KIJANA ALIYEUAWA NA ASKARI POLISI NA MGAMBO AZIKWA, NDUGU WACHARUKA, TARATIBU ZA KIPOLISI KUENDELEA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 20 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 98

  • @MZAMILUMNYOTI
    @MZAMILUMNYOTI День тому +20

    Maisha yamebadilika kinoma Yani watu wanauwawa Kama wanyama to Yani

  • @jamaldaud-e4d
    @jamaldaud-e4d День тому +15

    Sitakaa hata siku moja nikampenda asikar nachukia wale mbwa dah

  • @wilfredpeter-i7s
    @wilfredpeter-i7s 19 годин тому +2

    poleni sana ndugu ZANGU wafiwa Mwenyezi Mungu awajaalie tumaini jipya.
    ILA WAPI MLIONA WAUWAJI WAWAKAMATE WAUWAJI?

  • @winifridanyenza4585
    @winifridanyenza4585 8 годин тому

    Pole sana mama ESTA pole sana nashon umeumia sana mwanangu pumzika

  • @SINADATITO
    @SINADATITO 16 годин тому +1

    Poleni Sana familia. We dada ndo umefanya kijana Wawa tu auwawe damu yake itawatafuna wote mlio husika.💔💔

  • @storytownTv
    @storytownTv День тому +6

    Uncle Magu asingekubali kuona hii hali ya wapiga kura wake wakinyanyasika ,ila uyu bibi duh kama vile haon wala hasikiii kakazana tu miatanao yaan ananitiaga asira mpaka nataman Mungu anipe ueezo wakimiujiza niitoe hii nchi gizan maana inamilikiwa na wahuni watupu kwa sasa..😢😢

    • @happinessmchome9101
      @happinessmchome9101 День тому +1

      Halafu ndio wanataka kuweka picha yake kwenye pesa. Aloooo

    • @ROBERTMGOGOSI
      @ROBERTMGOGOSI День тому +1

      Yeye ndo aliyeunda mfumo WA kipumbavu WA mauaji haya.acheni ujinga WA kupamba maneno watu ujinga.

    • @gaagwasaugustino2584
      @gaagwasaugustino2584 21 годину тому

      Tuzidi kumuomba Mungu Iko siku Mungu atafanya kitu kwa hao Mbwa wanaoua watu hovyo bila hatia! Pamoja na huyo Shetani wao mkuu! Anaewapa kiburi,anaewatuma!
      Wananchi amkeni tuungane tuunganishe nguvu zetu pamoja tudai Katiba mpya na tume huru ya uchaguzi, Wananchi amkeni Amueni UCHAGUZI 2025 BILA KATIBA MPYA HAKUNA UCHAGUZI KUFANYIKA!
      Mnaona hayo yote yanayoendelea Katika Taifa letu kwa sasa lakini bado Wananchi wanakuwa wajinga kushirikiana na watawala waovu kuiba kura na kuwafanya waendelee kubakia madarakani kuwatesa ninyi Wananchi, kuteka na kuuwa hovyo!
      Wananchi mtapata ufahamu lini!???

    • @NeemaSamson-ti8pc
      @NeemaSamson-ti8pc 18 годин тому +1

      Halafu bado kumi tena tutakuwa naye hatariiii sana

    • @HAWAMBARUKU-t5d
      @HAWAMBARUKU-t5d 16 годин тому +2

      ​@@ROBERTMGOGOSIBasi ww usiye mjinga tuambie ni nani aliyeunda huu mfumo wa mauaji na usipotuambia hapa sasa hivi itakua ni familia yako inahusika

  • @HalimaAmili-e8r
    @HalimaAmili-e8r 21 годину тому +2

    Mungu atawalipa kma sileo kesho

  • @JosephAgustino-f9z
    @JosephAgustino-f9z 16 годин тому +1

    Daaaaaah marehemu atakamatwaje poleni ndugu waombolezaji

  • @ElneySheddy-is1dv
    @ElneySheddy-is1dv 5 хвилин тому

    Porisi wanajivunia raisi samia

  • @DiwaniMwafongo
    @DiwaniMwafongo День тому +4

    Huu ni ukoo wa Kiyeyeu ninaowafahamu?
    Kiyeyeu ni mhehe haswa na si kilamhehe mi Kiyeyeu!!
    Tule mtori, nyama tutaiona baadae chini ya mtori!!

