa dini sasa aje majukwani Kwa siasa tupambane sio kutumia dini
Na historia mbaya kuliko zote ni ku tetea SIASA ZA KIOVU NA CHAFU. NA ANAHIATORIA YA KUTOSHORIKIANA VIZURI NA MAASKOFU WENZAKE...UKAIDI NA KIBURI. ALIGOMA KUSOMA WARAKA ULIONDIKWA NA ASKOFU SHOO JUU YA SIASA ZA UONEVU ZA MAGUFULI WAKATI AKIWA ASKOFU WA JIMBO LA MASHARIKI NA PWANI.
Kama Askofu mkuu anaweza kurudia wa kurudia alipashwa kua Baba Askofu Shoo.Tutakukumbuka kwa hekima zako busara zako na kwakuto vumilia udhalimu ulikua mkweli pale penye uongo ndani ya kanisa na nnje ya kanisa ulisema bila kujali. Mungu akubariki ikiwezekana na wewe urudie siku moja.
Hapa sijapenda Hii nidhalilisha kanisa kuwa hakuna watu bora wa kiliongoza kanisani Hapa naona haja ya kubadili katiba ya kkkt na kuweka namna bora ya kupata askofu mkuu
Hongera sana,ila uwe mkweli katika kipindi hiki,siasa inapo wapangia viongozi wa dini nini cha kufanya,ukakeme maovu udhalimu bila kujali,Mungu awe ndie kiongozi wako na si vinginevyo.God bless u.
Hongera Dr Malasusa always I appreciate you!!
Hongera Sana Baba Askofu Marasusah ❤
Nimefurahi sana sana sana. Namfurahia sana huyu ndugu. Ni mtumishi wa Mungu kweli. Ni mcha Mungu. Jina la Bwana libarikiwe.
Hongera sana DOCTOR BABA ASKOFU ELEX MALALUSA
Hongera Askofu Malasusa
Mungu aendelee kukutunza na kukuongoza baba.
Hongera nyingi kwa Askofu Malasusa. Nina imani kubwa nae.
Binafsi BABA Askofu Malasusa nakupenda sana, Mungu awe pamoja nawe katika kazi hiyo ❤
Hongera nyingi sana kwako Mhesh. Dkt. Baba Askofu Mkuu wa KKKT, ALEX GEHAZI MALASUSA kwa kuchaguliwa tena kwa mara ya pili, na leo umesim8kwa rasmi. Mungu akuongoze na kuusimamisha na kukuongoza ukitenda kazi zake kwa uaminifu mkubwa na hekima zake anayekuongoza.
Mjoli wa Bwana,
Aminiel E. Maro, Morogoro, Tanzania.
❤SAUTI YA WATU SAUTI YA MUNGU. HONGERA BABA ASKOFU MUNGU AKUTANGULIE.
Kongole kwake Askofu Malasusa.
Mwenyezi Mungu akuongoze na kukulinda katika utumishi wako.
Amen
Honger san baba askofu malasusa
Naukiona hivyo mungu ana makusudi na jambo Lake ongera sana mtumishi
Hongera Alex Malasusa kuwa Baba Askofu mkuu Mungu akulinde.
Hakika mchungaji Na Bishop shoo Mungu Amekupa hekima Zaidi bless you sir
Hongera sana mi nasema aliyeshinda ni mungu tu.
Mungu Mwenyezi Akuongoze.
Hongera Sana Malasusa, tunakuombea Sana Mungu akupe hekima za kimbingu na ukatende kazi yake Kwa uweredi na maalifa. Jesus Christ is your way
Yaani hapa ni usaniitu nikama alimuomba Mzee Shoo amshikie alafu kamrudishia nafasi yake si jaona sababu ya kufanya tena uchaguzi lakini basi. Hamna jinsi.
Hongera baba malasisa ubarikiwe sana tunakupenda
Mungu moja kanisa moja sisi sote ni wa Mungu moja tunashukuru kuwa katiba moja kkkt Amina
Haleluya..Glory to God
Hongera Sana baba askofu Dr Alex Malasusa. Mungu akutangulie katika huduma hio.
Huyo shoo alikuwa wamchongo ila sijajua Sasa huyu mpya
Hongera sana mtumishi wa Mungu Askofu Daktari Malasusa. Tunakuombea.
Hongera baba askofu❤❤❤🎉🎉🎉
Hongera sana Baba Askofu..Nakukubali sana Baba Askofu Malasusa....
Ashukuliwe Mungu awazae kutenda mambo kubwa namna hii, Hongera sana Baba Askofu
Mungu akutangulie Baba Askofu Mkuu wa KKKT Tanzania, Mungu ana haja nawe chapa kazi
KKKT waliotuachia waasisi ilishakufa zamaniiiiiiiiiiiiiiiii.