    • @aldomtate575
      @aldomtate575 21 годину тому

      Hawa Kiyeyeu naisikia ni watata sana,

  • @ZakayoRichard
    @ZakayoRichard День тому +4

    Hao akina kiyeyeu mmmmm aliyeua duu namuonea huruma

    • @aldomtate575
      @aldomtate575 21 годину тому +1

      Niliwahi sikia Stori yao ni watata sana hao Kiyeyeu

    • @ziadasalimu1730
      @ziadasalimu1730 20 годин тому +1

      Jamani km kweli ni wataramu Mimi nawaunga mkono kila asliyeshiki ukuuwa Basi wawamalize km kuku km ni maskari basi wauwane wenyewe Kwa wenyewe

  • @barackmoses7003
    @barackmoses7003 15 годин тому +1

    Nyie kubalini tu mpumzishe mwili hata mkifanyaje haitowezekana tena kumbuka police ni serikali tawala ko ndo wale wale ambao wanateka watu wanawaua lkn hawachukuliwi hatua yoyote😢

  • @Kabwela776
    @Kabwela776 День тому +2

    Tanzania 🇹🇿 mmebadilika sana uko wengine tuliondoka Tanzania miaka mingi sana yaani hii Tanzania hata hatuijui Tanzania haikuwa vipi kabisa Mungu wangu sijui nini kimetokea Na kwa Nini viongozi waendelee kuwa madarakani kama viongozi hawafai wamepwaya yaani hasidi Na roho ya uovu imeingia ndani ya watu Na viongozi !

  • @BarakaNyerere-ql1qo
    @BarakaNyerere-ql1qo День тому +3

    sijui tuanzie wap ss watanganyika kalibia tuanze na maaskali2 😢😢

  • @SadickShija-v2o
    @SadickShija-v2o 10 годин тому

    Polen sana wafiwa hawa police wa tanzania wako juu ya sheria

  • @EmmanuelOwiti-p2e
    @EmmanuelOwiti-p2e 16 годин тому +1

    Ndo maana Mimi siwezi kuhuzunika ninapoona asikal ameuwawa na wananchi

  • @mosespeter3863
    @mosespeter3863 18 годин тому

    Poleni sana sana Ndugu, jamaa

  • @salama1113
    @salama1113 День тому +2

    Ila wao wakifa watu wanakamatwa tena halaka tuu ila laia akifa hakuna hatuwa inayo chukuliwa

  • @leokamil6284
    @leokamil6284 День тому +5

    Hii damu inamwagika kila siku Tanzania hii ni laana kwa nchi viongozi tafadhali kumbukeni hii laana haitaacha Taifa hili salama. Tumuogope Mungu kemeeni haya nchi hii ilikuwa ya amani sasa inatoweka kila kukicha tuogope haya .Mungu simamia Tanzania hii 😢😢

    • @NeemaSamson-ti8pc
      @NeemaSamson-ti8pc 18 годин тому

      Kiongozi gani atakemea ndugu huyo bibi mwenyewe anasema kifo ni kifo tu

  • @ZekaniS
    @ZekaniS 18 годин тому

    😭😭😭😭polen familiya haki ya marehemu utaikuta kwa Allah siku ya esabu🤲🤲🤲

  • @IshengomaRugemalila
    @IshengomaRugemalila День тому +1

    Poleni wanandugu

  • @fidelisimlawa3714
    @fidelisimlawa3714 8 годин тому

    FaNyen yenu Mi mwenye kuna siku walipiga kijana wangu nusu ya kuuwa ningechelewa kijana nilishamukosa

  • @celinamosha9420
    @celinamosha9420 10 годин тому

    Mitano Tena mama

  • @shafiimwanja7793
    @shafiimwanja7793 День тому +1

    Duuuuh htr sana

  • @RajabuAbdi-rs7sp
    @RajabuAbdi-rs7sp 12 годин тому

    Innalillah wainaillah rajuun

  • @healingclinic698
    @healingclinic698 День тому +2

    Hivi kwanini mlipokea huo mwili mngewapelekea police kituo cha kati wajue pa kumpeleka

  • @abdiharuna2818
    @abdiharuna2818 День тому +2

    Kijana mdogo sana

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 День тому

      Kilimanjaro Polisi Majengo waliambiwa kuua kijana mdogo kisa mirungi yaani ni laana tupu hii

  • @selemanimkwichu782
    @selemanimkwichu782 День тому

    Dah noma sana

  • @JeannetteManirambona-o6m
    @JeannetteManirambona-o6m 19 годин тому

    Poleni wafiwa 😢😢

  • @ROBERTMGOGOSI
    @ROBERTMGOGOSI День тому +1

    Nashindwa cha kusema ila ninahasira kali na utawala wa Samia kiasi cha upepo wa kisulisuli
    Haki ya Mungu wa mbinguni.

  • @RaheemaOm-d5e
    @RaheemaOm-d5e 10 годин тому

    Acha ujinga broo utakuwa umesha poteza ushaid

  • @dicksonkilupa2258
    @dicksonkilupa2258 День тому +2

    Wauaji hivi hamna huruma hata kidogo?

  • @leokamil6284
    @leokamil6284 День тому +1

    R.I.P poleni sana wafiwa

  • @samwelmwangi9185
    @samwelmwangi9185 23 години тому

    Sheria ifuate mkondo wake ili kuepuka chuki za ndugu, jamaa, jamii dhidi ya askari polisi.
    Polisi ni walinzi wetu.
    Uvunjifu wa sheria za nchi zetu lazima ukabiliwe, matukio ya kuuwana yadhibitiwe.
    Mungu ibariki Tanzania.
    🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @SisoPotashiumz-c7n
    @SisoPotashiumz-c7n День тому +1

    Mm nachukia police mpaka kufaa

  • @MalikiKavindi
    @MalikiKavindi День тому +2

    Walio fanya hilo tukio watajua nini maana ya wanyalu

  • @roswitaexavery3378
    @roswitaexavery3378 День тому +1

    Kwamwene poleni sana alieua nae atauwawa kwanihuoni wanasemaga maaskali wameuwawa na majambazi ukiona hivo ujue waliouawa nao waliua askali usipokuwa muuaji wenzako wanapouawa utakuwa unasikia tuu wewe yanakiwa haya kukuti

  • @KhadijamussaMachapat
    @KhadijamussaMachapat День тому +1

    Dunia kwasasa inaendà na Viumbe vyavkikatili alafu vinafanya kimakusudi Tu😭🙏

  • @TOUNDISELASSIE-xj8oy
    @TOUNDISELASSIE-xj8oy 13 годин тому

    Hii familia ya kiyeyeu, iliwahi husishwa na kaburi moja kilomita kadhaa kabla ya kufika ipogolo ukitokea mbeya. Inasemekana umeme ulikua hauwaki upande wa pili wa kaburi la kina kiyeyeu. Kwa sababu walitambuka kaburi lao. Ikabidi wavushe upande wa pili wa barabara zikawekwa nguzo mbili, kisha wakarudisha upande husika umeme ukaendelea na safari. Rai yangu si kwa jeshi la polisi, rai yangu ni waliohusika na kifo hicho. Wajitokeze wamalizane na hiyo familia. Wasije wakawapoza na wengine katika familia zao. Ogopa kitu kinaitwa tego.

  • @ziadasalimu1730
    @ziadasalimu1730 20 годин тому

    Mmmm! Wataunawa sasa

  • @MiriamKhalid-z6o
    @MiriamKhalid-z6o День тому +2

    Hawa nyumbu ipo cku yao

  • @mosesmahinya9654
    @mosesmahinya9654 21 годину тому

    Hawa ndo wenye kabur lililo goma kupitisha umeme nakumbuka sana

  • @EGM-TZ
    @EGM-TZ День тому

    From #EconomicallyGrowthMusicians Congratulations Milard shida ilikuwa nini??😢😢😢

  • @BarakaStephanio
    @BarakaStephanio День тому +1

    Ivi kwann uwa matatizo aya utokea kwa lahia tu askal ufanya matukio aya nakwann awa askal wasiwe wanaenda kuuwa watoto wa viongz mfn mwazil/wabunge/rais/nk😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢polen ndug hii nchi atar saana

  • @NeemaSamson-ti8pc
    @NeemaSamson-ti8pc 18 годин тому

    Yaaaani hii nchi napenda viongozi wote waondoke madarakani akianza huyo bibi yenu

  • @CyprianTraiphon
    @CyprianTraiphon День тому +1

    Huyu mdogo wa marehemu mbona amezeeka kuliko nashoni..samahani lakin

    • @KANAZIBoy
      @KANAZIBoy День тому +2

      Bila samahani jifunze kufanya utafiti na ujalibu kuangalia familiya nyingi watoto utofautiana kwa muonekano,,

  • @AzizaIssa-o9o
    @AzizaIssa-o9o 18 годин тому

    Haki woye polen sana. Wapendwa dah inasikitisha sana

  • @zephaniamalindi9597
    @zephaniamalindi9597 18 годин тому

    Ameuawa kwa kosa gànii

  • @JeradiMaulidi
    @JeradiMaulidi 15 годин тому

    Polisihiyo ndotazania yasamia

  • @SelinaTemba-e9o
    @SelinaTemba-e9o 20 годин тому

    Pumzika kwa amanii classmate wangu

  • @mission_impossible_chadomasta
    @mission_impossible_chadomasta День тому

    Njoo ujumuike na familia kubwa #chado_masta

  • @cheiknamouna2058
    @cheiknamouna2058 День тому

    Fanyeni jambo aliyeona,aliyeuwa,aliyezulumu nafsi ya mtu nae azulumiwe 😢

  • @secundawabura7902
    @secundawabura7902 13 годин тому

    Askari wameuwawa hao siyo watu kwa vile siyo ndugu zenu mnaongea kwa kejeli wote ni binadamu tuachane na chuki ndugu zangu