Umekufa ww
Kongole kwako Dr Alex G. Malasusa
Sijaelewa vizuli kumbe amelejea tena kuwa mteule. Sasa hakuna wengine mbona mnatamaa Sana izo pesa za kanisa ifike hatua muwe na aibu
Mimi pia sijaelewa katiba yao.
Ni mungu
Sasa kwani mkuu wa kanisa ni Mweka hazina???
Kwan akirudia tena shda ni nn?? Kwani ndo anayetunza hela ya kanisa??think big
Huwa nakupenda sana malasusa ila kumbe Huwa hakuna kustaafu u askofu mkuu kkkt aisee.
Sauti ya watu ni sauti ya Mungu walio wengi wameona anafaa kuliongoza kanisa kwa kipindi kingine tena. Kweli ya Mungu ni mengi wengi wameshangaa. Na ndio kazi ya Mungu ilivyo lazima binadamu ashangae. Mungu akuongoze kuitenda kazi yake Baba askofu malasusa
Sijui mno baba askofu wahurumie walio chin mnoo...wako walioumizwa na wakubwa kwa nafas zao Wala hawakuwajali Wala hawakuwahurumia..nafas uliyoipokea Tena shika njia nyingine usitembee na njia iliyotembelewa shika ingine na Yesu akuongoze ..tuliza mioyo
Huyu hafai kanisa la kkkt kwa mara nyingine tena tunapata mtu ambaye hataweza kulitumikia kikamilifu kanisa. Ni mtu anaependa kuegemea kwa wakubwa wa serikali. Hajui kukemea maovu ya serikali ndio maana wamemrudisha. atatumika kukandamiza demokrasia kwa kutumia vifungu kwenye bibilia vinavyosema, trinity mamlaka.
Yupo kwenye kamati ya maridhiano ambayo haina maana ni usanii mtupu. Watu wanaonewa na wanalalamika hawasikilizwi. Hafai hakuna njia mungu atatulinda. Nilikuwa na imani kubwa na askofu shoo mungu amulinde.
Una upeo mkubwa sana ndugu!hana jipya.
@@martinsimon7689 Ngoja tuone tusiangalie kibinadam. Aliye mchagua ndo atampangia cha kufanya.
Hawa watu wasilewe vyeo hawana mbingu ya kutupeleka wanatakiwa wawe na hofu na bidii sana kumtegemea Mungu wakemee dhambi waache kufanya siasa na roho za watu, hizi ni siku za hatari kemeeni dhambi ndg zangu mtadaiwa hawa watu mnaoita washarika siku moja, comply na biblia siku zote usifurahishe watu kwa maneno yakutiana moyo na moyo wako ukijua kbs sio sawa.all the best sir ❤❤
Wapendwa, maaskofu walifunga na kumwomba Mungu ili awawezeshe kumchagua,Mungu anayemtaka, sasa Mungu katipa Dr Askofu Alex Malasusa.Tusipingane na Mungu kwa hoja za kibinadamu, hatutamweza Mungu, ila tumwombee wapendwa ili Mungu amwezeshe kutenda Mapenzi yake.
Amen
AMINAAAA
Hongera askofu malasusa baba mwenye ekima nyingi na hofu ya MUNGU akutangulie katika KAZI ya kuliongoza kanisa kkkt
Hongera Sana baba Askofu Dkt A,G Malasusa kwa kuchaguliwa Tena kuliongoza kanisa la kkkt
Hongera sana baba askofu
Hongeraaa sana Askofu Malasusa, Mungu akutunze
Tunahitaji hospital ya Kanda ya kaskazin ijengwe Arusha tuachane na KCMC na hospital ya Kanda ya ziwa ijengwe mwanza tuachane na Bugando zilipe Kodi zinakwepa San kodi
Sawa umesikika
Acha wivu. Siku ukiumwa ukaponeq pale ndio udini utakutoka kichwani.
Asante mungu kwa ukuu wake
Mhuuuuuuuuuuuu sijui 🤷🏽♀️🤷🏽♀️🤷🏽♀️
Asante Mungu.
Hongera Sana Askofu ALEX Malasusa! Hekima na BUSARA zako vimetoka kwa Mungu Mwenyezi
mungu awabariki maaskofu wetu wote
Mungu ametangulia
Waumini KKKT mna akil sana hongereni sana KUONDOA shoo HUYO ASKOFU WA CHADEMA hakustahili kuwa kiongozi wa dini sasa aje majukwani
Kwa siasa
tupambane sio kutumia dini
Ongera sana ila hatuja ridhika na swala la bandari.