  • @Mjeda-q1m
    @Mjeda-q1m День тому

    Wahehe mshapigwa kwisha polisi oyee

  • @gervaslukaya
    @gervaslukaya День тому +1

    Apo ni hatari sana

  • @SmilingFlowerBouquet-hs2hv
    @SmilingFlowerBouquet-hs2hv 21 годину тому

    Machozi yetu ipo siku mungu atatujibu huyu mama?

  • @AllyNassor-de6ck
    @AllyNassor-de6ck 21 годину тому

    Wakufa wapalesina tz tunashangilia Sasa wacha dawa ituingie tu mungu ndio anajua

  • @MassaweMeshack
    @MassaweMeshack День тому

    Damu isiyo na ataya itaipeleka wapi taifa

  • @SadamSarita-t7z
    @SadamSarita-t7z День тому

    Mdogo kaxhantmganyikiwa et nimdogo wamarehem hapohapo hajui kama amekufa nawao wamekuja kutembea

  • @onesmomwakasege5215
    @onesmomwakasege5215 День тому

    Mambo ya ovyo kabisa inakuwaje mambo yanakwenda kiolela olela ivyo

  • @anittayulemchungu6712
    @anittayulemchungu6712 23 години тому

    Poleni sana watanzania. Mimi nawaombea sana nchi yenu TZ isishike tabia za kwetu kenya. Samia aangalie afuate mkondo wa maghufuli jamani

  • @HekimaSalama
    @HekimaSalama День тому +4

    Alifanya kosa gani

  • @DinesPatrick-d5w
    @DinesPatrick-d5w 21 годину тому

    kifoo kitampaata popote tuwe makin

  • @Kabwela776
    @Kabwela776 День тому

    Viongozi wameshindwa kuiongoza nchi wamepwaya kwa hiyo roho za uovu Na hssidi amepewa nafasi kufanya maovu yake maana Serikali Iko dhaifu Na sio serikali iliyowekwa Na wananchi ukute Samia ni ana mikosi kwa hiyo nchi imekuwa na mambo ya kishetani kupita kiasi

  • @sittabernard3351
    @sittabernard3351 День тому

    Ifike hatua Police na nyie mtajitafakari siku hizi binadamu sio wale wa zamani Miaka hii mtu unamgusa kidogo kafa acheni kutoa vipigo kiasi hicho.

  • @hassanrashid-l3u
    @hassanrashid-l3u День тому

    Afu juzi wamekufa police,wakatokea wasenge wamoja et oooh poleni jeshi letu la police kwa kilichowatokea ,,wew uliowaombea police wote wauwaji

    • @GraceDeograthius
      @GraceDeograthius День тому

      Kosa la mtu mmoja lisihusishe polisi wote ni km familia tu kuna watoto watukutu na wastaraabu na bila polisi kuwepo ndo utajua umhumu wao na tujue polisi nao no watu km sis

    • @hassanrashid-l3u
      @hassanrashid-l3u День тому

      @GraceDeograthius kosa la mtu mmoja hv we unajuwa kama kabla hujawa police unaitwa raia ila ukishakuwa police hauitwi Tena raia unajuwa ni kwa nn?

    • @hassanrashid-l3u
      @hassanrashid-l3u День тому

      @GraceDeograthius swala la kulinda ni viapo na mishahara wanayochukuwa na kama wao wanalinda je hizi lipoti za police kuuwa raia zinakujaje

  • @OlvaryFrance
    @OlvaryFrance 23 години тому

    Kila cku kujinadi taifa lenye amani uongo mtupu

  • @jumarajab5316
    @jumarajab5316 23 години тому

    vijana acheni kula chips watu wawili wanakupiga hadi kufa kivip

    • @NeemaSamson-ti8pc
      @NeemaSamson-ti8pc 18 годин тому +1

      Ukikosa cha kuongea kaa kimya sio lazima ucoment

  • @BarakaNyerere-ql1qo
    @BarakaNyerere-ql1qo День тому

    daaaa

  • @healingclinic698
    @healingclinic698 День тому +3

    Nyie ni wajinga sanaaaa wafiwa Hivi mna akili gani majitu mazima mwanadanganywa kama watoto

  • @mtotowamanka
    @mtotowamanka День тому +1

    Jamn