Nikweli atujalizika baba ascof bandali atuja lizka ukweli tunasema ulitazame upya
Andamana kwa amani
Mungu wa mbinguni aliyeziumba mbingu na Nchi aendelee kukuhekimisha ktk kuitenda kazi yake.
Na historia mbaya kuliko zote ni ku tetea SIASA ZA KIOVU NA CHAFU. NA ANAHIATORIA YA KUTOSHORIKIANA VIZURI NA MAASKOFU WENZAKE...UKAIDI NA KIBURI. ALIGOMA KUSOMA WARAKA ULIONDIKWA NA ASKOFU SHOO JUU YA SIASA ZA UONEVU ZA MAGUFULI WAKATI AKIWA ASKOFU WA JIMBO LA MASHARIKI NA PWANI.
Hongera Baba askofu malasusa
Hongera sana baba Askofu Alex Gehaz Malasusa kwa kuchaguliwa tena kuwa Mkuu wa Kanisa la KKKT-TZ
Dah! Sawa mababa Askofu
Mbona Dah tena
Malasusa hongera sanaa inaonekana bado watu wamekukumbuka
Kila la kheri baba askofu Malasusa
Binafs mimi namkubali sana malasusa MUNGU ampe afya njema ktk utume wake.
Kama Askofu mkuu anaweza kurudia wa kurudia alipashwa kua Baba Askofu Shoo.Tutakukumbuka kwa hekima zako busara zako na kwakuto vumilia udhalimu ulikua mkweli pale penye uongo ndani ya kanisa na nnje ya kanisa ulisema bila kujali. Mungu akubariki ikiwezekana na wewe urudie siku moja.
Kuna aja Gani kufanya uchaguzi
Waumini
Ila KKKT bana
Mmmmh...!!
MUDA UMEFIKA KWA DR. SHOO KWENDA KUFANYA SIASA CHA CHADEMA SASA!!!
Chadema ccm
Mimi ni Catholic pongezi kwa KKKT kwa kupata kiongozi hongera kwake🎉🎉🎉
ASANTE SANA NDUGU YETU
KKKT amani ndo maingi wa maisha yenu sisi waisilamu tuko pamoja na nyie sio wale washenzi tumeshawashtukia
Mshenzi ni wewe mwenyewe
Dr . Elionai Kimaro yuko wapi
Tunakupongeza Askofu F.Shoo kwa kuingoza KKKT
Kwa Amani na upendo na kwa kusuluhisha migogoro ndani ya KKKT
Anarudi tena?
Yes anarudi tena
Mbaguzi karudi madarakani
Hii inaitwa usiye mtaka Kaja
Hahaha.... Kambagua nani jmn
@@maulidmnukwa3171 mtafute hananja utapata jibu
Alienguliwa Uaskofu wakati fulani kulikoni utapata jibu.
@@simongwandu7392 OK.
Hapa sijapenda
Hii nidhalilisha kanisa kuwa hakuna watu bora wa kiliongoza kanisani
Hapa naona haja ya kubadili katiba ya kkkt na kuweka namna bora ya kupata askofu mkuu
Aongeee kuhusu bandari.
Bandari inamhusu Nini?? Kwani ni ya KKKT?? Afanye ya kabisa,ya bandari waachie Samia na serikali yake
Mh
Picha la kihindi, stelingi kafia kwenye maua. Eliona kimaro ndiyo alistahili kuwa askofu mkuu wa hili kanisa. Hawa wakina vladmir putin hawa🤔 dah.
Sasa mbona hajawa?
Uongozi ni kuachiana vijiti ili kupata mawazo mapya.KKKT amkeni uongozi wa kifalme haufai.
Anaye chagua ni Mungu, Ngoja tumwachie Mungu.
Hujui usemalo!!
Kwani ameteuliwa huyo. Fikiri kabla ya kucomment.
@@adkajisi4536 sio wote wanachaguliwa na Mwenyenzi Mungu,shetani pia yuko kazini muda wote.Poleni wenye mawazo ya usultani.
@@wilfredmoshi6507 Usultani umepitwa na wakati.Wewe ndio mwenye kufikiri zaidi ya wengine?Kuna nini yy atake uongozi kila chaguzi?Amka.
Hongera sana Baba Askofu Malasusa. Mungu aendelee kukutunza na kukuongoza🙏
Hongera sana baba askofu
Kuna aja Gani kufanya uchaguzi
Kwa nini, au ulikuwa na mteule wako
@@adkajisi4536😂😂😂😂 atakuwa alikuwa na mgombea wake mfukoni
@@ramadhansemvua9994 usikute alitaka awe baba yake😁😁
Ndo katiba ya kanisa. Ni utaratibu wao, au ulitaka wafanyeje?